ALLAH AKUHIFADHI NDUGU YANGU NA ATUONGOZE SOTE KATIKA NJIA YA WEMA WALIOTANGULIA ...WALLAH SI WEWE TU BALI HATA MIMI MWANZO NILIKUA NAJUA HAWA MASHEIKH WA KISALAF WAPENDA MIZOZO TU. LAKINI WALLAH NILIPOKUJA KUTULIZA AKILI NA KUTAKA KUFUATILIA KWA NINI WANAFANYA HIVYO, WALLAH NIKAJIKUTA MIMI NDIYO NAPENDA WAO ALLAH AWANUSURU KWA KULE KUHANGAIKA KWAO KUIBAINISHA HAKI AMBAYO WENGI WETU TUMEFUKIZWA NA HAWA TULIOKUA TUNAWAONA MASHEIKH WAKWELI KUMBE NI WATU WA KUTETEA NA KUZINUSURU RAI ZA WATU NA SI SUNNAH ZA MTUME WETU. WALLAH NAMUOMBA ALLAH AWATHIBITISHE NA AWAPE NGUVU MASHEIKH WA KISALAF WAPAMBANE NA HAWA MUBTADIU' MPAKA HAKI IWABAINIKIE WATU
Mwenye channel hii twakuomba umuombe radhi Sheikh Abuu Khawlah kwa kumrekodi bila kumuomba rukhsa yake japokuwa hakuna jambo baya lililozungumzwa lkn kumrekodi mtu kivyovyote vile ni lazima uombe rukhsa kwake na akikukatalia huna rukhsa kumrekodi tofauti na hapo umemfanyia khiyana ktk mazungumzo
Allah atuongeze sote hasa watu wa babdeo nashangaa kuona hila wanayotafuta ni kutengeneza pesa ... Kama mnataka kwli kupata hidaya (au kuwajali watu wenu wanaokuulizeni maswali) sikilizeni mihadhara yake au wekeni katika channel zenu bila kuzikata...
Sheikhy Abuu khawlah amezungumza na mihadhara inapatikana yoote TH-cam walilah lhamdu,,, na katika muhadhara wake wa mwisho Tanga (pangani ) ameweka shurti ambazo zikitekelezwa na sheikhy mziwanda bhasi mdahalo utafanyika in shaa ALLAH... sasa yaonesha dhwahir hataa huyu muandishi hajasikiliza yeye afuata mass pressure tuu... kama wataka haqi kweliii ipatikane tafuta mihadhara ya sheikhy Abuu khawlah ALLAH amuhifadhi then iweke kwenye channel yako hii kisha Sheikhy mziwanda akijibu nae uweke kwenye channel yako madhali watafuta haqi bhasi audiences tutaipata ukifanya hivyo.. BARAKA'ALLAHU FEEKUM WAJAZAKHUMU LLAHU KHAYR...
@imsimbe shida ni ushabiki ana muhoj alaf anatia na uongo we tangu lini bobdeo akaweka durusu za watu wa sunna au masalaf? Analazmisha wajibizane kupitia media yake ili apate viws... Bobdeo hawapo kidin ni ka media cha upande mmoja kalicho bez kwenye bawil
@@amanisaidi8757Katika sifa za Munafiquun ni wanapoongea husema uongo, Na tumewasikia kwa Maskio yetu wasema Hurusha Mawaidha na duruus za Masheikh woote jambo ambalo ni UONGO WA WAZI, TOKEA LINI BADLEO WATUME MAWAIDHA/DURUUS ZA MASHEIKH WA SUNNAH??? SASA KUFRU IKO WAPI NA KWELI WAMEJIPAMBA NA SIFA ZA UNAFIKI??
Shekh yuko sahih maashaallah nimefrahi Kwa majibu yake mazur na hivyo ndo mlivo.. chanel yenu sio ya mawaidha ni miziki na mambo ya BATILI ndo mnayo hangaika nayo.. Allah amlipe shekh na amhifadhi
Acheni kumkingia kifua, kama hataki kuitwa kwenye MDAHALO, basi mwambieni aandae mdahalo yeye wa kisalafi halafu sisi na masheikh zetu wa kisunni tuwe wageni
Wapo kimaslahi yao binafsi tu, ila sheikh kawajibu vizur kuwa wawatafute Al hilaal online tv watapata wavitakavyo. Lakin walitakiwa wamtake ruhusa sheikh kuyaweka maongezi hewani kwani mazungumzo ni amana wataenda kuulizwa, alafu hawa watu banaa agh! .Allāh aikubali dua aliowaombea mwishoni mwa maongezi
Siku Wafuasi wa kisufi mkisoma ndo mtatambua dini hii haiendeshwi wala kufasiriwa kwa ufahamu wa masheikh wala Maduruesh na pia mtabaini namna wengi katika masheikh wenu wa kisufi hawasomi wala kufanya tafiti katika kadhia mbalimbali na shubuha wanazojipambanazo
@imsimbe ebu msikilize vizuri huyo shekh utaelewa kitu sisi tunacho kikataa ni kufanya majadiliano yasiyo na natija .mijadala mingi imeshafanyika lakini ukitizama natija kwenye mijadala hiyo hakuna bali inabaki tu kila mtu kijiona kashinda pasipo kutizama hoja ya msingi ni nini? KWAHYO HAKUNA ANAYE OGOPWA ILA HATUTAKI MIJADALA YA MIHEMKO
Na Sheikh Abuu Khawlah ni Mtu makini ndio maana kakwambia andaa Questionare ili aone km kuna jambo la msingi la kumhoji na sidhani km lipo, zaid ya yote labda kwenda kumuuliza kwann kamradd Mziwanda yaan kifupi wanataka kuleta usanii ili mziwanda aingie mitini asijibu alichoulizwa
Acha uongo wako wewe huyo kijana yeye ndiye anaye ogopa hoja za sheikh mziwanda wewe unadhani mtu wa taswauf anaweza akamuogopa mhuni yeyote hapa ulimwenguni acha huyo hata anakotola hawana hoja wana blaa blaa tu
@@omaryramadhani6664 nawakusudia aarifiina walio jisafisha na ujinga waka jitia ktk elimu na uchamungu mpaka wakawa ni alama ya Allah mbele ya kila kiumbe
@@omaryramadhani6664 mwambie aliye kuambia maneno ya imamu shafii hayo mwambie akupe ufahamu wa aboubakar baihaqiyu juu ya maneno hayo halafu urejeshe maneno
@@HusseinPaula Mziwanda katoa hoja gan zaid ya kuleta utapeli ktk lugha jambo ambalo hajatanguliwa na mwanachuoni yoyote yule au nayeye Mziwanda ni mwanachuon mujitahid hebu twambien km yeye ni mwanazuoni halaf tuipe jina twariqa yake badala ya Qaadiriyyah tuiitwe mziwaandiyyah
TUNAOMBA UTUME NA MIHADHARA YA Abu khawrah TUSIKIE NAYEYE HOJA ZAKE NA MASWALI ALOMUULIZA SHEIKH MZIWANDA TUPATE SOTE FAIDA NA MUONGOZO WA SAWA NI UPI WASILIANA NA AL HILAL ONLINE AKUPE AUDIO ZOTE IKIWA CHANNEL HII INAKUSUDIA DINI BOBDEO
Hawa watu BIDAH sio wa kuamini kabisaaaaa, hawakawii kugeuza maneno maana ni katika mijitu miongo hakuna mfano hapo anatafutwa ateleze tu shekhe basi wapate pakusema.
@@fadhilimusa9732 wewe ni utakua basha sio Bure ndio maana mnawaalibu sana wale watoto wa mawlid wengine wanakua machoko. Kumbe mpo nyinyi ndio kazi yenu.
Nlvocklza mawaidh sheikh mziwanda alkosolew akatakiw aje asem eidha amekosea au athibitshe kw dalil km n kwel then hpo ndy waandae mjadala so cjaon kuogop hapo
Pia nashangaa wataka kumhoji kitu gani, nyie mwatakiwa kumfata Mziwanda mkamhoji juu ya maswali aliyoulizwa atoe majibu hili ndio la msingi sio kumfata Sheikh Abuu Khawlah mwaenda kumhoji nn au maswali aliyomuuliza Mziwanda km ni hvyo mtandaoni audio zipo tafuten huko.
Hili haliwez tokea labda muweke kwa ulazima Ila masheikh wa kisalaf hawajawah KUKUBALI kuchanganywa pamoja na watu wa Bida'a, hata sheikh Qasim mafuta alikua anawekwa kwenye channel ya Al-jazaair lakn akakataa sabab ya kuchanganywa na watu wa batili
HUJIELEWI POLE...SISI TUNAKUPA USHAHIDI KUWA NINYI NDIYO VIBARAKA WA MAYAHUDI AMBAO NDIYO HAWA MASHIA WALIOWAANZISHIA MAULID NANYI MWAYATETEA KWA HERUFI KUBWA UTADHANI YALIFANYWA NA MTUME WENU,,, TUPENI NINYI USHAHIDI WENU JUU YA UYAHUDI WA HAO MNAOITA MAWAHABI
Ndugu yangu abuu khaula kuwa makini na hao watu hawachelewi kufanya hila ili uonekane umeshindwa angalia bacho walivyomfanyia wanasema kajikolea bora uendelee na radi hivyo mwenye kutaka haki. Ataelewa
😂😂😂😂 mnamatatizo nyie masalafi mmekuja kutenganisha na kuweka chuki bayna ya waislam na ki elimu muko chini saana kiukweli kwanza matini mnayakosea mara nyingi mtawezaje kudadavua uelewa wa mas-ala kama mnakosea nahw,balagha ........na mengine?kueni makini
Halafu msikie huyu mtu wa studio ya miladu akosea kiarabu ame ambiwa Allaahu yahdiykum ila manhaji salafiy yeye akajibu wafiyk , hii haijibiwi hivi enyi masufiy , andelisema waiyaakum, au waiyyaaka kama alimkusudia, mtu mmoja, ama akisema wafiyka, maana yake ni kwamba haja itikia dua bali atakua ame unganisha dua, yaani kana kwamba Abuu khawlah hukukamilisha sasa yeye ndio anaikamilisha , Na dua ina kua mana yake Allaah awaongoze katika manhaj salafiy Na awaongoze katika Wewe ( abuu khawlah ) kwa hiyo masufiy someni bwana acheni kujiinua ilihali mjui
NAHISI HURUMA KWAKO KWA SABABU NINAYAQIIN KUWA HUFAHAMU MEENGI KUHUSU HAO WATU WA TWARIQA NA NJIA YA MTUME WAKO....TUMETOKA HUKO HIVYO NI LAZIMA NIKUONEE HURUMA... NASAHA ZANGU KWA MDUGU NAOMBA UZITAFUTE DURUUS ZA MASHEIKH WA KISALAFI KISHA ZIFUATILIE NINI IMANI KUNAJAMBO UTABAINIKIWA
Yaani Kuifuata dini ya Allah kwa ufahamu wa wema waliopita(SALAF) yachukuliwa kua ni dhehebu kikundi embu nyie Masufi semeni dini yenu mwaichukua kutoka wapi na kwa ufahamu wa akina nani?km kweli ninyi niwakweli??
Ah! Abuukhaula, ukiwa peka yako tantalila nyingi. We kubaridahalo halafu utashuhudia nani bidhaa, na mnafiq. Halafu tutakutajieni kafiri aliyeanzisha kundi lenu na bajeti yenu ya kila mwaka. Sasa mmelikroga mtalinywa.
NDIYO KWANI TASWIIR YA VIUMBE WENYE ROHO NI HALALI?...SEMA TU BAADHI YA U'LAMAA HATA WA KISUNNAH WANAONELEA KWA JAMBO LA KUSAMBAZA DINI LAWEZA KUFAA LAKINI WENGINE KATIKA MAU'LAMAA WAMELIPINGA HILO NA HUO NDIYO MSIMAMO SAHIHI KUWA KUSAWIRI PICHA ZA VIUMBE WENYE ROHO NI HARAAM NA NDIYO MSIMAMO ULIOKARIBU MNOO NA DALILI ZAMANENO YA MTUME WETU SWALA NA SALAM ZIMWENDEE. INGAWA JAMBO LINALOSHIKAMANA NA HAWAA SIKU ZOTE MAU'LAMAA WAKITELEZA WATU WENGI WAGONJWA UTAKUTA NDIYO WANAFANYIA DALILI HAPO NA SI SAWA KABISA KWA SABABU MANENO YA MTUME WETU YAKO WAAZI KABISA NA SISI MTUME KWETU NDIYO HOJA, KAULI YAKE IKIKHALIFIANA NA MAU'LAMAA WETU, SISI TUNAACHA MTELEZO WA MWANACHUONI HUYO NA KUFUATA LA MTUME NA HESHIMA YAKE TUNAIBAKISHA PALEPALE. NA HII NDIYO NJIA YA WATU WA SUNNAH WENYE KUFUATA MWENENDO WA WEMA WALIOTANGULIA
sasa yeye anasema mnawapendelea watu wa bidaaa,yeye kurekodiwa na kamera hataki,kuhojiwa mambo yanahusu uislam anatoa masharti kibao,mbona nashindwa kumuelewa?haya madhehebu mengine wao wanao wanapatia,lakini kumbe wanachelewesha harakati za dini kwenda mbele,kamera anakataa, lakini simu zao utakuta picha kibao za ngono.
Wewe kama unazo katika simu yako usizani wenzio wanazo mche mola wako na Wallaah usipo mtafuta huyo Sheykh mlio msingizia kua katika simu yake kuna picha za ngono, ima akusamehe yeye mwenyewe bila ya kuomba msamaha, au ukamuombe msamaha Na ufute hii comment yako au itakugharimu, siku ya ya qiyaamah , maana hakuna kinacho potea mbele ya Allaah Alie tukuka, Na tujalie labda pengine ushai ona kwenye simu yake picha hizo hukupaswa wewe utaje haya mitandaoni ulipaswa ukamnasihi peke ake , ila hizi ni nasaha zangu ndugu yangu kwako kama kweli unaamini utafufuliwa Na kulipwa kwa haya unayo ya tenda
Ama masaala ya kamera yame tajwa Na wanachuoni Soma Na ujue kipi cha kufanya au muulize yeye kwanini akataa si kutukana akhiy , Ama pia jambo la simu kua na camera , kwa kajipiga yeye au mwingine
Mimi niwashauri Babdeo online TV kitu kimoja kwamba Masalafu na aina zao zote wameshachanganyikiwa hivyo hao ni kuwaangalia tu yaani sijui akili zao zina nini aisee
Sisi tunataka mziwanda ajibu2 aliyo ulizwa hizo porojo zenu hatuna hata mda nazo pigeni kelele mpaka mchoke ila tunataka majibu ayajibu kw elmu sio porojo
Mwisho akaomba dua Allah awaongoze katika manhaj salaf 😊
Maasha Allah,
Allah amuifadhi Sheikh Masalafi kumbe wastarabu tofauti na nivyowasikia watu wakiwazungumza.
ALLAH AKUHIFADHI NDUGU YANGU NA ATUONGOZE SOTE KATIKA NJIA YA WEMA WALIOTANGULIA ...WALLAH SI WEWE TU BALI HATA MIMI MWANZO NILIKUA NAJUA HAWA MASHEIKH WA KISALAF WAPENDA MIZOZO TU. LAKINI WALLAH NILIPOKUJA KUTULIZA AKILI NA KUTAKA KUFUATILIA KWA NINI WANAFANYA HIVYO, WALLAH NIKAJIKUTA MIMI NDIYO NAPENDA WAO ALLAH AWANUSURU KWA KULE KUHANGAIKA KWAO KUIBAINISHA HAKI AMBAYO WENGI WETU TUMEFUKIZWA NA HAWA TULIOKUA TUNAWAONA MASHEIKH WAKWELI KUMBE NI WATU WA KUTETEA NA KUZINUSURU RAI ZA WATU NA SI SUNNAH ZA MTUME WETU.
WALLAH NAMUOMBA ALLAH AWATHIBITISHE NA AWAPE NGUVU MASHEIKH WA KISALAF WAPAMBANE NA HAWA MUBTADIU' MPAKA HAKI IWABAINIKIE WATU
Mashaallah
@@abouswaleh7375 Aamin Aamin
Allah amhifadhi sheikh abuu khaula kwahakika ametumia busara nyng mno
Hapo ndipo unajua kuwa masheikh zetu wa kisalafi wamekomaa kielimu na kiakili Allah amuhifadhi sheikh abuu khaula
Maashaallah Allah aendelee kuwaongoza masalafi na kuendelea kuwapa elimu jamii
Mwenye channel hii twakuomba umuombe radhi Sheikh Abuu Khawlah kwa kumrekodi bila kumuomba rukhsa yake japokuwa hakuna jambo baya lililozungumzwa lkn kumrekodi mtu kivyovyote vile ni lazima uombe rukhsa kwake na akikukatalia huna rukhsa kumrekodi tofauti na hapo umemfanyia khiyana ktk mazungumzo
Mnasem hampo upande wowote wakat cjawah kuon mawaida y kisalafi humu
Allah atuongeze sote hasa watu wa babdeo nashangaa kuona hila wanayotafuta ni kutengeneza pesa ... Kama mnataka kwli kupata hidaya (au kuwajali watu wenu wanaokuulizeni maswali) sikilizeni mihadhara yake au wekeni katika channel zenu bila kuzikata...
Sheikhy Abuu khawlah amezungumza na mihadhara inapatikana yoote TH-cam walilah lhamdu,,, na katika muhadhara wake wa mwisho Tanga (pangani ) ameweka shurti ambazo zikitekelezwa na sheikhy mziwanda bhasi mdahalo utafanyika in shaa ALLAH... sasa yaonesha dhwahir hataa huyu muandishi hajasikiliza yeye afuata mass pressure tuu... kama wataka haqi kweliii ipatikane tafuta mihadhara ya sheikhy Abuu khawlah ALLAH amuhifadhi then iweke kwenye channel yako hii kisha Sheikhy mziwanda akijibu nae uweke kwenye channel yako madhali watafuta haqi bhasi audiences tutaipata ukifanya hivyo..
BARAKA'ALLAHU FEEKUM WAJAZAKHUMU LLAHU KHAYR...
😅😅😅😅 Ni kweli tena Bobdeo masufi 100% alaf ni wanafiq🎉🎉
Mkiambiwa kaz yenu ni kukufurisha watu mnakataa😮
@@amanisaidi8757 unakurupuka ndugu soma
@imsimbe shida ni ushabiki ana muhoj alaf anatia na uongo we tangu lini bobdeo akaweka durusu za watu wa sunna au masalaf? Analazmisha wajibizane kupitia media yake ili apate viws... Bobdeo hawapo kidin ni ka media cha upande mmoja kalicho bez kwenye bawil
@@amanisaidi8757Katika sifa za Munafiquun ni wanapoongea husema uongo, Na tumewasikia kwa Maskio yetu wasema Hurusha Mawaidha na duruus za Masheikh woote jambo ambalo ni UONGO WA WAZI, TOKEA LINI BADLEO WATUME MAWAIDHA/DURUUS ZA MASHEIKH WA SUNNAH???
SASA KUFRU IKO WAPI NA KWELI WAMEJIPAMBA NA SIFA ZA UNAFIKI??
Mnafiki ni wewe
Shekh yuko sahih maashaallah nimefrahi Kwa majibu yake mazur na hivyo ndo mlivo.. chanel yenu sio ya mawaidha ni miziki na mambo ya BATILI ndo mnayo hangaika nayo.. Allah amlipe shekh na amhifadhi
Huyo ni jaahil tu
Na mie binafsi sidhani kama mahojiano yamekataliwa sidhani rejea hiyo clip tena usikilize uzuri@imsimbe
Naam sheikh Abuu Khaulah hakukataa Mahojiano bali aliwaambia waandae Maswali yao kwa ajili ya wao kumuuliza kisha wamtumie
Acheni kumkingia kifua, kama hataki kuitwa kwenye MDAHALO, basi mwambieni aandae mdahalo yeye wa kisalafi halafu sisi na masheikh zetu wa kisunni tuwe wageni
@@mailacamillius na nyie ni masunni 😀
hii channel ni ya kinafq sana wallah
Wapo kimaslahi yao binafsi tu, ila sheikh kawajibu vizur kuwa wawatafute Al hilaal online tv watapata wavitakavyo. Lakin walitakiwa wamtake ruhusa sheikh kuyaweka maongezi hewani kwani mazungumzo ni amana wataenda kuulizwa, alafu hawa watu banaa agh! .Allāh aikubali dua aliowaombea mwishoni mwa maongezi
Siku Wafuasi wa kisufi mkisoma ndo mtatambua dini hii haiendeshwi wala kufasiriwa kwa ufahamu wa masheikh wala Maduruesh na pia mtabaini namna wengi katika masheikh wenu wa kisufi hawasomi wala kufanya tafiti katika kadhia mbalimbali na shubuha wanazojipambanazo
Sijawahi kuona clip za Sunna wacheni uongo
Alete Radio yake Afundwe ushabiki muwache
Kuhusu babdeo kusuhubiana na watu wa bidaa hilo liko dhwaahiri
@imsimbe ebu msikilize vizuri huyo shekh utaelewa kitu sisi tunacho kikataa ni kufanya majadiliano yasiyo na natija .mijadala mingi imeshafanyika lakini ukitizama natija kwenye mijadala hiyo hakuna bali inabaki tu kila mtu kijiona kashinda pasipo kutizama hoja ya msingi ni nini? KWAHYO HAKUNA ANAYE OGOPWA ILA HATUTAKI MIJADALA YA MIHEMKO
Na Sheikh Abuu Khawlah ni Mtu makini ndio maana kakwambia andaa Questionare ili aone km kuna jambo la msingi la kumhoji na sidhani km lipo, zaid ya yote labda kwenda kumuuliza kwann kamradd Mziwanda yaan kifupi wanataka kuleta usanii ili mziwanda aingie mitini asijibu alichoulizwa
Acha uongo wako wewe huyo kijana yeye ndiye anaye ogopa hoja za sheikh mziwanda wewe unadhani mtu wa taswauf anaweza akamuogopa mhuni yeyote hapa ulimwenguni acha huyo hata anakotola hawana hoja wana blaa blaa tu
Unakusudia watu wa taswawuf wale aliosema imama shafi kuwa hawezi mtu akawa sufi asubuhi kisha okafika jioni bila kuwa majnuni au masufi wepi hao.
@@omaryramadhani6664 nawakusudia aarifiina walio jisafisha na ujinga waka jitia ktk elimu na uchamungu mpaka wakawa ni alama ya Allah mbele ya kila kiumbe
@@omaryramadhani6664 mwambie aliye kuambia maneno ya imamu shafii hayo mwambie akupe ufahamu wa aboubakar baihaqiyu juu ya maneno hayo halafu urejeshe maneno
@@HusseinPaula Mziwanda katoa hoja gan zaid ya kuleta utapeli ktk lugha jambo ambalo hajatanguliwa na mwanachuoni yoyote yule au nayeye Mziwanda ni mwanachuon mujitahid hebu twambien km yeye ni mwanazuoni halaf tuipe jina twariqa yake badala ya Qaadiriyyah tuiitwe mziwaandiyyah
huyu Ally msaniii.
Anafanya Talbiiis ktk Mazungumzo na maswali yake.
Mpaka hapa teyari kashaapigwa😅😅
TUNAOMBA UTUME NA MIHADHARA YA Abu khawrah TUSIKIE NAYEYE HOJA ZAKE NA MASWALI ALOMUULIZA SHEIKH MZIWANDA TUPATE SOTE FAIDA NA MUONGOZO WA SAWA NI UPI WASILIANA NA AL HILAL ONLINE AKUPE AUDIO ZOTE IKIWA CHANNEL HII INAKUSUDIA DINI BOBDEO
😭😭😭 uko wapo uislaamu yapo wap mapenzi ndani ya uislaam hawa mashekhe wamekuwa mitume hawakosei aaaaaaah
Unacheza na SHEIKH mziwanda weweeee😂😂😂😂kaingia mitini huyooooo
Kwa lipi
Nimeona masalafu wengi ni watu wa mitandao ndio maana akili zao ni za kimtandao
Hawa watu BIDAH sio wa kuamini kabisaaaaa, hawakawii kugeuza maneno maana ni katika mijitu miongo hakuna mfano hapo anatafutwa ateleze tu shekhe basi wapate pakusema.
ALLAH AMUHIFADHI MNOO SHEIKH ABUU KHAULAH NA KILA MWENYE KUKUSUDIA SHARI JUU YAKE
Uwe na adabu kusema mijitu miongo tumia lugha nzuri
@@fadhilimusa9732 lugha nzuri ipi?? yaani wewe jitu la BIDAH nikupe lugha nzuri ?? toa ujinga wako hapa.
@@nassor6333 wewe mchafu wa ulimi ungekuwa mke wangu ningekupa talaka 3
@@fadhilimusa9732 wewe ni utakua basha sio Bure ndio maana mnawaalibu sana wale watoto wa mawlid wengine wanakua machoko. Kumbe mpo nyinyi ndio kazi yenu.
Babdeo ni watu wa bidaa hatuna shakka juu ya ilo
Kwani yeye ni mwandishi wa mambo gani ambaye anataka kumuhoji sheikh abuu khaula au anataka kumuhoji kwa mambo gani Lazima ayabainishe
Mawahabi niwatu waajabu Sana ktk dunia hii waao hudai wapo ktk haki lakini niwaoga mnoo kuibainisha haki ktk mahojiano na midahalo siunafiki huu?
Hhaha hapo Tu ndipo wanaponichosha Maana Wao Wakidai Wapo katika haki lakini Hawana Vifua Vya Kupambana na Masheikh zetu sjui kwanin Wanakuwa hivi

kwahiyo hao kina babdeo ndio mashekh zenu?
Nlvocklza mawaidh sheikh mziwanda alkosolew akatakiw aje asem eidha amekosea au athibitshe kw dalil km n kwel then hpo ndy waandae mjadala so cjaon kuogop hapo
Pia nashangaa wataka kumhoji kitu gani, nyie mwatakiwa kumfata Mziwanda mkamhoji juu ya maswali aliyoulizwa atoe majibu hili ndio la msingi sio kumfata Sheikh Abuu Khawlah mwaenda kumhoji nn au maswali aliyomuuliza Mziwanda km ni hvyo mtandaoni audio zipo tafuten huko.
kabisa
kabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Basi kwisha khabari zake
Hili haliwez tokea labda muweke kwa ulazima Ila masheikh wa kisalaf hawajawah KUKUBALI kuchanganywa pamoja na watu wa Bida'a, hata sheikh Qasim mafuta alikua anawekwa kwenye channel ya Al-jazaair lakn akakataa sabab ya kuchanganywa na watu wa batili
Anaomba questionnaire ajipange.😂
sio ajipange ndio sawa ili msije mkafanya vurugu !! na hiyo ndio sawa ili mkiwa na niya nyingine ibatilike
wahabi nikikundi cha mayahudi tu siyo wala hakipo kwaajili yakusaidia na kujenga jamii ila kuifarakisha tu jamii
HUJIELEWI POLE...SISI TUNAKUPA USHAHIDI KUWA NINYI NDIYO VIBARAKA WA MAYAHUDI AMBAO NDIYO HAWA MASHIA WALIOWAANZISHIA MAULID NANYI MWAYATETEA KWA HERUFI KUBWA UTADHANI YALIFANYWA NA MTUME WENU,,, TUPENI NINYI USHAHIDI WENU JUU YA UYAHUDI WA HAO MNAOITA MAWAHABI
Khawaaaaf huyo
Kama usalafi ndo huyo bassi mimi sitaki , 😂😂😂
Namouwona sheikh kishki na sheikh abdulqadir al-ahdal anapita live ,awo jee yule siyo salafi ?
جزا الله شيخنا أبا خولة
Kelele
Mbn sauti hii cyo ile ya mimbar 😂😂😂 akiw kweny mimbar anatmia saut ya mafuta 😂
Humjui ww
Muoga ni mziwanda mwambie shekh wetu ajibu wajinga nyinyi
Hiyo ni sauti yake kabisa
Huyo jamaa hana jipya nimshenz tuu na hajitambui hata kidgo hata ukimsikiliza anavyo zungumza
Na kama kifo changu kitanikuta nipo maulidini bas ndo nnavyotaka kabisaaaaaa
Baarakallahu fiika yaa akhiy haya ni mapenz makubwa uliyoonesha kwa mtume s.a.w
Allah akuongoze ewe jahil Al murakav
Ndugu yangu abuu khaula kuwa makini na hao watu hawachelewi kufanya hila ili uonekane umeshindwa angalia bacho walivyomfanyia wanasema kajikolea bora uendelee na radi hivyo mwenye kutaka haki. Ataelewa
😂😂
Usimfundishe Shekh wetu uoga ww mwache akaelekeze watu
😂😂😂😂 mnamatatizo nyie masalafi mmekuja kutenganisha na kuweka chuki bayna ya waislam na ki elimu muko chini saana kiukweli kwanza matini mnayakosea mara nyingi mtawezaje kudadavua uelewa wa mas-ala kama mnakosea nahw,balagha ........na mengine?kueni makini
@@adelinibrahim9283AKILI HUNA HATA MACHO PIA YAMEPOFUKA,,,POLE SAANA NDUGU, ALLAH ATUONGOZE SOOTE KATIKA HAKI
@@adelinibrahim9283 kujuwa balgha nahw bila Sunnah sahihi ni kazi na buree au mtaani huitwa kubwa jinga
Huyo sheikh yuko mbali sana mdogo katika elimu, hâta caméra hataki😂😂😂
Wee zero mzee
Halafu msikie huyu mtu wa studio ya miladu akosea kiarabu ame ambiwa Allaahu yahdiykum ila manhaji salafiy yeye akajibu wafiyk , hii haijibiwi hivi enyi masufiy , andelisema waiyaakum, au waiyyaaka kama alimkusudia, mtu mmoja, ama akisema wafiyka, maana yake ni kwamba haja itikia dua bali atakua ame unganisha dua, yaani kana kwamba Abuu khawlah hukukamilisha sasa yeye ndio anaikamilisha , Na dua ina kua mana yake Allaah awaongoze katika manhaj salafiy Na awaongoze katika Wewe ( abuu khawlah ) kwa hiyo masufiy someni bwana acheni kujiinua ilihali mjui
Huyo anaezungumza nae sio sheikh lkin nyinyi masheikh wenu hawajui kiarabu punguza jazba mawahabi
Hatutaki mutuweke jiwekeni wenyewenu
Ila wahabi wanatubagua watu wa twariqa kama labda ni najsi😭😭
Sio kweli ndugu yangu @Amina mambo yaliyopo social media ni tofauti na tunavyoishi mtaani labda sijui wewe kwa upande wako na majirani zako huko ulipo
Wewe Mbona wawabagua lia mpaka machozi ya damu
NAHISI HURUMA KWAKO KWA SABABU NINAYAQIIN KUWA HUFAHAMU MEENGI KUHUSU HAO WATU WA TWARIQA NA NJIA YA MTUME WAKO....TUMETOKA HUKO HIVYO NI LAZIMA NIKUONEE HURUMA...
NASAHA ZANGU KWA MDUGU NAOMBA UZITAFUTE DURUUS ZA MASHEIKH WA KISALAFI KISHA ZIFUATILIE NINI IMANI KUNAJAMBO UTABAINIKIWA
kwani nyie mnaingiaga kwenye misikiti yao
Kwanza ulipata ulipata wapi hakki ua kumrekodi mtu bila idhni yake
Kosa kubwa sana
Yaani Kuifuata dini ya Allah kwa ufahamu wa wema waliopita(SALAF) yachukuliwa kua ni dhehebu kikundi embu nyie Masufi semeni dini yenu mwaichukua kutoka wapi na kwa ufahamu wa akina nani?km kweli ninyi niwakweli??
Ekeni basi ayo mawadha ya kisalafy
Mshamba tu huyu mbona tiktok kuna mizik na mengneyo mbona mnapost mambo yenu
Huyu kijana alii kasoma kwa masalaf sijui ayumba wapi
Abu khaula bado mtto sana
Na wewe ni mzee sana
Kwahiyo kama nimdogo unaangalia ELIMU au unaangalia ELIMU
Anaogapa Masalafi wajanja wanja tu
😂😂😂😂😂😂anaogopa
yani wewe mbumbumbu kweli
Maana kama unesiksiza hiyo clip kuanzia mwanzo mpaka mwisho ata sijui Kuna lipi la kukuchekesha
@@abuurayaan3902 kazi yenu ni kutukana tyu twawajua
@@abuurayaan3902 kama wewe kwel umesoma kweli twende tuone wanasemaje wanachuoni wanaotegemewa wanasemaj kuhusu maulid
@@abuurayaan3902 hatuwezi kumsikiza abuu khaula tukawaacha wanawachuon wanao tegemewa
@@رمضانعيد-ش3ق
Wanachuoni unao wakusudia wewe ni kina nani mziwanda na Dj Said au kabeke na walidi
Kajitoa ufahamu😂😂 Abuu
😂😂😂 muoga tu Hana lalolote
Tutaendelea na maulidi na khitma hatuachi hadi tutakufa
Sio hoja hata walevi pamoya na aya za kukataza wazi bado wapo na wanaendelea
Wewe babdeo rusha darasa za masalaf achana na watu wabidaa wamepitwa na wakati huu sio wakati wao
Mnamatatizo makubwa sanaa
USIMPANGIE MWANDISHI WA HABARI METHOD OF DATA COLLECTION😂😂
ETI ANDAA QUESTIONNAIRE 😂 TUNATAKA INTERVIEW HUCHUKULIWI VIDEO😂😂
Hatutaki video
Acha woga ww
🤣🤣🤣🤣🤣🤣doh wasije wakakimbia tu hawa masalafu yaani wana............
Myahudi ni weye, unaewasingizia ahlu sunna waljamaa wanaofuata dini kwa ufahamu wa salafi.
Channel ya mchongo nyinyi ni wazushi
Wanapinga camera lkn kurecordiwa ni sawa😂😂😂😂
Hee inahusiana nn?
Ah! Abuukhaula, ukiwa peka yako tantalila nyingi. We kubaridahalo halafu utashuhudia nani bidhaa, na mnafiq. Halafu tutakutajieni kafiri aliyeanzisha kundi lenu na bajeti yenu ya kila mwaka. Sasa mmelikroga mtalinywa.
Salafi wapinga camera ama mm ndio sikuelewa
NDIYO KWANI TASWIIR YA VIUMBE WENYE ROHO NI HALALI?...SEMA TU BAADHI YA U'LAMAA HATA WA KISUNNAH WANAONELEA KWA JAMBO LA KUSAMBAZA DINI LAWEZA KUFAA LAKINI WENGINE KATIKA MAU'LAMAA WAMELIPINGA HILO NA HUO NDIYO MSIMAMO SAHIHI KUWA KUSAWIRI PICHA ZA VIUMBE WENYE ROHO NI HARAAM NA NDIYO MSIMAMO ULIOKARIBU MNOO NA DALILI ZAMANENO YA MTUME WETU SWALA NA SALAM ZIMWENDEE. INGAWA JAMBO LINALOSHIKAMANA NA HAWAA SIKU ZOTE MAU'LAMAA WAKITELEZA WATU WENGI WAGONJWA UTAKUTA NDIYO WANAFANYIA DALILI HAPO NA SI SAWA KABISA KWA SABABU MANENO YA MTUME WETU YAKO WAAZI KABISA NA SISI MTUME KWETU NDIYO HOJA, KAULI YAKE IKIKHALIFIANA NA MAU'LAMAA WETU, SISI TUNAACHA MTELEZO WA MWANACHUONI HUYO NA KUFUATA LA MTUME NA HESHIMA YAKE TUNAIBAKISHA PALEPALE. NA HII NDIYO NJIA YA WATU WA SUNNAH WENYE KUFUATA MWENENDO WA WEMA WALIOTANGULIA
Huyu si ana vdeo zamawaidha msikitini ijumaa na za darsa mbalimbali lakushangaza zaidi ana tv ana cmu laptop mbona avitumia haviharamishi
AMEKIMBIA HAWEZI KUSIMAMA NA MZIWANDA KIILMU
ulimwomba ruhusa kurusha maongezi yenu?
hawa vijana hawana adabu hata kdogo na hawana nidham ya kuongea na mashekh lakn hao mashekh wa bidaah ndio wanavowalea vijana wao
Hata wewe maandishi tu unaonekana ni mjinga
Abuu khaula hana tofauti na bachu.
Salafu ni wale waliopita waja wema sio nyinyi wa leo 😂😂😂😂
Sasa kama hamtaki video nyie masalafu mbona mnaangalia yani akili Useless kabisa haya huyo Shekh Mziwanda mlimuona kwenye nini Embu Acheni Uchizi
Hako kasauti kamenichekesha😂😂😂
TOFAUTI NA AUDIO ZAO ZENYE MWANGWI😂😂😂
NDO MANA HAWATAKI MINAQASHA NI WATU WA EDITING HAWANA WANACHOJUA
Wee jamaa mshamba
Uwoga umewajaaa
Abuu khaula ni shekh tokea lini kamaliz thanawi juzi hhhh yn ujing mtupu
Kwani iliandikwa wapi ili mtu awe sheikh ni awe kamaliza thanawi zamani???
Huyo mziwanda hajamaliza hiyo thanawi unalifahamu Hilo kwnza au ndio mshabiki kama simba na yanga na uliambiwa na nani thanawi ndio ushee
Hawezi kubishana na Shekhe mziwanda uyo kibaraka wa saud mtu unamuhisi kabisa anatetemeka uyo😅
sasa yeye anasema mnawapendelea watu wa bidaaa,yeye kurekodiwa na kamera hataki,kuhojiwa mambo yanahusu uislam anatoa masharti kibao,mbona nashindwa kumuelewa?haya madhehebu mengine wao wanao wanapatia,lakini kumbe wanachelewesha harakati za dini kwenda mbele,kamera anakataa, lakini simu zao utakuta picha kibao za ngono.
Mpuuzi ww hakuna salafy utakaye weka picha za kipuuzi kwenye simu labda ww hapo
Wewe kama unazo katika simu yako usizani wenzio wanazo mche mola wako na Wallaah usipo mtafuta huyo Sheykh mlio msingizia kua katika simu yake kuna picha za ngono, ima akusamehe yeye mwenyewe bila ya kuomba msamaha, au ukamuombe msamaha Na ufute hii comment yako au itakugharimu, siku ya ya qiyaamah , maana hakuna kinacho potea mbele ya Allaah Alie tukuka, Na tujalie labda pengine ushai ona kwenye simu yake picha hizo hukupaswa wewe utaje haya mitandaoni ulipaswa ukamnasihi peke ake , ila hizi ni nasaha zangu ndugu yangu kwako kama kweli unaamini utafufuliwa Na kulipwa kwa haya unayo ya tenda
Ama masaala ya kamera yame tajwa Na wanachuoni Soma Na ujue kipi cha kufanya au muulize yeye kwanini akataa si kutukana akhiy , Ama pia jambo la simu kua na camera , kwa kajipiga yeye au mwingine
Tahadhar na Tuhuma ni dhambi Kubwa
Mnajifanya hamtaki video na Hizo video mnaangalia msituchanganye kabisa
Mimi niwashauri Babdeo online TV kitu kimoja kwamba Masalafu na aina zao zote wameshachanganyikiwa hivyo hao ni kuwaangalia tu yaani sijui akili zao zina nini aisee
Sisi tunataka mziwanda ajibu2 aliyo ulizwa hizo porojo zenu hatuna hata mda nazo pigeni kelele mpaka mchoke ila tunataka majibu ayajibu kw elmu sio porojo
وهابي لا عقل له
مذهب صوفية بطالة وجهالة وضلالة وما الإسلام إلا كتاب الله وسنة رسوله صلى الله عليه وسلم

✔✔✔📚📚