I WILL NOT ALLOW THE BAN OF MUGUKA IN MOMBASA SEN MIRAJ TELLS MOMBASA GOV HEAD ON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • This Is A Channel Meant to educate, teach, inform and make the unknowns known This is a channel for the good Kisii sharp people who have made a step forward and have what it takes to share with society

ความคิดเห็น • 331

  • @k.jrluther6301
    @k.jrluther6301 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hadithi ya Mtume صلي الله عليه وسلم katika Hadithi ya Abi Bakra رضي الله عنه akisema: “Hawataweza kufanikiwa watu waliomkabidhi mwanamke mambo yao” yaani mambo ya masilahi ya Umma.

  • @chrispinesimiyu
    @chrispinesimiyu 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hakuna kitu kama hicho wewe mama unalinda UDA sio wapwani na vilevile Bar za Kirinyaga zilifungwa mbona hamkumkashifu Gavana wa Kirinyaga,sikuona wakirinyaga wakileta domo Kwa hivo achana na wapwani.

  • @timaidarus4220
    @timaidarus4220 3 หลายเดือนก่อน +10

    Twapinga zote hata madawa ya kulevya .athari ya mogokaa niyaharaka kuliko vyote kulinganga na john muthomi mtafiti wa madawa ya kulevya.na yanapatikana kwa bei ndogo hata watoto wanaathirika.

  • @BMboss108
    @BMboss108 3 หลายเดือนก่อน +6

    Shes nominated thats why

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 3 หลายเดือนก่อน +4

    Very true... Let them ban. Miraa, Unga,,. Wine,..... Also.. Yote ni mihadarat..

  • @evalynkawira9959
    @evalynkawira9959 3 หลายเดือนก่อน +2

    I love you mama💕 our incoming governor Mombasa county

  • @stephenmutinda9656
    @stephenmutinda9656 3 หลายเดือนก่อน +5

    Uko right mama very sharp lady

  • @abdulazizali7915
    @abdulazizali7915 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mwanamke ni mjinga sana na anaongea porojo tupu. Hata hajui kinacho endelea. Sijui anaona dini ni kujivisha mtandio pekee ama ni njia ya kuhadaa watu. Analaumu ma shekhe na hakuona ma priest walio ongea kuhusu hili janga. Bure kabisa. Kwanza aende akasome dini kisha ndio aje aongee.

    • @saleemnyowe
      @saleemnyowe 3 หลายเดือนก่อน

      It takes a thief to identify another..... You have identified her as Stupid only because yourself is stupid. Na hizi dini zenu zote ni fake .... Since you were born, what good thing have you seen religion bringing to the world? Isn't the same religion fighting in Gaza instead of bringing peace....? If she is stupid even you and the religions are stupid too...

  • @saidteddy4073
    @saidteddy4073 3 หลายเดือนก่อน +5

    Unbelievable, I can see karisa maitha back from the grave... strong woman

    • @KenyasWatch
      @KenyasWatch  3 หลายเดือนก่อน

      On Point mpka Mwisho

  • @davidmwenda4705
    @davidmwenda4705 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wise

  • @philiplangat4467
    @philiplangat4467 3 หลายเดือนก่อน +6

    Tafadhali jali maisha ya watu wengine tafautisha mguka , tasker beer ,muguka imelemaza vijana kwa shilling 5/=

  • @Aunty254
    @Aunty254 3 หลายเดือนก่อน +7

    Sometimes it’s better to be quiet

  • @eliaskimathi-kr3co
    @eliaskimathi-kr3co 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akuongoze milele na akujalie neema katika uongozi wako wewe ni kiongozi wa kitaifa

    • @alieliasmwakundie165
      @alieliasmwakundie165 3 หลายเดือนก่อน +1

      INSHAALLAH MOLLAH AWE PAMOJA NAE MAMA MSEMA UKWELI, SIO KAMA VIONGOZI WA DINI WANAOJIITA NASHEKHE, KWA DINI HAWAPO, SHERIA ZA DINI PIA, HAWAZIJUI, MAMA KASEMA UKWELI, MASHEKHE, WASEMA AMEASI DINI YAKE YA KIISLAMU, KWA UKWELI WAKE..LOO!!! LAHAULLAH!!!

  • @rametatron6876
    @rametatron6876 3 หลายเดือนก่อน +5

    Brilliant woman.

  • @JayMarley-tg8mx
    @JayMarley-tg8mx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Well good talk madam Boss that's a well elaborated point❤❤❤❤

  • @watakamwakaramu4277
    @watakamwakaramu4277 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ridhira statehouse mombasa hatukujui utabaki kuwa nominated miaka yko yote

  • @hassansalimzinga110
    @hassansalimzinga110 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama acha porojo zako wangalia maslai ya tumbo lako to mshamba sanaaa

  • @antoniopointkenya
    @antoniopointkenya 3 หลายเดือนก่อน +4

    What she is saying it makes sense.....

  • @josephndolo6965
    @josephndolo6965 3 หลายเดือนก่อน +11

    Makofi Kwa madum 👏👏👏👏 upcoming governor

  • @PaulKupuny
    @PaulKupuny 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yes it is true

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 3 หลายเดือนก่อน +3

    Aaaaaah tushaaajua wewe unatafuta kiki ili utrend bado tafuta lingine mama

    • @user-np1bf6me4u
      @user-np1bf6me4u 3 หลายเดือนก่อน

      Na domo lake kubwa kama kinyeo

  • @salomewambui7417
    @salomewambui7417 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mama

  • @onesmuskithinji98
    @onesmuskithinji98 3 หลายเดือนก่อน +2

    Your the next Governor mum walae

  • @mckeemjohn545
    @mckeemjohn545 3 หลายเดือนก่อน +1

    You said it well and that is the main aim for the Mombasa county to be an islamic county,,,

  • @mohmwesh
    @mohmwesh 3 หลายเดือนก่อน

    May God bless u mama keep it up

  • @user-qh4cv2vv3p
    @user-qh4cv2vv3p 3 หลายเดือนก่อน +2

    Enda meru wewe mama acha siasa yaani uko tayari watoto wawenzako waharibike ...aibu kwako.

  • @swalehabeid9546
    @swalehabeid9546 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli kabisa da'Miraj ..indakaladze mtsudzi utsotswe borohowa rikomberedzweee?!

    • @papaamularfins599
      @papaamularfins599 3 หลายเดือนก่อน

      🌟😂😂😂

    • @KenyasWatch
      @KenyasWatch  3 หลายเดือนก่อน

      Shikilia Hapo hapo sasa

  • @user-nh2wt4yd7w
    @user-nh2wt4yd7w 3 หลายเดือนก่อน +5

    Rudi kasome dini vizuri

    • @MuhumedIbrahim-tb2mt
      @MuhumedIbrahim-tb2mt 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ulisooma dini vizuri pia ama wamwambia mwenzako

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid 3 หลายเดือนก่อน

      Mwanasiasa hajui dini anajua siasa bro

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@MuhumedIbrahim-tb2mtkwani umeulizwa wewe? Hajamwambia makosa ila wewe washangaza unaekurupuka kama gawadi.

  • @AbdulqadirSaid-zo6jj
    @AbdulqadirSaid-zo6jj 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama hii inchi si ya kiislamu ila hakuna siku sheriya ya serekali itakuwa juu ya sheriya ya dini wala huwezi kuiunga sheriya ama katiba ya kenya ukaitweza sheriya ya Mola hata afadhali ungekaa kimya kuliko kutowa kauli hizi

  • @user-nj3ko5qu6j
    @user-nj3ko5qu6j 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe u kiongozi, ukumbuke at bangi iliathiri watu ndo ikaharamishwa kwa serkali, utapiga kifua,kesho utawale kina mazuzu,kwa kukubali kisicho faa

  • @kakatito4651
    @kakatito4651 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yes 🥰🥰🥰

  • @abbashaji7315
    @abbashaji7315 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kaa Kula pesa za mogokaa

    • @fatumajuma592
      @fatumajuma592 3 หลายเดือนก่อน

      Huo ni moto si pesa

  • @MOSESKAZUNGU-bn3fi
    @MOSESKAZUNGU-bn3fi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bure kabisa msaliti

  • @nchimbuke7261
    @nchimbuke7261 3 หลายเดือนก่อน +3

    Dini Na Siyasa Ni Vitu Viwili Taofauti Kila Siku Katiba Inabadilika Ila Sheria Za Dini Ziko Palepale

  • @ndwigamuchiri6209
    @ndwigamuchiri6209 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ume okea ukweli kabisa

  • @Vgrace2023
    @Vgrace2023 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mama adi anataja uyo Governors mwenye hajielewi wa kwale. Kibaraka wa Kenya kwanza mbwa... Unawakilisha bunge kwa wananchi badala ya kuwakilisha wananchi bungeni.

  • @KitembaLemuna
    @KitembaLemuna 3 หลายเดือนก่อน

    Clear point

  • @mustafajamal1009
    @mustafajamal1009 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe bure kabisa

  • @michaelkauku9714
    @michaelkauku9714 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mama umepotea kweli

    • @jesmilinaom6989
      @jesmilinaom6989 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio umepotea mtakubali vipi madawa mkatae mugokaa

    • @michaelkauku9714
      @michaelkauku9714 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@jesmilinaom6989Nani kweli amekibali madawa?

    • @isagreg8482
      @isagreg8482 3 หลายเดือนก่อน

      Mugokaa na madawa yote ni sawa tu

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@jesmilinaom6989kwani madawa yakulevya kama cocaine na bangi Ni Dawa halali zinazoruhusiwa na serikali ya Mombasa?

  • @DuncanKodia
    @DuncanKodia 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama tosha aky mama tuna kupenda Sana mum

  • @hassangutsi369
    @hassangutsi369 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unalinda katiba na kusahau al Quran subhanallah...kwani katiba ni ya mungu

  • @user-np1bf6me4u
    @user-np1bf6me4u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama mwenye mlango juu na chini anajiona Kisha kuwa president

  • @WinieKendi
    @WinieKendi 3 หลายเดือนก่อน +11

    Nakupenda bureeee❤

    • @KenyasWatch
      @KenyasWatch  3 หลายเดือนก่อน

      Alaaaaah

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu my 1 of my friend alikua jirani Miiraj asema ni mlaji mkubwa wa migokaa na miraa....bure kabisa huyu Miiraj

    • @ReallyReal2024
      @ReallyReal2024 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Khalid-mf3iuWewe mwanaume mzima unaskiza umbea? Wanaume wa pwani hawasaidiki kweli!

  • @alieliasmwakundie165
    @alieliasmwakundie165 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ehh !!! Madam miraji, hapo umemchana GORVERNOR Abdulswamad, akachanika, kwani umempa ukweli mtupu mpaka tunemuelewa ni GORVERNOR boya tu,kichwani mwake hakuna kitu anacho elewa, sio sheria wala katiba, ni mtu wa kuendeshwa kama mrusha tiarah ❤100KWA100 Madam next GORVERNOR of mombasa, INSHAALLAH MOLLAH ATAKAPO JALIA KWA UWEZO WAKE MOLLAH TWATARAJIA 2027 TUPATE GORVERNOR MWANAMKE MWENYE KUELEWA SHERIA NA KATIBA YA JAMUHURI YA KENYA 🇰🇪 100KWA100

    • @MuniraShughuli-kc7vj
      @MuniraShughuli-kc7vj 3 หลายเดือนก่อน

      Boyo ww mja laana tutuona kma atapata kura huyo mi laana hii mungu amekataza nyinyi mnalazima pesa zenda jengewa ma kanisa kwa Taarifa yako aipange kwa kesho Akhera at auliza

  • @rajubhai-zf8fh
    @rajubhai-zf8fh 3 หลายเดือนก่อน +3

    I RESPECT THIS LADY. She spoke my mind. Mimi ni mkaazi wa mombasa na I support her, kama wanaban mugukaa then waban pia miraaa sio ya matajiri pekee iwachwe then ya maskini aandamwe?? Hapana . Kama ni kuban lets ban everything

  • @alisaidkhamisy761
    @alisaidkhamisy761 3 หลายเดือนก่อน

    It makes sense 💯

  • @trutharchaeologist
    @trutharchaeologist 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ban cigarettes, shisha, miraa, muguka, pombe, etc
    At the end of the day, whether banned or not, ni chaguo ya mtu kutumia ama kutotumia mihadarati,
    Waweke ilani iwe ni chaguo la mtu,
    You can not just ban one thing na bado zingine mbaya zaidi kama unga zauzwa na hao matajiri

  • @valentinendivo5775
    @valentinendivo5775 3 หลายเดือนก่อน +1

    A very wise and intelligent woman, kudos kiongos 👏

  • @aligeraden3559
    @aligeraden3559 3 หลายเดือนก่อน +1

    Cheap but expensive

  • @starah2525
    @starah2525 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mombasa haiezi mua mji wa waislam hata siku hii moja haipo na haitokua

    • @aooshosho4255
      @aooshosho4255 3 หลายเดือนก่อน

      Maoni yaki Bali hata British analijuwa Hilo mpaka Elizabeth alikufa akitambua MSA ni ya waislamu...Kila mbala alifanya kuja Tu Ila tuliowana na kuchanganyikana.

  • @jozemwas2299
    @jozemwas2299 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kama wanaume wa Mombasa wameshidwa na kazi ya kitandani basi watukoboe tukuje uko tupee wake zao mbegu ili waache kuaribia muguka soko

  • @kajaymopao1672
    @kajaymopao1672 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mugoka unaharibu vijana mtaa wa mtwapa mombasa last yr nilienda huko mtwapa nikaona vijana wengi wamekua wenda wazimu kabisa nikauliza mbona mtwapa sijawai ona wenda wazimu wengi hivi mtwapa nikambiwa kuwa ni migoka imewaharibu akili mpaka wakawa wenda wazimu kwa hivyo mgokaa upigwe marufuku kabisa sio mombasa pekee kenya nzima

    • @saidibrahim5931
      @saidibrahim5931 3 หลายเดือนก่อน +3

      Wameharibika kwa sababu za dawa za kulevya not because of mugokaa

    • @hakeemprince6868
      @hakeemprince6868 3 หลายเดือนก่อน +2

      Jukumu la vijana ni wazazi sio serekali

    • @josephmwalaghe6500
      @josephmwalaghe6500 3 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa wameru hawata sikia basi tuta tumia lazima yetu kama wa pwani kuwa furusha na wala hatuna uhusiano nao kivyovyote.

    • @qadar_nunez
      @qadar_nunez 3 หลายเดือนก่อน

      Kenya nzima kuna mogoka mbona mombasa pekee ndio kuna wazimu??

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu 3 หลายเดือนก่อน +1

    mama miraa ji

  • @SalimMaulid-pe8de
    @SalimMaulid-pe8de 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah wanasiasa wanamazungumzo matamu sana tuweni makini

  • @kazungusteve9215
    @kazungusteve9215 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ulipewa kiti sababu ya uislamu au kuwakilisha kila mtu

  • @HusseinKagesho
    @HusseinKagesho 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo ni kweli ...Haiwezekani miraa ni Baba mugokaa ni mtoto zipigwe marufuku zote nazifanyiwe u risachi kwa mahabara zote....hakuna utakatifu hapa mombasa mtoto..wakisilamu wa masikini haozeshwi mtoto wakisilamu wakitajiri. hapo dini iwapi hizi zama mtume mohammad .s.a.w yanatimiya na badoooo! upo Hussein kagesho mugure!!!

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤🙏🏽

  • @ahmedaljabri5891
    @ahmedaljabri5891 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dada mtoto hazaliwi akatembea bali akianza huanza kutambaa, sasa mwenzio kaanzisha kupinga kwa mungoka kisha tufuatilie mengineo. Na wala governor abduswamad haja sema kidini kaongea kiafya.

  • @sarahkenga4137
    @sarahkenga4137 3 หลายเดือนก่อน +1

    Those criminal gangs are under the influence of such things like drugs and muguka is one of them. A long journey starts with one step.

  • @ramadhansoud2441
    @ramadhansoud2441 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mwenzako amekuja na swala la kupigwa marufuku kwa mogokaa,ww nawe ungekuja na lako la pombe then mwengine aje na la sigara mutawalian na tuungane mikono ila sio kuvurutana mikono huu uongozi unamaswali yake mbele Allah so tujiangalieni

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid 3 หลายเดือนก่อน

      Wanidai soda 1 litre

  • @AbrahamNjiru
    @AbrahamNjiru 3 หลายเดือนก่อน +3

    Shukrani

  • @user-sp2fq5xu6v
    @user-sp2fq5xu6v 3 หลายเดือนก่อน +3

    kwa hio wataka ulinde katiba uwaache maskin wapotee,jiskize wewe mama ,

  • @eddyrandu3127
    @eddyrandu3127 3 หลายเดือนก่อน +1

    She is a puppet leader, lazima afurahishe hao wanaume

  • @user-mi7bc5nm4g
    @user-mi7bc5nm4g 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda dada angalau wewe umesoma ukaelewa sheria

  • @husnaissa9085
    @husnaissa9085 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uko Sawa kabisa mama

  • @tobbynzuga7639
    @tobbynzuga7639 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ww ulisoma wpi ww wacha akili mbovu

    • @user-eu1pq2fb9x
      @user-eu1pq2fb9x 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu ata kuongea kwa press hajui

    • @saleemnyowe
      @saleemnyowe 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe akili yako si mbovu...huna akili haswa.... Coz this lady spoke her truth......is it wrong to express your truth? Lazima ufuate crowd??? Where there is truth ...you will never find people around it ... because people don't like truth. The reason she has been left standing alone is because she has stood with truth .....NKT

  • @user-qh4cv2vv3p
    @user-qh4cv2vv3p 3 หลายเดือนก่อน +1

    We mama gani sasa...shame on you.

  • @AlexWamitu-de7xm
    @AlexWamitu-de7xm 3 หลายเดือนก่อน +6

    Asante madam ni wewe tu unaelewa

    • @KenyasWatch
      @KenyasWatch  3 หลายเดือนก่อน

      Jameeeni

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @SuperHussein10
    @SuperHussein10 3 หลายเดือนก่อน +1

    Keeling kabisa

  • @hamzaahmad4887
    @hamzaahmad4887 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asema amekubali statistics that mugukaa inaumiza, kisha afananisha na avocado ambazo hakuna history ya kuharbu wananchi na miraa ambayo imeliwa miaka yote.Typical woman😂bora aongee yeye

  • @rashidramadhan5318
    @rashidramadhan5318 3 หลายเดือนก่อน +9

    Allah akuongoze

  • @bonnybonny8403
    @bonnybonny8403 3 หลายเดือนก่อน +5

    Muguka is a huge source of employment..nobody has been forced to eat it. Mnataka vijana hawana kazi wafanyeje? waibe?

    • @fatumajuma592
      @fatumajuma592 3 หลายเดือนก่อน

      Huko kwenyu sikwetu

    • @ReallyReal2024
      @ReallyReal2024 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatumajuma592kwenu si kenya

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo 3 หลายเดือนก่อน +2

    mama nakushangaa sanaaa

    • @raiyaaaraiyaa6054
      @raiyaaaraiyaa6054 3 หลายเดือนก่อน

      Yko kwa masilahi yke sio ya watu wa Mombasa

  • @beatricekhangayi-qh5ny
    @beatricekhangayi-qh5ny 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mulevi wewe mukula mira wewe😅😅 siniukweli wewe unimulevi mukafiri

  • @olivermuthoka5587
    @olivermuthoka5587 3 หลายเดือนก่อน +2

    Eti mpeleke Mombasa ki uislam hahaha sawa tu

  • @robloxgirlplayer6676
    @robloxgirlplayer6676 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabsaa zote zifungwe sis nakupenda

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dah .shangazi hili

  • @jumamwacheo1920
    @jumamwacheo1920 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kikaragosi wa Kenya kwisha uyu

  • @SalimMohamed-ud1ur
    @SalimMohamed-ud1ur 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya anayosema sema huyu mama si vibaya ila hajaelewa kuwa mungokaa ni bei ya chini kama 20/- ambapo hata mtoto wa miaka 10 ananunuwa na kutumia bila kujuwa madhara yake na huyo muuzaji hajali pale anapo muuzia yule mtoto

  • @alieliasmwakundie165
    @alieliasmwakundie165 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Miraji hapo umepata 100KWA100, ukweli unauma, but ujumbe umetufikia, hata yeye GORVERNOR ABDUSWAMAD UJUMBE AMEUPATA, AMEKAA BUNGE TEN GOOD YEARS, KATIBA ANAIJUA, ZAO LA MIRAA LIMETENGEWA MGAO WAKE WA FEDHA NA SERIKALI KAMA VILE ZAO LA MAJANI CHAI. LEO ASEMA MGUKAA NI MARUFUKU MOMBASA, LAKINI MIRAA NI HALALI, MBONA GORVERNOR WAJICHANGANYA???TUPE TAFAUTI YA NAZI NA DAFU, AU MBATA.

  • @hakeemprince6868
    @hakeemprince6868 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda sana madam,kama hujaolewa naomba niwe mume wako.. please .
    Pombe, drugs,ngono,ushoga,miraa,bangi ni halali Mombasa mugokaa ni haramu😂

  • @swalehomar3753
    @swalehomar3753 3 หลายเดือนก่อน

    What my sister is trying to do is make it look like the subject can take a broader discourse, that's need in-depth deliberation. Politicians usually do this to kill particular initiatives for their self interest. We don't expect Hon. Miraj to hold independent views different from her masters.

  • @salimngari6295
    @salimngari6295 3 หลายเดือนก่อน +1

    pombe usigusie kwanza lazimabtunywe pombe hatutaki mkukaa

  • @mansulesuleyman6217
    @mansulesuleyman6217 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheria ya kenya na sherei ya kiislamu ipi Bora ?¿ Nakuuliza tu

  • @HusseinKibega
    @HusseinKibega 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kabisa hawa watu wa waswahili
    hujifanya Mombasa ni yao

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 3 หลายเดือนก่อน

    Exactly

  • @kibindankoi9824
    @kibindankoi9824 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tuache huu upuzi wa kuita mji wa Mombasa eti ni mji wa kiislam. Uislam ni wa nchi za kiarabu. Leo hii hata Dubai watu wanakunywa wine na beer. Mji wowote ule unatawaliwa na katiba sio dini. Kila mmoja abaki na dini yake nyumbani kwake. Na katiba inasema madawa yote ya kulevya ni haramu haswa kwa wale chini ya miaka 18.

  • @omarkumbu3612
    @omarkumbu3612 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha kuleta siasa mama wewe ni mwislamu...watu wanagalia unathari vp generation...

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi na muunga mkono lazma Abdulswamad na masheikh zetu waeze kuwa wa kweli

  • @ShimwaSamm6
    @ShimwaSamm6 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pongezi sana mama umeongea kabisa

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 3 หลายเดือนก่อน +8

    utarudi kisauni mapema

  • @fredrickkarisa1528
    @fredrickkarisa1528 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama hana huruma na watu wake,una kubali watu wa potee kwasababu ya mamlaka ako nayo,

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 3 หลายเดือนก่อน

      Sio hivo tu...Huyu mama ni mlaji mkubwa wa migokaa na miraa one of my friend aliwahi kua jirani yake alivokua Buxton Mombasa

  • @MuhumedIbrahim-tb2mt
    @MuhumedIbrahim-tb2mt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Miraji umeongea jambo la busara sana

  • @Diani_lifestyle-254.
    @Diani_lifestyle-254. 3 หลายเดือนก่อน +1

    She is missing the point

  • @ALWYSWALEHHASSAN
    @ALWYSWALEHHASSAN 3 หลายเดือนก่อน +2

    TOBOA MUHESH SIGARA PIA INA DHURU INA UWA MBONA HAIPINGWI

  • @osmanjama4524
    @osmanjama4524 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jipendekeze kwa uda wacha watoto wa watu wharibike

  • @DuncanKodia
    @DuncanKodia 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mama ww Ni governor

  • @evalynkawira9959
    @evalynkawira9959 3 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akulinde

  • @user-zq6dw1zv4g
    @user-zq6dw1zv4g 3 หลายเดือนก่อน +4

    The Governor maziwa lala said on live media that hard core drugs are okay. .mjinga wa mwisho 😅
    Huyo maziwa lala Governor yuko chini wa tik tok katarina

    • @ReallyReal2024
      @ReallyReal2024 3 หลายเดือนก่อน

      Katarina & Msa Spika hv sponsored all these. Biashara yao imemalizwa na muguka.