MURTAZA MANGUNGU ATHIBITISHA KUMKATAA CHAMA KURUDI SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 73

  • @YusuphBenjamin-uf7lh
    @YusuphBenjamin-uf7lh 10 วันที่ผ่านมา +8

    Good technique ya kujibu maswali ya mtego yan hans alitaman Mangungu aseme mfano max, pacome na wengin ila kajibu kama kiongozi wat an intelligent

  • @HenryKimaro
    @HenryKimaro 10 วันที่ผ่านมา +3

    Big up M/kiti kiboko cha wachambuzi mbuzi uchwara km hao ubaya ubwela

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro4280 8 วันที่ผ่านมา +3

    Kwa staili hii Amhedy anahaki kuwa na kiburi kama mwenyekiti mtata hiv wengine vip😅😅😅😅

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 10 วันที่ผ่านมา +5

    MWAMBA KABISA MANGUNGU 👏👏

  • @MarinapeterMpalanzi
    @MarinapeterMpalanzi 10 วันที่ผ่านมา +11

    Timu kubwa kama ya Simba haichukui wachezaji Toka kwenye timu ndogo kama Yanga utopolo

  • @LewadiNyasaland-re9tu
    @LewadiNyasaland-re9tu 10 วันที่ผ่านมา +3

    Facts

  • @MudrickSalim
    @MudrickSalim 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hans.unapenda sana kuwa uliza viongozi wa Simba hilo swali umetumwa au

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 9 วันที่ผ่านมา +2

    We hansi wew samtaim unazinguwa yani umejibiwa na Ahmed lakn hujarizika basi mpelek hawara wako pale nyuma mwiko tutamsajili ili urizike

  • @HenryKimaro
    @HenryKimaro 10 วันที่ผ่านมา +3

    Chama alikuwa na sio sasa

  • @YusuphShamte-t8j
    @YusuphShamte-t8j 10 วันที่ผ่านมา +3

    Mangungu mwenyewe mastermind....akili za hans ni kutaka kutengeneza value ya ya wachezaji wa team fulan

  • @HajuamMtolya
    @HajuamMtolya 10 วันที่ผ่านมา +13

    Mko bize na Simba na Yanga mnaacha kuripoti maendeleo ya viwanja na academy mpaka anakuja kurepot Micky Jr

    • @abasiyahya9198
      @abasiyahya9198 5 วันที่ผ่านมา

      Simba/Yanga ndio content

  • @EliasMalima
    @EliasMalima 9 วันที่ผ่านมา +1

    Simba Nguvu 1

  • @mgstory6985
    @mgstory6985 8 วันที่ผ่านมา +1

    High IQ,

  • @kingsniper9769
    @kingsniper9769 9 วันที่ผ่านมา +1

    nasa saini ya aucho

  • @chichasam9032
    @chichasam9032 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mangungu kiboko mnooo atakagi upuuuzii kabisa

  • @afyandogo
    @afyandogo 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mangungu ni mtaalam sana wa kujib maswali

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 10 วันที่ผ่านมา +3

    Maswali ya kizushi halafu akikosea kujibu mnapata head line!

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 10 วันที่ผ่านมา +4

    Mangungu wakomeshe hasa huyo zwazwa Hans...anayeiita simba underdog

  • @MagrethMasala-pq4cc
    @MagrethMasala-pq4cc 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kichwa kabisa Mangungu huyu. Hao watoto wamesanda!

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 10 วันที่ผ่านมา +5

    WANASIMBA WOTE TUWE NA USHIRIKIANO. ILI TIMU YETU ISONGE MBELE

  • @kleofasKastory
    @kleofasKastory 10 วันที่ผ่านมา +2

    Hawez kujib kwasababu yup apo kiushabuk na sio kimpila

  • @SameerMngazija
    @SameerMngazija 10 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi nikweli hao wanamchezaji kama pacome na max au niushabiki tu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 10 วันที่ผ่านมา +3

    Mwandishi has nimchonganishi.

  • @ModesterMsofu
    @ModesterMsofu 10 วันที่ผ่านมา +3

    Kwanza chama wa nini simba muda wake uliisha

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 10 วันที่ผ่านมา +12

    Hao pasuwa si watu wa mpira,ni mshabiki wa timu flani,maswali ya ya kipuuzi

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs 10 วันที่ผ่านมา +1

      Nawala hawakuwajibu kuwa chama hatumtaki isipokuwa aliwajibu kuwa wao ndo huwa wanachukua wachezaji kwetu bav

    • @richardkonzo5717
      @richardkonzo5717 10 วันที่ผ่านมา

      Na yanaulizwa na wapuuzi

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs 10 วันที่ผ่านมา

      @@richardkonzo5717 yaaniiii

  • @goodluckrichard8597
    @goodluckrichard8597 10 วันที่ผ่านมา +2

    Hans analeta uyanga mpaka kwenye kazi yake

  • @ip_header
    @ip_header 10 วันที่ผ่านมา +5

    Jina lake linafanana na majibu yake..!

  • @paulokenedy4090
    @paulokenedy4090 9 วันที่ผ่านมา +1

    KWANI CHAMA AMEWAAMBIA ANATAKA KURUDI SIMBA YEYE NI MWANANCHI BANA NA HAWANA UBAVU WA KUMCHUKUA MCHEZAJI WA YANGA

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 10 วันที่ผ่านมา +2

    Watu wote wamejiuzul bd yy TU uy mjinga ana manen mabovu San uy jamaa

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 10 วันที่ผ่านมา +2

    Haki mangungu umejua kutunyooshea hans

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 10 วันที่ผ่านมา +3

    Waandishi wa habari wachonganishi sana, hicho kichwa cha habari mbona hakiendani na majibu ya Mangungu. Akili kumkichwa

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 10 วันที่ผ่านมา

      Kipo sawa sikiliza vizuri

  • @peterjohn5569
    @peterjohn5569 10 วันที่ผ่านมา +5

    Uyo Mangungu mwenyewe sisi Simba hatumuelewi hata kidogo, yupo kwa mahitajì ya mwenyekíti tu

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe 10 วันที่ผ่านมา +1

    Wapuuzi sana nyie, mlimwacha Chama mkaenda kuchukuwa wachezaji gani sasa

    • @Najizilmuhsinina
      @Najizilmuhsinina 10 วันที่ผ่านมา +1

      Huko alikokwenda kaleta faida gani.. Kila siku chama chama chama. Kuna muda ni lazima uangalie mahitaji

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 10 วันที่ผ่านมา

    Mangungu kiboko❤❤❤❤

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 9 วันที่ผ่านมา

    Hansi anafosi lazima mchezaji atajwe kutoka nyuma mwiko

  • @JerryelsyaldJuma
    @JerryelsyaldJuma 2 วันที่ผ่านมา

    Msaliti wa kusaini mkataba miezi sita kabla ya mkataba akae hukohuko

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 9 วันที่ผ่านมา

    Haya maswali ya Hans ni ya kiboya sana. Kwanini kila siku unauliza Simba kuchukua mchezaji Yanga? Alimuuliza Ahmed Ally akajibiwa kihuni na bado hakomi. Mbona hajawahi kumuuliza Ali Kamwe kuchukua mchezaji Simba? Aache utoto na ushabiki. Uchambuzi unahitaji weledi na sio ushabiki. Ajifunze kwa Jemedari

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 9 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiyo wote hapo mnalazimisha wachezaji wa Yanga wasajiliwe Simba??? Wapuuzi kweli

  • @rasheedseleman9779
    @rasheedseleman9779 9 วันที่ผ่านมา

    Wanaouliza maswali hata hawajielew asee

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 10 วันที่ผ่านมา +4

    Mbona mnamwogopa mangungu nyiny waandishi wa wapi? Mangungu wew unafaa Kwa siasa za CCM sio kweny mpira Tena utafaa sana koz unakua kung'ang'ania uongoz

  • @chrisabbas8085
    @chrisabbas8085 10 วันที่ผ่านมา

    Hans na hyo dogo mna mawsali ya kitoto xn cjui nan kawaweka hapo, xaxa kwn lazma asajil mtu kutoka yanga nd akamilishe project???

  • @vardyboy3397
    @vardyboy3397 10 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu hansi yaan sijui hana akili kuna mda alimuuliz ahmed ally akamjib kagoma sas leo anarudia tena sijui anatak jubu lipi ?? Mfqno tu apo yy aulizwe kati ta crown na wasafi fm ipi ni bora tuone atatoa jib gan

  • @PabloDallas255
    @PabloDallas255 10 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa jamaa ni wana michezo kweli?

    • @tc-Kleiny
      @tc-Kleiny 10 วันที่ผ่านมา +1

      Wanaulz maswali ya ajabu

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 9 วันที่ผ่านมา

    Wachambuzi mchwaraaaaa

  • @ModesterMsofu
    @ModesterMsofu 10 วันที่ผ่านมา

    Ninatamani kusikia msjibu yanayiendana na kichwa gha habari

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 9 วันที่ผ่านมา

    Tanzania wachambuzi 0000 kuna vilaza tu

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 10 วันที่ผ่านมา

    CHAMA HANA NAFASI SIMBA KABISA..... ABAKI ACHEZE HUKO HUKO YANGA

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 10 วันที่ผ่านมา

    Kamwe asirudi ili iwe fundisho na Kwa wengine

  • @AbdulNassir-k7m
    @AbdulNassir-k7m 9 วันที่ผ่านมา

    I.q

  • @RashidiMkongewa
    @RashidiMkongewa 10 วันที่ผ่านมา

    Leo mangungu kaonekana lulu zile 5 hamkumtaka

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 10 วันที่ผ่านมา

      Washabiki wa mpira wa tz wengi mambumbu wanaenda na matokeo ya siku sio mpira timu ikifungwa wanaangalia Nani rahisi kumlaumu

    • @RashidiMkongewa
      @RashidiMkongewa 10 วันที่ผ่านมา

      Kweli mpira hawajui

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 10 วันที่ผ่านมา

      @@RashidiMkongewa yani ni vituko

  • @Phinvan_tz
    @Phinvan_tz 10 วันที่ผ่านมา

    Hapo hakuna mchambuzi bali ni ushabiki tu

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 9 วันที่ผ่านมา

    hatutaki mchezaji kutoka muembe makundi

  • @officiallucar
    @officiallucar 10 วันที่ผ่านมา

    Huu ujinga, swali gani unauliza eti ni mchezaji gani kutoka Yanga, huna swali lingine.

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 10 วันที่ผ่านมา

    Yaan mada ni mchezaj gan atachukuliwa toka yanga kwa kip??sisi co okota okota km wao eboooo

  • @officielyamndile3634
    @officielyamndile3634 8 วันที่ผ่านมา

    Sema hamna wachambuzi apoo 🚮 🚮

  • @kelvindendya3781
    @kelvindendya3781 10 วันที่ผ่านมา

    Hanc kang'ang'ania wachezaj wa yanga matako yako kafuate akili ulipozipoteza af cjuagi anachambua vitu gan hyu mpuuz

  • @SwailaMbaruku
    @SwailaMbaruku 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani wachezaji wapo yanga2 wachambuz mbn wajinga nyinyi

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 10 วันที่ผ่านมา

    WAANGALIE HAO WANATUMWA NA ENG. HASS

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kamwe asirudi ili iwe fundisho na Kwa wengine