AHMEDY ALLY AWAPASUA VIBAYA TABORA WAMEAHIDIWA MILLION 50 WASIWAUMIZE WACHEZAJI WETU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @sadikiabushehe
    @sadikiabushehe 9 วันที่ผ่านมา +5

    nani mwenye kiti yanga bado hatuna msemaji bado mtoto timu kubwa kamwe anabwabwaja tu tatizo ukweli hatuutaki tanzania ndio maana hatufiki mbali

  • @davisbwatwa115
    @davisbwatwa115 8 วันที่ผ่านมา +1

    semaji ,kuanzia bench,wachezaji,uongozi na washabiki tupambanie timu tayari majungu yameanza kwenye nbc,crdb na caf hilo la uraia ujumbe umefika ubayaubwela

  • @BudoStephano
    @BudoStephano 3 วันที่ผ่านมา

    Simba ubaya ubwela tabora lazima walie

  • @EzekielJuma-d1c
    @EzekielJuma-d1c 8 วันที่ผ่านมา

    Simba Hana mshindan
    Kwa Tanzania wote wale ni wanafunz kwa mnyama

  • @fedinandnjeleka4102
    @fedinandnjeleka4102 6 วันที่ผ่านมา

    Ni vipi simba ikiwa atakuja kuwa bingwa chini ya huyu mwamba?maana anainogesha simba hatakama bado mataji hajabeba huyu jamaa apewe mkataba wa miaka 25 ili mwanae ajekumrithi

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 9 วันที่ผ่านมา

    Mwenyekiti wa wasemaji yupo zake Morocco🙆🙆🙆🙆

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 9 วันที่ผ่านมา +3

      Ukiona msemaji anaitwa Morocco ujue timu yake imetolewa club bingwa 😂😂

    • @FatumaIbrahim-u5k
      @FatumaIbrahim-u5k 9 วันที่ผ่านมา +3

      Tena Hana kazi yakufanya huyo

    • @MwajumaNgaruma
      @MwajumaNgaruma 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@laninjeje8290wameona Bora wamfaliji maana alishapoteza matumaini😂😂😂😂

    • @MohammedYassin-e3g
      @MohammedYassin-e3g 8 วันที่ผ่านมา

      Na ndio maana wameitwa wanasio na kazi za kufanya

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 9 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana harusi yupo mtaani

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 9 วันที่ผ่านมา

    Mwisho kuwafunga hao wengine ila kwa wanagusa achia twende kwao

  • @abuuaidh6500
    @abuuaidh6500 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wacheni hio haina faida yoyote kuwaombea uraiya.Hilo halifurahishi tena tulipinge wananchi tuacheni ushabiki .Tukataeni kupewa uraiya hao na wengine .

    • @edwingideon3606
      @edwingideon3606 9 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona Utopolo mmeomba uraia na mmepewa kwa wachezaji wenu wanne

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani waandishi huwa hamna maswali ya kuuliza?mambo Mwenda linakujaje hapo

  • @husseinsharmaa774
    @husseinsharmaa774 9 วันที่ผ่านมา

    Huyo kolo hapo nyuma yy akenua tuu

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 9 วันที่ผ่านมา

    Mmejipendeza kuwaombea wachezaji uraia

  • @HamdaniMohamed-w8g
    @HamdaniMohamed-w8g 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kwaiyo Tabora walipo ifunga Yanga military pera?

  • @RamaKasidi
    @RamaKasidi 9 วันที่ผ่านมา

    Yanga.vs.mamelodi.robo.fainal.2025.kwa.sababu.jana.kashinga.5.0.ally.kamwe.kafrai