MIRUNGI ,BANGI VYOTE HARAMU// SHEIKH KIPOZEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

ความคิดเห็น • 11

  • @othmanhaji862
    @othmanhaji862 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 ปีที่แล้ว

    Shekhe ubwa bwa tv juzi

  • @faroukfarouk477
    @faroukfarouk477 ปีที่แล้ว

    ,😂😂😂. Kipozeoniache bana

  • @swalehelshabiby5915
    @swalehelshabiby5915 ปีที่แล้ว

    Sheikh mimi nimekwenda Yemen watu wa huko waingia kwa msikiti na hiyo miraa na hata imamu pia anao miraa yake nauliza huko si haramu ama vipi

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 ปีที่แล้ว

    Wenyee kusikizaaa wawapiiii???? sheikh mwema watufahamisha lakin wawapiii wenyee kuelewaaaaa

  • @ibrahimtotti9051
    @ibrahimtotti9051 ปีที่แล้ว

    Mrungi hauleweshi kwaiyo sio haram

  • @RodgersMae
    @RodgersMae ปีที่แล้ว

    Sasa hio miraa na bangi hata ugoro pia vyote n haramu na mbone hamuvikatai? Na km mkikataa mnakataaje juu mtu akitawadhi tu anafutwa madhambi yake? Mkristo akifanya makosa hayo anakatazwa kuingia Kanisani miezi mitatu abaki akijiombea msamaha nyumbani na akirudi Kanisani mwezi wa4 haruhusiwi kusalimiana na waumini wenzake miezi6 kwa kuasi kwake

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 ปีที่แล้ว

      Hamna lolote nyie mbm mnaambiwa na wachungaji wenu kunyweni pombe kistarabu dah allah awaongoze ndugu zetu wa baba mmoja sjui mnafeli wapi

    • @RodgersMae
      @RodgersMae ปีที่แล้ว

      🤣🤣😂 Hak unafurahisha sana ww, ee! Ndugu bibilia imetumia mifano ya mbegu zilizo anguka chini semu tofauti nazo mbegu ni imani nne tofauti so mm nishajua ww n mbegu gani bt hayo kando sisi hatufuati Mapastor wanavyo sema bali tuifata bibilia inavyosema nayo bibilia imetukataza ulevi. Kweli Mungu niwakutukuzwa 📖Bibilia yasema KUNYWENI MSILEWE sasa chenye imekaza ni kulewa huo ulevi ndio nidhambi . Unajua nn Mungu angelitukataza pombe bado tungelewa kw madawa mengine ya ulevi na ametuhadharisha na manabii na makristo wauongo baadhi yetu wanajiita manabii wa upako eti niwakristo lakn sisi Wakristo wa ukwel tunajua hakuna nabii

    • @smadon5638
      @smadon5638 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa mbona Wanawake wa kikiristo hawakubaliwi kuingia kanisani kama hawajafunika kichwa na kipo kwenye Biblia,wacha unafiki 😂