Maneno kama haya ya kiswahili kulalamika kila wakati mapovu!! uwezi kuyasikia upande wa pili simba wameisha vuka uko kitambo.. waache kuwapa presha wachezaji na viongozi uwoga wa nn wakati mpo mbele ya wapinzani wenu kwa point 11...!!! Kama zingekuwa zimebaki point 2 simngetoa roho mtu!! 😂😂
Nendeni mkamshitaki fei toto kwa mama nyie c watt w mama mkiguswa kidogo 2naenda kwa mama hahahahaa malalamiko fc yn mpo kileleni lakini presha juu kweli simba baba lao
Apo kwel Wachezaj wanafeli Wachezaj wamerudxha akili kwny kiatu cha dhahabu ili iweje kwa mfano.... Kocha mwnyw Ovyo anafeli adi kwny Sub,Kocha au Ujinga....... Yanga ikichukuwa Ubingwa fukuzen kocha
Leo wameanza kumgeuka mayele sis mashabiki vigeugeu et feisali 😆😆😆😆
Maneno kama haya ya kiswahili kulalamika kila wakati mapovu!! uwezi kuyasikia upande wa pili simba wameisha vuka uko kitambo.. waache kuwapa presha wachezaji na viongozi uwoga wa nn wakati mpo mbele ya wapinzani wenu kwa point 11...!!! Kama zingekuwa zimebaki point 2 simngetoa roho mtu!! 😂😂
Jamani Hawa watu wanashukurani je mngefungwa
Mech ilikua nyeupe feisal saido ntibazonkiza wametunyima ushind wametukosea mashabik
kusema kweli timu imecheza sana lakini ujinga mwingi kujiamn kupitiliza na utoto mwingi kwa baadhi ya wachezaji kimetugharimu sana 🤔🤔🤔
Yamekua hayo Simba nguvu moja 💪
Polen
Kweli bro yanga tunataka kombe sio kiatu
Ni kweli umalizaji mbovu game ya 3 hii hatuwaelewi Wana maelekezo gani
Kaz imeanzaa😂😂😂
haya ndio maisha ya uto yakawida tulioyazoea😅😅😅😅
Tatizo yanga tunamfungaji mja wengine hawajitumi mayele wamesha mjua wanamzibiti sana inatakiwa wengine mjitume kutafuta magoli bila hivyo hatutoboi
Tunaoumia ni mashabiki jaman😥😥
Hahaha
Wanllah Simba tumepitia wakati mgumu lakini shabiki kulalamika hivyo mhhh
Wachezaji mmecheza hovyo
Nendeni mkamshitaki fei toto kwa mama nyie c watt w mama mkiguswa kidogo 2naenda kwa mama hahahahaa malalamiko fc yn mpo kileleni lakini presha juu kweli simba baba lao
Mmeanza kukasilika
Labda Nabi kawambia lazima ashinde mayele jiengezeni Fei na saidoo na Djuma mayele si wakupiga penalt
Situlikubaliana mchukue kila kitu jamn mbona tena mmegeuka
Kweli Lkn muhimu point 3.
Atafute goli kwa nguvu zake
Kenge na hle penalty kapgq penalty
Kutetema tena hamtaki eeheee?
Yanga bana chaaa
😂😂😂
Apo kwel Wachezaj wanafeli Wachezaj wamerudxha akili kwny kiatu cha dhahabu ili iweje kwa mfano.... Kocha mwnyw Ovyo anafeli adi kwny Sub,Kocha au Ujinga....... Yanga ikichukuwa Ubingwa fukuzen kocha