ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kizaazaa kimeanza dooo felix twakupenda sana asante simuliz mix kwa kutuweka bizi
Present present 🙋🙋🙋🙋Shukrani sana simulizi mix... brother Felix tena❤💕
Felix hi sauti umeipoteza tumeimiss sikuhizi unacheka cheka t 😂😂😂😂
Mbona kama imerudiwa (serunga) big up!
Wakwanza mie leo😘😘😘👐
Safi sana kwa msiliaji
MAASHALLAH!! Ahsante sana wanasimulizi mix sio watu wa mchezo mchezo 👏👏👏👏
😂😂😂😂nikisikiaga haka kamlio najuaga tu ni mwamba Felix atapresent safi sana simulizi mix hamboi hampoi😋 yaan mpo vzr sana hongereni kwa kazi nzur na kwa kutujali sisi wasikilizaji wenu kwa kutupa burudani kem kem😘
*Mbona Munarudia Hii KIJIJI CHA MUONO Mzee Felix, Ila Freshi Ndio Maana Mukatuekea Repost*
Hata ikiwa ya zamani na enjooyy mama
Bora iendelee niliingoja sana Asante sana felix masauti
Za kichawi jamn kaka felix ziwe njingi napenda sana simuliz za kuchawi
Ww n zaid ya noma 😘😘
daa wachawi🎉🎉🎉🎉
Felix jaman Mwendelezo laana ya ukoo jaman
Asante felix tunataka kusikiliza mambo ya zinduna na bi mshamu
Mashaa Allah asante sana simulizi mix
Kaka Felix asantee kutufurahisha
Hii siya bibi zinduna na zinduna or ya sehem ya pili Bby Felix
Asente sana kaka felix
Haya twende kazi mzee baba
Thanks Felix for the storyMbona kimya Mapito yangu muendelezo unachelewa kutoka?
Jomoni rahaaaaaaaaaaa💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Nice
Marejeoo
Ii ndio ilikuwa sauti adimu
kijiji cha muono!! 😲😲😲!! mbona kama inarudiwa?😦😦😦 au nimesikia vibaya?
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Vipi bro umerudia ama vipi
Felix mbn habar lknmbn ile simulizi hamuimalizi mushaleta mpya ile ya gizala moyoo
Tutaimalizia... Itaendelea kesho
@@SimuliziMix thank
bora umenifunza niwe mshirikina haijamaliza
Wow wow wow wow wow wow
Mudi 😂😂
Mbona hii tuliisikia au mpya
Paomoja
Mbn.ni.kijiji cha muono.hichi🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
Hii simulizi mbona imefanana na kijiji cha MUONO
Kaká Felix mbona hii ndio ile ya Kijiji chá muono mmebadilisha jina2 kwann!!!?
Jamani mapito yangu vipi???
mbn mmeirejea
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Napenda simulizi zakichawi jamani please get us more of those
Jamani msitu wa Gwizulu vipi??????
Mbona marudio tena kijiji cha muono
Napiya hii story ishatoka mdatu ya zinduna na bibi yake one story mara mbili
Yaa lakini tunaenjoy
@@shangwekamando2599 ok
felix mwenda nakupenda san
Nakupenda pia❤️❤️
aisee nafatilia san simuliz zakoo
m.th-cam.com/video/-GM2DRsCARs/w-d-xo.html
Jaman mwendelezo wa mapito yangu vp?
🔥🔥
Kama imerudiwa vile
Kaka filex mbona umeondoa sehemu ya pili
Inarudishwa punde
@@SimuliziMix asante tnasubiri
@@SimuliziMix jamni ile ya jini bahari tunaipata wap
sopoa
Kizaazaa kimeanza dooo felix twakupenda sana asante simuliz mix kwa kutuweka bizi
Present present 🙋🙋🙋🙋
Shukrani sana simulizi mix... brother Felix tena❤💕
Felix hi sauti umeipoteza tumeimiss sikuhizi unacheka cheka t 😂😂😂😂
Mbona kama imerudiwa (serunga) big up!
Wakwanza mie leo😘😘😘👐
Safi sana kwa msiliaji
MAASHALLAH!! Ahsante sana wanasimulizi mix sio watu wa mchezo mchezo 👏👏👏👏
😂😂😂😂nikisikiaga haka kamlio najuaga tu ni mwamba Felix atapresent safi sana simulizi mix hamboi hampoi😋 yaan mpo vzr sana hongereni kwa kazi nzur na kwa kutujali sisi wasikilizaji wenu kwa kutupa burudani kem kem😘
*Mbona Munarudia Hii KIJIJI CHA MUONO Mzee Felix, Ila Freshi Ndio Maana Mukatuekea Repost*
Hata ikiwa ya zamani na enjooyy mama
Bora iendelee niliingoja sana Asante sana felix masauti
Za kichawi jamn kaka felix ziwe njingi napenda sana simuliz za kuchawi
Ww n zaid ya noma 😘😘
daa wachawi🎉🎉🎉🎉
Felix jaman Mwendelezo laana ya ukoo jaman
Asante felix tunataka kusikiliza mambo ya zinduna na bi mshamu
Mashaa Allah asante sana simulizi mix
Kaka Felix asantee kutufurahisha
Hii siya bibi zinduna na zinduna or ya sehem ya pili Bby Felix
Asente sana kaka felix
Haya twende kazi mzee baba
Thanks Felix for the story
Mbona kimya Mapito yangu muendelezo unachelewa kutoka?