Wauuu !.. ⚰️⚰️⚰️❤🇰🇪🇰🇪 mzikilizaji Na shabiki wenu mpya kutoka davistar mata mikasa . hadi kwenu..ni sikiliza NYUMBA YA MISIKULE ..Hadi NO..10..simulizi nzuri saaaa !..lkn .haija isha...tafadhali tumalizie plzzzz !!!!!
Nikionaga tu jina la (amani kigoye au hans masleen) bas najuag hiyo kitu imetulia vibaya mno,maan nikikumbuka >Treni ya kigoma pa1 na safar ya kutafuta jinsia< hakika sijutii bando langu mbarikiwe sana hapo S'mix bila shaka hii ndo funga mwaka.
😂😂😂Hata mm sitaki mchongo nataka haya yangu mawili. Kaka Felix nakupenda Bure na huyo Kalume cjui kaluma. Yani simulizi zitanikondesha maana hata njaa sihisi
❤❤napenda sana unavyo tusimulia simulizi
Daaah kati kahizu simulizi najifunza mengi sana asante waandaaji
Félix mwenda simulizi mix i vole you
😂😂😂 Kalomo msenge sana
Kijiji chetu hii ni 🔥🔥💯💖shukran sana Felix mwenda an kigoye🙏
Heeeeey naona Mr kigoye alikuwa kimya kumbe alikuwa ana andaa kitu konki 😍😍😍 i love him and u too Felix ❤❤
kiukwel kabisa simulizi km za mundo huu asipo zimulia felix mwenda mi sielew naipenda samaki mtu
Salute you kigotym ft fm kijiji chenu kinapendeza na kinaong'ofia pia
Wow tunafunga mwaka na kitu kipya shukran sana FM na Amani kigoye
Kijiji chetu kizurii, moyoni unafahari, karibu kwetu nyumbani, chakula Tele kujaza, mawazo Aya tukuza, yataleta muangaza, kijiji chetu kizurii moyoni unafahari🤗🤗
Twacheza haya malimbaa kijiji kina amanii wazazi wanaimaimanii
Asante sana felix masauti na amani kigoye kwa kitu kipya mbarikiwe sana
Tunakupenda mtunzi amani chigoe na msimuliaji wetu kk felyx mwenda
Kenyaaa 💖
Napenda sana nawapata vyema nikiwa Burundi ❤️🇧🇮
😂 😂 😂 😂 Nani kama kalomo🙌🙌🙌🙌majibu shake tu unashiba tu kwakweli
Hakuna naona kalomo ndo anaibeba simulizi😂😂😂😂
Asante Sana baba masauti Felix mwenda na mzee mzima Amani kigoye kwa kitu kipya mbarikiwe sana
Kalomo uwa ana nichekecha sana from France 🇫🇷 Paris
😂😂😂 namimi nampenda mzee kalomo
Kalomo cha pombe 😅😅
Wow
Ni nzur had raha
Ahsnt simuliz mix tupo pamoja wana simuliz ✌😂😂😂😂😂tupo kijijin kwetu 😀😀😀
Shukraan sana Simulizi Mix
Kalomo!! 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Ataki mchongo
Asante sana mwenda
Ahsant Felix
King 👑 asante simulizi mix asanteni sana fm smart sana simulizi mix
Jamani ninavyo mupenda kalomo chapombe nikisikia jina lake lazima nifulah
Mambo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jamani kalomo😃😃
😂😁😂
I like kalomu very
Mashalla nzulisana tukonjiani musituaci bwana kalomo muze waneno
Ok hii no jedid Mashallah
Mwenda nakubari wenimuzimamuno
Napenda Sana kalomo akiwemo kwenye story 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti kalomo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@robinahumphrey9725 😂😂😂😂😂😂na Felix anavoijulia kuiigiza basi hahaha
Haki vile nampenda bule kalomo cha pombe 😅😅😅😅
@@julianavenant1387 😂😂😂
Yupo? Nisikilize?
Shukrani kaka felix mwenda na amani kigowe kwa kitu kipya❤️
Wauuu !.. ⚰️⚰️⚰️❤🇰🇪🇰🇪 mzikilizaji Na shabiki wenu mpya kutoka davistar mata mikasa . hadi kwenu..ni sikiliza NYUMBA YA MISIKULE ..Hadi NO..10..simulizi nzuri saaaa !..lkn .haija isha...tafadhali tumalizie plzzzz !!!!!
Mmmmmm iyo simulizi ata niliingoja nikajoka awakutuwekea mwendelezo
Shukran simuliz mix pamoja Felix Mwenda
Nilimmis rafiki yangu Kalomo natamani kila simuliz nimkute Kalomo
😂😂😂Kalomo Umenishinda tabia
Shukran kaka felix mwenda na amani kigowe mungu awabariki
Dah felix jmn natamn hata uwe unahadithia pek yako hiz simuliz mpk raha
Nikionaga tu jina la (amani kigoye au hans masleen) bas najuag hiyo kitu imetulia vibaya mno,maan nikikumbuka >Treni ya kigoma pa1 na safar ya kutafuta jinsia< hakika sijutii bando langu mbarikiwe sana hapo S'mix bila shaka hii ndo funga mwaka.
Mqemyewe hivohivo nkkmbka laana ya ukoo duh natafuta bandle kwa namba yyrt ule
WAAOOOH
Kalomooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣staki michongo
Kalomo always ajawai niacha salama
Oooh jmn kalomo na Felix wamerudi. Yaan kalomo wanaendana na Felix. Na ispecta Anna anaendana na oen
Asante sana Felix mwenda kwa kitu kipya 🙏🙏
😍😍kz iendeleee sante
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wauuuu nawapendasan ila mutuleteey season 3 ya giza ndaniya musit
kitu kipya hicho 🔥🔥🔥
Kalii sana hii kaka
Da ferekx ulinisikia nn kama nimemmis karomo maana nilimmsi.kweli kweli
Leo nairundia kuisikisha simulizi ii tamu
Bwana Kalumo nampenda sanna
Wow mpya hio
Asante simulizi mix pia kaka Felix mbona laana ya ukoo season 3 mbona haipo Yan nmetafuta siioni jmn ileteni
Eee wapenda vituko bvya karomo mupoooo
Shukrani sana kaka Felix na simulizi mix
🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸nimekawia kweli niliposikia kalom nilifurahi jmn Merci bcp mon Felex 😘😘♨️allha akup mwisho mwem✍️
Leo nimechelewa lkn nikefika .asante mtunzi na msimulizi
Ili iwe comment ya 100
Wow😍 🔥
Asanteee sanaaaa kaka felix
Wacha weeeeee baba
Iendee naisapoti
Kijiji chetu nimwoto tupo bwana 👂👂
👍
Jamani karomo yupo basi ful kunoga
Nice
🔥🔥🔥🔥🔥👌
😂😂😂Hata mm sitaki mchongo nataka haya yangu mawili. Kaka Felix nakupenda Bure na huyo Kalume cjui kaluma. Yani simulizi zitanikondesha maana hata njaa sihisi
Naomba uniunge na group please naomba
Kitu kipyaa kipo hewani mambo ni moto
Tupo pamoja
Woo 🥰
Et nimefrai kuskia kalomo yupo🤣🤣🤣🤣
Kalomo chapombe ndo radha ya simulizi 😂😂😂😂
Kalomo cha pombe😂😂😂😂
Wao
😀😀😀😀
Shukran sana
Daa join nzuri Sana ndiyo naisikiliza sasa
Kaluma kwenye ubora wake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anaitwa Kalomo
@@lilyrose7983 🤣🤣 Shukran
@@mkasijuma8970 😂😂😂😂
Ume nichekesha ulipo semo kalomo kwenye treni yakigoma kwa majibu yak nilichek ile kufa.
🙏🙏🙏
Mkaka karomo karundi baada ya kunusurika kutoka mkasa wa treni ya kigoma
Napenda saut tako mwenda 🥰
yaani MR.KALOMO namukubali
nilimu miss twende sasa 😶🌫️😶🌫️😶🌫️😶🌫️💉
shukuran sana kaka mwanzo na mmiss sana huyo kalomo
Wacha weeeeee baba
Nilitaka kuliza ili swali kalomo atakosa humu kumbe yupo namkubali sana😂😂😂
Wao