MZEE WA SWAGA Jackob Steven & Wastara Bongo Movie 2020 | Filamu za kibongo. Part 1

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 478

  • @clarachandele9901
    @clarachandele9901 6 หลายเดือนก่อน +20

    JB akisikia hela anawewesuka tunaoangalia 2024 like pls

  • @NURUDINIYASINIHASHIMU
    @NURUDINIYASINIHASHIMU ปีที่แล้ว +8

    Wanaomkubali JB kwa kazi zake twende sawa 2023

  • @mtelewalindi84
    @mtelewalindi84 3 ปีที่แล้ว +40

    Wanaoamini JB amefanya vizuri kwenye hii movie weka like yako twende sawa 2021

  • @aleyabra8005
    @aleyabra8005 3 ปีที่แล้ว +11

    Moja ya mwnamke ninae mpenda kw sura ata akicheza ki hisia n wastara juma nampenda sana huyu bint nataman awe sehem y maisha yng toka filam y peremende alinivtia sana

  • @aureliamakundi8181
    @aureliamakundi8181 3 ปีที่แล้ว +6

    Jaman nmecheka balaaa huyu baba na jb na wote hapo wamenfurahsha baba wastara ninoma sana. Yan jna kabadlsha ni musabaha nankikuita uitke rabeka baba. Yan muv nzuri sana

  • @mozzaliuleiza9288
    @mozzaliuleiza9288 4 ปีที่แล้ว +7

    Hili ni somo kwa dada zetu wasizuzuke na pesa na hii ipo sana hata kama ni acting dada zetu wanapenda maisha mazuri ndo maana yanawatokea puani bora uolewe na fkara unafahamu maisha yake

  • @rosemary3816
    @rosemary3816 4 ปีที่แล้ว +5

    Duh uyu jamaa ni noma Sana yaani furu kupiga pesa kwa raha zake mjini bila akiri auishi kabisa duh hatari Sana 😀😀😀

  • @husnasalim5739
    @husnasalim5739 4 ปีที่แล้ว +20

    Baba radhia umenichekesha ayo maswali na mbwembwe 😄😄😄

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว +3

      Mbwembwe zote katapeliwa 70M😃

  • @hermanedward1430
    @hermanedward1430 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah huyu jamaa nina mpa saluti ame tisha kwa kifupi.🤝

  • @rizikitito3024
    @rizikitito3024 4 ปีที่แล้ว +29

    Kama umemuona shangaz habiba hapa nipe like jamanii

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว +4

    Hiii movie kidgo imeanza kunivuta kuangalia bongo movie kwa Mara nyingine tena, big up pu pu puuuu

    • @daniellouisbeckford8222
      @daniellouisbeckford8222 4 ปีที่แล้ว

      Ni ya zamani hiyooo

    • @wantangosaimon5295
      @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว

      @@daniellouisbeckford8222 ndo nimekumbuka kuwa nixhaiona ila bado iko makini tunaombeni jb ngoma nyingine mm namkubali

  • @epictahea8463
    @epictahea8463 ปีที่แล้ว +1

    Wastara uko vzr dada nakupenda sana mwenye zimungu akujaalie katika kazi zako

  • @user-zb6td8pw5h
    @user-zb6td8pw5h 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe uyu dada mwenye gar ilio gonga ni amandina jamn🥰

  • @danvasco4430
    @danvasco4430 3 ปีที่แล้ว +6

    Mzee mbaya kama njaa 😂😂. all the way from +254 kenya 🇰🇪🇰🇪. naipenda movie

    • @BongoCinematv
      @BongoCinematv  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana

    • @danvasco4430
      @danvasco4430 3 ปีที่แล้ว

      @@BongoCinematv karibu, kenya twaipenda cinema yenu

  • @kamaikangaiyoni1967
    @kamaikangaiyoni1967 4 ปีที่แล้ว +7

    Hahaaaàaa kweli ni mzee wa swaga kaumbwa kutapeli dah anatumia mbinu za kiakili

  • @ElizabethShee
    @ElizabethShee หลายเดือนก่อน

    2024 who's watching with me hii movie kali🎉🎉😂😂😂😂😂😂

  • @kinyamal8201
    @kinyamal8201 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu bonge la mtu jamani, napenda uigizaji wake,💪🏿💪🏿, nice movie. Napenda bongo movies.

  • @AsmaAsma-gd3mv
    @AsmaAsma-gd3mv ปีที่แล้ว +1

    Eti kwa hiyo ela mmeziweka tu Jb😂😂

  • @eliabgitti9716
    @eliabgitti9716 ปีที่แล้ว +2

    Umekutana na ele ana kwa ana😁😁😁😁😁

    • @AsmaAsma-gd3mv
      @AsmaAsma-gd3mv ปีที่แล้ว

      Kumbe kasikia milioni 25 ziko Ndani zimekaa😁😁

  • @toney..
    @toney.. 4 ปีที่แล้ว +19

    Kama umeona Nyerere Square Dodoma naomba like

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 4 ปีที่แล้ว +9

    Jbii anajua kuimbisha demu🤣🤣napenda moves zake

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 4 ปีที่แล้ว +8

    Mwanaume wahivi mungu aniepushe nae kabisa

    • @theoniyonkuru6423
      @theoniyonkuru6423 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @salmeally4464
      @salmeally4464 4 ปีที่แล้ว +1

      na huto mjuwa sasa maana mwanzo wa mapenzi utajihic upo dunia nyengine😂😂😂😂

    • @fraviusmanyika7521
      @fraviusmanyika7521 4 ปีที่แล้ว

      Uweke Ubinadamu na Mungu mbele other things hufuata tu amini tu kwamba Mungu atakuletea sahihi kwaajili yako.

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว

      Ameen yaraab alamiin

  • @jeandedieundereyimana7750
    @jeandedieundereyimana7750 4 ปีที่แล้ว +21

    Kwa kweri mimi ni murundi from BURUNDI , hii filamu imetufunguwa akili na kuwa makini na watu ambao wanalonga saana. Kisa eti wanamiliki hivi na vile. Apa mjini guys... Keep continuing your video casting. We just love you more our Scineast's group. Good job

  • @prosperkullaya4529
    @prosperkullaya4529 ปีที่แล้ว +4

    This big guy got talents he deserve a bet gifts

  • @kizakakozi4600
    @kizakakozi4600 4 ปีที่แล้ว +8

    Gd movie my brother jb, you the best in east Africa

  • @winniesphl5555
    @winniesphl5555 4 ปีที่แล้ว +7

    Duuuuh mzee unamaswali hatareee🔥🔥

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 4 ปีที่แล้ว +13

    Some body here 😁😁😀😀 mzee Ana maneno huyu

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 4 ปีที่แล้ว +7

    kali sana, ila mzee wa swaga unatuchelewesha kutoa mpya

  • @flevouronlinetv133
    @flevouronlinetv133 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamn muendeleo wake move kali nimeipenda yaan daaa!! Anajua kuimbisha na mtu akajaa yaan hatar san Jb umetisha kak

  • @kijanaWaMamaBhajia
    @kijanaWaMamaBhajia 4 ปีที่แล้ว +2

    Jacob Steven ni actor mkali saaaaaana

  • @yohanapeter255
    @yohanapeter255 3 ปีที่แล้ว +3

    Kala milion 40 iviivii dooo mkongo

  • @zadnoorzad9195
    @zadnoorzad9195 4 ปีที่แล้ว +9

    Ety ninaweza kumnulia ndege 1 2 3 jamani baba yake bwana 😂🙌🏼 yeye somebody sisi nobody

    • @MaryMary-df7eb
      @MaryMary-df7eb 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 4 ปีที่แล้ว

      Anaongea vzur huyu baba hahahaaaaaaaaa

    • @IsmailMjesh
      @IsmailMjesh 2 หลายเดือนก่อน

      Hii movie ni noumah .........

  • @aymangaucho1668
    @aymangaucho1668 2 ปีที่แล้ว +3

    Nairudia tena this time ni 2022👏🏻👏🏻👏🏻

  • @MrRadio017
    @MrRadio017 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri kiongozi wewe Ni kielelezo bora..endelea kuchapa kazi

  • @lazaropaulo7133
    @lazaropaulo7133 4 ปีที่แล้ว +4

    Maishaaa ya,kitanzaniaaa uchum wakee n,wachin ivooo,wadadaa kuen,makn,mjn

  • @lydiamuli3328
    @lydiamuli3328 4 ปีที่แล้ว +9

    Wah! Wah! Jacob today you've nailed it😁😁kumbe kuwa na mwili mkubwa inasaidia, bora uvae smart atakayekuona anadhani you are somebody not knowing that you are just someone🤣🤣🤣🤣

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 4 ปีที่แล้ว +8

    Nakupenda mno JB na mautapeli yako mungu anakuona😂😂😂

    • @happypa2027
      @happypa2027 4 ปีที่แล้ว

      😁😂🤣nikuzikula bila hutuma wazaz wasiku izi wanapend pesa sana

    • @YasmeenKhalifa-zq1zk
      @YasmeenKhalifa-zq1zk 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @buddahmakucha6848
    @buddahmakucha6848 3 ปีที่แล้ว +5

    Umekutana na hela ana kwa ana😃😃

  • @zrazanzibarrespectiveacade9056
    @zrazanzibarrespectiveacade9056 3 ปีที่แล้ว +2

    Yn hyu jamaa tapeli snaa na amecheza vzr sna yn sini zake kuliko dude yn
    Yn JB too much snaa yn kwan anakuibia ukiwa hadhir haswaa yn
    This movie is good kwa kweli

  • @embeteidi5023
    @embeteidi5023 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakunaga movie mpya tena. Nizazamani tu

  • @manniermkambe6184
    @manniermkambe6184 4 ปีที่แล้ว +9

    Wow movie nzur sana Jb na wastara nanyote kwenye filamu hii mko vzr sana hongera bonge la movie i hv learn so many things frm this movie lov u all🤗🤗🤗😍😍😍😘😘😘❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +11

    Bonge la picha tamuuu, Shukran sana, acha niendelee nione hatima ya Tapeli.

    • @user-hr7wm1vt5l
      @user-hr7wm1vt5l 4 ปีที่แล้ว

      😂😂kila filamu lazima nione comment yako😂 ukisiifia ndio naangalia

    • @ismailmjeshi7378
      @ismailmjeshi7378 4 ปีที่แล้ว

      Usitafute shali ingali salama ipooo.....

  • @alhajbau9987
    @alhajbau9987 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana good movie

  • @trevourmulwale8922
    @trevourmulwale8922 3 ปีที่แล้ว +2

    Aah kweli jb we we in msani ukionekana kwa jukwa nibichekesho tupu.

  • @Captain_shiii
    @Captain_shiii 4 ปีที่แล้ว +3

    This move was been searching Asante Sana

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda sana jb mungu akubariki sana🤣🤣🤣🤣

  • @lydiamabala5835
    @lydiamabala5835 3 ปีที่แล้ว

    haaaaaaahaaaaaaaa umetisha sanaa kwaswagaaaaaa

  • @monicambala4798
    @monicambala4798 4 ปีที่แล้ว +4

    Wen the deal is too sweet think twice....nice movie

  • @jokeableking7039
    @jokeableking7039 4 ปีที่แล้ว +74

    Wale wakusoma comment kwanza bongo movie mkowapi?

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wa swag jb kiukweli nakupenda tu bure ati bakongo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @givenessutenga4280
    @givenessutenga4280 4 ปีที่แล้ว +3

    Wow..so nice

  • @salimkombora2742
    @salimkombora2742 4 ปีที่แล้ว +3

    Finally nimeipata nimeitafuta sana tuwekeeni move za Jacob ni mbona sana

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 ปีที่แล้ว

    Jb wewe nitopu sijaona mgizaji kama wewe my brother unitishsa sanaa

  • @salomekiduda4629
    @salomekiduda4629 4 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😋😂dah bando langu limetendewa haki jmn

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 4 ปีที่แล้ว +4

    Bonge la moves jb kiboko kwenye moves,hafanyagi makosa

    • @najmahabass8183
      @najmahabass8183 4 ปีที่แล้ว

      Ina miaka kama mitano sahii ni ya kitambo tangia nko class 8

  • @youngdira1584
    @youngdira1584 6 หลายเดือนก่อน

    One of the best movie ever 2024

  • @julytito3891
    @julytito3891 4 ปีที่แล้ว +6

    😅😅😅😅😅sio kwa maswali haya ya ba mkwe jmn ,,

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 4 ปีที่แล้ว +4

    JB-Akikaza kidogo tu😃😃😃 Unamuona level za late the Great so rest in Peace.

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว

    Akuna msanii Kama jb Tanzania, kanumba angekuwepo tungefaidi mungu amlaze pema peponi

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 4 ปีที่แล้ว

    Mbona wastara humu mweus tea ksnenep sanaaa nimefrah kumuon chimbeni jpo kazeeka miak mingi sijawaon bi hawa na chimbeni movie nzr

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 ปีที่แล้ว +5

    Love you JB mwaaaaaa!

  • @JafaryJazimu
    @JafaryJazimu 2 หลายเดือนก่อน

    Jb noma sn mzee waswaga

  • @johnbernad6806
    @johnbernad6806 4 ปีที่แล้ว +4

    Umekutana na hela moja kwa moja😂😂😂😂😂😂

  • @AliMohamed-bp5ji
    @AliMohamed-bp5ji หลายเดือนก่อน

    Eebwana we, nakuvulia koti we basi tenaaas.

  • @jaco4xa670
    @jaco4xa670 4 ปีที่แล้ว +3

    Umekutana na helaa anaa kwa anaa

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 4 ปีที่แล้ว +2

    Namuona bamkwe wetu bwana Mashaka

  • @sharifushaibu5319
    @sharifushaibu5319 3 ปีที่แล้ว +3

    Hajawahi niangusha JB

  • @marrymaganga8585
    @marrymaganga8585 4 ปีที่แล้ว +15

    Tumeweka milion 25 ndani zinakaa tu hahahahha😂😂😂😂

    • @najmahabass8183
      @najmahabass8183 4 ปีที่แล้ว +3

      Imagine unaeka hela ndani jamani ningekua mmi nshaila viazi😂😂😂😂

    • @hannahsanga5647
      @hannahsanga5647 4 ปีที่แล้ว +1

      Dadacell Dadacell 😂😂😂😳unapenda kulasana ww

    • @stevenmaketa8051
      @stevenmaketa8051 3 ปีที่แล้ว

      Hatariii saaana aiseee

  • @festokweya9187
    @festokweya9187 3 ปีที่แล้ว

    Dah imekaa pw saan MZEE wa swagaaaaa😂😂😁😁😀

  • @antonyasava6841
    @antonyasava6841 2 ปีที่แล้ว +2

    Congo Man Love it....

  • @khalfanimwadini7151
    @khalfanimwadini7151 4 ปีที่แล้ว

    Yaani JB kila mouve zako niziangaliapo huaga sizichoki upo vizurisana

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 2 ปีที่แล้ว +1

    jina la movie halisadifu yalimo🥺

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 ปีที่แล้ว +10

    JB he's more than dude🤣🤣🤣

  • @amaniharub1569
    @amaniharub1569 4 ปีที่แล้ว +4

    Umekutana na hela ana Kwa ana

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 4 ปีที่แล้ว +4

    Wastara unaonekna unapenda kula kinoma unaweza maliza mkungu w ndizi aki

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว

    Mmmmh baba 😳😳😳mmh baba😳😳Subuhna llah

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimewapenda nyie mpo vzr jaman 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
    Muendelezo pleaseeee

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 4 ปีที่แล้ว +1

    Jb upo kimya Sana dah napenda move zako

  • @happypa2027
    @happypa2027 4 ปีที่แล้ว +3

    😁😂🤣muze waswaga uko tapele sana

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 4 ปีที่แล้ว +14

    Les Congolais tujuwane hapa

  • @adamelly8781
    @adamelly8781 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha kama bongo daresalaam

  • @adrianowambura2850
    @adrianowambura2850 3 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhh izooo elaaa zmelushwa

  • @ussenemussa3750
    @ussenemussa3750 ปีที่แล้ว

    I
    Kuchepa dou keep ter

  • @omilove3673
    @omilove3673 3 ปีที่แล้ว

    ihi movie n Kali sana

  • @prosperdanyvyizoss-love3619
    @prosperdanyvyizoss-love3619 4 ปีที่แล้ว +7

    Thanks so much for your personality

  • @alimranyusuf.6724
    @alimranyusuf.6724 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri yaani bonge LA movie

  • @mohdkhamisi5949
    @mohdkhamisi5949 ปีที่แล้ว

    boss mjini hapa...changa la macho hilooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @duniasalum7019
    @duniasalum7019 3 ปีที่แล้ว +1

    Saf jb kaz vizuri sana

  • @kalamarimba
    @kalamarimba ปีที่แล้ว

    Wabongo fanyeni sinema za Kiswahili kutumia kiswahili si lazima muingize uzungu kwa filamu ya Kibongo,fikirieni sana hili

  • @rosemarywangari4034
    @rosemarywangari4034 4 ปีที่แล้ว +7

    That part of iko bie it just killed me

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 4 ปีที่แล้ว +5

    Bi hawa na mashallakh znz nawapenda nyie viumbe

  • @usherbas-j8631
    @usherbas-j8631 4 ปีที่แล้ว

    Jacob nakukubali sana ,,,uku vizuri

  • @user-vc3fy9fb8p
    @user-vc3fy9fb8p 9 หลายเดือนก่อน

    Much love mh mzee waswaga

  • @yohanaosward3495
    @yohanaosward3495 ปีที่แล้ว

    Papaa derick tajiri wa madini unajua saaana mshikaji

  • @zabronadamsony870
    @zabronadamsony870 3 ปีที่แล้ว +1

    kuna watu mashuhuli na movie uyuuu namba mojaaa

  • @theresianovert3667
    @theresianovert3667 4 ปีที่แล้ว +2

    Shangaz habiba kumbe yupo kweny game kitambo

  • @shariffabdallah4669
    @shariffabdallah4669 4 ปีที่แล้ว +6

    Utapeli wa DUDE umekaa vizuri sana zaidi ya huu, ingawa idea nzuri na picha nzuri lkn jinsi utapeli unavyoendeshwa ni wa kitoto sana,huwezi kumpa mtu 70M on the spot just kwa kuwa anataka kumuo bint yako,

  • @azizayousufhassan7539
    @azizayousufhassan7539 4 ปีที่แล้ว +7

    Yalinikuta mimi jmn yan ctosahau na cku zote ukiona dume lajipa masifa lenyw ujue hapo hakuna kitu ni bom la machozi hilo 😀😀😀😂 na wanakuwaga na maneno matamu hao hehehheee kwakwel

    • @amanmbessa741
      @amanmbessa741 4 ปีที่แล้ว

      na kwambia acha tu

    • @maombinshedson5914
      @maombinshedson5914 3 ปีที่แล้ว

      hahahhhahahhaha mbavu zangu aise ....ila umesema kweli ..

  • @barakaradi8524
    @barakaradi8524 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipendaaa sanaaaa

  • @ashurakichokera1636
    @ashurakichokera1636 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice part 2 please