#ijuesheria Amesema hayo wakili Cosatta Matojo wakati akichangia mjadala kwenye MARIASPACE kwenye mtandao wa X zamani (twitter) jana tarehe 05 Agosti 2024.
Hongera mawakili, mlitumia akili kubwa mmno, Mungu awabariki sana! Your thoughts out of the box, brought light to the society by providing presidency seat to Mwabukusi 💪💪
kama ni kweli dola ilitumia fedha ili Mwabukusi asishinde, basi Dola hii ni ya majambazi.Haifai.Na ni upuuzi na ujinga wa aina hii unaofanya nchi za Kiafrika zisiendelee.Tunabaki ombaomba tu.
Ni mambo ya ajabu sana..ndio maana serikali hawataki kumruhusu Elon Musk kuileta starlink hapa Tanzania kwa sababu wana hila kwenye mambo ya uchaguzi ku-temper na mitandao kupitia makampuni ya simu!
Hongera mawakili, mlitumia akili kubwa mmno, Mungu awabariki sana!
Your thoughts out of the box, brought light to the society by providing presidency seat to Mwabukusi 💪💪
Bunge bila posho. Hii mbinu safi sana. Kama mawakili mpo wengi nadhani itakuwa vyema kusimamia uchaguzi mkuu ule "wajuu zaidi"
Mungu anawatu wake nchi hii
Nothing is impossible when God is in your side 🙏
👊✌️👍.
AKILI KUBWAA HIII SAFI SANA...HAWA MACCM WAMEFELI SAFI SANA
Kwan nyie mnatakaje embu fanyen mqmbo mengne yanayoonekana alafu mjifunze kwanza kuongea ndipo mje kulq bando letu
kama ni kweli dola ilitumia fedha ili Mwabukusi asishinde, basi Dola hii ni ya majambazi.Haifai.Na ni upuuzi na ujinga wa aina hii unaofanya nchi za Kiafrika zisiendelee.Tunabaki ombaomba tu.
Hebu tuache ujinga, Serikali ya wapi itake kitu kisiwe. Ni upuuzi!
Ni mambo ya ajabu sana..ndio maana serikali hawataki kumruhusu Elon Musk kuileta starlink hapa Tanzania kwa sababu wana hila kwenye mambo ya uchaguzi ku-temper na mitandao kupitia makampuni ya simu!
Tupeni link na sisi wananchi tuongee