Familia zazidi kujitokeza kuwatafuta wapendwa wao wanadaiwa kuwa wafuazi wa mhubiri Paul Mackenzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Familia zinazidi kujitokeza kuwatafuta wapendwa wao wanadaiwa kuwa wafuazi wamhubiri tata Paul Mackenzie wa kanisa la Good News International kufuatia madai kuwa aliwaelekeza waumini kufunga kula na kunywa na kusababisha vifo vya angalau watu sita. Katika eneo la Mariwenyi eneo bunge la Mwatate kaunti ya Taita Taveta, familia moja inasema kijana wao aliuza kila kitu akitarajia kuelekea paradiso.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 42

  • @John-qr4kf
    @John-qr4kf ปีที่แล้ว +8

    The Pastor should be charged with murder.
    Wengine pia kama Yesu wa Tongaren wachunguzwe.

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 ปีที่แล้ว +2

    😮😮😮😮 ninio hio sasa wana fast adi kufa wakifa wanazikwa huko ..wierd faith evil doctrine

  • @linahtalian1277
    @linahtalian1277 ปีที่แล้ว +5

    I blame kenyan leadership vitu zinafanyika munaonq kaa mzaa ,Kama tongeren yesu wa Dunian, watu kama hawa inafaa discipline

  • @josphatthuo7105
    @josphatthuo7105 ปีที่แล้ว +3

    Uhuru alisema hizi kanisa zifungwe mkaona Yeye Ni chizi now they are taking blood in the name of Christ

  • @christineokakah168
    @christineokakah168 ปีที่แล้ว

    Live saitan mla watu inafaa achomwe kabisa. Hapo hakuna kesi ya kuskiza coz evidence is more than enough.

  • @galiawendi7188
    @galiawendi7188 ปีที่แล้ว +2

    Madawa inafanya kazi na inawafanya hawa jielewi

  • @patrickkikumu414
    @patrickkikumu414 ปีที่แล้ว +3

    Pia bro yako alichoma certificate zake za form 4 na pia ID yale

  • @getrudeliyayi8050
    @getrudeliyayi8050 ปีที่แล้ว +2

    afazali ukufe kwa kuomba na kufuka ,kulilo kutolewa kafara na pastor wa hizi makaniza zingine wa siku hizi

    • @gettyjusa3352
      @gettyjusa3352 ปีที่แล้ว +1

      Postor hakulazimisha watu walifanya kwa hiari yao

  • @msuzann6005
    @msuzann6005 ปีที่แล้ว +1

    Why they don't ask why pastor himself don't Starve himself first

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 ปีที่แล้ว +1

    Makanisa zenye hazina mahana sifungwe kaa ziho makanisa za kitambo zibaki hizo tu

    • @emilynyambura959
      @emilynyambura959 ปีที่แล้ว

      Hakuna kanisa mzuri,zifungwe zote, God I thank u I don't attend any church

  • @judithcheptonui9764
    @judithcheptonui9764 ปีที่แล้ว

    Na Huyu pastor mpona yeye hajafunga , yeye akufe

  • @suleimanmnyeto-yt3pl
    @suleimanmnyeto-yt3pl ปีที่แล้ว +1

    huyo makenzi awatoe uko paradiso y feki😂😂

  • @gracemutiso7686
    @gracemutiso7686 ปีที่แล้ว +2

    So sad😭😭😭 poleni sana

  • @patrickkikumu414
    @patrickkikumu414 ปีที่แล้ว +2

    Pia bro yako alichoma certificate zake za form 4 na pia ID yale

  • @dorcusnzasu8682
    @dorcusnzasu8682 ปีที่แล้ว

    Poleni sana kwa family

  • @elineonyango8944
    @elineonyango8944 ปีที่แล้ว

    Enafaa akuwe ameshaa uliewa

  • @MsDavali
    @MsDavali ปีที่แล้ว +2

    Could he be in Tongaren?

  • @jameschengo1471
    @jameschengo1471 ปีที่แล้ว

    pastor wakupiga makofi..nisiwahi ckia pastor anasema kitu kama iyo karibu yangu...dawa yake afungiwe seli alafu ile kufunga aliahidi watu apitishie izo siku akiwa seli asipigwe wala kufanyiwa lolote afunge nakuomba akiwa humo.ngekua base wahio police station angekula sawa na wengine

  • @petercharago975
    @petercharago975 ปีที่แล้ว +3

    Eti tutaonana paradiso😂😂😂

  • @deborahanyango2258
    @deborahanyango2258 ปีที่แล้ว +1

    Kwani hiyo sacrifice huyo pastor aliambiwa atoe kanisa nzima

  • @eriminahmshai
    @eriminahmshai ปีที่แล้ว

    Kumbe pia kuna mtaita pia anachoma lD na vitu vingine vya serikali hiyo kali

  • @elijahbenardmomanyi6994
    @elijahbenardmomanyi6994 ปีที่แล้ว +5

    Leave pastor Mackenzie alone
    If people decide to believe him let them do so

    • @labanitobkala620
      @labanitobkala620 ปีที่แล้ว

      You're stupid and evil

    • @eriminahmshai
      @eriminahmshai ปีที่แล้ว

      Wewe hakuna sheria kama hiyo ndio utajua kuna serikali sawa

  • @NekesaHarriet-ri7wu
    @NekesaHarriet-ri7wu ปีที่แล้ว

    🥰🥰🇺🇬

  • @transforminggraceministries
    @transforminggraceministries ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭

  • @amimo3904
    @amimo3904 ปีที่แล้ว

    Wafuasi ama wafuazi

  • @galaxyqwer7438
    @galaxyqwer7438 ปีที่แล้ว

    Nabado huyu mtu atawachiliwa aki 😭

  • @marykinuthia6067
    @marykinuthia6067 ปีที่แล้ว

    Let them worship their gods. 😢😢😢