"Any Impeachment motion without "Ruto" as the main "Respondent" would be "Null/Void"!!!(Ruto has committed more sins against "Kenyans" than all the other "04" Previous Presidents Combined"!!!(Fact)"!!!.
At least sasa huyu DO has learnt his lessons kutusi Uhuru was so wrong,wish you well coz Ruto n the MPs are even worse n if it's going home they should follow suit
Gachagua ndo doo yake ilitumika iyo campaign ya ruto alafu sai mnamtoa kwa meda ngoja ile kiboko mtaona gachagua tuma mungiki hio bunge ichafwe watu iyo siku ya election
MPs angonjee 2027, Ndie watoe Dp Gachagua. Lakini kwa saa hawezi enda pahali. Mawakili wake wako tayari. Kitambo hiyo hiyo Case tutakua tumefika 2027. Serikali ni pesa tu Inaharibu na hawa Politicans. Wanalipwaa sitting allowance
@@malickwetiko-1465 weh bora umeelewa kile namaanisha ufala uko wapi ng'ombe ya mtu, alf weh ni maunaume ama ni dem, unakaa bibi ya mtu, na mm ata sijui kubishana na wanawake
Riggy G hayo yote ni 'maziwa na yasha mwagika hazi wezi kuloweka' fuata utaratibu, jiuzulu na kuanza chama chako, wakenya wote wata fuata nyayo zako kwasababu ya huruma na utu. Hii serikali yenu ya uhuni imekwisha, halina sifa Kenya.
@@chelulehillary6266 the best politics in kenya is where you make your community believe without you they are finished. Most of us do not even seem to trust God for our survival
@@johnkariukimungai5211 Yes, but he can do that without being openly Tribal. Akiact hivi then we will need 8 deputy presidents. Of course I understand that unfortunately for him he had to prove himself to the community before he focused on national politics. Since he had a local battle, angeappoint point men wake who would speak on his behalf ndio akiamka yeye anachora a bigger picture. Unfortunately by acting that way he lowered the dignity of his office.
All must go Ruto anajifanya mungu na ni mfisadi zaidi ya watu wote ulimwengu
Ruto pia afanyiwe ivo..😮 asitupeleke kama corona
Ruto hapendi mtu mjanja kumliko so Rigathi will win💪hakuna mahali unaenda rigathi God is in your side
"Any Impeachment motion without "Ruto" as the main "Respondent" would be "Null/Void"!!!(Ruto has committed more sins against "Kenyans" than all the other "04" Previous Presidents Combined"!!!(Fact)"!!!.
Murima munge tii na maneno ya uhuru aunge pitia hii...pole manyale kwanza uko na ukabila sana
We stand with you
You and who
Only murima pls
Mimi sisimami n mwizi kiongozi asiejali aliyempa mamlaka
Nani asimame nae
Ya jitetea we naibu❤❤❤chombo ki motoni❤❤jikaza
Relax naibu wa rais wabunge wote ata ata rais mwenyewe watukifwata home before 2027
LET RIGGY GO THEN RUTO😢😢😢
Gachagua u are God sent......
Uhuru alikwambia luto ni myama hukuamini ukasema uhuru ni mlevi sasa ona😮
We are behind you DP
You and who
Zakayo must go aachane na murima
Gachagua is going nowhere victory belong to you dp
Wewe ata huna akili
@@malickwetiko-1465alinyamba akili ikatoka😂
At least sasa huyu DO has learnt his lessons kutusi Uhuru was so wrong,wish you well coz Ruto n the MPs are even worse n if it's going home they should follow suit
Yaani Before Committing Any Sort Of Crime Lawyers Are Always Conducted For Shutdown Of Any Obstale
Wapi kahiga come out for your man gachagua tumia doo yako kumaliza ruto utusaidie kuuwa iyo kunguni yako!!
Mr chief nyumbani
If they are genuine they should apply the same for the president too.
Gashangwa nyumba ruto nyumbani
Gachagua ndo doo yake ilitumika iyo campaign ya ruto alafu sai mnamtoa kwa meda ngoja ile kiboko mtaona gachagua tuma mungiki hio bunge ichafwe watu iyo siku ya election
Be fare pple nobody is perfect in kenya reconciliation needed.
Reconciliation na mwizi
Kama ni hivyo ruto aende pia
MPs angonjee 2027, Ndie watoe Dp Gachagua. Lakini kwa saa hawezi enda pahali. Mawakili wake wako tayari. Kitambo hiyo hiyo Case tutakua tumefika 2027. Serikali ni pesa tu Inaharibu na hawa Politicans. Wanalipwaa sitting allowance
How old a you ,?
Wewe mi matako ya nyoka
Ruto sees himself as a saint he's Infact the Butcher, Murderer, ADULTERERS,bladphemy
Gachagua is going nowhere trust me
Wewe ni mungu ndo nikutrust umbwa wewe
Lazima aende
Rubbish😂😂
We only trust God😅
Sisi wakenya tulikupea kazi, na si Bado dio tutakutoa tukitaka, na ata wajue 2027, tunaeza toa huyo ruto na Rigy G abaki Dani,
Wewe ni mjinga ndo maana unasema dani instead of ndani
@@malickwetiko-1465 weh bora umeelewa kile namaanisha ufala uko wapi ng'ombe ya mtu, alf weh ni maunaume ama ni dem, unakaa bibi ya mtu, na mm ata sijui kubishana na wanawake
@@malickwetiko-1465 pambana na hali yako punda ww, sawa
@@malickwetiko-1465 mwanamke ww unaongelesha nani
The arrogance. " sikukuwa masikini"
Meza wembe
Si ni kweli hakua maskini. Unaumwa?
Ikifika hapo lazima mtu asi mamee kindete. Coz Kenya yetu iko na mambo mingi sana.
@@peterkoinange3825 yea. Na meno za mamako
@@gathonikobia4790 replying from a bedsitter na panty moja
Next Ruto
If they send you home we are not walking together with them again.
Wako tayari ketetea Ufisadi na Ukabila ama tayari kufanyann
If hes rich as he claims why is he scared to be removed
Saitani mkubwa aende akiendanga😂😂😂
Aende nyumbani direct
Mlima everytime kwani wengine sio kenyans this too much i wish you go home.
fala sana wachana na ukabila
Akwende, akwende tu
Very tribal. Atoke kwanza ndio tufikirie mambo ya Ruto.
Aende wapi?
Riggy G hayo yote ni 'maziwa na yasha mwagika hazi wezi kuloweka' fuata utaratibu, jiuzulu na kuanza chama chako, wakenya wote wata fuata nyayo zako kwasababu ya huruma na utu. Hii serikali yenu ya uhuni imekwisha, halina sifa Kenya.
Mimi mkenya na siwezimfuata.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sa Kenyans hupiga kura ju ya huruma them wanaanza kulia eti maisha ngumu
@@kennynyongs254 wewe Peleka kundunye huko
@@PaulOpiyo-gn8qj hiyo ni haki yako, pia wewe peleka kundunye huko
Wewe peke ndo uko na huruma mtu anadimand 13.7billion kwa one term ndo unaonea huruma
Impeach him Now
Hii ni ujinga wote waendee
But on the debate you said, your networth is ksh 200,000 how comes now billions,,,,,wewe NI mwizi
😢😢😢😢
hizi tu i vipindi tu wakati tunaporwa
Gachagua atakulia Christmas mathira
Nani alikupeya Kaz watu wa mulima
He should have been impeached since last year
dakane
Hii ni circus ya kuzubaisha watu na Adani airport takeover
shida yako ni ukabila
So Hana numbers
We have numbers
Zmusiguse murima ,
Rigathi kiti ni yako.
Kuti moto ya murima
Tuzazoea
Impeach hii ngombe
Na wewe ni nyoka
He is indeed extremely tribal. He can go look for Mathira seat.
Give me a politician who is not tribal nikutumie kitu kwa mpesa
@johnkariukimungai5211 Ni ukweli all of them are tribal. But not the level of Gachagua. He is openly tribal, he even brags about it.
@@chelulehillary6266 the best politics in kenya is where you make your community believe without you they are finished. Most of us do not even seem to trust God for our survival
@@johnkariukimungai5211 Yes, but he can do that without being openly Tribal. Akiact hivi then we will need 8 deputy presidents. Of course I understand that unfortunately for him he had to prove himself to the community before he focused on national politics. Since he had a local battle, angeappoint point men wake who would speak on his behalf ndio akiamka yeye anachora a bigger picture. Unfortunately by acting that way he lowered the dignity of his office.
@@johnkariukimungai5211wewe sasa ndo mjinga kwanza wewe how old a you?
Poa
Psychology,😂😂😂deal ya 2027
Rubbish 🗑!
Sisi wakenya tulikupea kazi, na si Bado dio tutakutoa tukitaka, na ata wajue 2027, tunaeza toa huyo ruto na Rigy G abaki Dani,
Uwongo. Ghasia wewe.😂😂😂😂😂😂
@@PaulOpiyo-gn8qj fala ya mtu, nimeona TU jina opiyo nikajua ww ni mmoja wa hizi mafalas, watu wakula tu, punda ww