D VOICE ATAMBA - "MIMI NDIO MSANII WA SINGELI MWENYE ELIMU, WANAVUTA BANGI TU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 223

  • @cliffdinho
    @cliffdinho 9 หลายเดือนก่อน +39

    Tujuane mlio kuja hapa after kashasainiwa😅

  • @fatianasibu5923
    @fatianasibu5923 9 หลายเดือนก่อน +7

    Uwe wale wenye tunaangalia hii interview leo gonga like hapa😂 nilikua naipitaga tu😢unaweza

  • @kendrickeliyuko2716
    @kendrickeliyuko2716 9 หลายเดือนก่อน +36

    Tujuane tunaeangalia interview hii leo😂

  • @ushyentoabdulnunu8044
    @ushyentoabdulnunu8044 9 หลายเดือนก่อน +3

    Abdul my Son ❤❤❤ Sharap big up Bby boy wang😊

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kk simba pongezi sana yani kijana anajua sana 👏👏👏

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 ปีที่แล้ว +8

    Mungu wasaidie watoto wetu jamani ndunia imebakwa

  • @mwakwelisaid3152
    @mwakwelisaid3152 2 ปีที่แล้ว +22

    Hongera sana d voice

  • @rizoibrahimovich8217
    @rizoibrahimovich8217 2 ปีที่แล้ว +9

    D.VOICE MNYAAAAAAAMAAAAAAA, eti wasanii wameishia la saba,la nne, mpaka form two,

  • @user-wu9zz1bm9h
    @user-wu9zz1bm9h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kukosea kupo mdogo wangu ila mke alikua na miaka 40 kipenz Cha imma alikua na umri wa miaka 25 tufate Hadid na mafundisho yake.jitahd una akili sana fanya mziki na jiendeleze kielimu Dunia na ya Akhera.mungu akusaidie insha sllah

  • @classicscoresmartine9098
    @classicscoresmartine9098 2 ปีที่แล้ว +16

    Kula demu dogo ni mzuri sanaa

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 9 หลายเดือนก่อน +8

    Nmekuja kuona baada ya dogo kutambulishwa ,sema Hilo limama litampoteza🤣🤣🤣

    • @SolomonKapili
      @SolomonKapili 9 หลายเดือนก่อน

      So kweli

    • @fatianasibu5923
      @fatianasibu5923 9 หลายเดือนก่อน

      Sikubali angempotezq kitambo dogo genius uyu

  • @kultomkultom5390
    @kultomkultom5390 2 ปีที่แล้ว +13

    daaah sema dogo angekomaa kwanza kwenye mziki

  • @officialkalengotalent2014
    @officialkalengotalent2014 2 ปีที่แล้ว +2

    D voice respect mwanang kalengo tallent ginniii apa 18 years 💪💪💪

  • @user-wq2eo6hg4y
    @user-wq2eo6hg4y 9 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana mdogo wngu,

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 9 หลายเดือนก่อน +7

    D kichwa sana😂

  • @ClarisKedron
    @ClarisKedron 4 หลายเดือนก่อน

    Wow❤❤❤❤❤

  • @lailaoman3856
    @lailaoman3856 2 ปีที่แล้ว +31

    Alafu musikufulu,mtume ameowa akuzini,ilo ndo mnafanya chambo,alafu umekosea madrasa uliyo somea karudietena mtume kamuoa bi khadija,akiwa na umri,25,biadija,umri,40,mukome kutukufurisha

    • @mastaplan
      @mastaplan 2 ปีที่แล้ว +1

      I like that BIG POINT

    • @abdulazizabdulrahmaan8412
      @abdulazizabdulrahmaan8412 2 ปีที่แล้ว +2

      Nyie wengne muelewage basii, 😂😂simtetei ila kazungumzia ya kwamba, mapenzi hayanaga umri, na ndy akatolea mfano wa prophet mo'hd(s. a. w) kwamba walipendana na bi khadija then wakaoana so kazungumzia kiupande wake as anampenda richa ya umri wake kuwa wajuu zaid yake, kwamb hata akitaka kumuoa, si mbaya anaoa ty ila hajamaanisha mtume (s. a. w) kwamba alidate without ndoa hapanaaaaaaa

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 2 ปีที่แล้ว

      @@abdulazizabdulrahmaan8412 sawa lakini awakuzini,walipopendana wakaowana,wala awakuishi pamoja kabla yandowa,na unapotelea mfano,basi uwe waalali,usiwe alam ilo nikosa kidini

    • @kelvinwilfred5693
      @kelvinwilfred5693 ปีที่แล้ว

      @@lailaoman3856 ulikuwepo mana umekazana awakuzini hukuzini🤣😂

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 ปีที่แล้ว

      @@kelvinwilfred5693 aa kumbe kafiri na ndo maana

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 9 หลายเดือนก่อน

    Karibu wasafi young king

  • @abdulrashid3004
    @abdulrashid3004 2 ปีที่แล้ว +14

    Mdg wangu wanawake wabay force kwanz kweny mzk wako

    • @JamesPhilipo-oh1ff
      @JamesPhilipo-oh1ff 9 หลายเดือนก่อน

      ilo nalo neno mze,

    • @fatianasibu5923
      @fatianasibu5923 9 หลายเดือนก่อน

      Lakininkatoka Nani 🔥 wa kuotea mbali

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 ปีที่แล้ว +11

    Apo2 kwenye mahusiano umezingua we uliona wapi mechi imeanza moja bila

  • @alexmuli1681
    @alexmuli1681 9 หลายเดือนก่อน

    Yan wasafi ishapigwa maji na konde gang,,alafu uyu dem uongo mbaya,,ana miaka kama 28

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 9 หลายเดือนก่อน

    Mi nakukubali Sana mdogo wangu

  • @abaspaundy8081
    @abaspaundy8081 2 ปีที่แล้ว +4

    Salute D 👏🏿👏🏿👏🏿

  • @jadytozzy
    @jadytozzy 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali mwanangu sikupingi unajua semannmumwe nyewenaibma nataka2 nisaidientoke

  • @user-ic1fs9bf1v
    @user-ic1fs9bf1v 9 หลายเดือนก่อน

    Kana kweli umesoma alafu ni muongo una mtetea mtume wako Kiri kwanini alilishwa Sumu na bint wa kiyahudi baada ya wayahudi 700 Hadi 900 kumkataa mtume akawauwa wote Takbirrrri

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali kaka Sawa 👏👏🤣🤣🤣🤣

  • @maleek11flacko
    @maleek11flacko 2 ปีที่แล้ว +10

    D voicee mkalii sana🇰🇪🇰🇪➕️

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 9 หลายเดือนก่อน

    D voice malizi basi high school uende chuo basi ukamilishe hiyo elimu unayoisema.

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 9 หลายเดือนก่อน

    Kijana anaakili sana anapenda watoto

  • @rugerfamily8577
    @rugerfamily8577 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal d voice

  • @kaditokenya6873
    @kaditokenya6873 9 หลายเดือนก่อน

    Mwanetu D VOICE kamzidi urefuu so hio inatosha😂😂😂😂😂

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 2 ปีที่แล้ว +34

    Huyu dada angedili na ibra tu amuache mtoto wa watu

  • @swaumdodoma7591
    @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว +7

    Alafu nyie wapuuzi mlokosa maadili mkome kujifananasha na mtume wetu Mhamad swalalah Alayhi wasalama pumbavu eti mtume na bikhadija loo na iyo dini yenu sijui ni wapi mnasomeaga ilowahalalishia zinaa Kisha mkajitolea mfano kwa mtume Mhamad swalalah Alayhi wasalama na Bi khadija loo

    • @batulialmass8914
      @batulialmass8914 2 ปีที่แล้ว

      Kweli yani wanapenda kweli sipendi

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว

      @@batulialmass8914 yaan wananikeraga basi tu

    • @selector728
      @selector728 9 หลายเดือนก่อน

      Utopolo ww🚮

  • @DanielDePeterson
    @DanielDePeterson 2 ปีที่แล้ว +11

    Huyu dogo anaanza mapema sema utapotea kwakua mapenzi huuuu

  • @NolysiRenald
    @NolysiRenald 9 หลายเดือนก่อน

    Oya d me huwa nakusapoti ila huu utopolo unaongea apa pumba2 ani tunakupandisha afu unaaza kuwatambia wezako elim kitugan boss wako2 mwenyew hajasoma afu kakuajili atupendi ujue si tunaacha wasanii wetu ambao tunawaaminia kila akitoa ngoma nichuma tunakspt ili nawe ukuwe unaanza kujigamba si ndo mashabiki wamsc ujue bila ss huwezi tukiamua kukupoteza tunakupoteza kweli muulize vanyy boy alipotuchanganya kwa harmonize tukamsusa saivi yuko wapi sasa ww nahisi hutufam wcb inakuchanganya ety endelea kama unaamini elim yako itakufikisha mbali jua kuwa elim so kazi kazi nikuigeuza elim kuwa pesa ww jiangalie sana

  • @merissjuvinari2535
    @merissjuvinari2535 ปีที่แล้ว +2

    🤝pamoja wasafi mpo🔥🔥🔥 San

  • @rema9ija569
    @rema9ija569 2 ปีที่แล้ว +7

    Kinata anaiti bwana ngoma zako qall ila kinata anajua

    • @omarypetro2419
      @omarypetro2419 2 ปีที่แล้ว

      Kinata mshamba tu - nyimbo zake makelele kibao hana dili labda machinga wenzake ndo mnamuelewa. 😂😂😂

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 9 หลายเดือนก่อน

    Super tall

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 2 ปีที่แล้ว +7

    Dogo ana confidence nimependa sn iyo

    • @Amobizzy_OG
      @Amobizzy_OG 2 ปีที่แล้ว

      Sawa lkn MBELE YA KAMERA NIMUONGO UYU DOGO NDO KWANZA YUPO 4m FOUR KIJICHI SECONDARY SCHOOL....MBAGALA FOM 4 na kaendekeza usanii sijui ata shule km atamaliza mwaka huu

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว

      @@Amobizzy_OG kashaacha yupo bize na mziki P1 na mademu

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 2 ปีที่แล้ว

    Umri ni namba tu♥️

  • @hassanjumakimata3656
    @hassanjumakimata3656 2 ปีที่แล้ว +2

    Acha kujiamini maisha yanabadilika dogo

  • @hawashamasi9115
    @hawashamasi9115 2 ปีที่แล้ว +3

    Nzure bana

  • @peterpaulo9512
    @peterpaulo9512 2 ปีที่แล้ว +2

    Hyu maku anaongea kma dem yaani mamaee khaaaaaa

  • @makondefinest
    @makondefinest 2 ปีที่แล้ว +8

    Dogo anaongea Vizuri sana

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 2 ปีที่แล้ว +3

    Subiri kwanza uyo d voice ni mrefu au shemeji andunje😂😂

  • @suzanatibu6022
    @suzanatibu6022 9 หลายเดือนก่อน

    Umri ni namba tena za kigeni 😅 unaweza kuzibadili saiv utakavyo

  • @Scholarships_for_Africans
    @Scholarships_for_Africans 9 หลายเดือนก่อน

    D Voice

  • @omaryrazack4747
    @omaryrazack4747 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh urefu una mdanganya d voice uyo Dem atr

  • @mussamkali9926
    @mussamkali9926 9 หลายเดือนก่อน

    Anajiamini snaa safi

  • @mussamkali9926
    @mussamkali9926 9 หลายเดือนก่อน

    Nakubali

  • @jumasaidi3620
    @jumasaidi3620 2 ปีที่แล้ว +3

    Oa D mbona Kama udanganya iv ulianza darasa la kwaza ukiwa na umri gani

  • @dannydannizo8099
    @dannydannizo8099 2 ปีที่แล้ว

    Sema dogo anajua sana

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona kavaaa tishet la kishamba?

  • @chrislameck1436
    @chrislameck1436 2 ปีที่แล้ว

    Kula maisha chalii maisha yenyewe haya

  • @Amiri6Baba
    @Amiri6Baba 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu demu kaachwa tayari 😂

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV 2 ปีที่แล้ว +4

    Bangiiiì

  • @amour0072
    @amour0072 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wa ngapi weko apa kabla ya kutambulishwa WCB?

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 9 หลายเดือนก่อน

    K8jana anaakili sana

  • @rabsontryphon9254
    @rabsontryphon9254 2 ปีที่แล้ว +4

    Mnawaka nn wakati wao ndo wanatunguana ? Dogo anakula vzr na kumfikisha mwenzie why nyie mnaanza kubweka bweka

  • @iammichaellukindo
    @iammichaellukindo 9 หลายเดือนก่อน +6

    I think ana akili sana D voice. Na ndio maana anafanikiwa akiwa mdogo kabisa

  • @CSMAPESA
    @CSMAPESA 2 ปีที่แล้ว +1

    Sa serikali iko wap hapa jmn kama huyu shuga kambaka mtoto wa miaka 16 na mmekaa kimya nije kuckia mtu anasema mm nimembaka bint wa chin ya 18

  • @MsafiriBaruti
    @MsafiriBaruti 9 หลายเดือนก่อน

    Anasema ukweli kwan wasaniii wetu wengi c wanaharbiwa na mabange na madawa mapombe ndio usiseme

  • @mtabevilaini6527
    @mtabevilaini6527 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dogo ukiendekeza mapenz na wamama utapotea😢😢😢

  • @jamesalphonce1889
    @jamesalphonce1889 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Elimu yako mwixho form5... Kweli bado Elimu yako ndogo xanaa..
    Kaje double killer ndyo msanii mweny Elimu kubwa kuliko msanii yeyote wa singeli

  • @idenimasoudy8074
    @idenimasoudy8074 2 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏👏👏

  • @jazimtz8812
    @jazimtz8812 9 หลายเดือนก่อน

    D voice ajamzidi Elimu Kaje double killer Tena aache Ushangingi kabisa

  • @shapdullayo837
    @shapdullayo837 2 ปีที่แล้ว

    Anae umia aumie sanaaaaa... Chombo tuko nacho na tutamlelea Mtoto,,, Kwan shingap! 😆😆😆😆

  • @mussacharles3
    @mussacharles3 2 ปีที่แล้ว +1

    Majigabo mapema sanaaaaaaaa Achana Nayo.

  • @user-uz5cu7cr9h
    @user-uz5cu7cr9h 11 หลายเดือนก่อน

    Mwengi unyam

  • @Lilmonker-rg5qw
    @Lilmonker-rg5qw 9 หลายเดือนก่อน

    Kijana anajitamba sana

  • @officialdatonepro
    @officialdatonepro 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii nchi uhuru umezidi.

  • @YOUNGTOWN-xr1mt
    @YOUNGTOWN-xr1mt 9 หลายเดือนก่อน

    D VOICE MTOTO WA KWEMBE

  • @CROWNMEDIAKE
    @CROWNMEDIAKE 9 หลายเดือนก่อน

    Sahihi dem ameachwa

  • @meytone9951
    @meytone9951 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh kweli atari

  • @sultankivumbi9255
    @sultankivumbi9255 9 หลายเดือนก่อน

    Uliza kazi umeng'ang'ana kulelewa2 acha ushamba

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 ปีที่แล้ว +11

    Wanachezeana Tu hao Pumbavu zao, Hapa Mjomba umepotea Big Time... Kwaiyo Unalea Mtoto sio wako😂😂😂 Vijana Bhana😂😂😂
    Maskini, Kimekaa Mbele ya Mama Ake Kinajisiiiiifuuuuu😂😂😂

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking 9 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo form five unasema umesoma?! 😂😂😂😂

  • @yusufujuma692
    @yusufujuma692 2 ปีที่แล้ว +2

    Miaka 18 alafu unasema umefika form 5... Mdogo wangu mbona kama unatupanga bhn😅😅. Tulosoma Kyuba tushajua bhnaaah

    • @kelvinwilfred5693
      @kelvinwilfred5693 ปีที่แล้ว

      ndyo au five ulifika na miaka 20 nn mwana make apo nlikuwa na hyo nkawa nshafika taar vp wew🤣😂

  • @allybulushi624
    @allybulushi624 2 ปีที่แล้ว

    Mo sanya kipindi unakiweza kukitangaza

  • @allymajaliwa362
    @allymajaliwa362 2 ปีที่แล้ว +2

    Form five umefika lini mzee🤣🤣

  • @yohanamtakikiomboikwetu6883
    @yohanamtakikiomboikwetu6883 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada kua nauluma muachekidogo akue

  • @mshamtz8129
    @mshamtz8129 2 ปีที่แล้ว +3

    kaka mkubwa

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 2 ปีที่แล้ว +11

    Dogo anaoneka ana akili sana

  • @user-oj3hg6gl9k
    @user-oj3hg6gl9k 9 หลายเดือนก่อน

    Msenge tu nilikuwa namkubali afu anabeba matakataka ,dogo unatafta unafuu au kitu Gani,tafta pesa acha makokoto hayo watoto wapo Rika lako

  • @mzalendotz2548
    @mzalendotz2548 2 ปีที่แล้ว +3

    rispect sana mwanangu D Voice

  • @AnodyMwambigija
    @AnodyMwambigija 9 หลายเดือนก่อน

    Saivi umesainiw wasaf da?🎉🎉😂

  • @kakaaignas3675
    @kakaaignas3675 2 ปีที่แล้ว

    Acha mapepe

  • @selemanisaidi3457
    @selemanisaidi3457 2 ปีที่แล้ว +7

    Mechi imeanza moja bila

    • @hatibuabdulla1039
      @hatibuabdulla1039 2 ปีที่แล้ว

      Hahhaahahahahah kumamake kitu ambacho siwez kbs mwanangu moja bira

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว

      😂 😂 😂 😂 Siyo Tatu bila

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @halpajordan2841
    @halpajordan2841 2 ปีที่แล้ว

    Uyu kaka ni muhaya jmn khaaaaa😅😅😅

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu niepushie na aya madanga ya mitandaoni mara nilikua na ibraah mara wakati nilivokua na ibraaah nilikua natoka na mchumba wangu anaishi nje ya nchi mara miaka 2 iliyopita nilikua na mahusiano na D voice nahic ata uyo mtoto sio wa ibraah 😂😂

    • @homeboy2307
      @homeboy2307 2 ปีที่แล้ว

      Mhhhh wanapenda kiki hawana mahusiano

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 2 ปีที่แล้ว +2

    ogg

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo kiki

  • @erastohanson9696
    @erastohanson9696 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasanii wanaoa wamama tyu

  • @troubleboy2590
    @troubleboy2590 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubakaji huo

  • @davidbahati3748
    @davidbahati3748 2 ปีที่แล้ว +3

    Dogo una matusi dah Ila nimependa kujiamin kwako

  • @muddykishoma4452
    @muddykishoma4452 2 ปีที่แล้ว

    😁😁😁Kaka umeupiga mwingi

  • @NelsonMangaleJrII
    @NelsonMangaleJrII 2 ปีที่แล้ว +2

    All in all janja anajua sana kuongea..anajua kujibrand.....👏👏👏👏

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 9 หลายเดือนก่อน

    Mihaya tipical

  • @mathanikibuti6676
    @mathanikibuti6676 2 ปีที่แล้ว

    HAINA MATAMBO

  • @Issa_negro
    @Issa_negro ปีที่แล้ว +1

    Dogo anaogelea kwenye shimo la anakonda😂