Masengeli aomba mahakama msamaha asema hakukusudia kukaidi mahakama
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
- Naibu Inspekta Jenerali wa polisi Gilbert Masengeli ameomba msamaha kwa mahakama kwa kukosa kuhudhuria vikao vya mahakama kuelezea waliko watu watatu waliodaiwa kutekwa nyara na polisi katika eneo la Kitengela. Masengeli ameapa kuwa atahudhuria vikao vya mahakama na kutekeleza wajibu wake wa kuhakikisha sheria inafuatwa. Aidha ameelezea kuwa hakufanya kusudi kukataa kufika mahakamani bali alikuwa na majukumu ya kikazi yaliyomfanya kukosa kufika mahakamani. Aidha amesema kuwa anaheshimu mahakama na atawajibika. Haya yanajiri huku akikata rufaa kuhusu hukumu ya miezi sita aliyopewa na jaji Lawrence Mugambi.
“A Fool does last what the Wise man does first”. But most importantly the Kitengela 3 are free! Kudos to the Judge Mugambi for doing LAW.
Afungwe awe funzo kwa wale police wengine
Mungu ushusha wenye kiburi
Ameona kumbe alikuw na makosa ya kutosikiliza koti sahizi
Amalize kifungo kwanza na aombe wakenya msamaha halafu haresign; we don't want to hear or see people like him
This is a mockery to the judiciary
BURE KABISAA
This criminal in uniform should be jailed
Kwa hivyo ss nasi tukuwa bizy nakama tumeshitakiwa tusiende
Kenya iko poa
Yaani,wale politicians wako hapa court,unadhangaa hii Kenya n ya politicians.kama osoro.see adi attorney general.yaani wanakam kusaidia mfungwa
And thats how we bend the laws to protect powerfull individuals in kenya, lets save kenya from these hyenas
@@Wekeaudi-hc3cp I don’t understand how the Law was “bend the laws to protect powerful individuals…”. Perhaps you could explain or elaborate more.
He should be jailed
Pride comes before a fall
Masengeli has very stupid advisors. Why would he ask for apology, while the court ruling was based on coercion. In the first place, he wasn't in office when Gen Z protests started. Luhyas have very poor reasoning quota. If it was Kinoti the ex-DCI director, he wouldn't even attend or offer apologies for such court nonsense.
😂😂😂😂after kuona mzee Douglas amepewa kazi yake😂
🤣😅🤣😅
Why am I laughing??? 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅.....
He should be arrested 🙄
Alisahau sheria nikama msumeno, aende atumikie kifungo iwe funzo kwa wengine.
alikuwa akifiria atakuwa kwa hiyo kiti milele,kitamuraba
He should be apologising from jail. He must not think he is more important than other Kenyans just because he wears a uniform that is bought by Kenyans. He should serve his time in jail and loose his job. Hii Kenya ujinga na maringo zitaisha.
Nonetheless, he shouldn't be in office. Afutwe kazi huyu
So I can steal and say sorry 😂
No way first and fore most tell were about and what he knows about the 3 citizens second serve as example to the nation and also the court has to show the upcoming judges it it means being a judge you have to stand on the right and defend law always.
Once Kanja took office it was arap😂
He should serve as an example to the rest nonsense 😂
Hakuendangi hivo the ship has sailed he is now a convicted criminal and the decision is final. Hakuna cha msamaha kwani yeye ni special
Msamaha wake ukikubaliwa kila mahabusu asamehewe
So a court ruling can be overturned once declared
In Kenya, under Zakayo, it is possible.
@@cuttingedgeConsistentTraders no. The Ruling as I recall hearing it from the good judge’s mouth was that the three could be released immediately or Masengeli was to report to jail today. He the judge said very clearly that the purpose of the Ruling or Order was to get the 3 freed. And it has worked. Lets rejoice about the release.
Lastly, the right to life is the most important right in all constitutions in the world. The rest can and do or should follow.
Masengeli will be heavily fined for the contempt of court,
Jamaani kama.ameomba msamaha...msameheni after all wale watatu washapatikana from kitengela...muacheni mzee wa watu aendelee na majukumu yake ya ujenzi...Mungu pia Husamehe
No way aede jela
Masengeli abebe mzigo yake
Mbona now? Bcz amerusha jana sio?
Anaomba msamaha kaa ashawachiliya hao watu😂 mahakama ipewe heshima ajuwe hapo sio kingajo
Shame on you masengeli... ufungwe
In order to keep our country safe we must all obey the law,, afungwe awe funzo kwa wanaodharau katiba yetu na pia wananchi wa kawaida
Aende ndani hatutaki msamaha. He laid grounds for Anarchy period
Je sheria inaruhusu kuomba msamaha?😂
Wacha aombe msamaha 7×70 jeiri hii
Maanzo namba îsu ûûkûlya nînayo😂😂