Kwa maelezo hayo hakika ndiyo maaana wamekuwa wavunja Sheria na kuikanyaga katiba, kumbe nchi aifuati Sheria, Mungu mkubwa ametuonyesha panapo vuja ndani ya Taifa letu kupitia huyu jamaaaa ndumbaro 🙆🙆🙆🙆🙆🥱🥱🥱🥱
Kwani TLS wamekosea wapi? Kungea na VYOMBO VYA habari.., ni kufundisha umma, na kuabarisha kwani sheria hairuhusu... Mnatoka hongo. Ili wanyamaze... Sio.

Wazir umeongea vizuri sana
CCM WANAOGOPA VYOMBO VYA HABARI
tls haigombani na serikali bali ccm ndoinawatumia vibaya serikali
Duh hapa kazi ipo asee kumbe!!!
TLS HUA KAMA VILE WANAGOMBANA
GARI LIWAFANYE WAWE WAZALENDO ,KUUNGANISHA WATANZANIA KUWA KITU KIMOJA NA KUBORESHA AMAN KWA KUSEMEA NCHI VIZURI KIMATAIFA
Nchi haiongozwi kwa sheria tu inaongozwa kwa mambo.
Kwani TLS wamekosea wapi? Kungea na VYOMBO VYA habari.., ni kufundisha umma, na kuabarisha kwani sheria hairuhusu... Mnatoka hongo. Ili wanyamaze... Sio.
Mkipewa gari ni sisi wananchi tumenunu sio hao wanao jiiti
Ndumbalo shemeji yangu unakosea kidogo tatizo siyo tls na serikali bali tatizo ni tls na ccm maana ccm inawaongoza vibaya nyie wa serikalini
Huyo waziri ndio amejimislead, mhafidhina kwa kingereza ni conservative.
MH Boniface mwambukusi wakili msomi tunakuomba jibu kutoka Kwa huyo chawa ndumbaro
Urafiki wa dhati tls na serikali
Ntagazwa ni wa wapi maana naona kabobea kwenye kiswanglish cha ndani
I struggle to understand this dude .
Tls iki ingiwa na genge la vibaka
Mkipewa gari ni sisi wananchi tumenunu sio hao wanao jiiti