KARIBUBI SANA KATIKA UWANJA WA KUTOA MAONI...SAPPORT YENU KWANGU NI JAMBO LA MUHIMU SANA NA PIA NAWAPENDA SANA...KAMA HAUJA SUBSCRIBE FANYA HIVYO SASA 🙏
Kuna mtu anaetaka kutajwa jina shughuli hajaalikwa kinywa chake kimejaa fitina ni bingwa wa kupopoka mtazame mwenye kijicho kwera shughuli hajaalikwa mtazame anerudia sare alovaaa magomeni pambeee
KARIBUBI SANA KATIKA UWANJA WA KUTOA MAONI...SAPPORT YENU KWANGU NI JAMBO LA MUHIMU SANA NA PIA NAWAPENDA SANA...KAMA HAUJA SUBSCRIBE FANYA HIVYO SASA 🙏
☺☺☺☺
Mashallah allh akujaliee kwakila jambo
Ii Qaswida❤
Mashaallah hongereni yaan pambe sanaaaa kama baba yenu love your ❤❤❤🎉🎉
Mashaallah we dada nimeipenda hiyo umechangamsha qaswida imependeza sana 💖💖💖
Mashallah
Kuna mtu anaetaka kutajwa jina shughuli hajaalikwa kinywa chake kimejaa fitina ni bingwa wa kupopoka mtazame mwenye kijicho kwera shughuli hajaalikwa mtazame anerudia sare alovaaa magomeni pambeee
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Shekhe ngozi mbona simuoni nackia sauti yake TU mana yule shekhe Kwa qasweda nomaa
Huy mwanaume n mtyty hafidh ngozi kwahy kapit mule mule yaaaaaan
@@AishaMzezele-zk7sgkabisa yaan sauti like father mashaallah nimeipenda bure jaman
From TikTok Hadi huku mbio .... MashAllah ❤️
ahsante san
Dada kibonge hongera zake kapambana sana kuichangamsha video
shukrn san
Heard a friend from school sing this song..here i am to enjoy it..nawapenda❤
Sauti zenyewe..kutoka pwani
Nimetoka TikTok Hadi apa juu ya huu wimbo,❤️❤️
shukrn san
ahsant san
MashaAllah mdda kauwaaa etyi pich mupost
Maashallah maashallah dogo umewivya hongera sana mambo mazur kaz mzuri haichosh kuangalia na kusikiliza
🙏🙏🙏
Very nice rauhyah hauna baya allah azdi kukuongoza
Ya Allah nijaalie nami nipate ndoa inshallah 🤲🙏💓
Kazi tamu sana wala hakuna baya mwamu nimeelewa sana shem ongera
🙏🙏🙏
Masha allah nimependa hizo drees
Dohh.. Sawa.. Vema.. ila naona ni Kisasa zaid Kwa kweli ni kisasa Saaana
Mashaallah raha sana kuowa raha kuolewa ni furaha ❣️
Mashallah kazi nzuri "ubunifu umetulia hauna makorokoro
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ila umekaa kmya Sana mzee
🙏🙏🙏
sashv n kaz juu ya kaz
Mashallah 💕 nimpende hii qaswida
Mashaallah gaswida nzuri kwenye harusi yangu lazima niiweke tu
Mashallah sauti iyoooooo nzuri kwelikweli much ❤ 😍
Kaz nimeiyelewa fundi sikupingi nakupa zote
cjawai kukupinga ww
Mpo vizuri sana maashaallah
Ngona imekaa mahara pake allah akujaalie kila lakher
🙏🙏🙏
shukrn
Mashallah kitu kimetulia hiki No Coment
Qaswida nzuri hii ❤
Mashallah Allah awafikishe mbali zaidi inshallah
MaashaaAllh ♥️♥️🥰mko vzr
Hongera Bro kazi nzuri
🙏🙏🙏
Iko njem me binafc nimependa kazi yenu kikubha allah awadumishe insha allah🙏🙏
🙏🙏🙏
shukrn san kiongoz
Kazi nzuri sana,,big up 😍
🙏
shukrn
Mashallh allah awajaalie kher
Na si iko pow
Kutoka Kenya 🇰🇪 nimeipenda sana
Nilkuw nataft xehem ya ktoa kasor nme kosa bhan XAFI XANA
🙏🙏🙏
shukrn kk
Kaz nxuri
Mashaallah kazi nzur sana hongera sana
🙏🙏🙏
shukran san
Mashallah saut km babaako
Kazi nzuri kwko kaka
Yani huko tiktok pia hakuna raha raha iko hapa
Mashaallah pacha respect
🙏
Mashallah jambo zursana
🙏🙏🙏
Maashaa-Allah💟👏
Nakubali
ckupngi
Kazi kubwa 🌹
🙏🙏🙏
Kaka huyo zubeir ni vedio ama ni kweli?.
Ni kweli hiyoo
shukrn
Mashallah ❤❤
😂😂😂Man kidu
oooh mwalm wangu yule
Maashalla
🙏
Qaswida pambe jamani
Mashaallah 😍😍😍😍
shukrn
shukrn
Mashaàllah
Mashaallah 🙏❤️
shukrn
Mashaallah
Huna acount boomplay
Mashaallah mashaallah
Mashallah
Mashallah 🙏
Respect
Hii
Audio
MashaaAllah
Mashallah❤❤❤
Mashaallah
Mashallah
Mashaallaah
Mashallah
shukrn
Mashallah
💛❤️💯mxhallh mmetxh
Maaa shaa allah