HASHIM IBWE ATUPA JIWE GIZANI/WAJE TUWATOE ROHO/WAKITAKA WAUNGANE TU/KAMA HAWANA D MBILI KAZI WANAYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @starboyocal5393
    @starboyocal5393 วันที่ผ่านมา +1

    Kesho mjikaze km mnachez na Yanga wazeeh sis tuko nyuma yenu🤝🤝

  • @yohanakananika3586
    @yohanakananika3586 วันที่ผ่านมา +1

    Mtateseka sana kesho

  • @KhairatiOmary
    @KhairatiOmary วันที่ผ่านมา +1

    Weyatupetu maneno

  • @KennedyShirima-eq7hf
    @KennedyShirima-eq7hf วันที่ผ่านมา +3

    Yaweke maneno Yako kesho sio mbali

  • @selemankajonjo1638
    @selemankajonjo1638 วันที่ผ่านมา +2

    Kesho munafungwa nyingi

  • @mohamedymwaim4284
    @mohamedymwaim4284 วันที่ผ่านมา +3

    Hiki kitoto kinamdomo asee,

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 วันที่ผ่านมา +1

    Ww hashim ibwe ww Acha kuongea pumba ww sindouliapa hatuend makund kesho unakula nying tu

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi hashim ibwe anaizungumzia azam fc hii au nyingine 😂😂

  • @iddfundikira2817
    @iddfundikira2817 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We pambana na huyo huyo mwanamke mwenzio yanga ni mme wenu tu kwa sasa,kaa mbali yanga ni wembe inakata kote kote

  • @InnocentSwai-w6l
    @InnocentSwai-w6l วันที่ผ่านมา

    Kwan azam hawana uwez wa kununua vyandarua ata vile vya buree😀😀

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 วันที่ผ่านมา +2

    Azam hovyo. Kesho mtafungwa... Hamuiweza morali ya Simba iko juu... Commitment ya wachezaji wa Simba ni kubwa siyo sawa na Azam watoto wa tajiri...

  • @dalmasokoth4190
    @dalmasokoth4190 วันที่ผ่านมา

    Azam ni powder Tu Kwa kolo

  • @tumwitikemanda7601
    @tumwitikemanda7601 วันที่ผ่านมา +1

    Makolo washirikina sanakaeni chonjo

  • @adamiddymbali402
    @adamiddymbali402 วันที่ผ่านมา

    Ibwe huna jambo na bichwa lako km papai

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn วันที่ผ่านมา

    Asha baraka imbwe nakujua ka semaji La vitalo fc kesho usje Rudi Kwa kuogrea Zanzibar vs Dar 🤣🤣🤣🤣🤸nitakavyo kucheka wewe🤸

  • @iddmsewa3229
    @iddmsewa3229 วันที่ผ่านมา +1

    Muwe makini makolo wachawi

    • @agnessgodfrey6557
      @agnessgodfrey6557 วันที่ผ่านมา

      Mchawi anamjua mchawi mwenziye😂😂😂

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ulikutana na mchawi mwenzio saa ngapi?

  • @02manmakoti49
    @02manmakoti49 วันที่ผ่านมา +1

    Nawatakua ushindi azam

  • @mrishotv5553
    @mrishotv5553 วันที่ผ่านมา +1

    Huo moto wa kesho usijichanganye

  • @HassanKassim-ei8ko
    @HassanKassim-ei8ko 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Juzi mabululu kabla mpira aujaisha alimkimbilia kapombe akimuomba tuwapunguzie dozi😂😂😂 aukuona sasa bado nyie jichanganyeni

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mm nazani Azam wangewekeza sana kwenye ukwaju sio kwenye timu pia nashauki fei angeondoka misimu ijayo asipoondoka anaweza uzaza ukwaju sio timu hilo la waoka mikate na huyu hashimu akili yake ni funpi kama alivyokua mfupi

  • @HassanKassim-ei8ko
    @HassanKassim-ei8ko 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe dogo we jiangalie kaulizako izo usije ukakimbia uwanjani. Maliza zarura zako kabisa usije ukaja kimbia uwanjani alafu ukatuletea mambo ya ilikua😂😂😂

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tukutane mwisho wa dk90
    Maji waweza yaita mmmmma😂

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    nasem hvi...
    Azam fc hii game wanashinda....✍️✍️ nanyamaza

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napenda azam apigwe maana wanajilinganisha na Yanga na simba. Washenzi hawa

  • @NasryMakame
    @NasryMakame 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazen sio mnaikamiaga yanga tu alaf kwa simba mnalegeza😮

  • @HassanKassim-ei8ko
    @HassanKassim-ei8ko 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnatoa balafu mnaingiza nini. Ukwaju au nini😂😂😂

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t วันที่ผ่านมา

    Wewe Bulicheka wacha sifa timu mbovu

  • @arnoldrutaihwa4020
    @arnoldrutaihwa4020 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Azam waajili msemaji mwingine huyu n mavi

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 วันที่ผ่านมา

    Haka kajamaa kanaonekana ni kashabiki ka yanga piwe.

  • @RajabuHasan-w8w
    @RajabuHasan-w8w 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawatakia ushindi azam

  • @MariamYahay
    @MariamYahay 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ushidikwa,kwmunyamaaa

  • @RamadhanMohd-q8l
    @RamadhanMohd-q8l 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtoto kautaka 😂😂😂😂

  • @ErickJeremiah-ww3ez
    @ErickJeremiah-ww3ez วันที่ผ่านมา

    Kesho mtaimbaaaa 😂😂

  • @fadhilidini1181
    @fadhilidini1181 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    utakandwa tuuu

  • @machomapenz2162
    @machomapenz2162 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaongea sana wewe

  • @Sneycook
    @Sneycook 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Azam Akuna k2

  • @AbelOmary
    @AbelOmary วันที่ผ่านมา

    Azam nyie kesho mnafungwa 2_0