Kevin okila made me love this song from kabsabet prison to eldoret,,I don't know what happened since you were arrested in eldoret again 2010 have never seen you,I always remember you kevin i wish to meet you again somedays😭😭😭😭
daah like hapa kama nawe umekuja kucheki baada ya kuachiwa huru hongera magufuri Mungu akupe uzima na afya hawa jamaa wameteseka sana jamani Mungu ni mwema kwao
Siku magufuri Ukitoka madarakani naondoka Tanzania coz we ni mtu wa kipekee na sijutii kuwa mtanzania nashukuru sana kuwaachia hawa watu na mungu akusimamie sijui kama Tanzania itakuja kumpata raisi kama wewe Anko Magu mungu akuzidishie sina mengi ila nakupenda Sana kwa ili umefunga bao la kisigino yaani umeamsha mashabiki Kwa viti.
Mwenye haki hajikwai,,akijikwaa haanguki,, akianguka haumii,, akiumia nikidogo mana bwana humshika mkono nakumuongoza,,Ahsante Mungu kwakutamka kupitia kinywa cha Rais Jonh Magufuli,,Hakika Mungu huja kwanjia yeyote ile,, Wamtumainio yé-yé nikama mlima sayuni,,Asante Yehova
Nategemea watatokea mapromoter ambao watawapa hawa watu shavu la kuzunguka sasa tz nzima wapige show ili kujenga maisha yao upya mtaani maana ni muda umepita sijui kama wana hata vitea uchumi. Our legends are out now let's help them build up there lives again. One love #babanamwana
For me ,what stands out in old music is that there is balance between the instruments and the vocals.There is nothing refreshing than some seconds of pure guitar❤️
The love narrative in this song is amazing. Whoever wrote this piece set his/ her eyes on masterpiece sedactive. None can resist the resistable. Oh, my !! Twende kazi.
Nimeamini maisha unayoishi yanaeleza histor yako ya mbele bila mwenyew kujijua leo wimbo huu umejidhihirisha alioimba hakujua kama utaleta historia kwa watu wake wakaribu. Mungu mkubwa leo wako huru aliowaacha waarudia mashairi "Seya tutoke wote................
❤❤ this song really reminds me of 90's in kenya where kbc was the only station used !! Expecially after 1pm news! , upto now its still rocking the industry😊😊
maskini naumia kweli hilo neno baba na mwana limeleta habari nzito kweli alafu baba kumbe alikua mzuri jera kabadilika mh mungu mkuu atuepushe na balaa
This music reminds me way back when my dad used to came to lunch from work listen to this music and go back to work while the nation was under oppression from moi those were dark days I could see how my dad looked at us and push on make sure we went to school a.nd fed.the struggle continues we must prevail we won't relent
Kama wewe ni wa 2024 just keep your like please
Noma
Tumoo
Kama umeskiliza huu wimbo 2024 gonga like hapa
It's 2024, and I'm still watching this master piece of a song❤
❤❤❤
Kama kuna ambae amekuja hapa baada ya taarifa za kuachiwa kwao leo kwa msamaha wa rais agonge like.
Hozza Abuu dl
Hozza Abuu hahahaaaa yaani nimefurahi sana .
Sikujua wameachiwa huru, jamani afadhali!!! Sote tumecheza Sea Sea. Msichana iliyecheza kwenye video, alikuwa anaendaga Q Bar kucheza, nimecheza naye pale.
Mungu ni mwema
Kojoa ulale...blal fakin
kama bado unaangaalia hii wakiwa wametoka nnje ya gereza gonga like
ALAN Alex naicheki mkuu
Ilitokea nini hawa jamaa wakaenda jela please
@@badigrandson1728 Walisingiziwa kesi ya ubakaji
Tupo tupo 2023
Wapi likes za 254.....Love the song inanikumbusha mengi......listening 2020
Kevin okila made me love this song from kabsabet prison to eldoret,,I don't know what happened since you were arrested in eldoret again 2010 have never seen you,I always remember you kevin i wish to meet you again somedays😭😭😭😭
Watching this in 2024❤... show some love
❤❤
In christmas 24
2024 hii leo nasikilizia hii song 😊😊😊❤🎉
daah like hapa kama nawe umekuja kucheki baada ya kuachiwa huru hongera magufuri Mungu akupe uzima na afya hawa jamaa wameteseka sana jamani Mungu ni mwema kwao
amina
mungu no mkubwano acheni mungu aitwe mungu babu sea Na papy kochi mungu awape maisha marefu Na raid wetu amen
hongeraaa
Kabisa mungu ni mwema sana
Nmefurahiiii
Like kama uko hapa baada ya msahama wa raisi😄#we love you papii
gonga like kama umependa watu hawa kuwa huru baada ya msoto wa cku nyingi
Wangapi mpo hapa leo kwasababu tayari wapo huru?
BreezyTygaVEVO nina furaha yan sijui.niseme
Hongera sana magu kumsamehe seya
q
Good music never fades away 2023 and it's still a banger 🔥🤣
Tuko rada mbaya
They should bring out another song
Yaani we acha tuuu
true
Sure thing,, it is and shall remain to be a banger❤❤❤...... 💥💥
Daah kitambo Sanaa jamani maisha yana mambo mengi sana ya kupita yote yatapita ❤❤❤❤
Siku magufuri Ukitoka madarakani naondoka Tanzania coz we ni mtu wa kipekee na sijutii kuwa mtanzania nashukuru sana kuwaachia hawa watu na mungu akusimamie sijui kama Tanzania itakuja kumpata raisi kama wewe Anko Magu mungu akuzidishie sina mengi ila nakupenda Sana kwa ili umefunga bao la kisigino yaani umeamsha mashabiki Kwa viti.
,ndyo kafa sasa na kaa ukijua huyu atapendwa na wengine
Mwenye haki hajikwai,,akijikwaa haanguki,, akianguka haumii,, akiumia nikidogo mana bwana humshika mkono nakumuongoza,,Ahsante Mungu kwakutamka kupitia kinywa cha Rais Jonh Magufuli,,Hakika Mungu huja kwanjia yeyote ile,, Wamtumainio yé-yé nikama mlima sayuni,,Asante Yehova
Daah Alhamdulillah kwa kuachiwa huru...,pongezi president Maghufuli
Hata mvua ikinyeshaaa... ohhh sea lazima tutoke leo .....
👏👏👌
Na ulishasema, lazima tutoke Leo. Na mmetoka kweli. Mungu awe nasi daima.
Nategemea watatokea mapromoter ambao watawapa hawa watu shavu la kuzunguka sasa tz nzima wapige show ili kujenga maisha yao upya mtaani maana ni muda umepita sijui kama wana hata vitea uchumi. Our legends are out now let's help them build up there lives again. One love #babanamwana
Daah..hili song we acha tu
Leo umetoka mzee
For me ,what stands out in old music is that there is balance between the instruments and the vocals.There is nothing refreshing than some seconds of pure guitar❤️
coz In past days every thing was real and done seriously
listen to Kamaru original 'Ke Ngwitikirie'.
Jela sasa basi,, ahsante magufuli,, ahsamte mungu
God is Good all the time,welcome legends
Was so looking for this track until Magufuli happened,heard it first time July 2017 in a Kampala bound Modern Coast bus...ngoma kali sana.From Kenya
mungu mkubwa baba na mwana njooni muendeleze game maana tumewamiss sana asante uncle magu
Daah nakumbuka mwaka 2000 baba angu alkuwa anaupenda huu wimbo
It's feels good to have these guys back into activities... God bless them
♥️♥️
2025 bado tuko hapa😂😂
hiii nyimbo basi tuuu dahh haichujiii
Love from USA, Arizona we love you guys we are so happy that u have set free, proud of having magufuli there
Seyaaa we love you Asante sana Raisi wetu
😍😍👏👏
Mungu ni mwema asnte magufuli
Waliofungwa wengi kwa kesi za ubakaji lakini wanechaguliwa hao tu kutolewa uadilifu uko wapi hapo mwendazake alikuwa na vituko sana. !?
#Nyimbo nzuri San....ya kumalizia mwaka (2017) kwenda (2018)
Life is go On.......
Hongera sana ndugu mpo huru😁😂😂gud president
mziki wa kale ni nuru
wawawah io wimbo inapendeza hata kama me ni mtoto bado show me some love like moja tu
2023 still listening to sea, reminds me of my late uncle and his son Evans. Baba na mwana
The love narrative in this song is amazing. Whoever wrote this piece set his/ her eyes on masterpiece sedactive. None can resist the resistable. Oh, my !! Twende kazi.
Love From Juja, Kiambu- Kenya
hi nyimbo inanikumbusha mbali aisee it's gud
Nimerudi kwa mara nyingine kusikiliza huu wimbo wa sea 24/08/2023
NIMEOTA REMIX YA HII NGOMA INAPIGWA CHRISTIAN BELLA & KING KIBA...moja kati ya ngoma zinazo fanana na mvinyo..
hongora Sana papi kocha mungu yuko nanyi pia na rais magufuli abalikiwe Sana mungu amuzidishie maisha marefu
Welcome back Babu Seya & Papii Kocha, Lord is always good.
It was a hit when i was a little boy. I am 31 now and still feeling it
hongera mr presdent kwakumuachia huru mungu akulipe fadhila zako
Roho nzito ju ya vifungo vikali vya hawa majabali wa mziki.
Daaah achen mungu aitwe mungu, leo mko huru ni furaha iliyoje kwa washabiki wenu 🙌🙌
AMEN AMEN AMEN MAY
Nimekumbuka sana hii ngoma tangu nipo job,
Nyimbo sasa ndo hizi🎉🎉🎉🎉 tukutane apo chini wanao unga hoja
Nilikua mdogo sana enzi hizi ila tulikuwa tunachungulia kwenye mabanda ya cinema hi nyimbo 🔥😃2023
Huu mziki utaishi hauchujiii daaa 2023 steal bado iko kwa chat....@
Hiii ngoma ili toka kipindi Bado nazaliwa Hit song kwa mama yangu Mazarin ❤❤ Home boy from Germany 🇩🇪
baada ya kutoka Dodoma kwenye ckukuu ya Uhuru,sasa nipo hapa
Vijana mnaona mambo hayo mziki taratibu ujumbe unagusa😆😆
Used to listen to this song when I was little kid now 23 and I can't get enough of it.
Old is gold and good gestures of love 💘💘💘
Way back when I was in high school, I'm proud how this master piece has made me feel young yet I'm fourty today.
nawapenda sn ndo maana nilivosikia mpo huru japo siko tz ila nilifurahi sn Asante baba magu
*This song was sang with optimum level of artistry and musicmanship, from the way it starts to the end it's just marvellous, melodious to the ears.*
O
Sure. Beautiful song❤️🇰🇪.
I'm happy ile mbaya leo
Ngoja aje akule mtoto wako nyma ili ufurahi zaid
Nakupenda saaana papiiiii na ur daddy, God is able karibun uraian
Nimeamini maisha unayoishi yanaeleza histor yako ya mbele bila mwenyew kujijua leo wimbo huu umejidhihirisha alioimba hakujua kama utaleta historia kwa watu wake wakaribu. Mungu mkubwa leo wako huru aliowaacha waarudia mashairi "Seya tutoke wote................
Ooooohh my! I have looking for this song for 😭😭😭 10 years back memories galore
This song is my all time favorite,lots of love from Finland.
Finland ya wapi man
2022 kama bado unaskiliza ngoma hii like apaa
Sio 2022,niko hapa 2023 mpaka milele,old is gold dear
Talented people with good morals ❤️❤️❤️
I'm here in 2023
wakongwe🎉 😊 🔥
@@JoyceKikome kweli kabisa
Napenda sana hii song ,, I can't spent a day without listening to this song 💥💯💯it's still a hit song
Papy kocha Nzambe aza mune tokokumisaye tujour merci
Very Smart beat ,,and accurate massage,, Kenya tuko ndani
The beat produced in Tanzania industry music they got much talented
the year is 2025...waaaah uzee unaingia nikisikiliza huu wimbo
❤❤ this song really reminds me of 90's in kenya where kbc was the only station used !! Expecially after 1pm news! , upto now its still rocking the industry😊😊
This song deserves million views ❤❤❤❤❤❤❤..my favourite 😍
Am here today indeed God's great 🙏🙏 you are now free thanks to President Maghufuli
Long life Papi Seya na wanao.Maombi ya wengi umeitikiwa.karibu ughaibuni
am so happy kwa ninyi watu kutolewa na tumemiss sana mziki wenu
bora mlivyotoka mungu ni wetu sote leo mko huru amina
If you are for mabusu moto moto gonga likes❤🎉
Anywhere i hear this song playing, i must visit TH-cam...😂😂😂 Seya niko wako...
Kweli ngunza viking ana watoto wengi,,ila hakuna mmoja atawai tosha pappi kocha kwa maishani mwake
Mungu nimwema kwakweli never give up
Ili song uwa aliishiwi utamu aysee,,, mm iko penda sana papii+ babuu seeeeiiiiyaaaa. Thanx JPM
GOD ame wapa maisha mengine uraiani kama wewe ume furahi kuachiwa kwao sema Amen
AMEN AMEN AMEN AMEN
2021 am here ... dancing to this jam...I love it
maskini naumia kweli hilo neno baba na mwana limeleta habari nzito kweli alafu baba kumbe alikua mzuri jera kabadilika mh mungu mkuu atuepushe na balaa
Hiii nyimbo bas tu haito chuja NAHABARI NZURI N KWAMBA SASA WAKO HURU
Paulo na sila waliomba milango ya geleza ikafunguliwa nalichukulia la babu sea kama la Paulo rais wetu mungu akuongezee miaka mia
mafundi wa muziki
karbuni tena uraiyani
Flexin info
Seya seya mmmmmhhhh mmmmmhhhh mmmmmhhhh seya niko wako , wakufa na kupona ...
Poleni sana ila mko huru
Sjui iliimbwa mwaka upi bt still listening amazing 😍😍💕💕👈
My best song of the all the time...nyimbo haichuji 👌
Hongera kwa kuachiwa huru,tulifurahi sana hata sisi raiya wa nchi jirani.
This music reminds me way back when my dad used to came to lunch from work listen to this music and go back to work while the nation was under oppression from moi those were dark days I could see how my dad looked at us and push on make sure we went to school a.nd fed.the struggle continues we must prevail we won't relent
When was this video shot? Shouts a lot of early 2000s Especially that Mr Nice dancing style. 5:30
Baba na mwana tunaimba na kucheza eeh 🎵🎵🎵 ..karibuni Duniani tena 🙏🙏
Hongera kwake raisi wa tanzania mh magufuli kwa kuwaachia huru hawa watu mungu akazid kuwarinda papii na Babaake nguza
I'm glad they are free from penitentiary now , God should be praised for this
Stop asking if we are still listening to this, we never left
wow so nice God bless our President his excellency Mr magu , finally thy are free wooooow #team papi
Wellcome to freedom n merry Christmas
Jane
Hakika Mungu nimuweza hakuna linalo shindikana kwake yeye, BaBu saya now free....chozi lanidondoka kwa wimbo huu.
Asante mungu kwakuwaona uraiani #babusea na mwanae kweli mungu anajibu kwawakati
This song never age.
kwa mpigo tena,nimependa kazi,straight kutoka 254🎯🎯🎯🎯♥♦
Manze no words it's just lit ❤
Seyaaaa seyaaaaaa