RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC NCHINI ZIMBAMBWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutanon wa Dharura wa wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Harare Nchini Zimbabwe, leo tarehe 31 Januari, 2025

ความคิดเห็น • 4

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 5 วันที่ผ่านมา

    Vipi na kule shule zimefungwa ama ???

  • @djbenkimii
    @djbenkimii 7 วันที่ผ่านมา

    I knew all does leader are still not understand be cause of money of congo

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa wote ni Vibaraka na ndo wafadhiri wakubwa wa RDF/M23🇷🇼. SamiDRC🇿🇦🇹🇿🇲🇼 wanafanya nini DRC🇨🇩? Afu lakushangaza sehemu waliopo ndo sehemu RDF/M23🇷🇼 wanasimika utawala wao. Wanafiki na mikutano yao ya Kipuuzi