HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 1 Januari, 2025
Hongera sana Mhe Daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa utendaji uliotukuka na kwa sera hiyo nzuri, Mungu akubariki sana akuongezee umri mrefu akupe Mabega makubwa uzidi kutubeba aamina yarabi aamina mke WANGU.
Hongera
❤❤
Mtaala mzuri kabisa, utatutoa hatua Moja kwenda hatua nyingne
Nakuombea mafanikio mengi sana mama yangu kipenz
Pole na changamoto ndogo dogo