RC CHALAMILA ASAINI MKATABA na WACHINA KUIJENGA DAR ES SALAAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubarik na awabarik saana. I wish kuwe na city plan mpya, bomoeni baadhi ya maeneo na Mjenge apartments za biashara na za makazi, maeneo hayo ni : uwanja wa fisi manzese, midizini, buguruni, kigogo yote, Kuna wadau wengi Duniani wanafanya kazi online au biashara online na wanahitaji apartments za bei nafuu mana Ulaya na America hakukaliki

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 ปีที่แล้ว +3

    Nisawa Mkuu tunashukuru,lakini wachina wanatubana sana sisi wafanyakazi Mtu unaopareti mtambo mkubwa unalipwa laki 4 au la 5 ni tofauti na mahitaji yangu,tunaomba mtusaidie Kwa Hilo tunanyanyasika sana Mkuuu

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 ปีที่แล้ว +1

      Je huyo aliyenunua hilo li...mtambo na kulisafirisha umbali wote huo..kateketeza mamilioni mangapi ??? Kalishusha tu hata halijaanza kuzalisha wewe operator unataka mshahara wa million....likiharibika, mafuta, oil huchangii senti tano.yaani wewe kimsingi unataka ndani ya mwaka mmoja wa kazi uwe na nyumba gari nzuri na wake wawili...wabongo tuna haraka mno. STOP, tubadilikeeeee

  • @BagramenshZuma
    @BagramenshZuma ปีที่แล้ว +1

    Hongera mkuu wa mkoa naon kwa wakuu wa mikoa waliopit ww naon Ndo nakuelew maan wengine walikuw maneno matupu sifa nyingi naomba uplan mji wa dar uwe kisasa mfano maeneo ya buguruni, manzese kigogo, msimbazi n.k yabomolewe mbaya zaid yako karibu na mji piga kazi tuko unimaginable yako

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations 🎉🎉 kwanini msimarize Leo mambo yaanze kwaharaka mana mambo nimengi masaa nimachache

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 ปีที่แล้ว +2

    Ok!waje wawekeze kwenye ujenzi wa treni za mjini za umeme hasa Dsm.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว +1

    Mh mkuu wa mkoa hongera kwa hatua hii hao wanauwezo wa kuweka mifereji ya kisasa na maji yanapita chini na mji hawuzi kuwa na mafuliko hizo mbinu zetu ni ndogo Dar ni mji uwe wa mfano

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 ปีที่แล้ว +1

    Hivi mradi wa Kigamboni city master plan uliishia wapi? Naona kama porojo business as usual!

  • @romastasenterprises4447
    @romastasenterprises4447 ปีที่แล้ว

    Halmashauri ya Ubungo haina mipango miji mzuri na hasa yale maeneo yalioko karibu na makao makuu kama Mbezi mwisho. Mji wa Mbezi ungepangwa ungekua sana kiuchumi kwa kuwa panamzunguko mkubwa sana sasa.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 ปีที่แล้ว +1

    NA NYINYI WAKUU WA MIKOA MINGINE TIENI MIKATABA KUJINGA MIKOA YENU KILA MUAMBA NGOMA UIVUTA PANDA YAKE MIKOA YOTE HITENGENEZWE TANZANIA 🇹🇿

  • @deusdeditkullwah5586
    @deusdeditkullwah5586 ปีที่แล้ว

    Safi sana RC Chalamila nakuaminia ijenge Dar

  • @Jonnibo
    @Jonnibo ปีที่แล้ว +2

    Sioni ambacho watanzania tunashindwa kwenye mambo kama hayo sema inatokana na leadership tu m

  • @salimabdulrahimbafadhil2545
    @salimabdulrahimbafadhil2545 ปีที่แล้ว +1

    Je Hu mkataba Hauna Haja Ya Kupitiwa kama ule wa bandari Au hawa ni wachina na sio waarabu 😅

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว +1

    Cha kwanza kabisa mnahitajika pia kuangalia ni namna gani mito inayoleta matatizo ya mafuriko Dar es Salaam inatengenezwa na kuwa kivutio badala ya kua kero kwa wananchi. Canals kama za Amsterdam ambazo zitasaidia kuondoa tatizo la mafuriko Dar.

  • @stephennkenguye9535
    @stephennkenguye9535 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja na yote tuwe makini saana maana wao wanatafuta masoko ya viwanda vyao wakati viwanda vyetu vinaweza kufa. Pia tunaweza kuua biashara za watanzania wazawa kwa kuruhusu wafanyabiashara wa kichina kuja kufanya biashara za maduka ya jumla. Wao waruhusiwe kuwekeza kwenye uzalishaji na kujenga viwanda. Tusipokuwa makini hata uchumi mdogo ndani ya nchi yetu utamilikiwa na wachina na kupelekea watanzania kuwa maskini.

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 ปีที่แล้ว +1

      Ipelekee kuwa masikin mbona umasikini upo toka ukoloni jaman sisi tunaouza viduka uku mtaan mpk tunajuta kuzaliwa kwenye nnchi ya mifumo isiyo na kikomo

  • @chomaroyalchiefdom1907
    @chomaroyalchiefdom1907 ปีที่แล้ว

    Kongole

  • @muhengamakunga-w2j
    @muhengamakunga-w2j ปีที่แล้ว

    dodoma ya china ni Beijing nasio shanshing

  • @HUKUUSA2020
    @HUKUUSA2020 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤😂😂🎉😢😮😅😊😊

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 ปีที่แล้ว

    TUNAOMBA NA DODOMA JAMANI😢

    • @salehrashid703
      @salehrashid703 ปีที่แล้ว

      Sasa na nyie wa dodoma nin tena😂😂😂

  • @josephudoba5563
    @josephudoba5563 ปีที่แล้ว +2

    Mnatudhalilisha Kila siku mnaingia mikataba kutukandamiza

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 ปีที่แล้ว +1

      Umejiandaa kulalamika maisha yako yote

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      ​@@elinamilyatuu7337😂😂😂😂😂😂

  • @stevensosipita
    @stevensosipita ปีที่แล้ว

    KAZANENI MTAKIPATA MNACHOKITAFUTA YANGU MACHO TU