Leo nimepata chakula cha roho ya rabbi mrehem baba angu na sheikh wangu alonipa ijaza Sheikh Haji na swahibyl makamy sheikh Muhammad Nassor , Uweisu Jailany ( Qaddasa Allah sirrul alziiz)
kiukweli nimepata sabuni ya roho yangu maana napata furaha ya duniani na pia napata thawabu za kuniweka peponi. mashekhe wangu mwenyezi mungu awazidishie
Mashaallah zikri nzur jaman dini ina makundi mingi cha kuomba ni allah kutujalia pepo lkn kua zikri uzush c uzur kusema ivoo ww ukion unafat sw ukion hufat wacha lkn mamb ya kua hivi na hivi c uzur sote njia yetu moja hukuambiwa lazma ufate zikri
Hakuna anae jua ibada zaidi ya rasul s.a.w ikiwa ibada ya kufanya hivi imo kwenye mafundisho ya mbora wa viumbe s.a.w basi hamna neno ikiwa haya ndio mafundisho alokuja nayo, na ikiwa ni ibada basi wa kwanza kuifanya atakua rasul hakuna anaeweza kufanya ibada zaidi yake yeye
Ma sheikh tu muokope Allah sisi wote ni watu wa dhikri apana dhikri kama izo kwenye dini sio nzuri. Dhikri nzuri ni sisi tukaye chini kwa utulivu tumdhukuru Allah kwa utulivu apana kwa hali kama hio Allah atuongoze na atusameh madhambi yetu na tupe mwisho mwema inshaallah
Sheikh dhikri zipo za aina nyingi km ww unafanya hivyo waache na wenzio wafanye yao (mbona pale makkah wakisema labaika Allahuma labaika....... wanasema kwa sauti na hawakai chini au ile nini? ) ni bora usome kwanza au waulize wanaojuwa kabla ya kutoa lawama ya jambo ambalo huna ilmu nalo hata kidogo pia ni vizuri kusoma angalau comment ukajuwa ni ushauri gani uliotolewa kwa walikutangulia kabla yako na wamejibiwa vipi, kiufupi sunnah za Bwana Mtume ni nyingi sana na hauwezi kuzifanya zote mtu huyo hayupo duniani zaidi yake yeye mwenyewe watu huchaguwa awezalo kufanya katika sunnah zake mtume na kufanya anazoziona ni rahisi kwake kufanya, ikiwa ww umechaguwa ya dhikri ya pole pole kimnya kimnya sawa wengine wamechaguwa hiyo, soma ndugu uelewe au waulize wenye ilmu pia angalia midahalo utapata ufahamu zaid Allah atujalie ilmu na ufahamu wa hali ya juu inn shaa Allah
Hawa fanya A ho A A ho A aina ushahidi kwenye dini kama unao ushahidi tuilimishe wengine wana cheza kabisaa wai silamu tumuokope allah na ile macca labaika allahu labaika ni sunna ata mtume sww ame fanya apana A hoA
"Ilithibiti kwa mtume au kwa swahaba zake au kwa wema waliotangulia kutume comments TH-cam" waache watu na raha zao haya mambo na watu wake na ww shughulika na yako si lazima upende apendayo mwenziwo kila mja na mapenzi yake
@@suleimansaid4244 dini haipelekwi kwa matamanio ya mtu yoyote. dini si kwa raha zangu ama raha zako.. dini ni قل الله na قل الرسول. Quran, hadithi na sunnah.
Dhekrii tamu sana wahabi kaenimbali msipotoshe watu anatajwa mungu na mtume nawaja wema kunashida gani kwani apo au unataka utajwee ww na baba yako na mama yako wahabia maswalafi kaeni mbali kabisa.
Aslm alykm anae ona dhikri hii ni uzushi akae pembeni afanye kile anacho kiona kwake ni sahihi kukashifu ibada za wengini ni laana unaweza kuangamia acha acha by maulid ibn omar
Samahani ila naomba niulize...je hii I ada imeswihi ktk taratibuu na Sheria yetu ya dini ya kiislamu? Na nyakati za Mtume S.A.W ilithibiti? Naomba usaidizi wa kuelewa tafadhalini ndugu zangu🙏
Hii si ibada sahihi huu ni uzushi tu munamzulia mtume wazushi wakubwa Kaeni chini musome ata quran hamuijui kuisoma kwa taratibu zake mnazua kukohoa na bidaa zenu izo
Mtihani kwel, mambo alotufundisha mtume hatufanyi tunatafuta yetu tunaongeza kwenye dini, Je mtume na maswahaba wamefanya dhikiri iyo hem tupeni dalili juu ya hilo, kama hamna dalili mcheni Allah na ayo mambo yaacheni
Mwalimu dalili zipo. Na huyo alotajwa hapo karithi koti la Mtume.saw. mpaka alipo ni mtu wa 5 alorithi koti hilo la makarama. Yaani Mtume.saw. said na Ally.kw. sheikh Abdulqadir jailani.ksr. na sheikh Uwesu Ahmad.somalia. ra. Kwaio nikufunze tu huyo ni kipenzi cha Allah.sw. ilikua dua yake hata dakika haicheleweshwi kujibiwa. Angekuwepo fatiha tu yake muamsho wote wangetolewa gerezani. Kwadalili za kufaa hii dhikri namba meona umepewa kwa zaidi mtafute mwanafunzi wake yutub anaitwa khalifa Mussa. Katoa dalili nyingi na khadithi nyingi za Mtume.saw. muhimu tusome tusikate tamaa makafir na mawahabi wakaiangamiza dini. Shukran.
Suleiman Ahmada Ali, Mambo ya Waisilamu waachie Waisilamu, nyinyi Mawahabi ni watu wa Fitina,na lau sio nyinyi Mawahabi sisi Waisilamu tungekua kitu kimoja mpaka leo,lakini ukweli ni kwamba,hili kundi lenu lilipoanzishwa tuu, Waisilamu wakagawika vikundi vikundi na matusi na vurugu zikaanzia hapo,ona mnavyoaibika sasa,mara leo mjiite Answaari,mara Mujaahidiina,mara Waisilamu wa jihadi,mara Waisilamu wa msimamo mkali,mara Waisilamu wa siasa kali, Mara Waisilamu wa ahlu suna waljamaa,angalia kwenye hili jina la ahlu suna waljamaa mlivyojichanganya maana nyinyi mlidai hamutaki maneno ya ya mwanawachuoni yoyote mwanataka Qur'an na hadithi tuu,mlipoona mmekwama mkajiingiza kwenye ahlu suna waljamaa,mara mwajiita Salafi mara Mawahabi,na leo dunia nzima imewagundua kwamba nyinyi ni khawaariji.mmetumwa na Makafiri kuwagawa Waisilamu, lakini tunawahakikishia kwamba hamtoboi, ALLAH anasema;Kuweni ni wenye kurejea kwake wala msiwe ktk kundi la Makafiri,ambao wameigawa dini yao wakawa makundi makundi, na kila kikundi kinajiona bora KULIKO kingine:;,Suuratu rruum aya ya 32.kwahiyonyinyi Mawahabi mmeleta mfumo ule ule wa Mayahudi na Manaswara.Wa kuwagawa Waisilamu na kuanza kujifaharisha nyinyi kua ndio watu wa peponi,kwa hakika nyinyi ni Walokole wa kiisilamu.
ماهاذه البدع ولكل بدعة ظلالة وكل ظلالة في النار ولا يوجد في الاسلام من هاذاالرقص في المساجد والله يهديكم الى الطريق الصحيح للاسلام قال الله تعال في كتابه قل إن كنتم تحبون الله فاتبعوني يحببكم الله ويغفر لكم ذنوبكم والله غفور رحيم.

MAN JAHILA SHAIANN A'ADAU" Mtu Hupinga Kitu Akiwa Hakijui. Ukijiangalia Vizuri Nakujichunguza Wewe Mwenyewe Ni Bida'a Kwa Maana Umekuja Mtume Hajui. Kasomeshwe Wacha Khabari Yakujisomeasomea
Muungwana akivuliwa nguo hasimami hvo bac acha kukashifu kisichokuhusu au ktk muongozo wako unaoupenda wa dini umehalalisha kukashifu amana ya mwenzio?au imekuruhusu kutukana?acha dharau na kebehi kwa maamrisho ya Allah kaoge tia udhu fanya dhikri mstaghfiru mola wako kwa makosa na dhambi ulizozitenda uckae ukatizama maisha na mienendo ya mtu mwengne Allah akunusuru na kukashifu wengne waombee kher waislam wenzio Allah atakuwa kakuridhia
@@adamhasani6468 ndugu yangu nakukebehi wakati nyny mnamzulia mtume mnazua ibada haina hata dalili mnapingana mpka na aya za Quran mupo mupo tu ww unadhani huko kukohoa kungekua ibada basi hata maswahaba wasifanye au tabii au karne tatu bora zisifanye muje kufanya nynyi wa muembe makumbi tokeni hapa wazushi na hamupati thawabu n'goo
@@زنجبار-ز4ث sawa hatupati thawabu ng'oo basi utapata ww na sisi hatutoacha kudhikiri kwa ajili ya allah na mtume wetu muhammad s.a.w na yeye allah ndie atakae tuhukumu sisi kama tunakosea na sio mwanadamu .tuombeane kheri na tujitahidi kufanya ibada kikubwa imani inshaallah.
Madadya Jaylan, Madadya Jaylan, Aghithna ya Ghauthu Madadya Jaylan.
Hizi Tawasul zinanikumbusha kwetu Mchangani Kwamasharifu. Allah awarham wazazi wetu. Allahuma ghfirlahum warhamhum wamaskanahum min riyadhi L-Jannah.
Ameen
Ya allah tujalie tupende yalobora na tuendendelee kukudhikr dunian wal akhera.amiin
Leo nimepata chakula cha roho ya rabbi mrehem baba angu na sheikh wangu alonipa ijaza Sheikh Haji na swahibyl makamy sheikh Muhammad Nassor , Uweisu Jailany ( Qaddasa Allah sirrul alziiz)
E
Hongera kwa kunywa ijaza
Mungu amlipee pepo ustadhi wa baladu islam na kumbuka ulikuwa wa makutiī kwa sasa ni ghorofa mashaallah
Tenaa makutii vyooh nakumbuka tulikuwa tunatoka zawiya ya chumbuni kwa shekhe sufii tunakwenda kupeleka mchanga na kusaidiana mafundii
Ma shall ah nzuri Sana inaburudisha moyo inaleta utulivu Wa nafsi
Mashallah. Allahu maswali alaa Muhammad.saw.
Hii ndo njia ya kuhudhurisha nyoyo zetu kwa Allah (s.w)
kiukweli nimepata sabuni ya roho yangu
maana napata furaha ya duniani na pia napata thawabu za kuniweka peponi.
mashekhe wangu mwenyezi mungu awazidishie
napenda sana Mungu atukutanishe one day inshaallah
Mashaallah dhikri so mchezo namkumbuka marehemu babayangu kila nnaposikiliza dhikri
MASHAA ALLAH
SUBHANNALLAH ROHO ZIMEFURAHIKA
ALLAH AWALIPE
Masjid makut zamani sana Allah amrehemu sheikh wetu
Mashaallah zikri nzur jaman dini ina makundi mingi cha kuomba ni allah kutujalia pepo lkn kua zikri uzush c uzur kusema ivoo ww ukion unafat sw ukion hufat wacha lkn mamb ya kua hivi na hivi c uzur sote njia yetu moja hukuambiwa lazma ufate zikri
Njia y kufuta n Quran
Mashallah yni km mm hapo mweli unatulia nijiskia roho nyepesi
La ilaha illa Allah Muhammed Rasullallah 🇹🇷
Hua naenjoy Sana mungu awarehem wazaz wangu
Mashaallah!! Mashekhe wamwenyezi mungu
❤❤❤❤❤❤ majambo haya
Ahsanten San kwa dhikr mzur
Allah huakbar masha Allah napenda dhikr
Hakuna anae jua ibada zaidi ya rasul s.a.w ikiwa ibada ya kufanya hivi imo kwenye mafundisho ya mbora wa viumbe s.a.w basi hamna neno ikiwa haya ndio mafundisho alokuja nayo, na ikiwa ni ibada basi wa kwanza kuifanya atakua rasul hakuna anaeweza kufanya ibada zaidi yake yeye
Very strong dhikri
MashaAllah....😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😍😍😍😍😍
Ma sheikh tu muokope Allah sisi wote ni watu wa dhikri apana dhikri kama izo kwenye dini sio nzuri. Dhikri nzuri ni sisi tukaye chini kwa utulivu tumdhukuru Allah kwa utulivu apana kwa hali kama hio Allah atuongoze na atusameh madhambi yetu na tupe mwisho mwema inshaallah
Sheikh dhikri zipo za aina nyingi km ww unafanya hivyo waache na wenzio wafanye yao (mbona pale makkah wakisema labaika Allahuma labaika....... wanasema kwa sauti na hawakai chini au ile nini? ) ni bora usome kwanza au waulize wanaojuwa kabla ya kutoa lawama ya jambo ambalo huna ilmu nalo hata kidogo pia ni vizuri kusoma angalau comment ukajuwa ni ushauri gani uliotolewa kwa walikutangulia kabla yako na wamejibiwa vipi, kiufupi sunnah za Bwana Mtume ni nyingi sana na hauwezi kuzifanya zote mtu huyo hayupo duniani zaidi yake yeye mwenyewe watu huchaguwa awezalo kufanya katika sunnah zake mtume na kufanya anazoziona ni rahisi kwake kufanya, ikiwa ww umechaguwa ya dhikri ya pole pole kimnya kimnya sawa wengine wamechaguwa hiyo, soma ndugu uelewe au waulize wenye ilmu pia angalia midahalo utapata ufahamu zaid Allah atujalie ilmu na ufahamu wa hali ya juu inn shaa Allah
Kasome jamaa yangu acha kuleta fikra zako za kibinadam
Hawa fanya A ho A A ho A aina ushahidi kwenye dini kama unao ushahidi tuilimishe wengine wana cheza kabisaa wai silamu tumuokope allah na ile macca labaika allahu labaika ni sunna ata mtume sww ame fanya apana A hoA
@@radjabuminani6366 wewe ni jahili tuelekeze ulipo tuje tukufundishe
Hawa wanakohoa wanaumwa? Si wapelekwe hosp jaman maana usikute wanaumwa kifua. Hakuna dini ya hivyo wamche Allah
Mashaallah natamani kupata ya Dhikiri ya miaka ya nyuma kuanzia 2018-2022 naomba msaada ntazipataje ??
masha allah
Wananikumbusha mbalii jaman HV vitu ni hatar tuachen jamaniii
Mashaa Allah
MashaaAllah ❤
MashaaaAllah
Mahshallah
mashaallaha malah arhamd lillah
Mashalah
Hawajamaa wazima ile mbaya
Haijawahi kuthubutu kwa mtume, wala kwa maswahaba zake wala kwa wema waliotangulia .hii bidaa
"Ilithibiti kwa mtume au kwa swahaba zake au kwa wema waliotangulia kutume comments TH-cam" waache watu na raha zao haya mambo na watu wake na ww shughulika na yako si lazima upende apendayo mwenziwo kila mja na mapenzi yake
@@suleimansaid4244 dini haipelekwi kwa matamanio ya mtu yoyote. dini si kwa raha zangu ama raha zako.. dini ni قل الله na قل الرسول. Quran, hadithi na sunnah.
wendawazimu huu wala sio dhikri tena ndani ya masjid dhikr za fahmika vyema
Umesoma kidgo
Mashaallah
Allahadullahi I like it's
Mashallah
Good
Mashll
Adhweem mashallah
Dhekrii tamu sana wahabi kaenimbali msipotoshe watu anatajwa mungu na mtume nawaja wema kunashida gani kwani apo au unataka utajwee ww na baba yako na mama yako wahabia maswalafi kaeni mbali kabisa.
Jazaakumu llaahul khair
Mashaallah Mashaallah
Jamani hapa kila anaetoka kichwa si kinauma
Kinauma kwaajili ya Allah
Upuuzi mtupu nan aliesema dhirk ni kufoka au waja wema gani waliotangulia walifanya kitu hiki
Hiyo ibada n ya kikafiri aisee
Wewe mwenyewe kafiri
Masha Allah
Maashaalla
Naaam
❤❤❤
mashaallah
Aslm alykm anae ona dhikri hii ni uzushi akae pembeni afanye kile anacho kiona kwake ni sahihi kukashifu ibada za wengini ni laana unaweza kuangamia acha acha by maulid ibn omar
Allah
Tuwacheni shaawa za nafsi zetu , n tufate tulio fundishwa na mtumi Mohammad , hkn mmb kama hayo ktk Dini
Lau kama mtu asubuh akiwa sufi haitamfikia yy adhuhur ila atakuwa mpumbavu
Samahani ila naomba niulize...je hii I ada imeswihi ktk taratibuu na Sheria yetu ya dini ya kiislamu? Na nyakati za Mtume S.A.W ilithibiti? Naomba usaidizi wa kuelewa tafadhalini ndugu zangu🙏
Wametunga tu hiyo ibada, tena msikitini humo, kwenye msikiti wa Mtume hakukua na ibada aina hiyo.
Marhaba
wengine naona washapandisha maruhani
Shekhe naitaji kitabu cha mana kibu vp naeza nikapata
Hii si ibada sahihi huu ni uzushi tu munamzulia mtume wazushi wakubwa Kaeni chini musome ata quran hamuijui kuisoma kwa taratibu zake mnazua kukohoa na bidaa zenu izo
Walipokuonahunamana wamekuchunia
We ni mwanga unamungia mpaka shekh abdulqadir jaylan hutoweza zaidi ya ww kuangamizwa
What is this? It's not sunna, it's bid'a
Mtihani kwel, mambo alotufundisha mtume hatufanyi tunatafuta yetu tunaongeza kwenye dini, Je mtume na maswahaba wamefanya dhikiri iyo hem tupeni dalili juu ya hilo, kama hamna dalili mcheni Allah na ayo mambo yaacheni
Shekhe Suleiman nitafute 0712 234 900 uje upate dalili juu ya hii dhikri Shekhe
Mwalimu dalili zipo. Na huyo alotajwa hapo karithi koti la Mtume.saw. mpaka alipo ni mtu wa 5 alorithi koti hilo la makarama. Yaani Mtume.saw. said na Ally.kw. sheikh Abdulqadir jailani.ksr. na sheikh Uwesu Ahmad.somalia. ra. Kwaio nikufunze tu huyo ni kipenzi cha Allah.sw. ilikua dua yake hata dakika haicheleweshwi kujibiwa. Angekuwepo fatiha tu yake muamsho wote wangetolewa gerezani. Kwadalili za kufaa hii dhikri namba meona umepewa kwa zaidi mtafute mwanafunzi wake yutub anaitwa khalifa Mussa. Katoa dalili nyingi na khadithi nyingi za Mtume.saw. muhimu tusome tusikate tamaa makafir na mawahabi wakaiangamiza dini. Shukran.
Dalilinyingi
Kamahunaeĺimu
Kaakimya
Hizinielimuzawatu
Shekhe achakuhoj
Usiena.elimunayo
Utazipata wapi hizo dalili na wewe umebweteka tu kusoma hutaki kazi yako ni kufuata mkumbo tu.usiwe mbumbumbu nenda tufuate vyuoni mwetu tukuelimishe.
Suleiman Ahmada Ali, Mambo ya Waisilamu waachie Waisilamu, nyinyi Mawahabi ni watu wa Fitina,na lau sio nyinyi Mawahabi sisi Waisilamu tungekua kitu kimoja mpaka leo,lakini ukweli ni kwamba,hili kundi lenu lilipoanzishwa tuu, Waisilamu wakagawika vikundi vikundi na matusi na vurugu zikaanzia hapo,ona mnavyoaibika sasa,mara leo mjiite Answaari,mara Mujaahidiina,mara Waisilamu wa jihadi,mara Waisilamu wa msimamo mkali,mara Waisilamu wa siasa kali, Mara Waisilamu wa ahlu suna waljamaa,angalia kwenye hili jina la ahlu suna waljamaa mlivyojichanganya maana nyinyi mlidai hamutaki maneno ya ya mwanawachuoni yoyote mwanataka Qur'an na hadithi tuu,mlipoona mmekwama mkajiingiza kwenye ahlu suna waljamaa,mara mwajiita Salafi mara Mawahabi,na leo dunia nzima imewagundua kwamba nyinyi ni khawaariji.mmetumwa na Makafiri kuwagawa Waisilamu, lakini tunawahakikishia kwamba hamtoboi, ALLAH anasema;Kuweni ni wenye kurejea kwake wala msiwe ktk kundi la Makafiri,ambao wameigawa dini yao wakawa makundi makundi, na kila kikundi kinajiona bora KULIKO kingine:;,Suuratu rruum aya ya 32.kwahiyonyinyi Mawahabi mmeleta mfumo ule ule wa Mayahudi na Manaswara.Wa kuwagawa Waisilamu na kuanza kujifaharisha nyinyi kua ndio watu wa peponi,kwa hakika nyinyi ni Walokole wa kiisilamu.
Safari na music
acha masihara sheikh wangu ,, huu ni mziki ??? !!!
🤣🤣😂😂😂🤣😂🤣😂🤣
ماهاذه البدع ولكل بدعة ظلالة وكل ظلالة في النار ولا يوجد في الاسلام من هاذاالرقص في المساجد والله يهديكم الى الطريق الصحيح للاسلام قال الله تعال في كتابه قل إن كنتم تحبون الله فاتبعوني يحببكم الله ويغفر لكم ذنوبكم والله غفور رحيم.
Saf
Mashaallah
Mashaaallah
Masha Allah
Maashaallah
Hii si ibada sahihi huu ni uzushi tu munamzulia mtume wazushi wakubwa Kaeni chini musome ata quran hamuijui kuisoma kwa taratibu zake mnazua kukohoa na bidaa zenu izo
MAN JAHILA SHAIANN A'ADAU" Mtu Hupinga Kitu Akiwa Hakijui. Ukijiangalia Vizuri Nakujichunguza Wewe Mwenyewe Ni Bida'a Kwa Maana Umekuja Mtume Hajui. Kasomeshwe Wacha Khabari Yakujisomeasomea
Muungwana akivuliwa nguo hasimami hvo bac acha kukashifu kisichokuhusu au ktk muongozo wako unaoupenda wa dini umehalalisha kukashifu amana ya mwenzio?au imekuruhusu kutukana?acha dharau na kebehi kwa maamrisho ya Allah kaoge tia udhu fanya dhikri mstaghfiru mola wako kwa makosa na dhambi ulizozitenda uckae ukatizama maisha na mienendo ya mtu mwengne Allah akunusuru na kukashifu wengne waombee kher waislam wenzio Allah atakuwa kakuridhia
@@ramangadu6451 naona hata hufahamiki na wala huna hoja

Maashallah
Masha Allah
Mashaallah
Mashaallah