Napendea Mondi kitu kimoja, ako very simple. Huwezijua yeye ndio CEO ya wasafi. Hapendi kujionyesha. Keep it up bro. Ngoma za wasafi zimeweza. Kenya, Nairobi.
am watching from Kuala Lumpar. i really love that song 'tetema'.It has a classic video and the flow is lyrically speaking...i am in my level 6 of learning Swahili language and soon i will be speaking swahili fluently
Ata Mimi napenda wa Tanzania wakiongea kiswahili sanifu. Shida ni ukianza kuongea hii kiswahili Yao Say BYE to Speaking English 😃😃 English itakuwa mzito Kwa ulimi uanze piki piki ponky😃😃
Wah kumbe ni kazi kubwa hivyo... Wao congrats guys
Napendea Mondi kitu kimoja, ako very simple. Huwezijua yeye ndio CEO ya wasafi. Hapendi kujionyesha. Keep it up bro. Ngoma za wasafi zimeweza. Kenya, Nairobi.
kabisa ndugu
Bible
Nlichogundua mond c msikivu na cmsemji sana so good
am watching from Kuala Lumpar. i really love that song 'tetema'.It has a classic video and the flow is lyrically speaking...i am in my level 6 of learning Swahili language and soon i will be speaking swahili fluently
Behind the scenes zenu ni burudani tosha kwa mashabiki wenu aiseee.💪🏻💪🏻💪🏻
Mamb vp mpenzi
Napenda sana team wasafi ...nyinyi ni babalao💪💪💪
Huyu van anaongea kama vile ndo boss du mondi kweli anaroho nzuri
Niko hapa juu ya hii Swahili ya tz😂😂😂😂😂😂😂😂,very nice flow of the language
Ata Mimi napenda wa Tanzania wakiongea kiswahili sanifu. Shida ni ukianza kuongea hii kiswahili Yao Say BYE to Speaking English 😃😃
English itakuwa mzito Kwa ulimi uanze piki piki ponky😃😃
nimecheka kifala eti halotel wapo kazin wallah rayvany nakugawa bure
Tangu kitambo rayvanny anajuaga kuvaaa. Always dopest
Diamond is the dopest... Master of swag
Director Kenny mbunifu sana anatengenueza location nyingi sehemu moja yuko vizuri 🔥🔥🔥🔥🔥
Whaao so nice ! Ninacho wapendea WCB ni kwamba mnaishi kwa upendo,!
Lkn diamond platnumz hata akivaa urofa hua anapendeza tu kufatana na swaga zake za kucheza
Kali Rayvanny kaongea sana kuliko Diamond😂😂
I wish even our musicians from Uganda can be motivated by you guys. i have seen Diamond helping people, i thank u for a giving heart
3 years later...back here to confirm that DK was/is a BEAST!!! VB is REAL TALENT and DP is the GOAT!
Napenda hicho Kiswahili chenyu majirani wetu 👊👊
Karibu
Nasema swahili lakini swahili ya uko jamani they talk fast.
nyie mnachanganya na English ss bd
Aaah mbn kawaida2
@@rebeccaangel5674 uko WAP?
Njoo nikufunze
Mkazane Buti wangu ni wasafi umenifanya nifanye usanii,,, good luck guys ,likes fro migori kenya
Daaah 😂😂😂hiii behind the scene...Rayvanny amenifurahisha😂😂😂😂😂😂ety bhange bhange
Diamond is the real artist comment from Ethiopia
KENNY🤙🏿🤙🏿🤙🏿😎😎👊🏿👊🏿
Hii Interview imeenda shule..kali sana
Rayvanny ur so funny😂😂😂😂😂😂😂God bless you for cracking my ribs 2020😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏
Vanboy unaongea sana mpaka umemkumbuka twenty😁
hilarious. vibrant. ray anampenda sana plutnumz. anaona raa kumvimbia.
Hhh true
In love with that diamonds green rabbit sweater.........its so dope👌....u are killing it. watching from Meru -Kenya
Watching from meru too drop # lispa paul
mnaish fresh xana..big up simbaaa..moyo wa hak
subira Magembe
Nyote mumeua kinyama💥🔥
Sehemu yeyot Akiwepo vany boy huwa na enjoy Sana
Ravanny ww mchekeshi all love for you and I like how mbosso is their to give support
Who is see Naseeb amependeza alivonyoa jmn congratulations Naseeb uko hb atal❤❤❤❤❤🎉
WCB Wasaf mna love sana nimependa sana muish ivo ivo
Nitakumiss sanaa wcb vanny boy
Have you ever seen a comment then you say damn I should have said that😂😂😂😂😫tuendelee kutetema love the scene 🔥🔥🔥🔥💪
I just realized that video shooting is quite a task....I love the chemistry...Big up my brothers 😎
Kuma ya ambaruti za xx
Asante sana kutu reteya namba 3 ya tetema mungu awa barika
Diamond hajui kubishana🤣🤣🤣
Ray is a real comedian behind music
True😂
Wanazungumuza Swahili safi sana 😍😍
Hehehe kiswahili kiko sawa...😍😍😍
Jamn tulio enjoy na behind the scene tujuane kw kulike zetu
Yeah no vraiment Tanzanie vous êtes meilleur sérieux je suis fans depuis Sénégal
Jamani nafa kicheko weee😂😂😂😂
Mambo ya njano na yellow , tembelea TheHunterVEVO
mko vizuri sana kumbe v na mondi ndio utani huu hadi raha
Ila rayvanny una vituko wewe😆😆😆nakukubali sanaa
😂😂 nimecheka sana nilivyo skia mondi akisema “kwenye picha njano inaonekana yellow haionekani” wakati zote rangi moja..😂😂
UNLIMITED HACKER
Njano kali
Nilijua peke yangu
th-cam.com/video/61CN7iofQLs/w-d-xo.html&start_radio=1
Ok
I’m the first person to comment from USA 🇺🇸 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Halima Juma huoni ata aibu we unakaa us ww mdada
Halima Juma 😘😘
Haha USA oh mama tetema
👍👍👍
Halima Juma seriosly😂😂
Rayvanny anauliza hii nyimbo nimekushirikishaaa au wewe ndo umenishirikisha😂😂😂
Simba mnyama afai kuigwa
Nawapenda jamani Mimi vanny boy wangu💕
Mambo
Reyvany behavious like mine. 😂😂 From Kenya
Either way! The song is international. GREAT JOB,AWESOME BEYOND EXCELLENT....100% BRAVO FRM🇨🇦.KEEP UP WITH GREAT WORK👌👏
Nakupenda vanny boy coz wewe umwambiya diamond ukweli
😂😂😂😂😂kuchszesha kichwaaa !!ulikunywa dawa kweli
rayvanny umeuliwa broo lion nomaa
Tetema dah!! Sio Poa daimond na vaany boy mnatawala kwa Sasa ktk nyanja ya mziki wa bongo flava mamae!!🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ravyani nakuku bali kuvaa uposawa halafu kama unamkubali vyaniboi kama mnavomkubali mm gongalaikihapa
Hongereni kwa kazi nzuri ila mdogo wangu mondi nasubiri harusi yako na tansha
Yaan diamond amependeza sana kwenye hizo locations za mikochen kwenye blue Na njano kwanzia swaga mpaka kucheza yaaan
Rayvany anaongea kiswahiliswahili kama sio super star!.diamond kitambaa cheupe ndo kilikupendeza kuliko cha njano
Hongeren sana kwa kaz ngum halafu majitu yanakaa diamond freemason
Mnanipa raha jamani shabiki mm Rey maneno mengi Mond sema tu utani unajua mm ningelia walahi bangebange
I didn't know rayvanny is a comedian 😂😂. Likes kutoka Kenya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha utani
Msanii huyu
Hello from Tanzanian nitafute kupitia no hii +255753323314
Hello
😋
truth be told Rayvanny killed it in this video
Hard work pays.....big up after jasho mliweza....
Hahaha..one thing I love with you guys is co-operation and that love
Kusema ukwel diamond ukinyoa kawaida Kama hivyo unapendezaga Sana kuliko kuweka kuweka mitambi Kama huyo mwenzako
Vany boyy umenichekesha sana aisee et bange bange ya 20 percent
Simba 😂😂😂😂njano na yellow si rangi moja hio,
rayvanny nakupenda tu kwakua upo wcb yan mzee hilo ndo chama LA ushindi wao wenyewe wanaelewa ila wanajitia viburi tyu bongo fleva ni wcb tu
Oyuuuuu
Rayvanny very funny....don't ever.......😂😂🤣😂🤣😂🤣🤣
Diamond is a perfectionist
I have never known that Rayvanny is this funny!! 😁😁😁
He is funny bana heii
So what should we do if you dk
Achana na mimi tafadhali.
@@faridahefumbi9996 ww wasemaje dem ww
Why is it ionly see kenyans and tanzanias here..like wtf....hie guy's am from MALAWI..NICE song😍😍😍😍🤩
Hi
💋💋🍓😂😂 hi tooo
Nan kaskia
Halotel mpo kazin Leo,🤗🤗
mim apa
😂😂👆
ataa mie
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Njano na yellow huhuuuuu
Mond ww ni kiongozi sio boss,nakukubali sanaaa
Rayvanny is one of the charming artists
Duh!! Leo nimechelewa lakini nipo na WCB yangu jamani like kwa Simba hapa.
okkk
Naipenda sana,kazi yenu....Wasafi👌
Jamani rayvanny nampenda sana Asa mondi ndio usiseme
kama umeckia njano inaonekana yellow haionekan ebu gonga like hhhhhhhhhaaaa
Yap
Dorah Deus ni wacheng tu hao
Dah Leo nimejtaid aseee
#Vanyboy unaongea xan kijana mpaka simba anakuwa mpole.
Valeu pela força
drip boy never dissapoint
Vanny boy more creative then his master.kama unakubali gonga likes yako .
Yan n hatar
Daah yaan ulivyomtaja fundi 20 mwili wote umesisimka kama nimekunywa koka.
Nakubali mzee baba mond uko juu........ 🙈🙈🙈🙈
Nice 👍
ukinuna tumia dollar 😂😂😂
nawakubali snaaaaaaaaa wcb hasa diamond
Hapa kweli duamond hutanguliza undugu zaid ya pesa ndo yupo simple sana na ushikaji mwingi
😂😂😂😂 vanny tu es trop cool
We v vanny chizi kweli hadi natoka machozi
16:10 unatom*** kweli kweli au nimesikia vibaya au diamond huyo kamwambia rayvanny
Because I heard this song through IG and Somali ppl I was like I need to search but then I end up being a fan of them🤪💗
Hahahahah aisee chui nyinyi mna utani sana kweli
Mimi nipo congo drc,i love your style to live,thats to be a wiseman
nilichokugundua kuwa Ray Vanny ni kiboko ya Diamond.Anaongea kama kameza casette
Wallai
Yaan huyu ndo kiboko wa diamond
th-cam.com/video/61CN7iofQLs/w-d-xo.html&start_radio=1
Alimuonea sana harmo kwenye kwangwaru
Am here for my my baby girl she always says l love vannyboy
Ravyavvy bhana ety nikamwandalia kwa mballiiii nikamvitia darubini kwa mbalii 😂😂😂😂😂😂😂kweereeeee
Kazi zenu zinakuw nzur kwasabab mnakuw na masihar meng na kutaniana sana ila duuh maisha ya location bhna full vita wazee Mnavimbiana