Mashairi yenye uhalisia, majibizano yenye hisia, ngoma kubwa zaidi kwenye hii tasnia and NO sio kutoka Tanzania bali ngoma kali toka Kenya imepenya na kwenye chati imeingia. Congratulations Ally Mahaba, Akeelah and Shirko for making Mombasa Music Great again. "Inatosha" ~ Mzazi Willy Tuva = Mseto East Africa
Zawaki frani zikasome mi naamikua kuna wasanii wadodo wadogo wanafanya vizuli kuliko hawa ukubwa wao ni kuimba matusi2 hawawezi kuimba nyimbo yenye hisia kali katika jamii ambayo inaweza kukaa wenye fikra za watu kama hili songs unahisi hiii nyimbo imegusa wachache ? Ndomaisha halisia hayo ❤❤❤❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hakika wa Mombasani wanajua kuimba Bana siyo kma wa nai waramba lolo Hakika tukipata waibaji kma Hawa 20 tu nyimbo za tz hazitachezwa Kenya sna kma Sasa mana mashari na kiswahili mashaAllah
Nimependa natural video hasa huyu dada hana makorokoro i see like hawa watu ni wa mombasani hivi naskia tone za sudi boy flan wana madrasa kwa mbaali hivi nice song haki vile ❤💕🤝
Dah hii nyimbo inanipeleka mbali na kunifanya nitie bidii zaidi Hadi mtoto wakike analalamika tujitumeni wanaume dah hongera bro Ally na siz akeelah mumetufanya pia tuthamini nchi yetu sio uarabuni eti ndio kwenye maisha hata kwetu yapo zamu yako ikifika utafanikiwa God bless you mumetufunza kitu hapa hizi ndio nyimbo tunafaa kuzingatia Kama wasanii nyimbo Zenye maadili na Zenye kutia moyo kitu unaskiliza kinakupa moyo na mafunzo ndani yake....hongera pia kwa producer shirko unawezo mku bwa sana wa kupanga kazi yako mungu pia akuweke zaidi Kaka maana Kaka Ally aliangaika sana na tangu uje ww tumeuona uwezo wake wa kazi na bidii yake hongera kwako...hongera pia kwa boss Matoo kwa kujitolea kwa moyo na kuwekeza kwa ndugu yetu Ally pia na wengine amemwaamini na kumsimamia Hadi tunaone level amemfikisha si rahisi mungu mkubwa mungu azidi kukupa moyo huohuo boss matoo. Hongera kwako amour pia mungu akuweke zaidi. Na hongera kwa wote wanaosupport mziki mzuri.
The song is on point but the problem with us Kenyans is that we adore so much of tanzanian music than our own music here. Surely, it deserved more than a million views . Mbona tuna ngebe na miziki yetu hapa? Nimeupenda Sana. Mwanzo sikupenda kuutizama maana nlidhani ni muziki wa Tanzania. Niliposikia ni wakenya wenzangu walouimba, sasa hivi mimi huutizama kila wakati niamkapo na niendapo kulala. Jameni wakenya wenzangu tuiinue miziki yetu hapa haswa miziki inayoleta hadhi kama huu.
ngoma kali sanaaaa kama na ww unarudiaga mara kwa mara hii ngoma gonga like za kutoshaaa
Fire 🔥 ita zima Moto 🚒
Huyu mwanmke anafanya kazi safi kwanza hatukani na hatoi sentesi tata za matusi ila basata hawamuoni huyu dada yupo sawa
Wau nashukulu ujumbe mzito mashairi kibao mwanaume ni kujituma bana KAZI safi
Na anasikia hii goma still 2024/2025 ❤
Who else is here in 2024?❤🔥🔥
Am here
Mimi hapa
Mimi hapa
Mm hapa😅
Me here,this song is such a vibe and a lesson too
Alieangalia hii video zaidi ya mala 10 na aijamchosha Kama mm naomba like kazi nzuri aichoshi
Thank you
@@nakshibeiby5597 F
Siwezi kuchoka kusikiza huu wimbo kabla nilale naupenda💖💖
Kazi nzuri hakika.
Hatar
Uko akuna lolote pamoja na miangaiko yao yte,na ujanja wao wote pesa wanazimaliza madam zote
Mwanaume unapenda ushindani Nami nfanyeje mtoto wakike 🔥🔥🔥🔥🔥🔥duuh
Qali sana
Brother ngoma kaliiii
Umesema hii ngoma umewaza na kuwazua ukatoa kitu iliyo makinika Hongera Ally Mahaba.
@@irenedzame752 Asante sana 🔥🔥🔥💪
Huyu mwanadada yani.... Mashairi yake yamefika chuo kikuu. yuwajua kazi yake. Kama munakubaliana nami nipeni LIKES zake
Hongera sana
Tuliokuja huku
kupata nyimbo full,
toka tiktok tujuane
Nomaaaaa,,,,,,, nimeipenda 🔥🔥
💯💯💯🇰🇪🔥🔥🙌🏾
Asante Sana Kaka mkbwa
How many are from tiktok🤣🤣🤣
Mashairi yenye uhalisia, majibizano yenye hisia, ngoma kubwa zaidi kwenye hii tasnia and NO sio kutoka Tanzania bali ngoma kali toka Kenya imepenya na kwenye chati imeingia. Congratulations Ally Mahaba, Akeelah and Shirko for making Mombasa Music Great again.
"Inatosha"
~ Mzazi Willy Tuva = Mseto East Africa
Shukran Sana citizen redio na tv kw ujumla Kaka mzazi Tuva Allah akujaalie neema uweze kusapot wadgo zako
Shukran sana mzazi inshallah tutazidi kutia bidii
Noma sana
Vipaji vya kueleweka
Imeweza sana
Huy dada anajua kuimba sana n ngoma zake zipo vyema
Jitume kaka naupenda sana wimbo 😂
kama unamini hii ngoma ni kali nipee like zako plz.
Mncbzjmm
Zawaki frani zikasome mi naamikua kuna wasanii wadodo wadogo wanafanya vizuli kuliko hawa ukubwa wao ni kuimba matusi2 hawawezi kuimba nyimbo yenye hisia kali katika jamii ambayo inaweza kukaa wenye fikra za watu kama hili songs unahisi hiii nyimbo imegusa wachache ? Ndomaisha halisia hayo ❤❤❤❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Iko sawa aendelee mbele uko juu sana
Cjawahi jutia kuuckilza huu wimbo aisee ni mzr pia unakakitu flani cha funzo
@@jumannekhalifa7761 upu7u7< 7 to u878u
The most underrated artist in Kenya now..please Kenyans..let's support our own talent
Say what? Are they not Tanzanians😳
@@millisseintbarraza5953 our own Kenyans
👏👏👏👏👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤦🤨😌
Are they 🇰🇪 for real but the guy can sing
True
Hiiii kaliiii kazi kubwaaa sanaaa big up sanaaaa
ngoma motoo
Natoka tiktok 🤗🤗... Nimedhani ni watanzania , daah kumbe wenzetu wa Mombasani. Hongera! Wimbo mtamu.
Kama wamini hawa watakuja kuwa super star wakubwa ngonga likes zako
Mpaka tuwasurport
this song should be a collabo of the year
Sana kakaaaa,
Nomaa sana..... Sijapoteza bundles zangu na time yangu.....big up shirko!!!
Shukran Sana dada mlezi kw mda wako ulochukua kuwasapot wadogo zako
Shinizooo
Yani tupate shanniz kama kumi hapa coast chipukizzy wataenuka tu kwa uwe wa mungu.
Yeiyoo love kwa sana
Aminiaaa.....Shanny....ATL ndo kusema...SM salute kwakooo
Nimeanza kuisikliza sa 12 mpaka sa 3 usk narudia kila saa big up
Huyu Akeelah mbona ana Balaa sana kweli Tanzania Mziki Mgumu huyu dada ni wakwenda kabisa, aisee
Watching nikiwa pale saudia during Ramadan season 😍😍😍😍🤗
Hii ngoma ingekua bongo ingekua na 1m views but guess what tuko Kenya nchi yenye mdomo mrefu wa siasa kuliko music.
Naomba like kwa wanaoikubali hii song kua ni hatari🔥
Hatari Kaka
PITIA LINK HII UTOJUTIA
th-cam.com/video/xGxs8Micpw8/w-d-xo.html
hatari
Saf
ALLY MAHABA umenifanya ile bidi yangu niongeze zaid alaf hii ngoma lazima wife wangu aisikize ndio maana nmebonyeza download button
Ata kama nimechelewa naombeni likes za Ally🔥🔥🔥🔥u Never disappoint
Wanaume jitumee 😂😂🔥🔥
Hii nakwambia iliweza ni muotooooo 🔥🔥
Lucky Zamu ndio mimi
@Ally Mahaba 🔥🔥🔥
@Akeelah official 🔥🔥🔥
Hatar
Kali
Second woman I can support after nyota ndogo ...uko juu sis akeelah na inshaallah utazid kua juu
Kenya we are blessed lets support these talent
Indeed we have to support them
True indeed let's support our artists
I just lov🥰 this song
Good
Yes we are blessed
Nice one...hongera
Nyimbo kali sn hii
Uandishi💯💯
Omggg i love uuu🥺❤️❤️💕💕💕😭😭😭🥺🥺❤️💕💕💕✨✨
Hakika wa Mombasani wanajua kuimba Bana siyo kma wa nai waramba lolo
Hakika tukipata waibaji kma Hawa 20 tu nyimbo za tz hazitachezwa Kenya sna kma Sasa mana mashari na kiswahili mashaAllah
Kweli kabsa shukran sana pia kw mda wako wakuitazama kaz yang
Mambo kila kukicha yanazidi kuwa mazuri mubarikiwe nyimbo nzuri yakupambana na maisha. 🙌🙌🙌🙌
Nimewaelewa balaaaaaa ongereni🔥💥💥🔥🔥🔥
Nilidhani ni mbongo.... Nice piece
Nimependa natural video hasa huyu dada hana makorokoro i see like hawa watu ni wa mombasani hivi naskia tone za sudi boy flan wana madrasa kwa mbaali hivi nice song haki vile ❤💕🤝
Asante sana
Ally jitume💖💖
Asnte Sana make up artist wng
Hello
Hawakuezi mwana
Kali sana🔥
Kalii hatari na 🔥💯 ujumbe wa kuishi husioisha utamu 💕👌Big up niilipenda nimeitafuta ikaipata Leo thanks mubarikiwe Daima ❤️
Nakukubali bro keep it up najuwa ume hustle xana n music bt iko siku utatoboa tu👏
Wow lovely song again ally mahaba napenda nyimbo zako uko poa my bro keep it up
Congratulations @AllyMahaba nice song yenye mafunzo kwa jamii #ujitume
Asnte Sana
Najikaza nifikishe 1million views pekeangu jaman nsaidieni hata kwakulike nijue tuko pamoja
Usijal kakang kila Jambo litakuwa sawa
Tuko hapa ...itafika
Nadai collabo mkaka 🙏,hizi ndio kazi tunazihitaji kabisaa
Nataka ujitumeee 🤩🤩🤩wewe ndo mumee🎼🎼🎼🎶🎶wapiii nduruu ya 254😍😍😍😘
Hivi kama waniunga mkono kwa hii ngoma kiboko nipe like twende sawa.
Talent 💯..
Mzazi Tuva..brought me here 🙌
karibu
Mzazi wa vipaji
Dah hii nyimbo inanipeleka mbali na kunifanya nitie bidii zaidi Hadi mtoto wakike analalamika tujitumeni wanaume dah hongera bro Ally na siz akeelah mumetufanya pia tuthamini nchi yetu sio uarabuni eti ndio kwenye maisha hata kwetu yapo zamu yako ikifika utafanikiwa God bless you mumetufunza kitu hapa hizi ndio nyimbo tunafaa kuzingatia Kama wasanii nyimbo Zenye maadili na Zenye kutia moyo kitu unaskiliza kinakupa moyo na mafunzo ndani yake....hongera pia kwa producer shirko unawezo mku bwa sana wa kupanga kazi yako mungu pia akuweke zaidi Kaka maana Kaka Ally aliangaika sana na tangu uje ww tumeuona uwezo wake wa kazi na bidii yake hongera kwako...hongera pia kwa boss Matoo kwa kujitolea kwa moyo na kuwekeza kwa ndugu yetu Ally pia na wengine amemwaamini na kumsimamia Hadi tunaone level amemfikisha si rahisi mungu mkubwa mungu azidi kukupa moyo huohuo boss matoo. Hongera kwako amour pia mungu akuweke zaidi. Na hongera kwa wote wanaosupport mziki mzuri.
Shukran sana
Bigdaddyhahaz nikweli jamani tujitahidini
Wameiinua mombasani
Dah ngoma kali san weka like yako hapa kama unaikubla ngoma hi
Nilisikia Kwa jirani aki,it was very nice nakwambia,nilienjoy sana
No nudity
No alcohol content
No bad language
100% pure talent
Asante sana
Hahahah
Nomaa sana
@@davidnyerere2016 a
@@davidnyerere2016 ❤a❤aaa❤❤❤❤❤❤1❤❤❤❤❤❤❤❤a😮 asap the same
#UJITUME kazi ilioenda..ina hadhi na uwezo wa kipekee sauty za kipwani...SUPPORT ALLY MAHABA X AKEELAH..... Moto sanaaah
Shukran sana kw kutuelekeza njia kila Mara utuchoki wadgo zko
Iko.poa tuu sana. Naipenda💗💗
safi sanaa kaka ally good work bro niceee wimbo huu umfikie kipenz changu tina john popote alipo,,,
💣🔥🔥🔥
Kazi safi toka 254🔥🔥🔥
Kila Niki watch hii nyimbo naona kama ilitoka tu jana 🔥🔥🔥
Watu wa arabuni like zenu hapa 😂
Tumeipenda hiyo Ally big up
Ajitume aende uarabuni 😂😂😂😂
@@bshsjzhzhz1019 haha huku hamna kitu
Lydiah Njoki brought me here. I couldn't have known, such a good song. Kenya Kali 👍
Thank you Lydia njoki. Pls share to more people
Ala! these Are kenyans? Thought they were Tanzanians! Woow! Keep on going guys.. wowo
Waaah mumeni nice 2 akeelah
Big up bro napenda sana unavyoimba na hii ngoma adeazake Kali sana big up
Nice Created Bro...! Big-up,,,, Ngoma imechongeka safi na haichoshi kusikiliza.
Mwenyewe nimewaelewa. Big up bro❤️❤️❤️💕🇹🇿🇹🇿
The song is on point but the problem with us Kenyans is that we adore so much of tanzanian music than our own music here. Surely, it deserved more than a million views . Mbona tuna ngebe na miziki yetu hapa? Nimeupenda Sana. Mwanzo sikupenda kuutizama maana nlidhani ni muziki wa Tanzania. Niliposikia ni wakenya wenzangu walouimba, sasa hivi mimi huutizama kila wakati niamkapo na niendapo kulala. Jameni wakenya wenzangu tuiinue miziki yetu hapa haswa miziki inayoleta hadhi kama huu.
Asante sana ndgu yng shukran sana
Mmh kazi kubwaaa sanaa hii good job 🔥🔥🔥👊
aseee hii ngoma nimeikubali kinoma BG ap
Kama ww nishabiki sugu gonga like apo isonge mbele hii song 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Usisemee hivyoooo...usinifanye hivyoooo.....kuipataka kazi sio rahisi mke wangu....
Nikiwa na stress za life naskiliza hii ngoma kazi nzur kwenu
Kazi nzuriii✍️✍️✍️😋😋
Penda Sana bonge la ngoma
Came here because of Akeelah❤❤❤🔥🔥🔥🔥 Msichana si una sauti🙌🙌🙌🙌
babyyy girl I told you Allah got you love💝...Ma Shaa Allah
Ntamuoa
@@jimmycarter84 inakubalika pia😂
Hadi rahaa...
Ye she so 🔥🔥🔥🔥🔥
Kali ya mwaka hongera sana Ally mahaba na Akeelah kwa kazi safiii
Asnte sana
Akeelah am proud of u♥♥
Wangapi wamerudia hii nyimbo mara 10 tugongeni like tupeleke nyimbo kwa 1 million this week
Yaan hata siboeki🤞🤞🤞❤️❤️❤️❤️
Ally mahabba 💘 sijui nikupe zawadi gani
Yyte ntafuraia
Hii wimbo iko sawa zaidi.izi dizo nyimbo uwa nataka sinafunza
Qatar 🇶🇦favorite wapi likes 👍
Am Ruth hii song iko poa wap zile like kwa all mahaba na daa apa
Tik tok imenileta hapa 😍😍😍
Nimependa huwa naskiza karibu 20 tyms a day ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Big up my crew big up Shirkomedia for a big tune
Yeiyoooo
Dah!!!.. Ally huyu binti kamtoa wapi ana kipaji aiseee....
Ninesikia hii ngoma kwa kinuozi nikasema lazima nitafute n nani ameimba kumbe n mahaba🥰🥰🥰🥰
Asante sana kw upendo
Shukran sana
Safi
Bahali yake mkubwa 🔥🔥
Thanks Mombasa for the massive massive support.
The launch was superb 👌🙌👌
Chacha the don
Tuva the mzazi.
Nyota ndogo
Chapatizzo
Kama ulikua gonga like
Imetufuraisha na kutujenga zaid
thanks
Sikua lakini nimegonga like ....song hatari hii
MARTIN MUITHYA in
Wowww
wimbo mzuri lakini views hamna... wapi mnafeli wakenya ? ingekua kwetu bongo tunapenda wasanii wetu. saa hii ingekua millioni 3
Kweli kabsa
Ngoma kali sana wanamuzkii wetu...mistari yenye ufundi. Afu shirkomedia uko🔥🔥🔥💥
#shirkomedia
#allymahaba
#akeelah
#atlmusic
#armoury
#001
Asnte Sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I like the conversation mulifanya
Akheella ni madini adim na ghali sokoni ana brighter future
Very Nice Bro,,,,,,Hiyo Kali Kweli
Nawakumbuka Sana siku mlikwa Narobi utawala niliwapeleka royal media service.........cheers
Soom mumeweza snaa wallahy hilo goma hiko juuuh
Lazima nicheze huu wimbo mara kama nne asubuhi bfo niende job...naiiipenda
Asante sana
Hio hatari
kama unamini hi nymbo umejifinza weka like hapa twende sawa
Safii
Mwili wanisisimka Kwa hii nyimbo nzur
Waooo 💃💃
Daa kweli imetosha hii inanihusu kabisaa
Wow nzuri sana nmependa 💖💖💖💖💖💖💖💖
big up saana, , , kazi nzuri