I never knew this,,, but I have never hated you. Actually I was proud of you for wanting to walk on your own. Kujitegemea ni muhimu... Keep going. Never give up. Love from Kenya
Imenigusa sana hii situation br 😭😭😭Inauma Sanaaa br , NEVER GIVE UP ka mkubwa mungu yupo ataleta wepec na hata hapo ulipo fika ni kwa nguvu za muumba , Pole sanaaa
I feel for this lovely bro😭😭We never knew of this but sasa tumejua ukweli uliopo mpaka nimejipata machozi yatoka😭😭pole sana kwa uliyo yapitia mungu azidi kukubariki..Kenya Tunakupenda sana bro❤️
Mungu akikueka utaekeka tu, alijidhani yy ndio Mungu. Ni hivo mtu akitoka umaskini hataki tena kurudi pale ila dai alisahau mali ni leo ww kesho mm. Pole hamo🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺 Firdaus from 🇬🇧 🇬🇧
The purest of Gold has to go through Fire. You have gone through the WCB Fire my brother, but you have come out a better person. We love you Harmonize.
i have always been ur fan harmonize from day one. hata nikiwatch behind the scene ya kwangwaru na ile traki ya diamond na patoranking niliona diamond amfanyia harmonize madharau mbele ya watu. i felt bad watching the videos and u did the right thing kutoka huko
Konde boy 🔥🔥🔥and Konde ganga for everybody 🔥🔥🔥 its time to end this , people hate this guy for nothing, keep going ✊✊and thank you for opening our eyes,its been crazy all these years.
I remember mama told m my boy! Binadamu hawana wema ! Watakuchekeaga wusoni usiwape kisogo wanakusema! Usihifadhi chuki moyoni yalipe mabaya kwa mema! Jifanye hukumbuki huyaoni ndo mandiko yanavo sema!!! Mutaangulize mungu papa!! Don't mind him!!!
Bees they only pollinate bright flower 🌺,Tembo wewe ni bright flower acha bees ( wcb) those are your bees without you nothing they can do without you, your their foundation kip going Teacher ..... We love you from Dubai🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
IF pple think very well why Diamond has never done more collaboration with zuchu, i think Diamond knew zuchu might overtake him and something he doesnt want. He want to be THE only star and not passed by anyone else.
Nishakuwa shabikiako kama ndio ukweli huu lakini acha sasa mitungi na kadharau kujitapatapa... nitaanza kukushabikia na nimegundua wewe na diamond mulichonganishwa na watu waliokuwa wanawazunguka
I have been hating on you for no good reason bro,effective today mimi shabiki wako Konde boy,Tatizo ni kwamba ulikimya tutakulaumu.Much love from the 254
Pole sana kk mimi pia nilikuwa nakuchukia sana baada yakutolea wasapi ipa kuwanzia leoo broo sina kunyongo na wewe/ wewe ni mpambanaji nishakuona ola mungu atalipa endelea kupambana jeshi
Jelous is a root of evil all this is because of jelous and selfishness the guy doesn't want any one to be on top of him or doing the best than he doesn't but wory out harmo God is gud all the time keep going
I used to love diamond platnumz and consider him the best and hard-working artiste in Tanzania and even Kenya but after listening to this I became utterly shocked. I thought he (Diamond platnumz) is a kind-hearted person but from this message I have learn that he is jealous and wanna succeeded alone in the music industry . For m ,,as from now Alikiba and Harmonize are the best artistes in Tanzania ,,not forgetting Rayvanny. Diamond platnumz Nah. Mtu ako na wivu hapana.
For God sees where no man can't and for He hears what man can't . Mola akubariki Harmonize 🙏🏾 . You always teach me peace of mind is a weapon above all . You're a good conflict manager ✅ 🇰🇪 .
😭😭😭dah story hii Leo nakua shabiki wa harmonize ngoja kwanza niend ni mfollow 🙏🙏🙏🥀🥀🥀tunaoenda kumfollow Leo 2juane
Tumfollow hyu kaka kapitia mengi!
Wewe Tu sijui umechelewa wap
Kwani mlikua wapi kitambo hiko karibuni chama la wana
Karibu nyumbani ❤❤
@@bolingomwana5963 ahahahh 😂😂 watu tulikua tunamshabikia kigumugumu sana saivi tunacomment bila wasiwasi wa matusi ya mashabiki wao
I never knew this,,, but I have never hated you. Actually I was proud of you for wanting to walk on your own. Kujitegemea ni muhimu... Keep going. Never give up. Love from Kenya
Me I used to hate him bila kujuwa
💛❤🙏🏻
Daah kumbe🙏🙏🙏🙏
Duh!,jina LA jeshi kumbe sio bure ndgu yangu pole Sana kwa ulio pitia mungu yupo endelea kupamban never give up 🐘🐘🐘🐘 salute
Imenigusa sana hii situation br 😭😭😭Inauma Sanaaa br , NEVER GIVE UP ka mkubwa mungu yupo ataleta wepec na hata hapo ulipo fika ni kwa nguvu za muumba , Pole sanaaa
Hakika NEVER GIVE UP , don't worry GOD BLESS HARMO
Aiseee 😤😭😭 yaan nmesikiliza mwanzo mwisho aisee 😭😭😭 pia mm nmelia kusema ukweli yaan harmonize Mwenyezi Mungu akutilie wepesi Amen 🙏🙏
Pole sana mzee maana nlikuwa nakuchukia sana asee
😭😭😭
Mungu yupo harmonize alikokutoa ni mbali na unakokwenda ni mbali sana.mungu azidi kukupigania na akuinue hadi maadui zako waaibike
Daaah Hii Story Imeniliza Sana😭😭😭😭 Harmonize Kutoka Leo Mimi Shabiki Yako😭😭😭😭💪💪💪
Karibu chama la wana
maskini mpak machoz yananitoka dimond ni mby sana
Welcome aisee
Wazee wazima mnalia😅😅😅
@@chief2177 Humuoni jeshi mwenyewe kalia
I'm crying after watching this story pls don't give up Jeshi
Me too
@@judithnyanch431 njoo nikufute machozi
I feel for this lovely bro😭😭We never knew of this but sasa tumejua ukweli uliopo mpaka nimejipata machozi yatoka😭😭pole sana kwa uliyo yapitia mungu azidi kukubariki..Kenya Tunakupenda sana bro❤️
Mungu akikueka utaekeka tu, alijidhani yy ndio Mungu. Ni hivo mtu akitoka umaskini hataki tena kurudi pale ila dai alisahau mali ni leo ww kesho mm. Pole hamo🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺 Firdaus from 🇬🇧 🇬🇧
Dah mshakaji kanitoa machozi.. pole sana harmonize I feel your pain bro
Mmmmh umetowa machoz wakati unaandika kwa furaha hvyo umehuzunika ila hujalia
Story nzury🤣🤣😂🤣
The purest of Gold has to go through Fire. You have gone through the WCB Fire my brother, but you have come out a better person. We love you Harmonize.
i have always been ur fan harmonize from day one. hata nikiwatch behind the scene ya kwangwaru na ile traki ya diamond na patoranking niliona diamond amfanyia harmonize madharau mbele ya watu. i felt bad watching the videos and u did the right thing kutoka huko
Let's follow him tupite huyo Diamond love from Kenyattas kids🇰🇪🇰🇪
Safi Sana Jeshi 🔥♥️🐘🐘🐘 wanyooshe wengi tulikua hatujui yote hayo wewe ni mtu ktk watu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Konde boy 🔥🔥🔥and Konde ganga for everybody 🔥🔥🔥 its time to end this , people hate this guy for nothing, keep going ✊✊and thank you for opening our eyes,its been crazy all these years.
Yes yes yes thanks for opening our eyes to see and ears to listen
We love you harmonize IAM your fan kwanzia leo
Leo mumejua ukweli ni upi..kila siku wakina h baba wakisema na mwijaku wanaonekana wabaya leo mmakonde ameamua kuyasema ya moyoni
Kina mama levo na lokole
Ndo mjue watu wamebeba siri nzito,napia msipende kuskiliza upande mmoja
Never give up jeshi. Mungu yupo na ww
So sad....keep going never give up...mob love from Kenya🇰🇪🇰🇪
Nilikuchukia bure bro😭😭😭one love
Never give up your star is about to shine more than that
Let them say the truth will finally come out
Wallah mapenzi niliokupenda yamezidi mara 10. Harmo Allah yupo kaza buti baba watashindwa
Such a humble guy this is so sad I cried when he started talking about how his mom has struggled 😢 I love this guy
Hakika huyo mond na kundi lake wanyonyaji sana
Ata Mimi naweza kusema hivyo ukalia tu
Never give up
Harmonize still having that tatto😭😭you are a legend
No matter what Konde we still there to sapport you
I remember mama told m my boy! Binadamu hawana wema ! Watakuchekeaga wusoni usiwape kisogo wanakusema! Usihifadhi chuki moyoni yalipe mabaya kwa mema! Jifanye hukumbuki huyaoni ndo mandiko yanavo sema!!! Mutaangulize mungu papa!! Don't mind him!!!
Jeshi 🇰🇪 254 namba one soldier.... always no.1
Pole sana bro nakukubali jesh usikonde mungu yuko
U are the real teacher bro keep going never give up jeshiiii
I feel bad time mwanaume hulia ...so painful....Kenya 🇰🇪🇰🇪 twakupenda bro
Bees they only pollinate bright flower 🌺,Tembo wewe ni bright flower acha bees ( wcb) those are your bees without you nothing they can do without you, your their foundation kip going Teacher ..... We love you from Dubai🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
I have like this the way uh have put it
Pole sana Konde boy umepitie mengi.
Daah mtegemee mungu jeshi🙏🙏🙏
I LOVE DIAMOND SO MUCH but on this am not happy KEEP GOING HARMONIZE utafika 🔥🔥🔥 but after this usiwe muongeaji tena acha God akupiganie Don't panic
Nakubali sana jesha langu....
It's clear kusaga ndio owner of wasafi
Imeisha iyo
KUMAMAMAKEEEEEEEEEEEE... UYO NDO JESHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII... BIG UP BROTHER....
Uyu mwana mpole jameni tuseme ukweli hasa ndo nyimbo zake mingi zina usia sana
Najisikiya vibaya sana pole sana kwakweli
Wakati wa mungu ni sahihi hamo pole sana kakangu 😭😭😭😭😭😭
Sema baba sema 😂😂😂😂👌
Atapike yote 😅
hata mimi hii interview imeniliza kwa kweli.harmonize i salute you bro . pambana na life bro mungu yuko
Umeona eeh yaan dunian kuna watu wa ajabu sana daah halafu nimejefunza mengi kupitia hizi interview za hamonize benadamu wabaya
Daaaaaaaah polee harmo imeniskitisha sana, ila mungu alishakuandikia.
Waaaah God is with you broo we are waiting you in Kenya 🙏🙏🙏
I can't stop crying 😭😭😭😭😭😭😭
Hata mie mwenzio nimeshanga kabisa
IF pple think very well why Diamond has never done more collaboration with zuchu, i think Diamond knew zuchu might overtake him and something he doesnt want. He want to be THE only star and not passed by anyone else.
Zuchu ambaye hata mbosso hamfikii ndo unasema aje ampiku Diamond? Hahahahaha
Very true....
Nishakuwa shabikiako kama ndio ukweli huu lakini acha sasa mitungi na kadharau kujitapatapa... nitaanza kukushabikia na nimegundua wewe na diamond mulichonganishwa na watu waliokuwa wanawazunguka
I have been hating on you for no good reason bro,effective today mimi shabiki wako Konde boy,Tatizo ni kwamba ulikimya tutakulaumu.Much love from the 254
Pole sana kk mimi pia nilikuwa nakuchukia sana baada yakutolea wasapi ipa kuwanzia leoo broo sina kunyongo na wewe/ wewe ni mpambanaji nishakuona ola mungu atalipa endelea kupambana jeshi
Go on tembo we are proud of you hv hustle alot our jeshi love u
Polee bro the journey ilikua ngumu Sana,
Nakupa ucaptain kuanzia leo wew ni mwamba pambana ya hela yooote👮♂️
The definition of a strong mann... Keep grinding my guy💪🙌🙌
Am crying 😭 keep it up jeshi
Aisee nlikuwa ckukubali ila kwa ukweli huu shabik ako from nw
Big up teacher konde💪💪💪💪
Kuna watu wamelia sna walivyokuckiliza dah!😭😭😭😭😭
End of Wasafi ad Diamond..
Kwishaa kuwa mlale😎😎
Simba hakatishwagi tamaa kiivo
Mashabiki msimchukie konde eleweni anayopitia.. napenda WCB lakini mond aache za chini hizo..
Watu wanamuona king kiba mmbaya hawajui diamond is akiller
Jelous is a root of evil all this is because of jelous and selfishness the guy doesn't want any one to be on top of him or doing the best than he doesn't but wory out harmo God is gud all the time keep going
This interview could make you cry deliberately
Dah!pole sana umu duniani tunapitia mitiani mingi 😢😢
Konde Earth was Hard .
Mungu alikupa nguvu.
Kabisa
Never give up bigup Harmonize love you from kenya
One luv konde boy,ww unaroho ya ki Rastafari Mungu atamsimamia Inshallah 🙏🙏
My commander tembo u are always my Best salute bro
nyie huu kaka kumbe ameteseka sana kule 🤔🤔🤔
Lazima tuelewe hamo ni jasir sana milion Mia tano ametoa wazazi wake maskin nn sasa mungu akubariki kwa sana
Pole Mungu akusimamie milele na utaendelea zaidi ya hapo
Pole sana kk sisi tuko kwajili yako jeshi
Waah,,, harmonize alisuffer,, anyway your star will never dim
Don't give up....kondeboy for everybody
Nakupenda hamo ila nakuonea huruma naona kama atakauwa hv!..😭😭
Amejipanga yuko vizuri hapo alipofika wamemshindwa miaka mitatu sasa ni mmakonde huyu alafu Mungu ana manguvu sanaa.... Tumuombee
Mmmh bas2
Pole sana
Konde boy wee ni jeshi hakika weee kijana mpambanaji na kukubali sanaa ✍️💯✌️💪
I used to love diamond platnumz and consider him the best and hard-working artiste in Tanzania and even Kenya but after listening to this I became utterly shocked. I thought he (Diamond platnumz) is a kind-hearted person but from this message I have learn that he is jealous and wanna succeeded alone in the music industry . For m ,,as from now Alikiba and Harmonize are the best artistes in Tanzania ,,not forgetting Rayvanny. Diamond platnumz Nah. Mtu ako na wivu hapana.
You were wrong
Pole sana bro,,bora umetuelewesha
Konde gang inafanya poa manzee big up msee w mine i totally love ua songs keep going
Pole sana kbsa
Daaaah pole sana bro
Rick tunataka party 5 halaka sis tuliopo nje tunataka habari zako tuma chap chap
God is there for bro
Maskini 😢HARMONIZE pole sana aca ibaki storie tu kwa sasa ni zilipendwa
For God sees where no man can't and for He hears what man can't . Mola akubariki Harmonize 🙏🏾 . You always teach me peace of mind is a weapon above all . You're a good conflict manager ✅ 🇰🇪 .
Weka namba 4 bana nusu nusu unapunguza utamu
God is with you bro
Mashallaah watu wanajiudhuru leo😂😂🙌🙌
Never give up broo. Nakuelewa sana
Jeshi🔥💖
Diamond ukimuona kwenye kamera anajifanya mpole ni mtu hatari Sana kwenye mziki
Umesema ukwelii
Dunia simbaya binadamu ndowabaya
@@m.mmarckus6298 kidela😁😁
@@rukiaiddyyahaya9506 😁😁😁et kidela
@@fizomedia5112 hahaha hatar
Pole sana Konde boy
The reason he about to be the best, wivu aujengi aise, am his fun since Aiyola 💯💯💯
Pole sana bro
keep going konde boy. Konde Music Worldwide...
Daah ndg yangu pole sana tupo pamoja shabiki zako tupo na ww
HARMONIZE NAKUKUBALI SANA BROTHER USIKATE TAMAA NDUGU YANGU
Daaah pole sana asee ila riziki haipotei
Nimeumia sanaaa😭😭😭😭