Bro mambo vipi sijui Sana kuhusu Sheria za amerika lakini nafahamu kuwa intelligence Yao iko juu sasa ushauri wangu usiwe unajirekodi hasa unapovunja Sheria Kwa kutolipa nauli katika treni maana hizi video zako zinawafikia watu wengi na hauwezi jua zinaweza kukuletea athari ukarudishwa nyumbani kk
Nakukubar San brother kaka
Kuwa live TH-cam baba mzazi
Hakika mzee.
Kweli kaka mimi mwenyewe napanga safari kka mkubwa
Bro mambo vipi sijui Sana kuhusu Sheria za amerika lakini nafahamu kuwa intelligence Yao iko juu sasa ushauri wangu usiwe unajirekodi hasa unapovunja Sheria Kwa kutolipa nauli katika treni maana hizi video zako zinawafikia watu wengi na hauwezi jua zinaweza kukuletea athari ukarudishwa nyumbani kk
Utarudishwaje wakati wewe ni Transit wanakosea