Humkuti akivaa nguo za ajabu nilipenda ile ya wanaume tupo mbona siwaon huyu mama nampenda sana Tulia kaongea pwent japo anazunguka lazima muwe mfano kwa jamii
Sipendi jinsi Waziri wa Afya anavyozungumza na 'subordinates' wake ... anaonekana ana kiburi... Ni kama anawadharau... Asante sana kwa kunisikiliza... Naomba kuwasilisha...🙃🙃🙃
Umekosa haya we binti Sarah. Mbona unajina kubwa la muanzilishi wa jamii duniani alafu hunanidhamu? Waziri wa afya Ni mwanamke, na aweza kukuzaa... VIP wamzalilisha hivyo? Alafu elewa nimke wa mtu Yule,, Pima kaulizako kabla hujaongea.
@@wingodmruma8925 Jibu zuri, ndugu yangu... Lakini je, mbona hamkusema chochote wakati Rais Mama Samia anatukanwa ? Yeye si mwanamke, mke wa mtu, tena mzazi ? Au ni maadili ya Watz kumdhalilisha Rais wao?! Ushauri wangu, tuwaheshimu viongozi wetu... Wakikosea, wakosolewe politely...
@@j.c.maxima816 Nisahihi kabisa. Kuwana mipaka ktk kukosoa kwa kuhakikisha haitokei utovu wa nidham kwa wengine nijambo la muhimu Sana. Ndomana hata maandiko yameweka wazi kwamba tuheshim wazazi ili tupate kuishi sikunyingi na zaheri duniani. Napia ktk utashi tunaambiwa tuwatendee wengine Yale ambayo nasisi tukitendewa tutaridhika. Kwalugha nyingine usimtendee mwingine kile usichopenda kutendewa. Hivyo kuzingatia maadili nijambo muhimu Sana. Nami naishauri jamii kwaujumla tuwe na staha ktk kuonya ,kushauri, hatakukosoa, tuwe na kiasi. Nahilo nijema kwa BWANA. Kila asomaye na afahamu.
Kazi iendelee. Jamani khs hili na mavazi ya heshima bungeni, nawaomba ndugu zangu msicomment na kupitiliza. Hawa wabunge vijana ni chapakazi wazuri Sana, ila ili kweka Mambo sawa, naomba ipitishwe kuwa KUWEPO vazi rasmi la kibunge. Kama vile mtu anapopokea degree yake anavaa vazi rasmi, Majaji n.k. hapo bungeni waheshimiwa hawaji kuonyesha fashion show, wako kazini. Nguo zao BINAFSI wavae baada ya saa za kazi. Kwa mchanganyiko rika ulivyo humo ndani bungeni, hili la mavazi ya heshima mtakesha nalo. Kwasababu kwa asilimia kubwa NI kitu "subjective" Au itamkwe kuwa wabunge wakiwapo bungeni wote wavae suti za rangi fulani. Tatizo, wengine watashona sketi fupi sana, za kubana Sana n.k. hata vijana wetu wa kiume wanaweza wakavaa suruali za kubana Sana (modal). Suluhusho libuniwe vazi rasmi. Mbona spika na naibu wake Wana vazi rasmi? Inashindikana Nini kwa wabunge? NAOMBA kuwasilisha. (Raia mwema)
Sema Tulia naona umeogopa mno kusema direct point , unazunguka zunguka mno. Waambie tu waache kuvaa mavazi ya kihuni. Huko sio sehemu ya kutafute wanaume
After all vazi la heshima ni kitu subjective nionavyo Mimi. Mbona madiwani Wana vazi rasmi wanapokuwa kwenye vikao vyao? Pia naona vazi rasmi la kibunge itakuwa NI heshima sana.
Kazi iendelee. Mimi ni raia wa kawaida, (na Bibi pia) naomba nitoe mawazo yangu. Kuepusha tatizo la mavazi bungeni kwa ajili ya akina mama bungeni. Fanyeni kuwe na vazi rasmi kwa wabunge wote wawapo ktk eneo la na ndani ya bunge Kama vile ilivyo kwa spika na naibu wake. Kwa mfano huyo huyo mbunge anayevaa kivazi ka uchokozi-chokozi akiteuliwa kuwa judge leo, issue ya vazi akiwa kazini halina mjadala. Kwaajili ya tafauti ya age ndani ya bunge, wekeni vazi rasmi. k.m: Mimi ni mbunge Nina umri wa miaka Kati ya 30-35 utategemea dressing code/style yangu ifanane na mama mbunge wa miaka 50-60?. Wabunge. Itakuwa NI uonevu. Hongereni Majaji ktk hili m'mekata mzizi wa fitina. Una mvi huna! Wig la mvi utalivaa tu. Na Lile vazi/joho la kazi linakuhusu. Mavazi mengine ni baada ya saa za kazi.
Semina hiyo ilipasa/inapasa kuwapatia kabla hawajingia ndani ya Ukumbi Bungeni. Ukianza kuuwa afu ndo unachinja hicho kicginjwa kitakuwa kibudu. Wengi baadhi yao ni vijana wanaingia Bungeni na nidhamu za mitaani !
Kwa maoni yangu,,inaonyesha ni namna gani wanawake ktk jamii yetu walivyopoteza muelekeo,,kwa iyo jamii nzima ilivyopoteza muelekeo,kwa sababu wao ndio mashine ya kila kitu,,sasa ikiwa kipimo chake cha mavazi ni Rais ,,mimi simuelewi,,nilitegemea ajielekeze kwenye mila na desturi zetu na hasa dini zetu zinasemaje kwenye mavazi,,kwa sababu huko ndio kenye maelekezo sahihi ya mavazi,,venginevyo ni uthibitisho tu sahihi wa mmong,onyoko wa maadili ktk taifa letu,
mie naona sio suala la unakwenda kwa nani ndio uvae nguo za heshima ijapokuwa ni sawa kwa namna fulani. hivi zinaruhusiwa mitaani, ila sio kwa Rais! hivi rais na Mungu nani zaidi! mbele ya rais vivaliwe, ila mbele ya Mungu mitaani zisivaliwe!! kwa sababu hapo mtaani hayupo Mungu? ila tunasubiri pale ambapo yupo rais!!!! Rais ndiye aliyesema ujisitiri?!!! jamani hebu tuseme kwa kumrejea Mungu maana hata bungeni tunasikia Mungu akitajwa kwa mengine mengi yasiyokizana na matakwa ya mtaja Mungu. ila kwa upande wa Mavazi Mungu hatajwi kwamba ndio maagizo yake. wengine husingiza eti wako michezoni au beach ndio huvaa uchi!!!???? neno kujisitiri lina maanisha kujifunika mwingine asione. sasa Mungu amesema ujifunue beach? kwani huko hakuna watu watakaoona uchi wako? HILI NI GIZA LINALOTIWA PUMZI NA VISINGIZO KENGEUFU. Mungu wa wakristo amesema bayana "enyi wanawake vaeni mavazi ya kujisitiri" kadhalika na mungu wa waislamu. ukiwa chumbani kwako ndipo unaweza kukaa uchi pasipo kutengua Maagizo ya Mungu maana kuta za chumba ni vazi kwako linalokuficha watu wasikuone. hivyo ukiwa uchi chumbani umejisitiri. basi huko beach umesitiriwa na nini kama si ukengeufu? Mungu atakuridhia kwa sababu ulikuwa beach? je huko beach ni chumbani asikokuona mtu?. Kama kweli hawa watu hawajui mavazi ya heshima, mbona msibani wanavaa!!! Huyu mwanamke aliyevaa suruali bungeni, naamini msibani asingevaa hivyo, ile suruali angeifunika na kitenge. kujisitiri msibani ni kumdhalilisha mwanamke? kawaamuru nani huko katika kuwadhalilisha? Mungu gani kawambia mvae kujisitiri msibani?? HUYO NI SHETANI. utakuta eti mwanamke anavaa mavazi ya heshima msibani kujisitiri mwili, halafu akienda kanisani anavaa kikwapa nje na nguo za kubana na fupi. ibada ya sanamu hiyo. hata hivyo Mungu hakusema vaeni kujisitiri mkiwa kanisani au msibani, bali AMEAMURU MWANAMKE AVAE MAVAZI YA KUJISITIRI. "MTAWAJUA KWA MATENDO YAO" 2TIM 2:9,10
Naibu spika umetoa somozuri juu wa wadhifa wa mbunge, hasa awapo bungeni. Kwakua mbunge nimuwakilishi wa jamii, anatazamwa nawatu wengi. Nakwakweli muonekana wa kiongozi, na kaulizake Ni darasa kubwa zaidi kwajamii kuliko kile ahubiricho kwa maneno. Kwahiyo kuchunga mavazi hasa kwa viongozi nimuhimu Sana. Lakini nadhani mwende mbelezaidi, wakati wakuchagua viongozi, mabalozi, wabunge, nk. Jamani angalieni mienendo yamtu hukonyuma aliishije ktk jamii?? Maana mitandao haidanganyi na haisahau Jambo. Kamamtu alikua akiposti picha za uchi, au za aibu mitandaoni, kumbukumbuhizo zitabakidaima zikieleza yeye alivyo. Kwahiyo munapomchagua kuwakilisha eneoflani ktk serekali wananchi wanawashangaa Sana. Hatakujiuliza Serikali inaungamkono mmomonyoko wa maadili au ninini?? Nambayazaidi nikwamba kizazi kinachokua hakitoweza kutofautisha yepi Ni maadili. Kwakua wataona hata waliokiuka maadili uraiani bado wanapata nafasi za uongozi. Kwahiyo kuwanamipaka ya upatikanaji viongozi nijambo lamuhimu zaidi,. Ili vijana wasiochana wakue wakijua wakiendekeza tabia zisizonasifanjema hawatapata nafasi zaheshima mbeleni. Msimamohuo mkiuchukua itasaidia Sana jamii kuelimika. Kuliko ilivyosasa, kumpatamtu ukubwani bilakuangalia makuziyake Kama Ni ya adili au la. Ndo inakua aibu, bunge linakua nawatu wachache wanaowakilisha kamtaa kakuzimu, wakionywa wanasema ndivyo walivyozoea... Hatarisana. Watu jamii hiyo hawapaswi kua viongozi watapotisha jamii.
Kwanini wanawake ndiyo wamepewa nafasi ya viti maalum tafsiri yake nini wananchi tuelimishwe.Je ina Mahusiano ya kuhudumiana Wakiwa bungeni? Viti maalum ifutiliwe mbali wabunge wote wapigiwe jura Hayo jambo ya kubebana hayaeleweki
Waambie mbunge wangu tulia hapo kuna wengine sidiria zinaonekana wengine suruali ni aibu kweli nawewe jitahidi Mara zote kwani wewe ni MTU mkubwa sana tena rais mtarajiwa ila mm angu mikopo kwetu pale pamoto bado
JINSI YA KUONDOA TATIZO LA KIBAMIA NA UUME UNAOLEGEA NA KUWAHI KUFIKA KILELENI..kawa wewe upo na kiba100, au uume unalegea mapema wakati wa tendo, nijuze wasap 0755181922 nikuelekeze tiba.
Dada Tulia huwa nakupenda bure the way you talk, your voice na hekima zako ulizonazo.
Kwa mavazi umeeleza VZR/ Na Mungu akubariki kwa ufafanuzi hiyo nimeipenda.
Ninampenda Dr Tulia. Mwanamke msomi na mnyenyekevu.
Ahsante kwa kutusaidia/MAVAZI / na ndivyo Mungu anavyotaka.
Nakupendaga...una hekima na hara hapa tunaiona, unaeleweka sana tuu
I salute you Madam Vice Speaker. Good speaking
Sura zimewashuka aaaa ahsante Dr, tuliaa
your right mh.dr. Tulia.
Hongera naibusipika, kwakuwaelewesha wabishi
We MTOTO una busara sana.ujumbe wako mzuri.ujumbe umefika
Asante dada ngu
Sante tulia mimi nakupenda sana natamani ungekua ndugu yangu Mungu akubariki sana
Ahsante Sana. Suruali ile aliyovaa yule dada siku ile si nguo ya bungeni,
Kabisa bungeni sio disco
SAFI SANAA !!.MWENYE SIKIO NA ASIKIE.
Asanteeee
Safi sana mtumishi
Nimejifunza neno tusiwe sehemu ya watoa hukumu asante sana spika
... hapo umewaelekeza vizuri kwa hekima, lkn wakirudia mavazi yasiyo na maadili, wape makavu, hongera dada
Naibu spika leo umemwaga busara hongeara
Mimi nashauri wavae uniform"Ziwe suti' jtatu dutchblue+ jnne blacki+jtano blue+alhamis duchblue+ijmaa maroon++Tena Ziwe na nembo!
👍we want the same temparement in house
Nyie mmeenda kuokota wabunge mitaani mnatarajia nini?
Wao sio watoto wadogo bhana lazima wajiheshimu ili uheshimiwe sio kuvaa kama wanaenda party au disco au harusini ni UPUUZI MTUPU TU
Wafundishwe kua na adabu hao. Sio wananchi wapange line alfajiri kuwachagua afu wenyewe waka dange
About DC jockety answers caution
Leo nimekupenda tu bureee Ack. Tulia
Utamaduni wetu ni kuvaa mavazi ya heshima.
Namuona Waziri Gwajima hapo
nampenda huyu mama❤️❤️❤️
@@husnahassan2124 Nampenda saaaaana Dorothy Gwajimaq
Humkuti akivaa nguo za ajabu nilipenda ile ya wanaume tupo mbona siwaon huyu mama nampenda sana Tulia kaongea pwent japo anazunguka lazima muwe mfano kwa jamii
Sipendi jinsi Waziri wa Afya anavyozungumza na 'subordinates' wake ... anaonekana ana kiburi... Ni kama anawadharau... Asante sana kwa kunisikiliza... Naomba kuwasilisha...🙃🙃🙃
Naibu spika umeongea vzr sana
Kweri kabsa mtu mzima hupingwa kwa maneno nakupenda bule tulia mbunge wa mbeya mjini na naibu sipka hongera kwa maneno ya busara
Waziri wa Afya ana sura ya kiume sana angekuwa anavaa kama salama jabiri wengi tusinge amini kama ni mwanamke
Acha dharau binti
Umekosa haya we binti Sarah. Mbona unajina kubwa la muanzilishi wa jamii duniani alafu hunanidhamu?
Waziri wa afya Ni mwanamke, na aweza kukuzaa... VIP wamzalilisha hivyo? Alafu elewa nimke wa mtu Yule,, Pima kaulizako kabla hujaongea.
@@wingodmruma8925 Jibu zuri, ndugu yangu... Lakini je, mbona hamkusema chochote wakati Rais Mama Samia anatukanwa ? Yeye si mwanamke, mke wa mtu, tena mzazi ? Au ni maadili ya Watz kumdhalilisha Rais wao?! Ushauri wangu, tuwaheshimu viongozi wetu... Wakikosea, wakosolewe politely...
@@j.c.maxima816 Nisahihi kabisa. Kuwana mipaka ktk kukosoa kwa kuhakikisha haitokei utovu wa nidham kwa wengine nijambo la muhimu Sana. Ndomana hata maandiko yameweka wazi kwamba tuheshim wazazi ili tupate kuishi sikunyingi na zaheri duniani. Napia ktk utashi tunaambiwa tuwatendee wengine Yale ambayo nasisi tukitendewa tutaridhika. Kwalugha nyingine usimtendee mwingine kile usichopenda kutendewa. Hivyo kuzingatia maadili nijambo muhimu Sana. Nami naishauri jamii kwaujumla tuwe na staha ktk kuonya ,kushauri, hatakukosoa, tuwe na kiasi. Nahilo nijema kwa BWANA. Kila asomaye na afahamu.
Wambunge wanawake mvae mavazi ya heshima mjue mnasimamia wanachi wa eneo mbunge lenu.
Mbunge ni kiongozi anapaswa avae mavazi yanayopresent nafasi yake.
Kazi iendelee. Jamani khs hili na mavazi ya heshima bungeni, nawaomba ndugu zangu msicomment na kupitiliza. Hawa wabunge vijana ni chapakazi wazuri Sana, ila ili kweka Mambo sawa, naomba ipitishwe kuwa KUWEPO vazi rasmi la kibunge. Kama vile mtu anapopokea degree yake anavaa vazi rasmi, Majaji n.k. hapo bungeni waheshimiwa hawaji kuonyesha fashion show, wako kazini. Nguo zao BINAFSI wavae baada ya saa za kazi. Kwa mchanganyiko rika ulivyo humo ndani bungeni, hili la mavazi ya heshima mtakesha nalo. Kwasababu kwa asilimia kubwa NI kitu "subjective" Au itamkwe kuwa wabunge wakiwapo bungeni wote wavae suti za rangi fulani. Tatizo, wengine watashona sketi fupi sana, za kubana Sana n.k. hata vijana wetu wa kiume wanaweza wakavaa suruali za kubana Sana (modal). Suluhusho libuniwe vazi rasmi. Mbona spika na naibu wake Wana vazi rasmi? Inashindikana Nini kwa wabunge? NAOMBA kuwasilisha. (Raia mwema)
Vaeni kama wazili wa afya yuko vizuli
☑️
Dr Gwajima namkubali, lakini ajitahidi tu kubadili namna yake ya kuzungumza... Mungu ibariki Tz,,, 🙏🏽🙏🏽 🇹🇿🇹🇿🤲🏾🤲🏾
Yale yalokuwa yanatetea ujinga aibu imewashuka shuki.
Na hao wamama watu wazima wanaotetea ujinga awavalishe wtt wake kudanga nje ya bunge
Hao viumbe wanaitaji semina maana bunge sio sehemu ya kudanga
Jamani kwani wamesahau rejesta
varni nguo za kisilamu tu ndio mavazi ya heshima
Sema Tulia naona umeogopa mno kusema direct point , unazunguka zunguka mno. Waambie tu waache kuvaa mavazi ya kihuni. Huko sio sehemu ya kutafute wanaume
Inaitwa busara
Hahahaaa Bro Humphrey!
Tumekuelewa sana mheshimiwa...mwenye masikio amesikia...japo hujaweka wazi sana..
Ukiwa kiongozi usitafune Maneno dada,! Funguka. Mbn Kama nawew niwalewale
Kwahiyo unafundisha watu kuvaa nguo kubana au
Kwaza.wekeni.utaratibu.wa.simu.bungeni.wasingiyenazo.wengine.wanachezea.simutu.wamesha.jisahau.nawakati.wametumwa.na.wananchi
Km vp wapewe sare maalum
Doctor tulia ...upo vinzur sana
Unaongea taratibu wasipo kuelewa bac
Bonge la point Tulia umenena.
Kwa maneno hapo nimemkumbuka CHALAMILA🤔🤔🤔
Wafunde hao wasiojielewa hatutaki kuona maumbile yao
Kwanini mnatuonesha Sana huyo.
Flavian Matata aisikie hii alipouliza lile vazi lilikuwa na kasoro gani....
After all vazi la heshima ni kitu subjective nionavyo Mimi. Mbona madiwani Wana vazi rasmi wanapokuwa kwenye vikao vyao? Pia naona vazi rasmi la kibunge itakuwa NI heshima sana.
Mbona apo wamepeza,
kuna mmoja apo namuona amekosa maadili amevaa suluale imembana alafu apo anachati2 haskilizi
Kweli.
Uko sahihi tulia unabusara hao hawajitambui wanatuvalia mavazi ya kikahaba
Kwani hiyo ni shule?. Yaani Tuko wapi jamani?. Mbona tuna rudisha kwenye ukoloni. Watu wavae wanavyotaka, bali wavae kiheshima.
Mbunge kuvaa hajui halaf eti anapinga kudhalilisha wanawake kijinsia inashangqnza sana utaanzwa ww ss kudhalilishwa
Kazi iendelee. Mimi ni raia wa kawaida, (na Bibi pia) naomba nitoe mawazo yangu. Kuepusha tatizo la mavazi bungeni kwa ajili ya akina mama bungeni. Fanyeni kuwe na vazi rasmi kwa wabunge wote wawapo ktk eneo la na ndani ya bunge Kama vile ilivyo kwa spika na naibu wake. Kwa mfano huyo huyo mbunge anayevaa kivazi ka uchokozi-chokozi akiteuliwa kuwa judge leo, issue ya vazi akiwa kazini halina mjadala. Kwaajili ya tafauti ya age ndani ya bunge, wekeni vazi rasmi. k.m: Mimi ni mbunge Nina umri wa miaka Kati ya 30-35 utategemea dressing code/style yangu ifanane na mama mbunge wa miaka 50-60?. Wabunge. Itakuwa NI uonevu. Hongereni Majaji ktk hili m'mekata mzizi wa fitina. Una mvi huna! Wig la mvi utalivaa tu. Na Lile vazi/joho la kazi linakuhusu. Mavazi mengine ni baada ya saa za kazi.
Semina hiyo ilipasa/inapasa kuwapatia kabla hawajingia ndani ya Ukumbi Bungeni.
Ukianza kuuwa afu ndo unachinja hicho kicginjwa kitakuwa kibudu.
Wengi baadhi yao ni vijana wanaingia Bungeni na nidhamu za mitaani !
Kwa maoni yangu,,inaonyesha ni namna gani wanawake ktk jamii yetu walivyopoteza muelekeo,,kwa iyo jamii nzima ilivyopoteza muelekeo,kwa sababu wao ndio mashine ya kila kitu,,sasa ikiwa kipimo chake cha mavazi ni Rais ,,mimi simuelewi,,nilitegemea ajielekeze kwenye mila na desturi zetu na hasa dini zetu zinasemaje kwenye mavazi,,kwa sababu huko ndio kenye maelekezo sahihi ya mavazi,,venginevyo ni uthibitisho tu sahihi wa mmong,onyoko wa maadili ktk taifa letu,
mie naona sio suala la unakwenda kwa nani ndio uvae nguo za heshima ijapokuwa ni sawa kwa namna fulani. hivi zinaruhusiwa mitaani, ila sio kwa Rais! hivi rais na Mungu nani zaidi! mbele ya rais vivaliwe, ila mbele ya Mungu mitaani zisivaliwe!! kwa sababu hapo mtaani hayupo Mungu? ila tunasubiri pale ambapo yupo rais!!!! Rais ndiye aliyesema ujisitiri?!!! jamani hebu tuseme kwa kumrejea Mungu maana hata bungeni tunasikia Mungu akitajwa kwa mengine mengi yasiyokizana na matakwa ya mtaja Mungu. ila kwa upande wa Mavazi Mungu hatajwi kwamba ndio maagizo yake. wengine husingiza eti wako michezoni au beach ndio huvaa uchi!!!???? neno kujisitiri lina maanisha kujifunika mwingine asione. sasa Mungu amesema ujifunue beach? kwani huko hakuna watu watakaoona uchi wako? HILI NI GIZA LINALOTIWA PUMZI NA VISINGIZO KENGEUFU. Mungu wa wakristo amesema bayana "enyi wanawake vaeni mavazi ya kujisitiri" kadhalika na mungu wa waislamu. ukiwa chumbani kwako ndipo unaweza kukaa uchi pasipo kutengua Maagizo ya Mungu maana kuta za chumba ni vazi kwako linalokuficha watu wasikuone. hivyo ukiwa uchi chumbani umejisitiri. basi huko beach umesitiriwa na nini kama si ukengeufu? Mungu atakuridhia kwa sababu ulikuwa beach? je huko beach ni chumbani asikokuona mtu?. Kama kweli hawa watu hawajui mavazi ya heshima, mbona msibani wanavaa!!! Huyu mwanamke aliyevaa suruali bungeni, naamini msibani asingevaa hivyo, ile suruali angeifunika na kitenge. kujisitiri msibani ni kumdhalilisha mwanamke? kawaamuru nani huko katika kuwadhalilisha? Mungu gani kawambia mvae kujisitiri msibani?? HUYO NI SHETANI. utakuta eti mwanamke anavaa mavazi ya heshima msibani kujisitiri mwili, halafu akienda kanisani anavaa kikwapa nje na nguo za kubana na fupi. ibada ya sanamu hiyo. hata hivyo Mungu hakusema vaeni kujisitiri mkiwa kanisani au msibani, bali AMEAMURU MWANAMKE AVAE MAVAZI YA KUJISITIRI. "MTAWAJUA KWA MATENDO YAO" 2TIM 2:9,10
Kama kikao ni cha maadili; waambie kwamba suluali kwa mwanamke siyo vazi nadhifu.
Naibu spika umetoa somozuri juu wa wadhifa wa mbunge, hasa awapo bungeni. Kwakua mbunge nimuwakilishi wa jamii, anatazamwa nawatu wengi. Nakwakweli muonekana wa kiongozi, na kaulizake Ni darasa kubwa zaidi kwajamii kuliko kile ahubiricho kwa maneno. Kwahiyo kuchunga mavazi hasa kwa viongozi nimuhimu Sana.
Lakini nadhani mwende mbelezaidi, wakati wakuchagua viongozi, mabalozi, wabunge, nk. Jamani angalieni mienendo yamtu hukonyuma aliishije ktk jamii?? Maana mitandao haidanganyi na haisahau Jambo. Kamamtu alikua akiposti picha za uchi, au za aibu mitandaoni, kumbukumbuhizo zitabakidaima zikieleza yeye alivyo. Kwahiyo munapomchagua kuwakilisha eneoflani ktk serekali wananchi wanawashangaa Sana. Hatakujiuliza Serikali inaungamkono mmomonyoko wa maadili au ninini?? Nambayazaidi nikwamba kizazi kinachokua hakitoweza kutofautisha yepi Ni maadili. Kwakua wataona hata waliokiuka maadili uraiani bado wanapata nafasi za uongozi. Kwahiyo kuwanamipaka ya upatikanaji viongozi nijambo lamuhimu zaidi,. Ili vijana wasiochana wakue wakijua wakiendekeza tabia zisizonasifanjema hawatapata nafasi zaheshima mbeleni. Msimamohuo mkiuchukua itasaidia Sana jamii kuelimika. Kuliko ilivyosasa, kumpatamtu ukubwani bilakuangalia makuziyake Kama Ni ya adili au la. Ndo inakua aibu, bunge linakua nawatu wachache wanaowakilisha kamtaa kakuzimu, wakionywa wanasema ndivyo walivyozoea... Hatarisana. Watu jamii hiyo hawapaswi kua viongozi watapotisha jamii.
Bado hujaeleweka.unaona aibu.kuwa muwazi
Camera.inamurika.upande.mmoja.vipi.unanini.na.mawani.na.dada.mweupe.weeee.achana.na.dada.yangu
Kwanini wanawake ndiyo wamepewa nafasi ya viti maalum tafsiri yake nini wananchi tuelimishwe.Je ina
Mahusiano ya kuhudumiana
Wakiwa bungeni? Viti maalum ifutiliwe mbali wabunge wote wapigiwe jura
Hayo jambo ya kubebana hayaeleweki
Mbona hunenepi et
Ni kosa?! ha ha ha! 😂😂😂
Mambo ya Kibongo usikute wapo hapo na wanachukua sitting allowances hela ndefu tu
Wanaachaje sasa
Kabwela Suti Viraka, eti "Mambo ya kibongo..." Ulitaka wawe na ya wapi huku ukiwajua ni wabongo? Je, wewe unayo ya kiwapi...??!!
Kwendeni huko Tz hatupendani kabisa mbona zari aliingia na suruali lake
Kje kje kje.
Zari sio mbunge!
Zari sio mtanzania ni Mganda.
Safisanadada
@@nishasalim2880 Sio mbunge lkn ukienda kwa wenyewe unatakiwa kufuata sheria za wenyeji wako
Tatizo sketi ndefu hamtaki
Tulia ulistahili kuwa dume wenzio hawajitambui kama wako bungeni ua mziki
Waambie mbunge wangu tulia hapo kuna wengine sidiria zinaonekana wengine suruali ni aibu kweli nawewe jitahidi Mara zote kwani wewe ni MTU mkubwa sana tena rais mtarajiwa ila mm angu mikopo kwetu pale pamoto bado
JINSI YA KUONDOA TATIZO LA KIBAMIA NA UUME UNAOLEGEA NA KUWAHI KUFIKA KILELENI..kawa wewe upo na kiba100, au uume unalegea mapema wakati wa tendo, nijuze wasap 0755181922 nikuelekeze tiba.
Una hikma sana
Mbna umetukatia huo mkutano wee dogo bhana wacha hizo
Bro wewe ni mkubwa sana kwenye hii tasnia.Picha za wasikilizaji zinajirudia rudia sana kitu ambacho siyo kawaida yako.
Dada Tulia huwa nakupenda bure the way you talk, your voice na hekima zako ulizonazo.