Kamata njia za kupata Mtaji, Fursa na Kukuza au kuanza biashara...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มี.ค. 2018

ความคิดเห็น • 8

  • @yasinikateula6605
    @yasinikateula6605 4 ปีที่แล้ว +1

    Vipindi hivi Mara nyingi ni watu wachache sana wanaoangalia na ukiangalia ni muhimu sana kusikiliza lkn cha ajabu watu wanaoangalia sana vitu ambavyo si vya muhimu kama music,maigizo

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 5 ปีที่แล้ว +1

    jamaa yuko SMART kichwani,fresh sana

  • @furahamunisi7373
    @furahamunisi7373 5 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi ni kizuri sana sana ila wakati mwingine tupeni contacts za hao role models ili kama kuna kitu unahitaji kupata ushauri kwake ujue unamapata wapi/kivipi. mfano huyu Gabriel ambaye ni consultant. Tunahitaji consultation katika vitu tofauti tofauti tungepata mawasiliano yakeingesaidia sna

  • @bitricebitrice2735
    @bitricebitrice2735 6 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndo channel ya kuangalia kuna mafunzo mazuri sana,hongera my bro

  • @malalezengo4405
    @malalezengo4405 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 5 ปีที่แล้ว

    Subhan Allah mbona unajbu ķàmà ume lazmishwa vile hýò interview