JINSI YA KUONGEZA FOLLOWERS NA LIKES INSTAGRAM. 100% BURE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Video hii inaonyesha kwa vitendo namna ya kuongeza Followers na likes Instagram njia hii ni ya ukweli na matokeo yake ni ya papo hapo ikiwa utafuatilia maelekezo yote yaliyotolewa kwenye video hii kama yalivyo mwanzo hadi mwisho.
    Imeandaliwa na Mr. Alexander CM. Mbeja wa masomo ya computer science
    Mawasiliano:
    Calls na WhatsApp : +255 746 063 946 Kwaajili ya kazi na maelekezo zaidi pekee.
    Intro sound by;Different Heavens Song My heart.

ความคิดเห็น • 25

  • @AnatoliMbwambo-gj2ly
    @AnatoliMbwambo-gj2ly 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @furahamchanganyiko2023
    @furahamchanganyiko2023 2 ปีที่แล้ว +4

    Daaah mzee hii umeua,unyama mwingi sana. Agiza soda ulipo wambie Mswati atalipia.

  • @josephinajoel2983
    @josephinajoel2983 ปีที่แล้ว +1

    I like it, nmejifunza sana

  • @happinessmollel6609
    @happinessmollel6609 2 ปีที่แล้ว +5

    Heeeh nilikua najua utani asee inafanya kazi bhn.

  • @zamatv6494
    @zamatv6494 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka shukran sana mungu akubariki , maaan tunakutana na watu ambao ni waongo kweli lkn ww umenifanya nifurahi nimepata follows wengi sana kudadeki #location TANGA

    • @Ashua0777
      @Ashua0777  2 ปีที่แล้ว

      karibu tena boss wangu

  • @restorationofworship
    @restorationofworship 2 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe ndo haka kamchezo wanafanyaga watu wengi asee hapa nimeelewa

  • @sportsfocus8469
    @sportsfocus8469 2 ปีที่แล้ว +2

    Fatheeeer

    • @Ashua0777
      @Ashua0777  2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @CamilasJohn-ik6cr
    @CamilasJohn-ik6cr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona limit yangu haifiki

  • @alexanderm1699
    @alexanderm1699 2 ปีที่แล้ว +2

    Amazing how it works

  • @sportsfocus8469
    @sportsfocus8469 2 ปีที่แล้ว +3

    Working 100%

  • @fundiwakupaua
    @fundiwakupaua ปีที่แล้ว +1

    Je hao follows wanao ongezeka ni watanzania au niwatu kutoka mataifa mengine?

  • @lubnakhamis3991
    @lubnakhamis3991 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona coins zangu zinachelewa kujaa

  • @nachaboy1551
    @nachaboy1551 ปีที่แล้ว

    Og

  • @businessonline7987
    @businessonline7987 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiongoz naomba namba yako unielekeze vzr maan mm nimeletewa hy message ila nikirudi tena kweny ile ile akaunt nilioambiwa hy sms nikibadilisha inakataa tena kuendelea je hap shda nn

    • @Ashua0777
      @Ashua0777  2 ปีที่แล้ว

      Check my email please

    • @businessonline7987
      @businessonline7987 2 ปีที่แล้ว

      Yan boss wangu mm ishu yangu kubwa kwny hii sms wanayokuwa wananitumia kuwa nimerich limit na je Hadi mpka hii sms iweze kutoka na ukaendelea kufollow na kulike inachukua sku ngap

    • @businessonline7987
      @businessonline7987 2 ปีที่แล้ว

      Maan naona kwako umetumiwa hy sms lakn bado unaendelea kulike ila kwangu nikiletewa hy sms nikiendelea inakataa inaniambia ni lelogin Sasa hapo Nashndwa kuelewa had mpka ikubali inachukua mda gan

    • @businessonline7987
      @businessonline7987 2 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako ya whtsap nikuchk mkuu unielekeze vzr

    • @jaydenayubu1068
      @jaydenayubu1068 ปีที่แล้ว

      Kakaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉

  • @seniorscott5082
    @seniorscott5082 2 ปีที่แล้ว

    bro ss kwamfano nimesahu passoword

  • @desirebigirimana9792
    @desirebigirimana9792 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unatish kinom.mzee