HAIKA MSHIU song UNAYAJUA MAOMBI YANGU..usiache Ku SUBSCRIBE hapo chini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • UNAYAJUA MAOMBI YANGU

ความคิดเห็น • 43

  • @adamyusuph8917
    @adamyusuph8917 5 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo huu unanifariji sana na kunitia moyo mungu akubariki sana Dada Haika

  • @abigaelIssack-uu8tk
    @abigaelIssack-uu8tk 4 หลายเดือนก่อน

    Wowooooh!! Great song, Indeed God will never lie his promises are true and ameen to his righteous, ................. Mungu unayajua maombi yangu na utatimiza kwa wakati wako,,, more blessings mom

  • @berthasamwel9955
    @berthasamwel9955 6 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sana na wimbo huu, haujawahi kuchuja. MUNGU Akutunze Dada.
    Nami Bwana Asikie maombi yangu

  • @mathewmselle7331
    @mathewmselle7331 6 ปีที่แล้ว +4

    best singers sometime they are not so popular, unajua Dada..God bless you

  • @evahbarthalomeo5073
    @evahbarthalomeo5073 6 ปีที่แล้ว +3

    Hongera wifi wimbo mzuri sana mungu akutambulishe kimataifa

  • @josephanderson5467
    @josephanderson5467 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana Mtumishi Haika.......wimbo unauwepoo sanaa barikiwa

  • @danielikessy8125
    @danielikessy8125 3 ปีที่แล้ว

    Amina Amina mungu anayajua maombi yangu asante kwa kunijibu maombi yangu pokea sifa na heshima

  • @stratonmmassy5841
    @stratonmmassy5841 3 ปีที่แล้ว

    Good songs god bless u 🙏🙏

  • @dismaschindongo4338
    @dismaschindongo4338 4 หลายเดือนก่อน

    Haika mshiu uko wapi siku hizi mtu wa Mungu

  • @nelsonmwakibete4555
    @nelsonmwakibete4555 5 ปีที่แล้ว

    Amina dada. Una nibariki sana na nyimbo zako.

  • @athumaniselemani3000
    @athumaniselemani3000 4 ปีที่แล้ว

    How wonderful Song!!! .....Mawazo yako sio mawazo yetu....Zaidi ya yote Mungu husemi uongo!Barikiwa Mtumishi Wa Mungu

  • @obedipallangyo4847
    @obedipallangyo4847 6 ปีที่แล้ว +3

    Glory to be the GOD in heaven. Yan huu wimbo huwa unaniingiza uwepo faster kila ninapousikiliza. MUNGU aendelee kukubariki sanaa Mtumishi wake Haika.

  • @marymathew6529
    @marymathew6529 5 ปีที่แล้ว

    Jaman nilikua nautafuta huu wimbo sana,ubarikiwe Haika,nyimbo zako zinanibariki mnoooo

    • @haikamshiu9428
      @haikamshiu9428  4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @doreengaspar6772
      @doreengaspar6772 2 ปีที่แล้ว

      Sikia maombi yangu nikuombayo usiku na mchana ukanijibu Bwana maama sikio lako si zito ee Mungu wangu ninakuamini ee Mungu was wokovu wangu

  • @lucyjosephjoseph4140
    @lucyjosephjoseph4140 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa doctor msangi

  • @mercykombe
    @mercykombe 6 ปีที่แล้ว +2

    Powerful song ever....it has lifted my spirit and faith... we should be still and know that HE IS GOD... Blessings Servant of GOD " AIKA"

  • @allenshoo1164
    @allenshoo1164 7 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sanaa

  • @fatumajuma9659
    @fatumajuma9659 6 ปีที่แล้ว

    amen Dada mungu azid kukubarik Dada angu naweze kukufiksha mbali katka uimbaji wako

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @mariapaulo1713
    @mariapaulo1713 6 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana Dada mungu akubariki sana

  • @JanetPetro-ch5ih
    @JanetPetro-ch5ih ปีที่แล้ว

    Adi nalia

    • @JanetPetro-ch5ih
      @JanetPetro-ch5ih ปีที่แล้ว

      Napata nguvu sana napo skia wimbo huu mungu akutambulishe mamy

  • @charlesjohnmushi6817
    @charlesjohnmushi6817 4 ปีที่แล้ว

    Yes, powerful, very talented Pastor Charles

  • @moxmalamakalumbi8213
    @moxmalamakalumbi8213 4 ปีที่แล้ว

    Powerful

  • @edsonlaurencemwagamasasi9074
    @edsonlaurencemwagamasasi9074 6 ปีที่แล้ว +2

    Wow Best song ever

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 ปีที่แล้ว

    Unanitia moyo.

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 4 ปีที่แล้ว

    Unayajua maombi yangu
    Unasikia kilio changu😭😭🙏

  • @julianakombe3686
    @julianakombe3686 6 ปีที่แล้ว

    my best song i real love this song, God bless you madam

    • @elisarianassari7071
      @elisarianassari7071 6 ปีที่แล้ว

      MUNGU akubariki Dada nyimbo zako nzuri sana

    • @kundaamber863
      @kundaamber863 6 ปีที่แล้ว

      Mungu akutie nguvu dada haika

    • @makimsagati2641
      @makimsagati2641 6 ปีที่แล้ว

      Juliana Kombe hongera Dada Haika Mungu awe nawe.

    • @sayunivincent7096
      @sayunivincent7096 6 ปีที่แล้ว

      Waoooioooh hakika sichoke kusikia wimbo huu nikianza tu kuusikiliza hua najazwa na roho wamungu ubarikiwe sn mtumishi

    • @haikamshiu9428
      @haikamshiu9428  4 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @jacklinejosam3713
    @jacklinejosam3713 2 ปีที่แล้ว

    Rip Dr msangi