JAMANI MBONA HAMUELEWI MH MBOWE ANATIMIZA TAKWA LA KIKATIBA NA NDIO DEMOCRASIA ....WACHA WASHINDANE NA DUNIA INATIZAMA ...ASIPO CHAGULIWA NI SAHIHI TUNAENDA NA ALIO PITISHWA
Mimi ni CHADEMA damu dam yaani kindaki ndaki haswa ..NAWAPENDA VIONGOZI WETU WOTE NA WANACHAMA WENZANGU ....PALE ATAPO CHAGULIWA KATI YETU TUNAWEKA TOFAUTI ZETU SOTE TUNAUNGANA PAMOJA ...KUIFURUMUSHA CCM MADARAKANI .....
@@MkumboMartin Mwana demokrasia halisi hawezi kukimbia maadamu anaielewa vema, kikubwa washindane kwa haki. Lakini kumlisha maneno, kumbembeleza hakuna maana yoyote. Kwanza kama ni lawama ni zake siku zote! Kikubwa historia itamtaja kuwa mmoja aliyeijenga demokrasia naye akaonja makali yake hiyo nayo heshima na ni faida kwa chama chenu! Fikiria kama Mbowe asinge gombea umbeya wote tulio usikia unge kujaje?
Mimi, sijaona shukrani kila anayekuja humu hasa wa upande wa mnyampaa! ni kulaumu na shutuma kwake! mnafeli sana yaani. Hata kukosoa kuna maneno yake lakini ninyi lo hatari, sijui huyo mtu wenu akichemsha mtaweka wapi nyuso zenu!
Mbowe tunampenda tunamweshimu kwa kazi nzuri alioihanya kwa hiyo tunamwomba tu baba akapumzike ili tupate mwenyekiti mpya siasa za sasa ivi ni ngumu mzee
Mbowe upole,busara n msimamo umekuponza,nchi ilipofikia busara na upole haufai,ccm wamedhamiria ubaya kama wanaua kisa kitongoji uchaguzi mkuu Mbowe huwezi
Yaani nyie wajumbe Mungu anawaona, yaani maombi yote haya Kila Kona ni Lisu tu hebi sikilizeni maombi ya wananchi maana hao ndiyo wapiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa taifa, wanamtaka Lisu, sasa mkienda kinyume na matakwa ya wananchi mtakutana nao mwezi wa kumi, hasira zao watazihamishia kwenu, kura zote zitaenda ccm, kuweni makini kufanya maamuzi msibabaike na visenti hivyo vya ccm
Kwani CCMwalishaqahi kupiga kura kwa kutumia machine au mnasema tuu... Mwacheni Mama kumtaja kwa uongo tu, Mungu anwaona ninyi... Ongeeni Sera siyo Mbowe na Mama...
Mbowe alikuwa na nia ya kukiua chadema, kwani huwo ni mkakati wake na hawa jamaa ma ccm. na mikakati hiyo niyamuda mrefu sana aliufanya, ana maslahi makubwa sana na huyu mama alitoa mamilioni kwa mamilioni. ili tu abaki kwenye kile kiti huo ulikuwa ni mkakati wakumtengenezea kizimkazi njia nyeupe, aje kuwa kama kagame au museveni. chama kile cha ccm kije kushika hatam. wapate nafasi ya kuumiza watu zaidi na kupoteza watu wa watu wasio kuwa na hatia, hata katika mipango yao hiyo mungu huwa yupo kazini anapingana nao. kutokana na damu za watu wasio kuwa na hatia mungu amesha wachagua watu wake tayari, wakuja kurudisha tumaini kwa wanyonge. lisu+heche+lema na msimamo wa lema ndio kama ule...
Vary emotional messages from this ordinary chadema political sapotor sending messages poison of chadema election on national potion between tundulisu and freeman mbowe
Kamanda Mbowe AMEYATIMBA kama tuko pamoja hebu like hapa😂😂😂
Kamanda kawa kama mgambo
Kayatimba kweli kweli
Kalikoroga alinyweee
Ongera Sana JAMBO TV, mmekuja vizur tena Kwa Kasi kubwa
Lisu top in Africa
LEMA KAPIGA BOMU AMBALO WENGINE WOTE WALIKUWA WANAMUNG'UNYA MANENO😂😂😂
Bonge la BOMU Na ndio limeondoka na Mbowe mazima. Hatakuja asimame tena kwenye ulimwengu wa SIASA 😂😂😂
Lema kaichafua ana hali hew
Kaka mbowe shida nini kaka jitoe...🏃🏃🏃🏃..tazama aibu hii inayokupata leo😋😋😋😋
Mwacheni, ashindane hiyo ndiyo demokrasia aliyoijenga lazima aipractice, aone kuwa imekomaa! Ikimnyoa na yeye.
JAMANI MBONA HAMUELEWI MH MBOWE ANATIMIZA TAKWA LA KIKATIBA NA NDIO DEMOCRASIA ....WACHA WASHINDANE NA DUNIA INATIZAMA ...ASIPO CHAGULIWA NI SAHIHI TUNAENDA NA ALIO PITISHWA
Mimi ni CHADEMA damu dam yaani kindaki ndaki haswa ..NAWAPENDA VIONGOZI WETU WOTE NA WANACHAMA WENZANGU ....PALE ATAPO CHAGULIWA KATI YETU TUNAWEKA TOFAUTI ZETU SOTE TUNAUNGANA PAMOJA ...KUIFURUMUSHA CCM MADARAKANI .....
Sio kushindana shida mwamba anatak kwa lazma tuwe tunaelewa
Safi.
Mbowe safari hii hakuna rangi ataacha kuona.
😂😂😂
Huenda pesa ikafanya kazi !!!
Mbowe hauoni haibu Achaa chama sio chako ni Chama umaa
Mbowe kimbia kabla haujaaibika 😅
@@MkumboMartin Mwana demokrasia halisi hawezi kukimbia maadamu anaielewa vema, kikubwa washindane kwa haki. Lakini kumlisha maneno, kumbembeleza hakuna maana yoyote. Kwanza kama ni lawama ni zake siku zote! Kikubwa historia itamtaja kuwa mmoja aliyeijenga demokrasia naye akaonja makali yake hiyo nayo heshima na ni faida kwa chama chenu! Fikiria kama Mbowe asinge gombea umbeya wote tulio usikia unge kujaje?
Duuuuu hii kali. Mbowe wapambe wake na ccmwapambe ndio basi tena 😅😅😅😅
Lisu ni Nyerere WA pili Tanzania Kwa uhuru, Haki za Taifa letu 💯🙏✌️🔥
HAPA LISSU TU😂😂😂
Nashauri mbowe Kwa heshima yake atangaze kujiondoa uchaguzi nguvu ya umma inamkataa
Kayatimba kamanda kunja ngumi
hawezi kujitoa sas hivi ,ni fedheha kwake ,itaonekana kakimbia mtiti wa lisu
Kukombia nayo ni hekima
😂😂😂 et kukimbia Ni hekima 😂😂😂 nimecheka km mwehu
TAHADHARI...
Msije mkapitiliza misisimko yenu na kuacha kurudisha Shukrani kwa mbowe aliyenyenyua chama hiki.
shukrani kashapewa nyingi hajaamua tu kuziheshimu
Mimi, sijaona shukrani kila anayekuja humu hasa wa upande wa mnyampaa! ni kulaumu na shutuma kwake! mnafeli sana yaani. Hata kukosoa kuna maneno yake lakini ninyi lo hatari, sijui huyo mtu wenu akichemsha mtaweka wapi nyuso zenu!
@@amoursalum8266 Sawa
Mmbowe nilikuambia achia kiti kwaheshima ebu ona unavyozalilika sasa adi swaiba wako lema kakukataa
Majamanda wa mbeya nawakubali sana! Huo ndo msimamo wa watanzania wote!! Piga spanaaa
Lissu oyeeeeeee, sugu usijarubu Kambi yako ya Mbowe hapo Mbeya utatoka hapo bila kupenda!
Mbowe tunampenda tunamweshimu kwa kazi nzuri alioihanya kwa hiyo tunamwomba tu baba akapumzike ili tupate mwenyekiti mpya siasa za sasa ivi ni ngumu mzee
@@rbmdavies88 mpumuzisheni kwa njia ya kidemokrasia
Mbowe Wapambe wamemjaza upepo kashindwa kusoma vizuri Majira
😂😂😂hakuna mwaisa mshamba
Hapo mmedhihirisha ngumu ya umma
Mbowe Jiengeue Chap
Pamoja sana mbowe pembeni olewenu mtaomchagua mbowe
Mbowe upole,busara n msimamo umekuponza,nchi ilipofikia busara na upole haufai,ccm wamedhamiria ubaya kama wanaua kisa kitongoji uchaguzi mkuu Mbowe huwezi
MBOWE KISHAPATA UJUMBE KUTOKA BAVICHA TEAM MBOWE IMEPGWA CHINI NA HADI BARAZA LA WAZEE😂😂😂
Acha uwongo .....Suzanne Lymo aliyeshinda Uenyekiti BAZECHA alikuwa team gani !!?? .......Siyo Kila mgombea alikuwa na Team
Mzee kang,a ng,ania madaraka sijui ana maslahi gani ana pata kwenye uwenyekiti mbona ana tutia mashaka
Yaani nyie wajumbe Mungu anawaona, yaani maombi yote haya Kila Kona ni Lisu tu hebi sikilizeni maombi ya wananchi maana hao ndiyo wapiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa taifa, wanamtaka Lisu, sasa mkienda kinyume na matakwa ya wananchi mtakutana nao mwezi wa kumi, hasira zao watazihamishia kwenu, kura zote zitaenda ccm, kuweni makini kufanya maamuzi msibabaike na visenti hivyo vya ccm
Daaaar kamanda za mwisho arobaini kamanda hatoboi
Mboe ana roho ngumu jamaniiii hivi hata ikitokea ameshinda atafanya kazi na nani??
Lissu hoyeeeeee
Jamani boni yai yuko wapiiiii
chawa wa mbiwe
Tuko pamoja bloo
Wahesabuni hao wajumbe kutoka Kila mkowa mukiona wamezizidi muwashughulikiye
Omary Ismail Nyahega anatema madini..
Kwani CCMwalishaqahi kupiga kura kwa kutumia machine au mnasema tuu...
Mwacheni Mama kumtaja kwa uongo tu, Mungu anwaona ninyi...
Ongeeni Sera siyo Mbowe na Mama...
Mbowe alikuwa na nia ya kukiua chadema, kwani huwo ni mkakati wake na hawa jamaa ma ccm. na mikakati hiyo niyamuda mrefu sana aliufanya, ana maslahi makubwa sana na huyu mama alitoa mamilioni kwa mamilioni. ili tu abaki kwenye kile kiti huo ulikuwa ni mkakati wakumtengenezea kizimkazi njia nyeupe, aje kuwa kama kagame au museveni. chama kile cha ccm kije kushika hatam. wapate nafasi ya kuumiza watu zaidi na kupoteza watu wa watu wasio kuwa na hatia, hata katika mipango yao hiyo mungu huwa yupo kazini anapingana nao. kutokana na damu za watu wasio kuwa na hatia mungu amesha wachagua watu wake tayari, wakuja kurudisha tumaini kwa wanyonge. lisu+heche+lema na msimamo wa lema ndio kama ule...
Tunataka mabadiliko bana sio kila siku mbowe
Mi najaribu kujiuliza hivi kuna nini nyuma ya pazia kwenye kukitaka kukitaka tena kiti hicho kwa MBOWE?
Mbowe jitoe uheshimike pesa za mama kizimkazi ulizokula azina liana ira cdm kwako inaraanakwako
Vary emotional messages from this ordinary chadema political sapotor sending messages poison of chadema election on national potion between tundulisu and freeman mbowe
Atakae mchagua mbowe abaki kwambowe
MBOWE Hatoboi hapo.
Uhakika wa mambo
Ccm.na.mbowe.hii.taa.kijani.mnaiona.???
mbowe mikoa mkubwa Ka dar mbeya nk hawakutaki;jitoe aibu itakufika
Mbowe akaandae shamba alime atulie heshima yake
Bora pesa ya ubeligij ni ya haki. Kuliko ya abdul maana ni ni kodi zetu hizo niza dhuruma tunachagua haki ni lisu
Jambo TV
Kazi ipo kwakweli
mbowe jitafakari and step down
😂😂😂😂 Atari sana
Achia tu mbowe utafedheheka siku hiyo ivumayo haidumu
CHADEMA BILA KUMCHAGUA LISU CHAMA CHENU KITADHOOFIKA.
Siasa za sasa ni kwenda nao ki ulalo ulalo
Nlikuwa chadema ila ccm forever
Hadi uchaguzi umalizike Jambo Tv mtakuwa metajirika Kwa pesa za Ubelgiji maana mejitahid kumnadi Lissu
Utaelwa hata kwa maumivu maana inakuwasha ya lisu bado heche na lema
Nawe nenda ubeligiji ukachukue pesa zipo zinakusubiri
Akili matope
Utaona unajikaza kisabuni maneno matupu hayavunji mfupa au ni mawe ya mtandaoni hayakutishi,
Hawa watu hamna tofauti na joan wa matha
Gusa, achia twende na Lisu 😂
Lissu popote pale
Kwani kuna ubaya mtu kugombea uwenyekiti acheni zama ziongeee
Mbowe anatafuta kupata fedheha aibu.
Mbowe umeyatimba round hii
10:26
Hakika hatutaki ujingaujinga
Kwanini Mbowe asiache tu ili kutunza heshima yake?.
@daniel. Hii inchi ikipata mawazo kama Yako. Tunaludi kwenye utumwa rudisha akili zako za uchwa ulikozitowa. Hii ni
KIMBUNGA
HII NI SUNAMI😅
Mbowe kwa upepo huu ulivyo km wewe si dikteta basi u dikteta kiziwi. Ushauri wa bure kwako ni wewe kujiengua tu
MAPEPO YAMECHANGAMKA
Chadema hakuna qanacha ni wahuni tu huyo TUNDU LISU HANA MANGO YOYOTE CHAMA KINAPOTEA
No Tundu Lissu
Sugu hatujamsikia
Acheni upumbavu wenu anzisheni chama chenu mumuweke lisu
Ww acha upumbavu chadema ni Chama Cha nani..?
Acha uhuni tutawapiga kwenye box hakuna kuhama
Ninyi ni wapumbavu hamjui democrasi apite kwenye uchaguzi
Kama upo Kwa mbowe ni ww ss tuache na lisu
Huyo mm naona hana jipya
Wewe ndio mpumbavu Sana Tena huna akili kabisa .usiyejua kusoma alama za nyakati. Eti sanga mkinga gani huwezi kujielewa pumbavu wewe mfyuuuuuuuuuuu