Hawa panya rodi lazima tuwaonyeshe kwamba sisi ni kwaajili ya ligi kuu na siyo shirikisho so tunawaombea sana duwa mungu awaongoze na awape nguvu ili tuweze kushida mechi hiyo so tunaimani na viongozi wetu so kilalagheri jeshi langu saluti sana llove you nawapenda sanawote 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Mi naomba iyo mechi chakwanza utulivu chapili upambanaji cha tatu akili cha nne kucheza kwa pamoja bila kutegeana na kucheza kwa speed na simba wanatumia mpira iliyokufa kwaiyo tusiruhusu hiyo pia wachezaji wasikabie macho
Please train how to play set pieces so that you can score from set pieces at a high percentage,train to shoot out of the box,try to defend out of the box,so that they don't create penalties 😅😅😅
Mwenyezi Mungu atusimamie tushinde Amina
Mungu ibariki Yanga wawe na ushindi mkubwa kwa jina la Yesu Kristo.
Amina
Kila la kheri wachezaji wetu, Mungu awatie nguvu jumamosi tukamalize kazi💚💛💚💛💛💚
Asante meneja mungu awalinde na kikosi chote mkapambane tupate arama 3 muhimu
Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko kazi iendelee
Mungu ibariki yang yetu wape uzima na afya njema wachezaji wetu na bechi la ufundi naamin tutapata ushindi🔰🔰🔰💚💛
Naitakia Yanga ushindi mnono kuwanyamazisha hao panyaroad fc💛💚💛🇹🇿🏆
Naitakia ushindi timu yangu ya yanga
Leo na mm wa kwanza Daima mbele nyuma mwiko wananchiiiiiiiii 💚💚💛💛🖤🖤💛
Yanga mbele daima
Mungu wetu ni mwaminifu atatushindia kwa ushindi mkubwa sana , Mungu wetu hujawahi kutuacha bila ushindi.
naamini sana wachezaji wetu watapambana kwa hali na mali kutetea pointi3 n kutuheshimisha zaidi 💛💚💛💚💛
Mungu ibarik yang 💛💚
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
🎉🎉🎉 mungu mwemaa💚💚💚
mtashobya josia nikiwa Kenya nawapata kwauzuri tizi atari sanaa kikosi kinatisha
Mungu uwe nasi siku zote amina yanga
Hatari kabisa
Mungu ibariki baba inshallah tutashinda zd simba naami bira wewe hatuwezi kufanikiwa nakuomba Mungu utubariki tushinde daima mbele nyuma mwiko
mungu awa tanguriye daima mbele nyuma mwiko
M'bunifu wa kofia ya master Gamond ana pepo yke😅😅
Daima mbele💚💚 Yanga bingwa
Mtafutieni kocha wetu kofia kama hii lakin yenye rangi ya yanga
Point 3 muhimu wapambanaji wetu no matter what lazima tufurahi in Shaa Allah
god bless my team
Mungu pamoja nasi
Kila raheri🎉🎉🎉 young Africans
Inshaallah kher ya rabii
Yanga niue naipenda yanga 💚💚💚💚💚💚💚💚👑👑👑
Inshaaa Allah ushindi ni muhimu kwa Yanga
Ushind mwingi 💚💚💛💛
Allaah Akbar
Viva wananchi daima mbele nyuma mwiko
Kila la kheri jumamosi
Simba0-2Yanga nshabeti tayar
Vipi hali Ibrahim bacca
Naitakia Chama langu la yanga ushindi tareh 19
Jamn dua kwa wingi kwa wachezaji wetu
Me furahi sana kimuona farid musa
Tim ipo vizuli wajiandae tuuuu yanga oyeeeeeeeeee
Daima mbele nyuma mwiko
leo manager hana raha lazima kunashida
daima mbele nyuma mwiko
Nafurahi kama tumeshashinda vile
Kila hatua dua
Wanayanga tuzidishe maombi mimi binafsi huwa naomba kila siku ya mech
Baka wetu yuko wap
Mmeona kofia ya Gamond😂
Hawa panya rodi lazima tuwaonyeshe kwamba sisi ni kwaajili ya ligi kuu na siyo shirikisho so tunawaombea sana duwa mungu awaongoze na awape nguvu ili tuweze kushida mechi hiyo so tunaimani na viongozi wetu so kilalagheri jeshi langu saluti sana llove you nawapenda sanawote 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Tupo kwaajili ya kilabu bingwa na siyo shirikisho kwaiyo wakae kwa kutulia saluti nyingi sana tu jeshi langu la maangamizi💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Bacca VIP beki yetu Kesho anacheza auu majanga
Naitakia Chama langu la yanga ushindi tareh 19😊v. 3:40
Bacca vip mbona hatuelewi?
Mbona Baka Wana post kuwa kuumia jamani et
Nawatakia maandalizi mema
1 kucomment
Good luck
Mumgu awatangulie juma mosi tupate ushindi
Simba 1-yanga 1 full time
Tukawashenyente hao makolo😊😊😊
gili tano simba wana kufa
NIMEMUONA DUBE MKOSAJO MAGOAL
Bacca kawapanga😅
Ushindi tu
Ila Bacca 😂😂😂😂😂😂
In Shaa Allah tutawin
Mimi ni yanga ila derby hii kama kuna mtu anataka kula hera amu ue yanga au aweke droo ya sare hapa kitakachotuangusha ni call up ya national team
Wanyama (wanyamazishwe)
Yanga itashinda magoal mengiiii sanaaaaaaaa💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Naitakia ushindi timu yangu ya yanga ushindi wa goal 3
Mi naomba iyo mechi chakwanza utulivu chapili upambanaji cha tatu akili cha nne kucheza kwa pamoja bila kutegeana na kucheza kwa speed na simba wanatumia mpira iliyokufa kwaiyo tusiruhusu hiyo pia wachezaji wasikabie macho
Please train how to play set pieces so that you can score from set pieces at a high percentage,train to shoot out of the box,try to defend out of the box,so that they don't create penalties 😅😅😅
Taifa stars ni ujinga tu, hakuna kitu wanafanya kazi kutuumizia wachezaji wetu muhimu tu 😢
😂YANGA BINGWA atuwezi tuka fungwa na vibogoyo fc
5g
Muache kutu ficha kweny mechi ya Jana mali Diara aliumia na hakuweza kumaliza mechi daaah.....
Hapo Bado hajarudi
Utopolo lazima tuwafunge mwaka huu ubaya ubwela
mwaka upi ww mbona mwaka Bado haujabadilika ligi iliisha mwezi wa sita ikaanza wa 8 Sasa unazungumzia mwezi upi kolo ww
Naitakia kila lilojema yanga ipate ushindi bi izniallah
Daima mbele nyuma mwiko