ASKOFU ATOKWA NA JASHO NYEMBAMBA NA KUONEKANA KULEMEWA NA HOJA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 114

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 3 หลายเดือนก่อน +20

    Usichoke ndugu yetu katika iman Allah atakulipa Kwa jitihada zako za kuwafahamisha walio potea ..

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 หลายเดือนก่อน +8

    Nampenda sana uyu Askofu namuomba Allah amjalie aione haki.

    • @hythamhashiem4458
      @hythamhashiem4458 3 หลายเดือนก่อน +1

      اللهم آمين يارب العالمين

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il 3 หลายเดือนก่อน +7

    Tunakupenda sana ndugu yetu ktk uislam tunakuomba uje ututembelee Tanzania njoo shk wetu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen 🤲🏾🤲🏾

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 3 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu kaka pasta tokea zamaani yuko moyoni mwangu ni mpole na mstaarabu na mtaratibu
    , namuomba Allah amjaalie aione haki ya uislam na aifuate,
    Amiin yaa Rabb Al 'alamiin

  • @Bahati47
    @Bahati47 3 หลายเดือนก่อน

    Sema huyu baba ni mpole sana Masha'Allah ALLAH amuongoze aione haki inshaAllah 🤲🏿

  • @AbdullahMohamed-tc3sj
    @AbdullahMohamed-tc3sj 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Ramadan,Allah akuhifadi ❤

  • @khadijaomar767
    @khadijaomar767 3 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah TabarakaAllah unafanya kazi nzri Ramadhan Kuria

  • @TAMASHAMAGOMA
    @TAMASHAMAGOMA 3 หลายเดือนก่อน

    Ramadhani, Allah akuzidishie. Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kukuongoza na kuiona haki, imepelekea nasi kutuelimisha.

  • @seifissa9705
    @seifissa9705 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu akujalie shekhe kuria watajua tu polepole

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 3 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah.

  • @SadricAjjam
    @SadricAjjam 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakupenda sana sheikh wetu kwa ajili ya Allah

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dah! Sheikh Ramadhani ana hekima na busara sana. Allah azidi kumzidishia elmu na ufahamu.

  • @shaam4738
    @shaam4738 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @josphatsimaye3813
    @josphatsimaye3813 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Allah amibariki sana

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 หลายเดือนก่อน +2

    MASHA ALLAH💚💚💚. Sh. Ramadhan ALLAH akukinge na shari na akuzidishiye afya njema ili uzidi kutuelimisha ss waislamu na watu wite amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka. Wangu iskofu on way to reality Inshalaah

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Ramadan kaketu Allah atusaidie twakuombea Allah atujalie mema Dunia na akhera kazi nzuri wafanya hao watu wanapingana twawatilia Dua Allah subhana wataala awafunguwe waone waelewe .

  • @SadricAjjam
    @SadricAjjam 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shk Ramadan Allah akutiee nguvu katika Kaz ya dini . Njoo n Tanzania katika dawaa mitaani

  • @RabiyaShamuty
    @RabiyaShamuty 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ramadhani Allah akuhifadhi akujaalie nuru yaulemweghuni nakhira amen uyafanye meghi zaidi yahayo❤

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 3 หลายเดือนก่อน

    Maalim wangu mungu akuongoze unakazi nzito na huyo ndugu yetu mchungaji

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il 3 หลายเดือนก่อน +4

    Shk Ramadan Allah akuzidishie hekma na akuweke ili uwaelimishe tu juu ya uislam

  • @kennedyoloo8259
    @kennedyoloo8259 3 หลายเดือนก่อน

    Pastor hauruhusiwi kushindana na Imani ya wengine,,,

  • @ContentAnglerfish-qw1vo
    @ContentAnglerfish-qw1vo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Masha allah ustad

  • @faridbashuu
    @faridbashuu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
    Wallahi Ramadhan Kuria Una Kazi ....
    Allah ukupe subra.

  • @JamesKuria-n7y
    @JamesKuria-n7y 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Roho... John;4;24.

  • @arafatabubakar001
    @arafatabubakar001 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Ramadhan ALLAHU BARRIK.being a MUSLIM is the best thing ever in my life

  • @Idysalim
    @Idysalim 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe subra na akupe umri mwalimu Ramadhan, inna lilahi wainna ilehi rajun, Bshop ashakuwa Mungu, Allah amwongoze, SubhanaAllah wa bihamdi, subhanaAllahu Adeem

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 3 หลายเดือนก่อน

    Pongezi sana shekh Ramadhani, endelea kutoa darsa kwa wakristo, wazindue hao ambao akili zao zimevurugwa na nina imani kila mkristo anayezingatia ataelewa namna askofu anavyojichanganya.

  • @مريمنيجيريا-د5ل
    @مريمنيجيريا-د5ل 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ustadh Ramadhan mungu azidi kukupa umri taweel uwaelimishe na kuwaleta katika njia ya haki❤

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amiin

  • @امنهامن-ث2ذ
    @امنهامن-ث2ذ 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi sheikh Ramadhani uendelee kuwa elimisha walioko gizani shukran sana

  • @seifissa9705
    @seifissa9705 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba mungu mwana mungu roho innalilahi wainailahi rajiuni

  • @abdiindireafyanjemafitness115
    @abdiindireafyanjemafitness115 3 หลายเดือนก่อน

    Hii mada kali kweli....Allah atawaongoza.

  • @trikayoh3684
    @trikayoh3684 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Ramadhan mwalike Mwalimu Garrison na Apostle Ndacha sasa . Kazi nzuri 🙏

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 3 หลายเดือนก่อน

      Sahihi. Amwalike Ndacha mada kuhusu Sabato, na Allah aendelee kumpa elmu na maarifa zaidi.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 หลายเดือนก่อน

      Inshallah watakuja

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah awahifadhi awalipe mema yatokayo kwake awazawadie jannatul firdaus ameen

  • @sweetheart2548
    @sweetheart2548 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mash Allah

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ramadhan Allah akuifaz uzidi kuwafahamisha hao ndungu zute

  • @Imran-km3lp
    @Imran-km3lp 3 หลายเดือนก่อน +2

    Allah sw will reward you

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kaka pasta akiwa muislam atapendeza sana sana ❤

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 3 หลายเดือนก่อน

    Asalam Alykum shekh wangu nakupenda Kwa ajili Ya Allah huyo askofu asiwe na moyo ngumu jamani naafanye moyo wake uwe mwepesi amjue Allah wa kweli jamani

  • @Alinuribrahim1
    @Alinuribrahim1 3 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah shiekh

  • @gechtv580
    @gechtv580 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mmoja
    Roho ni uwezo wa kufanikisha alicho shuhudia kufanya.
    Yesu ni neno la mungu.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo yesu si binaadam

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 3 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 Askofu Silimu Allah anakupenda?🎉🎉

  • @josemu870
    @josemu870 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana kwa mafundisho bora

  • @swalehshaaruq2474
    @swalehshaaruq2474 3 หลายเดือนก่อน +1

    Subuhaana llaah

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 3 หลายเดือนก่อน

    Aaa sio kweli akuna kabisa 😂😂

  • @MaryamMaryam-n1v2e
    @MaryamMaryam-n1v2e 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 hatari mungu baba mungu mwana mungu roho eti ni mmoja 😅😅

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allahu akbar asikofu ataielewa haki inshaallah na ataifuata

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 3 หลายเดือนก่อน

      Jambo ambalo huniudhi sana ni kusikia kuwa uislamu ni haki. Hebu mmoja wenu anidhibitishie haki iliyopo katika aya hizi
      Quran 2:191 "Wauweni makafiri popote muwakutapo."
      Quran 3:28 "Waislamu wasiwafanye makafiri kuwa marafiki"
      Quran 3:85 "Dini yoyote isipokuwa Uislamu haikubaliki"
      Quran 5:33 "Waume na wasulubishe makafiri ikiwa wanaukosoa Uislamu"
      Quran 8:12 "Waogopeni na wakateni vichwa wale wanaoamini vitabu visivyokuwa Quran."
      Quran 8:60 "Waislamu lazima wakusanye silaha zote ili kuwatia hofu makafiri"
      Quran 8:65 “Makafiri ni wajinga; wahimize Waislamu kupigana nao”
      Quran 9:5 "Inapotokea fursa, wauweni makafiri popote mtakapowakamata"
      Quran 9:123 "Pigeni vita na makafiri waishio jirani zenu"
      Quran 47:4 “Msitamani amani na makafiri; wakate vichwa ukiwakamata
      Ndugu yangu Abuurabiu hebu nitolee haki katika aya hizi

    • @AssdfAssd-g3y
      @AssdfAssd-g3y 3 หลายเดือนก่อน

      Ameen Ameen tuzidi kumuombea aione haki ili makanisa yke yote ayafanye misikiti tunakupenda sana askofu pamoja na kondoo zko❤❤❤❤

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 3 หลายเดือนก่อน

      @@AssdfAssd-g3y ndoto ya mchana nani atoke katika ukweli aingie katika uwongo na giza ya majini (mashetani)

  • @JamesKuria-n7y
    @JamesKuria-n7y 3 หลายเดือนก่อน

    Titus 2:13
    [13]Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ;{YESU KRISTO NI MUNGU NA MOKONZI WETU}

  • @MuyiMumbere
    @MuyiMumbere 3 หลายเดือนก่อน +1

    mimi ni mkristo, ila huyo pasta hana majibu unayo kamilika,

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 3 หลายเดือนก่อน +3

    Askofu ame shikiliya siri ya uteuwa kila akiwekwa kwenye coner hurukiya siri ya uteuwa 😂😂😂😂

  • @aliyahmed9328
    @aliyahmed9328 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huo msalaba kwenye screen uondoe , Sheikh Ramadan

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 หลายเดือนก่อน

      Ni msalaba wa Askofu ni imani yake

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 3 หลายเดือนก่อน

    Amini yarabi akubali kweli 😂😂

  • @ahmadadan9395
    @ahmadadan9395 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikhe Facebook yenu ni Gani?

  • @elsiemariam4600
    @elsiemariam4600 2 หลายเดือนก่อน

    Askofu karibu mwangazani

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu bishop nimbishi 😂😂kisha hatulii kwaandiko moja,,ywaruka ruka mitego yake mwenyewe 😂😂

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yesu n mtu amezaliwa n marium na ni Nabii kw Wana waezraeli na muislam alisali kw kusujudu na kurukuu

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 หลายเดือนก่อน +1

      unaota kwa majini...

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@noahwamalwa4385mumekazana na majini tu😂😂😂mwayataka kachukueni

  • @faridaalwaily-hk4xf
    @faridaalwaily-hk4xf 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwisho Akijuwaa haki Atasilimuh. Mpee nafasi hajijuwii yupooo wapiiiii

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 3 หลายเดือนก่อน

    Bishop hunifurahisha sana😅

  • @tatyanasaid7297
    @tatyanasaid7297 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh ramadhan hamna lolote apo aelewi lolote kimaandiko huyu anapoteza wanaomfuata

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 3 หลายเดือนก่อน +1

    kumbe muda.wote alikuwa skibishana bila ya kuisoma Qur'an, Allah amuongoze inshaallah

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 หลายเดือนก่อน

      InshaAllah.aaminayaarabi.umenichekesha.

  • @abdiindireafyanjemafitness115
    @abdiindireafyanjemafitness115 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa kuna kazi ya kuelewa Issa bin Mariam is just a prophet of Allah peace be upon him.

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 3 หลายเดือนก่อน +2

    Askofu kapiga na joho lake lakini bado hali ni tete

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 3 หลายเดือนก่อน +1

    Siri ya utaua ni siri gani hiyo😂😂😂😂askofu hana hoja na keshajua hakki ila anatetea ugali wake tu😂😂😂.....ila Allah amuongoe inshaallah 🤲🤲

  • @Zafarmohamedy
    @Zafarmohamedy หลายเดือนก่อน

    Eeeet ukimalizana na mungu mwana unakuja kwa mungu roho 😂😂
    Allah awajalie ndug zetu. Wa kuje kwa dini ya haki

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ilo jimsalaba hapo kama gongo la kumpigia Mathayo 😅😅

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@Catherine-mh8sw 😆😆

  • @RossaMengo
    @RossaMengo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu huyu askofu akianza kuongea hamezi mate..anataka aongee yeye tu na maandiko mengi yasiokua na mwelekeo

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yani huyu bshop yuko na janja janja nyengi sana,,ukiwa hauko makin atakukoroga,, kwasabab katika kutafsiri kwake ywatia ujanja hapo ndani yake,,,,kisha ywaruka kwa Andiko jengineee,,yani anaujanja mwingi sana

  • @seifissa9705
    @seifissa9705 2 หลายเดือนก่อน

    Sema huyo pastor msikivu atajua tu

  • @JamesKuria-n7y
    @JamesKuria-n7y 3 หลายเดือนก่อน

    Jameeeni kama bibilia inakushinda si quran itakuchanganya kabisa.Mungu.hakuzaliwa alikuwapo from Evalasting to Evalasting alikuwa ni mungu.>isaya;63;16./Ayubu 11;7.8.9.10 .11......Kwa Ivo maria alimzaaa mtoto Yesu .Yani huo mwili ulilidhi jina lipitalo majina yote { YESUKRISTO} Luka;2.12.......asanteeni

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 3 หลายเดือนก่อน

    Askofu ana maokoto Mengi so hilo tu ndio linamsumbua Ila haki anaijua vinzur tu 😢

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ama jasho limemtoka Allah amuhidi ana jua ukweli lakini anaogopa lawama

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu.itakuwa.anajuwa.ila.analinda.mfuko

  • @ChiringaLwambi-mi7bz
    @ChiringaLwambi-mi7bz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ukweli wanaujuwa askofu akubali awache kiburi

  • @JamesKuria-n7y
    @JamesKuria-n7y 3 หลายเดือนก่อน

    Wakristo wakristo wakristoooo tusome maandiko na ufunuo i tunachaganywo ni waislamu kwa kutojua maandiko.askofu askofu explanation ya jinsi Yesu alikuwa ni Mungu imekuchanganya,maana mwili wake hakuwa Mungu maana Mungu sio mwanadamu.ila mwili ulikuwa kama vazi la Mungu {2corithians;5;19./1timothi 2;5./John 1;18.} Jameeni tusome maadiko.Mungu alitufundisha kila jambo akiwa ndani ya ule mwili ndiposa anasema siwezi lolote bila yeye aliye ndani yangu na katika john 14;8..9.🙏🙏🙏

  • @aliissa-je6gt
    @aliissa-je6gt หลายเดือนก่อน

    hatuchukuwi namba za sim sisi hadi usilimu babu weeh unaongeah saana tu

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 3 หลายเดือนก่อน

    We are an ummah of 3 million people, but we are being disrupted by the tiniest entity, made up of the weakest army, which has failed to defeat a group of resistance for nearly a year.
    This is happening because we lack a ruler. We lack a force that's meant to unite us.
    #Khilafah

  • @esirmviha583
    @esirmviha583 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hyo mchungaji anajikanganya . Hebu muulize haya maswali.
    1. Kama Yesu ni Mungu, who was in charge before he was born?
    2. Kma alikuwa Toka mwazo kma wanavyosema ni Alfa na Omega, so at the begining of the world kulikuwa na waungu wawili?
    3. Ama Mungu alijigawanya mara mbili ndo Yesu apate cheo cha Uungu as part of Allah?

  • @RossaMengo
    @RossaMengo 3 หลายเดือนก่อน

    ALLAH azidi kukupa subra...maana hawa wakristo yatakikana uwe na subra ya juu

  • @JamesKuria-n7y
    @JamesKuria-n7y 3 หลายเดือนก่อน

    John 5; 39Nyinyi huyachunguza Maandiko Matakatifu mkidhani kwamba ndani yake mtapata uhai wa milele; na kumbe maandiko hayohayo yananishuhudia! {YESU NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA WA MILELE} yani yeye ndiye ukweli wa njia ya uzima wa milele na milele.

  • @bantuwarrior-12
    @bantuwarrior-12 3 หลายเดือนก่อน

    DOES ALLAH LOVE YOU AS A CHRISTIAN?
    I always hear Muslims saying that Islam does not hate Christians. They quote
    you verses which have been abrogated. To abrogate means to abolish by formal
    or official means; annul by an authoritative act; to repeal, to abrogate a law. With
    Islam, it's still in the Qur'an, but Muslims cannot follow it anymore.
    Let's see how much Allah is in love with the Christians. Let me show you in
    Qur’an 5:51; Allah is saying:
    Take not Christians and Jews as friends and protectors; they are friends to each
    other, and if any of you take them as friends, he is one of them and unjust to
    himself (which means he is out of Islam and he will be punished by death).
    And is followed by his command in Qur’an 9:29:
    Fight those who believe not in Allah nor the Judgment Day, nor forbid what
    Allah and His Messenger ordered to be forbidden, nor accept the religion of truth
    (Islam), of the People of the Book (Christians and Jews), until they pay theJizyah (Penalty) with willing submission, and feel themselves humiliated and
    subdued.
    I explained how Muslims have to fight us until we either convert to Islam, or pay
    them Jizyah; a monthly penalty to be kept alive, of which we have to pay it with
    humiliation, like dogs.
    Allah shows his amazing love to the Christians in this next verse! I hope every
    Christian will remember it forever. You need clear proof that Islam hates
    Christians, and this is one of the best verses to prove that point, if you want to
    expose Islam. Qur’an 5:14:
    From those, who call themselves Christians, We did take a covenant, but they
    forgot part of scriptures that We (Allah) sent to them: therefore We estranged
    them, with enmity and hatred between the one and the other, until the Judgment
    day. Soon Allah will show them what it is they were doing.
    In Qur’an 5:14, Allah has a plan for you as a Christian. The plan is so clear that
    Allah will fuel us with hate and enmity between Christians (estranged them,
    with enmity and hatred).👉follow christians vs muslims debate live on youtube.
    th-cam.com/channels/7wffWCb-k1F7oEyGMR8TTg.html

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waislam mmepoteza uelekeo badilikeni mmfuate yesu

    • @daidibrahimadam482
      @daidibrahimadam482 3 หลายเดือนก่อน

      Tunafuata Yesu kwa sababu alikuwa Mrune musilamu mwenzetu

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 3 หลายเดือนก่อน

      ISSA tuko nae lakini hakuwai kwenda kanisani na sio mungu ni mtume wa mungu na twapendana na kumueshimu

  • @SalehM200
    @SalehM200 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Askofu tunamuona anajaribu sana na Sheikh Ramadhan kujuwa deep of the Bible which may be he does not know much, nacho shangaa ana high degrees, kwanini wala kipindi kimoja asisome any page mwnyewe? why he always tells sheikh Ramadhan to read for him? kwa kuona kwangu mwaka huwu hauishi Askof ata kuwa Muislamu. The original religion of all prophets including Issa ( Jesus ).was Islam....ASKOF PLEASE KUWA MUISLAMU.

  • @ChadCommaz-bx6xf
    @ChadCommaz-bx6xf 3 หลายเดือนก่อน

    Pastor you are just shouting the sheikh has the point please analyse on your own you will understand everything on your own 😊

  • @jemimahmwa8849
    @jemimahmwa8849 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha kumtoa mchungaji wetu jasho msirudie neno moja Kila saa

  • @fahimabeid6953
    @fahimabeid6953 3 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah

  • @ContentAnglerfish-qw1vo
    @ContentAnglerfish-qw1vo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amiin

  • @husseinmoha7959
    @husseinmoha7959 3 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah