Muziki ni biashara na huwezi pangia wasanii waimbe kama nyie, jiulize muziki wa miaka ya 70,80,90,2000,2010,2020 na sasa iwe USA, Europe,Africa na Caribbean kama muziki wa zamani na sasa upo sawa. Nenda kajifunze upya biashara ya muziki upya ndiyo utaelewa,
Huwezi kufananisha muziki wa Zama na sasa..iwe ni tz, USA au Europe.....mziki wa sasa hauna contents na ndo maana haudumu Angalia juzi tu BET wametoa listi ya wasanii Bora wa hip-hop wa muda woote unaona 2pac na Biggie wapo ndani ya top 10 Tena listi za juu kabisa na wamefariki miaka ya 1996-97
@@aloyceiluminata3650 content ni nini tuanzie hapo, kwani zamani kulikuwa na tv station, simu za mkononi, digital platform, studio nyingi, radio nyingi kama sasa? Zamani ni analogy tofauti na sasa una tweet thought your mobile phone kuna email, Google nk. Zamani hivyo vilikuwepo? Zama za radio Tanzania na Zanzibar baadae itv na clouds pekee, bongo record na mj record muziki unauza kwa muhindi 😂je! Sasa unaweza fananisha?
@@abedymtore2707 ww ndiyo nyoko usiyejuwa kitu, enzi ya analogy huwezi kupata access ya kuwa hii platform, kipindi chao kina feruz waulize walikuwa wanatumia cm gani na hakukuwa na hizi platform zaidi yakutegemea radio,tv na mnunuzi wa muziki ni mamuu muhindi, je!sasa kuna hiyo business yakutegemea studio hizo 2 na muhindi?
Heeee! Kumbe gar alinunua mim nilisikia rais ndo alimtunuku. Big up sana
Mnanifurahishaaa saaanaaaaaa soggyyy na wageni wako, maana cc wengne tunaendana na hzi za enz hizo
Mwamba wa Kinondoni ni TID
Tuletee Dully na kwenye mastori Soggy awepo
show kali sna
Dah soggy una stor Zur sna
mi pia na kereka san na amapiano zao izo
Maniga Ferooz
😈Gang💯💯💯✅
mbona ujazungumzia diamond
Atakuwa mnyama tu uyo
Kiwandani
Hapo ukutani ni picha za wasanii wepi imeingia
Hii inatokea kwa mmakonde tu akiimba msanii mwingine lazima utasikia wazee wa hakimiliki walivyokuwa wengi.
soggy tuletee filipo nyandindi tumemmisi sana
Muziki ni biashara na huwezi pangia wasanii waimbe kama nyie, jiulize muziki wa miaka ya 70,80,90,2000,2010,2020 na sasa iwe USA, Europe,Africa na Caribbean kama muziki wa zamani na sasa upo sawa. Nenda kajifunze upya biashara ya muziki upya ndiyo utaelewa,
nyoko wew
Huwezi kufananisha muziki wa Zama na sasa..iwe ni tz, USA au Europe.....mziki wa sasa hauna contents na ndo maana haudumu
Angalia juzi tu BET wametoa listi ya wasanii Bora wa hip-hop wa muda woote unaona 2pac na Biggie wapo ndani ya top 10 Tena listi za juu kabisa na wamefariki miaka ya 1996-97