Makanisa nchini yafanya ibada maalum kuwakumbuka waliouawa na polisi katika maandamano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • Viongozi wa makanisa sasa wanamtaka rais william ruto kuvunjilia mbali baraza lake la mawaziri na kuteua baraza jipya. Viongozi hao pia wamemtaja inspekta jenerali wa polisi japeth koome kama baadhi ya wale wanaohitaji kupigwa kalamu kutokana na mauwaji na kukamatwa kwa waandamaji nchini. Haya yamesemwa wakati wa ibada maalum ya kuwakumbuka waliouwawa kwenye maandamano ya kupinga serikali yaliyoshuhudiwa nchini, Kama Brenda Wanga anavyarifu

ความคิดเห็น • 1

  • @Watt-er8or
    @Watt-er8or 8 วันที่ผ่านมา +1

    You don't want politics in church but you are talking politics,, what a paradox.. You can easily differentiate between saved pastors and populist pastors..