LINDA MOYO (OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Moyo ni wa thamani kuliko vitu vya duniani,unatakiwa kuulinda moyo kuliko chochote kinachopaswa kulindwa duniani. Moyo unapobeba machungu ya dunia hudhoofika na kusababisha magonjwa ya moyo kisha mwili nao huathirika.
    Ulinde moyo wako kwa kuweka neno la Mungu ndani yake kama kinga ya makwazo ya dunia,nawe utakaa salama...hebu msikilize huyu dada anavyo kushauri.

ความคิดเห็น • 38