What!!! Hii kazi niliidharau kama ningeweza kuingiza pesa hii. Namshukuru mungu🙏🏻

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 74

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 2 หลายเดือนก่อน +10

    Nimepiga mahesabu ya harakaharaka Aise America kweli is Great, Hiyo kazi kwasiku Unauhakika wa Kuingiza Dollar $500 Kwa masaa 10 mpk 11 Ukipiga Kwa Siku Tano ukaacha siku mbili za kupumzisha gari inakuja dollar $2500 ambapo Kwa Mwezi mtu ana uhakika wa Kupata Dollar $10000 Elfu Kumi,ambayo ni sawa na TSHs 26000000 million ishirini na sita Kwa Mwezi So mtu ana Uwezo wa Kusave million Kumi Kwa Mwezi bila chenga na Kufany maendeleo nyumbani...HIYO NDIO HESABU ZANGU ROUGHLY Naomb Utusaidie broo mshana

    • @mudhakkirhemed
      @mudhakkirhemed 2 หลายเดือนก่อน

      Aisee umejua kupiga hesabu,umeupiga mwingi sn 💪🏻

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 2 หลายเดือนก่อน

      Broo...hakuna guarantee kama kila sku utapata hio hela ndo mana watu wanafanya kama part time...salary earning marekan ni dola elfu 3 ad elfu 7 ka watu wengi..ni asilimia hata chini ya 10 marekan wana earn dola elfu kumi kwa mwezi..ukitaka kufahama fatilia IRS reports za marekani...delivery marekan wanaita gigs yaan mchongo wa mda mfupi na sio guarantee ndo mana watu hawafanyi full time.....kwaio doordash, uber eats,.Uber , grubhub na instacart ni gigs

    • @ambermshana9863
      @ambermshana9863 2 หลายเดือนก่อน +1

      You are incorrect. Making that kind of money is not common.

  • @BirihoJunior
    @BirihoJunior 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kaka naomba sikumoja oongeleye gisi watu waokuja kama wakinbizi wakotokeya makambi yawakimbizi wanaishije huko US

  • @johnjplusfood2135
    @johnjplusfood2135 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tumazipenda sanaa tunataka kila unapopeleka chakula utuoneshe twende wote bando si tatizo wewe ndugu yetu na tunakukubali sanaa unatupa hasira vijana ya kupambana god bless u..Bro mshana....

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @FaustineTz
      @FaustineTz 2 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @STE-v8g
      @STE-v8g 2 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja kaka

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashalah mashalah mashalah kaka mshana yan unaniinspaya sana kaka...kila la heri..apo namim nakuja huko inshallah kupambana ..nitakutafuta kaka inshallah nikija uko marekani..pambana kaka .

  • @ramsrafiki1212
    @ramsrafiki1212 2 หลายเดือนก่อน +2

    Usijali bro tufanzie hata ya 1h na nusu amnashida, we like it doesn't matter how many hours we take

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana broo nimejifunza mmb mengi mengi sn kutoka kwako wallah

  • @MaximilianMatambari
    @MaximilianMatambari 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu akubariki ufike mbari zaidi

  • @calvinjudica1989
    @calvinjudica1989 2 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana mshana see you there soon

  • @ChrispinStephano-c8s
    @ChrispinStephano-c8s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niaje bromiee niko kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 you are inspiring me so much ata mm nataka kuja huko marekani

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unaongea point kijana mwenzetu nakupata from Ilala Tanzania

  • @MaximilianMatambari
    @MaximilianMatambari 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka ahsante sana kwa ushauri wako nasi tunapambana tufikiee malengo

  • @IbrahimKimath-u9z
    @IbrahimKimath-u9z 2 หลายเดือนก่อน +8

    Fanya Video iwe ndefu mkuu.

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +9

      @@IbrahimKimath-u9z ohh right kama kuna watu wanakuungamkono ktk hili wa like hii comment yako/comment long videos

    • @GadiyeMosses
      @GadiyeMosses 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​​@@mshanatheblacksmith bro nimeapply green card naomba unihost nikifanikiwa kupata

  • @masamycharamba-vb8ws
    @masamycharamba-vb8ws 2 หลายเดือนก่อน +1

    You are inspiring us alot. Keep it up

  • @peacetrick12
    @peacetrick12 2 หลายเดือนก่อน

    ❤brother mungu akubariki

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunapenda maaana tunacheki na mazingira tunajifu vitu bora ziwe ndefu tu kaka

  • @DizzoclassicSoundstz
    @DizzoclassicSoundstz 7 วันที่ผ่านมา

    Pamjoa san kaka mshana from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 2 หลายเดือนก่อน +2

    From mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ongeraaa sanaaaa kakaa

  • @emanuelcholela8679
    @emanuelcholela8679 2 หลายเดือนก่อน +1

    From mafinga iringa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏

  • @davidmurage9580
    @davidmurage9580 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi safi kaka

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah piga kazi siku moja wataelewa tu

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunazipenda izo ndefuuuu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tunazipenda tuonyeshe zaidi ziwe ndefu hatuboreki Ili tujifunze na sisi..

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Daah kweli mnaupendo na elimu nazojitolea kutoa🙏🏻🙏🏻

  • @IANMWEMEZI
    @IANMWEMEZI 2 หลายเดือนก่อน

    Hili suala la omba omba marekani linaniumiza sana kichwa hasa ukizingatia hao ni raia kabisa wa marekan wana uwezo kabisa wa kupata kaz na kupiga pesa kweli ikifika hapo unasema Mungu ndo mtoa ridhiki

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupata kaka umenifanya najifunza TH-cam kidogo kidogo from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Yeah let’s goooooo! Nasubiri nione channel yako

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mshana ifanye video iwe ndefu hatuchoki kaka mshana ...Fanya iwe ndefu hatuchoki tunajifunza kaka mshana

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 หลายเดือนก่อน +2

    unaongea ukweli brother mshana

  • @jeromeshirima2053
    @jeromeshirima2053 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda siku uongelee kazi ya upolisi kwa uko marekani migrant wengi mbona hawapendi hiyo

  • @BirihoJunior
    @BirihoJunior 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza ku comment munipe lik zangu

    • @Iam_fadheel
      @Iam_fadheel 2 หลายเดือนก่อน

      Wachawi kama kweli mnapaa na ungo zenu nipaisheni mimi kutoka hapa bongo hadi marekani niwape milioni tano na mimi nikawe kama Mshana

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama sana

  • @FaustineTz
    @FaustineTz 2 หลายเดือนก่อน

    Safii pambana mwamba, mzee samaani vip umechukua uraia wa USA au bado ndo una mpango uwo??

  • @IbrahMsofe
    @IbrahMsofe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanangu hata video ingekuwa masaa 8 sis tunaangalia tuuu

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +1

      @@IbrahMsofe 🙏🏻huo ni upendo kwa kazi zangu🙏🏻🙏🏻 Asante sana

  • @ibrahimshaaban-d5h
    @ibrahimshaaban-d5h หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha nlichogundua huko kwa wenzetu kumiliki chombo ni kawaida sn na wala mshkaj havimbi

  • @Therealcurtis
    @Therealcurtis 2 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mshana unapataje oda

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Kwenda app ya #Doordash unajiandikisha than wateja wanaoda chakula online kupitia hiyo app

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pambana kaka life not easy

  • @dr_toyota.3371
    @dr_toyota.3371 2 หลายเดือนก่อน

    Mkuu naskia sio rahisi kuhamisha pesa kutoka USA kuja tz, ni had uwe na maelezo muhimu. Tupe elimu katika hili

  • @isiakaabby2179
    @isiakaabby2179 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bro unaruhusiwa ku save pesa na kutuma bongo za kutosha maana nataka nije huko ni save pesa ili niende Huku bongo then nirudi bongo

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Pesa yako ukipata hamna unafanya utakavyo ww nayo.

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kula bata bro

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 2 หลายเดือนก่อน

    BTC wale wahudumu wa ndani kuanzia kupima viatu uniform na vengine ni wa nchi gani origin yao

  • @DeodatusDeo-m6c
    @DeodatusDeo-m6c 2 หลายเดือนก่อน

    Bonus kwenye jeshi la marekani wanalipaje ?? Enlistment bonus

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 2 หลายเดือนก่อน

    CSWA Ranger Course haya ni mafunzo gani hem nakuomba utufahamishi kidogo

  • @BLAQSMART255Tz-y4c
    @BLAQSMART255Tz-y4c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani hapo ndio huwa navurungwa na jeshi la US kazi mtaan then jeshi dah.unyama sana

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Hii nchi inauhuru waajabu sana very flexible kufanikiwa

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka ninamilion 7 je inaweza niwezesha kuingia Marekani 😢ndoto yangu hoi kaka niambie WW unauzoefu je naweza kuingia

    • @misanamohamedi8438
      @misanamohamedi8438 2 หลายเดือนก่อน +1

      kuna jamaa anahusika na safari .ingia utube andika arrival safari .kuna mmasai mmoja ivi ongea nae

  • @BLAQSMART255Tz-y4c
    @BLAQSMART255Tz-y4c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inamaana kazi ya delivary haulipwi kwa lisaa na vile ukifkisha oder.

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      Unalipwa tips na mteja pia app ya #Doordash inakulipa kwa lisaa

  • @johnjplusfood2135
    @johnjplusfood2135 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na ukifika apo unalipa wewe kaka mshana alafu ndo unapewa chakula alafu unampelekea mteja na mteja ndo anakulipa au inakuwaje?

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน

      No mteja anafanya malipo ya kila kitu online ktk hyo app ya #Doordash pia hata Tips anayokupa anakulipa kabisa Kisha ukifikisha order ndio app inakulipa pesa kuingia ktk account yako

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zipo SAWA kabisa uwe una cat Sehem muhim kidongo ziwe hata dakka 30

  • @Ashi_Mushi
    @Ashi_Mushi 2 หลายเดือนก่อน +1

    kiukwel ume modify and improv vizur now video inaeleweka content of whole day imeeleweka mzee...pamoja

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana kwakweli

    • @Ashi_Mushi
      @Ashi_Mushi 2 หลายเดือนก่อน

      @mshanatheblacksmith Kuna kitu huwenda sijaelewa..je kushare contents zako si kama nikimtumia mtu WhatsApp,instar nk?
      Au nikuwatag watu chini? (Am Confused)

  • @Bongomastermind
    @Bongomastermind 2 หลายเดือนก่อน

    Unaonaje izo 20$ unibariki niskume siku mbili hapo mambo yako kombo