Shughli za kuhesabu upya kura za maeneo 15 ya kamilika
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
- Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Let the truth be told and it shall set ppl free we need to move on God is in control
Mungu asaidie Kenya
Ahhsanta Sana reporter wechu ..... Tartiibb lakini chunga Sana ulimi usi momonyoka 😂
Baba ikulu mara moja
Bado unaota ama mini,coz nothing change meaning Ruto will be sworn in on 14/8/2022,pliz wake up.
Wake your fucking skull up 😂😂
@@ericksonsosion7044 13th Sep ...not 14 of August, we're done with August, today is 1st Sep
@@gracekaronji4785 thanks for correction mum.
Ndyo
Laila mohamedi mungu amekujaalia mashaalwa
Huyo anaongea kiswahili sahihi kabisa
Watu WA central Kenya dio wanacomplain kuhusu kiswahili sijui wako vipi hawa watu
Kkkķkkk anasema nn huyu mwanamke mbona anarudia rudia tu hapo ama hajakamilika kuwa mtangazaji😂😂😂😂😂😂
Unapanswa ujiandae vzuri.
Sasa nini hii unatuambia!?
Aty nini
Nkt hueleweki mtuangu
We don't understand you
Huyu anasema nini?
Nani alishinda kwa iyo uchaguzi
We tulia ruto aapishwe next week
Raila amefuruga uchagusi wakenya na hiyo nigarama kwa pesa ya serekali tumechoka na raila ma nne!!:
Uyu ripota anongea Nini Mimi sielewi
Lol..kukula ni kawaida kenya. Tumalize kila kitu. Fagia
Tafutaa job bana
Ruto ameshinda hii uchaguzi it’s obvious clear
Mwandishi hajui kutoa ripoti, hakuna unachotujulisha
It's the court to decide
@@safinaamutabi2843 Report yake haina mvuto
@@nicholauskilosa5336 hiyo n station y Ruto
@@safinaamutabi2843 hizi media zinababaisha watu, hazisemi ukweli! Nikwamba kule kwenye masanduku uchafu ni mkubwa mno Raila atashinda kesi
Haki huyu anareport nini?simpati anachosema
Tafuta job ingine hio achaa tuuu
Inaonekana hakuwa amejipamga na pia anajiongelesha kiswahili kama cha mtu ametoka Yemen Leo
Mtu anafaa aongee kiswahili kile anaongea nyumbani cha kawaida sio kutia maridadi mpaka unaharibu
Wacha nyege babuu,,mwenzio amejaribuu😂