EPUKA VYAKULA HIVI KWA FAIDA YA AKILI YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 98

  • @raymondernest1798
    @raymondernest1798 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barkiwa San mchungaj kwa somo zuri❤

  • @joycekerenge3605
    @joycekerenge3605 ปีที่แล้ว

    Pr Mmbaga utalipwa na Mungu huna hila ndani yako...una hekima na maarifa na unatoa bure🙌🙌

  • @Sarahkangai-gu3jg
    @Sarahkangai-gu3jg 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji namwamini saana.anafunza ndoa.anafunza njinzi yakuishi na utakatifu.afya nzuri.aki u baraka kwangu

  • @MagrethMathias-ho2lg
    @MagrethMathias-ho2lg 7 หลายเดือนก่อน

    Amen barikiwa sana Pastor 😮

  • @djramsoyusuph9661
    @djramsoyusuph9661 2 ปีที่แล้ว +3

    Katika wachungaji nao kubali ni huyu namuelewa sana Mungu akubarik

  • @mundesmokesen9314
    @mundesmokesen9314 ปีที่แล้ว

    Asante Sana mchungaji mungu akubariki

  • @leilahl456
    @leilahl456 2 ปีที่แล้ว

    Asante pastor,nimejifundisha sana, barikiwa sana,

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 4 หลายเดือนก่อน +1

    Laitani tungaliyasikia haya ktk mahubiri ya Kanisani ,Miskitini ,Mahospitalini ,nk , ijapo mara2 kw wiki ,tungalielimika sana ,hata mashuleni pia ,manakula hii ndomtihani kwetu ,🎉🎉🎉

  • @NancyJoshua-d9o
    @NancyJoshua-d9o 5 หลายเดือนก่อน

    Amen, Asante baba blessed

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 2 ปีที่แล้ว

    Asanrte paster kwa mafundisho mungu akubariki

  • @makarangakamese
    @makarangakamese 2 ปีที่แล้ว +1

    pr mmbaga
    mimi ningependa kama ungeweza ungeanzisha somo la afya hasa kwenye swala zima la vyakula ingetusaidia sana maana tunapata shida sana kwenye elimu hii

  • @evarinenathaniel9838
    @evarinenathaniel9838 2 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed Pastor

  • @charlottemacimu8997
    @charlottemacimu8997 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho mazuri MUNGU ahendelee kukupa ujasiri .

  • @saphinacuthbet1343
    @saphinacuthbet1343 2 ปีที่แล้ว

    Amina nimebarikiwa Sana na SoMo hili.Barikiwa Mchungaji Mmbaga

  • @nimrodswai3223
    @nimrodswai3223 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri,Barikiwa sana!

  • @jeniferkalemela99
    @jeniferkalemela99 2 ปีที่แล้ว

    Kwa mazingira yetu Mungu atusaidie, ubarikiwe mtumishi

  • @JoyceEliibariki
    @JoyceEliibariki 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeipata nashukur San lkn natamani nikupgie ukiwa umetoka kwenyeibada mchungajii na mungu akubariki

  • @piusdeo9380
    @piusdeo9380 2 หลายเดือนก่อน

    Pasta Mbaga nakubali mtumishi

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika5379 2 ปีที่แล้ว

    Amina pr nimetengeneza mafuta ya parachichi kupitia somo hili Mungu akubariki Sana

    • @Neemakilimba
      @Neemakilimba ปีที่แล้ว

      Nielekeze namna yakutengeneza

  • @estheremmanuel4593
    @estheremmanuel4593 2 ปีที่แล้ว

    Amen siku hizi hautoi masomo ya kila siku maana sio kawaida yako pastory lakini nimekuona tena MUNGU ni mwema sana, nakuombea.

  • @hermanmasulubu3702
    @hermanmasulubu3702 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank you pastor for your preach.

  • @danielfesto489
    @danielfesto489 2 ปีที่แล้ว +1

    barikiwa pastor

  • @vincentmuseveni2074
    @vincentmuseveni2074 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana.

  • @silviamganga5227
    @silviamganga5227 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mchungsji

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 2 ปีที่แล้ว

    Be Blessed pst

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika5379 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Yesu

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa mafundisho mazuri..
    Je begu ya avocado ni sawa kuila?

  • @mkaryenyoka6853
    @mkaryenyoka6853 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Kwa some, ila mm swali langu ni; toka nianze kua kwa mfungo wa siku 40 mara nyingi siombi na ata nikiomba nahisi narudia neno moja pia maneno hayatoki je tatizo ni nini?

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +1

      Hukupaswa uanze siku 40,ulitakiwa uanze siku chache ujitakase kwanza kisha ndo uingie hayo maombi mazito,Shetani aliteka anga lako ili usiombe,Usikate Tamaa anza upya Mungu atakusimamia

  • @joycekerenge3605
    @joycekerenge3605 2 หลายเดือนก่อน

    Mch huna choyo unatupatia madini ya kutosha na hulipwi chochote Neema ya Bwana iwe juu yako mpendwa Mch wetu

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika5379 2 ปีที่แล้ว

    Parachichi ya Aina gani nzuri Kuliwa Kati ya ile ya kienyeji na ile ya kisasa?

  • @vavayotv1176
    @vavayotv1176 2 ปีที่แล้ว

    Sasa hapo kwenye blue band nafwaaa😀🤭🙌🏻

  • @danchibomnyama5461
    @danchibomnyama5461 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana jamn

  • @murishijulienne7048
    @murishijulienne7048 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusahindiye kwa sababu siku hizi nizamwisho ukikunya maji wanasema eti utagojwa sasa tufanyeje

  • @josemuthaura3846
    @josemuthaura3846 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni mafuta yapi mazuri Sasa kwa maana yote ni Kama ni mabaya? Ni muthaura toka meru nyambene sab county.

  • @eunicekalinga7174
    @eunicekalinga7174 2 ปีที่แล้ว +1

    ndio maana saivi watoto wanaugua magonjwa mazito.Ubarikiwe .

  • @florabenard707
    @florabenard707 2 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @happysamson6609
    @happysamson6609 2 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ni wa thamani Asante mchungaji.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Basi tulishakufa wengi maana duuh tuliko hata natural food ni kazi,na Waafrica tunapenda vya kukaangwa ,wazungu hawajui kukaanga Kama kuunga mboga,Yaani wao labda kukaanga chips(french fries)na maandazi na donuts mbalimbali,vingine kama kuku labda samaki kidogo ,vingine vyote wanachoma na kuchemsha tuu

    • @joycekerenge3605
      @joycekerenge3605 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli....nadhani nimemuelewa Pr kwamba Kuna Antoxdands yaani vitoa simu...kula mbogamboga kwa wingi ....na vinginevyo uusuuze mwili

    • @joycekerenge3605
      @joycekerenge3605 2 หลายเดือนก่อน

      Sumu

  • @barakandabunganie6585
    @barakandabunganie6585 2 ปีที่แล้ว

    👏

  • @theopistaundole1985
    @theopistaundole1985 2 ปีที่แล้ว +1

    Mch vyakula vimeharibiwa nbolea

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @gracenyamisa8703
    @gracenyamisa8703 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed 🙏🙏🙏

  • @mariethamakwaya8117
    @mariethamakwaya8117 2 ปีที่แล้ว +1

    Mafuta gani ambayo ni mazuri kutumia maana tuliaminishwa mafia ya alizeti ndoo mazuri tafadhali mchungaji akusaidie katika hili

    • @estheremmanuel4593
      @estheremmanuel4593 2 ปีที่แล้ว

      Angalia masomo ya pastory mahubiri tv yanayozungumzia vyakula utapata jibu.

    • @blueeyes5952
      @blueeyes5952 2 ปีที่แล้ว

      Mafuta ya nazi, mawese na olive oil

  • @johnsonmisheto9422
    @johnsonmisheto9422 2 ปีที่แล้ว +2

    binafsi nimebarikiwa ,sasa je Mafuta gani mazuri ? soda gani nzuri ?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna soda nzuri. Mafuta mazuri ni Virgin olive oil,nazi,parachichi,mawese yasiyopitia kiwandani ni nafuu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga mafuta ya parachichi nayo naweza pikia??Maana mimi virgin Olive oil gharama yake siiwezi na si mazuri kukaangia vitu vingi kama Maandazi,chapati na Vitumbua nimejaribu

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว

      Unaweza pikia,ya nazi pia

    • @elizabethgodfreytondo3052
      @elizabethgodfreytondo3052 2 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga Sorry Pastor upatikanaji wa hayo mafuta uliyoyataja ukoje? manake now days uamninfu nao haupo unaweza ukadhani umepata mafuta halisi kumbe yamechakachuliwa

    • @brightongeorge2233
      @brightongeorge2233 2 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga lkn pastor walisema et mafuta ya nazi si mazuri kwa kupikia

  • @valerianahadi4399
    @valerianahadi4399 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed pastor. I got a question, kuna watu wa karibu ninaowajua na ni watumiaji wazuri wa alcohol. Wanadai kuwa pombe keeps them active and easy to think au kutatua vitu mbali mbali darasani, kazini au popote na ukiangalia ni kama wanakuwa vizuri wakiitumia. Je, hio alcohol kwao ni kwamba athari kwenye miili yao ni long term?? Maana it's like alcohol boosts their brain instead of destroying it. ASANTE SANA

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว +2

      It is artificially boost the brain but not naturally. At the end they will see the results of damaged brain

  • @JLTT
    @JLTT 2 ปีที่แล้ว

    Samahani, msaada wa ushauri na saa unapatikanaje?

  • @JLTT
    @JLTT 2 ปีที่แล้ว +1

    Samahani pastor, mafuta Gani ni salama Kwa familia Kwa ujumla Sasa?

  • @bensontemu9356
    @bensontemu9356 2 ปีที่แล้ว

    Kwema Mchungaji

  • @bensontemu9356
    @bensontemu9356 2 ปีที่แล้ว

    Vipi Kuhusu Mkate Wa Brown

  • @meckywadyatv.9016
    @meckywadyatv.9016 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @gracenyamisa8703
    @gracenyamisa8703 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen

  • @wistonmkane3837
    @wistonmkane3837 2 ปีที่แล้ว

    Ñinafurahi sana masomo yako kwani una hazina kubwa. Halafu si mchoyo. Unajitolea sana sana sana. Na kila ninapofungua tu nakutana na MUNGU kupitia wewe. MUNGU na akubariki sana sana.

  • @JLTT
    @JLTT 2 ปีที่แล้ว +1

    Hususani, watoto chini ya miaka mitano, tutumie mafuta yapi kuwapikia?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว +2

      Nazi,olive oil,

    • @JLTT
      @JLTT 2 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga Asante. Pia nahitaji ushauri, nawasiliana vipi?

    • @dfinalpatrick8555
      @dfinalpatrick8555 2 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga olive oil napataje? Nipo kigoma

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 2 ปีที่แล้ว

    Utajuaje sasa kuwa omega 6 zimezidi mwilini au zipo chini Kabisa.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว +3

      Dalili ukiziona itakuwa huenda ushaanza kuwa mgonjwa
      1. Lehemu mbaya kuwa nyingi (high bad cholesterol)
      2. Mcharuko wa juu wa mwili (Inflammatory reactions in the body) . Mwili unaona vitu vingi ni adui wakati sio . Mwili unapambana na maadui wasio na sababu,kama vumbi,harufu ya marashi wewe unakohoa saana,hasira bila sababu,msongo kwa vitu vidogo.
      3. Uvimbe usio na sababu maalum kwenye tumbo,koo,kichwa,mishipa ya moyo.
      4. Kiharusi na mengine mengi.
      Tatizo sio omega 6,tatizo tumekula vyakula vyenye omega 6 kupita kawaida. Kama mafuta ya alizeti,soya,mawese ya viwandani nk.

  • @dfinalpatrick8555
    @dfinalpatrick8555 2 ปีที่แล้ว

    Vip kama mtu anatumia maji ya kununua mfano dew drop nk yana madhara?

  • @sportevents220
    @sportevents220 2 ปีที่แล้ว

    Vyakula vya kuondoa bawasiri utuambie

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Pombe kama umeokoka inakusaidia nini??kuna makanisa kama Lutherani katoliki,moravian na Anglican bado wana hiyo dhana kuwa kunywa kidogo si dhambi

  • @loraumuhire4755
    @loraumuhire4755 2 ปีที่แล้ว

    Bwana asifie, parachichi nini kwa English? munisaidie kuerea mimi sio mu Tanzania naomba ukue unafafanua ira na bengine tupate kujua, asante mubarikie.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว

      Parachichi ni Avocado

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Itabidi awe anaweka English subtitle na ninyi wakenya na Waganda poleni ukoloni umetawala nchi Lugha ya Asili ndo hakuna kabisa na Burundi na Congo

  • @sportevents220
    @sportevents220 2 ปีที่แล้ว

    Pia rate yangu ya kusahau imeongezeka Ila pombe situmii kabisa

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Labda una mawazo mengi ya kimaisha hata kama hutumii pombe

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 2 ปีที่แล้ว

    Amen, be blessed pr

  • @gramathe6
    @gramathe6 2 ปีที่แล้ว

    Parachichi ni nini

  • @barakanicolao4894
    @barakanicolao4894 2 ปีที่แล้ว

    Vipi mafuta ya karanga mchungaji..

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Ni mabaya wengi wanapata cholestrol mwilini na wengine magonjwa ya vifua

    • @barakanicolao4894
      @barakanicolao4894 2 ปีที่แล้ว

      @@trophywilson7211 sasa tufanye nini kuepuka hayo madhara??

    • @blueeyes5952
      @blueeyes5952 2 ปีที่แล้ว +1

      @@barakanicolao4894 tumia mafuta ya nazi na mawese , kama unataka mafuta ya karanga ni bora uyafanye mwenyewe ndio bora zaidi.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina

    • @theopistaundole1985
      @theopistaundole1985 2 ปีที่แล้ว +1

      Mchungaji mbona vyakula vyotevimharibiwa vinalimwa na mbolea za viwandani mahindi maharage mpunga kila kitu kina sumu Bwana Yesu peke yake atuponyaye .Mwenye haki kwa imani