AMKENI WOTE TUPELEKE KWAKE BWANA -Mahafali Kwaya ya Mt Augustino SAUT - ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 76

  • @beatusmtui507
    @beatusmtui507 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huu wimbo ni mtamu sana japo hamkuwa serious kuurecord but at least you did part of it

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  2 หลายเดือนก่อน

      Yeah video haikuwa planned kabisa n MTU tu alipita aka record mwishoni akatupatia

  • @ronaldnangori
    @ronaldnangori 18 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba kujua mtunzi wa huu wimbo

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  18 วันที่ผ่านมา

      Revocatus Josephat

  • @FarajaLucas-fl4pl
    @FarajaLucas-fl4pl 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa mbn unanitishaaa aseee 😮😮😮

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  6 หลายเดือนก่อน

      Hahaha Hapana mkuu kawaida tu

  • @luganokalinga8106
    @luganokalinga8106 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sebene limefika kwa mkunaji😂😂😂! Very excellent! Key transformation nimeipenda sana! Super Harmony ✍️

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  11 หลายเดือนก่อน

      Hahaha asante sana mkuu...zidi kubarikiwa usisahau Ku coment zaidi na Ku subscribe katika channel hii

    • @ericwatugulu3615
      @ericwatugulu3615 9 หลายเดือนก่อน +1

      Transformation imekaa poa sana

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  9 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @PeterMussa-sm7if
    @PeterMussa-sm7if 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu bro namkubali xn

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  7 หลายเดือนก่อน

      Amina sana ubarikiwe anakukubali pia kwa kuendelea kufwatilia channel hii

  • @jameshirima
    @jameshirima 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shkamoo maestro 🤣😂zidi kumcha bwana.

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  3 หลายเดือนก่อน

      Amina amina sana

  • @venancemsoka2393
    @venancemsoka2393 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nichezee nyimbo ya syote tunakushukuru mungu mwenyezi mkuu

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  10 หลายเดือนก่อน

      Sawa itapatikana huku muda mchache ujao...usisahau Ku share video, subscribe na comment katika channel hii

  • @floineskimbali178
    @floineskimbali178 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mweny kujua bei ya hii kinanda

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  2 หลายเดือนก่อน

      9-12m

  • @kieranzigilwa7853
    @kieranzigilwa7853 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂 Daaaaah we jamaa wewe. Haina shida bwana niombee na mimi niwe kama wewe

  • @peterkimonyi3023
    @peterkimonyi3023 6 หลายเดือนก่อน +1

    Na hyo mnyama unaijua hasa kwa pedal''''''''big up bro🫡

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana mkuu

  • @andymatok323
    @andymatok323 11 หลายเดือนก่อน +2

    Waah sema ufundi mkali kutoka G major to A flat bila kunotice
    Napenda hii sana❤

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  11 หลายเดือนก่อน

      Asante sana....

    • @Emmanuel_Musumba
      @Emmanuel_Musumba 10 หลายเดือนก่อน +1

      Haha ni A Major to B major

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  10 หลายเดือนก่อน

      Yes in A# to B#

  • @ombenisalewa3412
    @ombenisalewa3412 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nmeelewa mguu kaka uko vzur sana

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni swala LA zoezi tu

  • @ANAELMNZAVA-s9b
    @ANAELMNZAVA-s9b 3 หลายเดือนก่อน +1

    100%nakubalii

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  3 หลายเดือนก่อน

      Shukrani

  • @isaacgara3528
    @isaacgara3528 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ana nafasi yake Mungu amtunze❤

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  11 หลายเดือนก่อน

      Amina sana....ubarikiwe

  • @OrganistjamesKtZ
    @OrganistjamesKtZ ปีที่แล้ว +5

    Mkuu hio mbio ya mguu nimekutii sana😢😊😊

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  ปีที่แล้ว

      Asante sana

    • @piuswambuaorganist
      @piuswambuaorganist 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mkuu we mkali kweli

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  11 หลายเดือนก่อน

      Asante kiongozi tunajaribu tu

    • @DenisMrosso-203
      @DenisMrosso-203 9 หลายเดือนก่อน +1

      Namba yako plzz

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  9 หลายเดือนก่อน

      @@DenisMrosso-203 0625393245

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 11 หลายเดือนก่อน +1

    nimependa transition hiyo into "Ndama wa nono by Mtegeta", ufundi mwingi mnooo

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  11 หลายเดือนก่อน

      Asante mkuu

  • @KareenWilliams-j2q
    @KareenWilliams-j2q 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good job man🥰

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  10 หลายเดือนก่อน

      Asante sana mkuu

  • @martinimatutuli5575
    @martinimatutuli5575 ปีที่แล้ว +1

    Kaka anajua Sana

  • @hermenstarimo1792
    @hermenstarimo1792 ปีที่แล้ว +1

    Sawa beans fundi

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  ปีที่แล้ว

      Tunajaribu jaribu tu

  • @nickwilliams9216
    @nickwilliams9216 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bro u r one of the best i have ever seen,unaeza nisaidia namba ya WhatsApp tuonge

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  11 หลายเดือนก่อน

      0625393245

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  11 หลายเดือนก่อน

      Meela Costerntine

  • @jaypejayjay
    @jaypejayjay 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona ndugu ukakata leteni ndama walionona? Kuna any upload ya huo wimbo ukiucheza?

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  3 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio ipo itafute letwni ndama walionona ikiimbwa na kwaya ya Mt Augustino SAUT

    • @jaypejayjay
      @jaypejayjay 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@MEELACOS shukrani kaka. Got it

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  3 หลายเดือนก่อน

      Sawa

  • @zackirungu1141
    @zackirungu1141 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri jirani. Kazi yako yapendeza. Hongera kutoka Kenya...kisha naomba kujua huo wimbo umecheza baada ya 'Amkeni tupeleke' ni upi?...

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  7 หลายเดือนก่อน +1

      Asante kwa kufuatilia wimbo uliofuata ni Leteni ndama walionona by Mtegeta

    • @ombenisalewa3412
      @ombenisalewa3412 6 หลายเดือนก่อน +2

      Inaitwa ndama wanono kaka

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  6 หลายเดือนก่อน

      Naaam

    • @kariukidaniel1457
      @kariukidaniel1457 6 หลายเดือนก่อน +1

      Leteni ndama aliyenona

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  5 หลายเดือนก่อน

      Yes

  • @hermenstarimo1792
    @hermenstarimo1792 ปีที่แล้ว +1

    Sawa bwana fundi

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  ปีที่แล้ว

      Hahahaha mkuu

  • @kayceeykaayofficial.
    @kayceeykaayofficial. 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenye alirecord hii video should style up.... Ukianzisha kitu unafaa kumalizia 😢. Sijaheal 😢

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  10 หลายเดือนก่อน +1

      Asante...wakat mwingine nitazingatia

    • @kastorykapinga5356
      @kastorykapinga5356 10 หลายเดือนก่อน +1

      Weka mbali na watoto 🔥🔥🔥

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  10 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli

  • @PeterMussa-sm7if
    @PeterMussa-sm7if 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji namba za huyu organist

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  7 หลายเดือนก่อน

      0746106995/0625393245

    • @kevinnyangaresi8222
      @kevinnyangaresi8222 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yenye iko wazzup kindly

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  5 หลายเดือนก่อน

      @@kevinnyangaresi8222 zote n za whatsup

  • @isaacgara3528
    @isaacgara3528 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii kitu nairudiarudia sjui nn?

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  10 หลายเดือนก่อน

      Hahaha tumshukuru Mungu kaka

  • @thedaeusotieno9768
    @thedaeusotieno9768 ปีที่แล้ว

    Nitumie namba ya mawasiliano nakuhitaji mahali kwa sherehe

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  ปีที่แล้ว

      0625393245....Meela costerntine

  • @ericwatugulu3615
    @ericwatugulu3615 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yani kaka kwenye hiyo dakika ya 2:21 kwenda 2:22 ni moto mno.

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  9 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahaha ngoja nikaitazame

  • @daviddeogratias1622
    @daviddeogratias1622 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hadi johooo linagonga pedal aah!

    • @MEELACOS
      @MEELACOS  11 หลายเดือนก่อน

      Hahahah