*UDHAIFU WA HULKA YA MUHESHIMIWA. T. LISSU* *Point 6* 1. UDHAIFU WA HEKIMA NA USTAARABU Matusi yamemkaa mdomoni🤮. SHEZI,PUMBAVU,MJINGA yanatoka kinywani bila hata kuzuiwa🤐🤐. Hapa ni kutuomba kura, je akiwa "raisi" si atatutukania mamazetu huyu🤷🏿♂️!! Anachumbia kwa matusi akioa itakuaje?🙆🏾♂️🙆🏾♂️ 2. EGOCENTRIC/MBINAFSI NA HASHAURIKI Yeye pekee ndio anajua na yuko sahihi. Ndio maana kila kitu/mtu ni MJINGA NA MPUMBAVU NA MSHEZI isipokuwa yeye. Analolitaka yeye atapindisha kila ukweli na tafsiri ya sheria liwe hivyo. Jiulize akiwa "raisi" nani atakuwa mshauri wake atakayemsikiliza? Mbowe? Hawa zitanyukana mapemaaaa! Labda wakina Amsterdam maana ndio anaowasikiliza. If you are not with him/them then you are an enemy na kibaraka wa CCM👹👹. Demokrasia wataiweza kweli hawa? 3. HANA BACKBONE/UJASIRI wa kuwaadhibu watu wa karibu naye wakikosea. Tuhuma za sexual harassment walizotoa baadhi ya wabunge CDM yeye yuko kimya,wabunge wamefukuzwa bila kujieleza ameuchuna, pesa za chama zinatumika bila accountability ame-mute😎😎! Haki za kina nani anataka kuzitetea wakati za wabunge wa chama chake hajazifanyia kazi? Unaongeleaje haki ya mtz wa kawaida usiye mjua wakati watu wa chama chako wanadhulumiwa haki zao umenyamaza? HUYU NI MUONGEAJI NA MSHEREHESHAJI ZAIDI NA SIO MTEKELEZAJI. Tafuta clip ya MIKASI youtube alipoulizwa na Salama7 kwa NAFASI YAKE yeye anafanya nini kwa yale anayoyalalamikia?.. utanielewa!! "KAZI YANGU KUPIGA KELELE" Fanya basi hata kwa kidogo kwenye jimbo lako. Kama unaweza tembeza bakuri kwenye uchaguzi tembeza kujenga chuo hata kimoja 🤷🏿♂️🤷🏿♂️ 4. HAJIVUNII U-AFRICA NA U-TZ, HANA DHANA YA SISI KUJITEGEMEA -Anajisifia kuongea "kithungu", sawa sio mbaya, je umemsikia akiongea lugha zetu za asili au akizisifia?Je kuna jambo nzuri umemsikia akisifu kuhusu Tz? Hata AMANI yetu ni kama inamkwaza maana haimsaidii yeye kufikia malengo yake binafsi. Je MILA NA DESTURI zetu unadhani anaziheshimu na kuzithamini? Ukitetea ushoga kwa misingi ya haki ukasahau tamaduni za watu unaotaka kuwaongoza ni HATARI🔥🔥. Tafuta majibu ya Museven na Kenyatta walipoulizwa swali kama hilo. Huitaji degree ya UD kujua JPM atajibuje swali kama hilo👨🏽🎓. Bado mawazo yake yako kwenye kutegemea mataifa ya nje kuikomboa Tz iende mbele. HAKUNA UHURU KAMA HAUWEZI KUJITEGEMEA KUICHUMI. Uhuru ni kujitegemea. Suti ya kuazima kwa jirani inakujaga na masharti! HAPA NDIO KUNA GAP KUBWA KATI YAKE NA JPM. 5. HOFU YA MUNGU SIIONI -Hata kuitisha tamasha au ibada kubwa ya kumshukuru Mungu kwa kumrudisha salama Tz hamna🤷🏿♂️🤷🏿♂️!!.Hajui ni kiasi gani watz tulisimama kumuombea! Hata wengine anaowashutumu leo waliomba sana kwa ajili yake🙏🏼🙏🏼! Kipindi cha Corona walisema Corona ni sayansi Mungu tumuweke pembeni hausiki! Sisi tunasali wao busy kwa FARU JOHN. Chama chake kimeishia kuwabeza hata viongozi wa dini. Kila anayenena mawazo tofauti kwao kanunulia💵.....Demokrasia wanaijua kweli hawa??🤔🤔 Lowassa hakutushauri tumwage damu kwa kuingia barabarani 6. HAJAJIANDAA KUONGOZA NCHI , HOJA ZAKE NI RECKLESS Alipoulizwa- anaposema serikali haina hela na anapanga kupunguza kodi na kuongeza mishahara na kulipa fidia watu "waliopoteza haki" zao akajibu -tutatafuta hela. Watatafuta wapi? Anasema wavuvi watavua bila masharti wala kuzuiwa-uvuvi haramu je? anawajua wabongo huyu? Anasema uhuru wa habari utakwepo na hakuna kuzuia lolote wala chochote! Kipindi hiki ambacho vichwa vya habari mitandaoni ni tofauti na habari au picha iliyowekwa ndio kumenifanya nijue umuhimu wa sheria za vyombo vya habari. Matusi pia ndio usiseme! Madini kuwekwa reheni??majimbo??😱😱 NB-mgala muue na haki umpe...ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri. Anafaa kuwa kwenye upinzani KUAMSHAAMSHANA WALI SIO KUONGOZA NCHI.Anayoyalalamikia yeye kwa hulka yake atafanya mara kumi zaidi.💀💀 KUMPIGIA KURA HUYU NI KAMA KUBETI KWA KUWEKA REHANI NYUMBA YA URITHI YA FAMILIA. Nikifikiria "baraza lake la mawaziri" napata🤣🤣🤣.
We beleave in you our real soldiers!!!
God bless your
God bless TZ.
Asante Kwa Kutufuatilia
Safi sana kwa kuwafunza makomando wa baadaye
Asante Kwa Kutufuatilia
Mko vizuri
Asante Kwa Kutufuatilia
💪
Asante Kwa Kutufuatilia
Kati ya vinisisimuavyo ni Commando Hongereni Sana
Asante Kwa Kutufuatilia
*UDHAIFU WA HULKA YA MUHESHIMIWA. T. LISSU*
*Point 6*
1. UDHAIFU WA HEKIMA NA USTAARABU
Matusi yamemkaa mdomoni🤮. SHEZI,PUMBAVU,MJINGA yanatoka kinywani bila hata kuzuiwa🤐🤐. Hapa ni kutuomba kura, je akiwa "raisi" si atatutukania mamazetu huyu🤷🏿♂️!! Anachumbia kwa matusi akioa itakuaje?🙆🏾♂️🙆🏾♂️
2. EGOCENTRIC/MBINAFSI NA HASHAURIKI
Yeye pekee ndio anajua na yuko sahihi. Ndio maana kila kitu/mtu ni MJINGA NA MPUMBAVU NA MSHEZI isipokuwa yeye. Analolitaka yeye atapindisha kila ukweli na tafsiri ya sheria liwe hivyo. Jiulize akiwa "raisi" nani atakuwa mshauri wake atakayemsikiliza? Mbowe? Hawa zitanyukana mapemaaaa! Labda wakina Amsterdam maana ndio anaowasikiliza.
If you are not with him/them then you are an enemy na kibaraka wa CCM👹👹. Demokrasia wataiweza kweli hawa?
3. HANA BACKBONE/UJASIRI wa kuwaadhibu watu wa karibu naye wakikosea. Tuhuma za sexual harassment walizotoa baadhi ya wabunge CDM yeye yuko kimya,wabunge wamefukuzwa bila kujieleza ameuchuna, pesa za chama zinatumika bila accountability ame-mute😎😎! Haki za kina nani anataka kuzitetea wakati za wabunge wa chama chake hajazifanyia kazi? Unaongeleaje haki ya mtz wa kawaida usiye mjua wakati watu wa chama chako wanadhulumiwa haki zao umenyamaza?
HUYU NI MUONGEAJI NA MSHEREHESHAJI ZAIDI NA SIO MTEKELEZAJI.
Tafuta clip ya MIKASI youtube alipoulizwa na Salama7 kwa NAFASI YAKE yeye anafanya nini kwa yale anayoyalalamikia?.. utanielewa!! "KAZI YANGU KUPIGA KELELE" Fanya basi hata kwa kidogo kwenye jimbo lako. Kama unaweza tembeza bakuri kwenye uchaguzi tembeza kujenga chuo hata kimoja 🤷🏿♂️🤷🏿♂️
4. HAJIVUNII U-AFRICA NA U-TZ, HANA DHANA YA SISI KUJITEGEMEA
-Anajisifia kuongea "kithungu", sawa sio mbaya, je umemsikia akiongea lugha zetu za asili au akizisifia?Je kuna jambo nzuri umemsikia akisifu kuhusu Tz? Hata AMANI yetu ni kama inamkwaza maana haimsaidii yeye kufikia malengo yake binafsi. Je MILA NA DESTURI zetu unadhani anaziheshimu na kuzithamini? Ukitetea ushoga kwa misingi ya haki ukasahau tamaduni za watu unaotaka kuwaongoza ni HATARI🔥🔥. Tafuta majibu ya Museven na Kenyatta walipoulizwa swali kama hilo. Huitaji degree ya UD kujua JPM atajibuje swali kama hilo👨🏽🎓.
Bado mawazo yake yako kwenye kutegemea mataifa ya nje kuikomboa Tz iende mbele. HAKUNA UHURU KAMA HAUWEZI KUJITEGEMEA KUICHUMI. Uhuru ni kujitegemea. Suti ya kuazima kwa jirani inakujaga na masharti! HAPA NDIO KUNA GAP KUBWA KATI YAKE NA JPM.
5. HOFU YA MUNGU SIIONI -Hata kuitisha tamasha au ibada kubwa ya kumshukuru Mungu kwa kumrudisha salama Tz hamna🤷🏿♂️🤷🏿♂️!!.Hajui ni kiasi gani watz tulisimama kumuombea! Hata wengine anaowashutumu leo waliomba sana kwa ajili yake🙏🏼🙏🏼!
Kipindi cha Corona walisema Corona ni sayansi Mungu tumuweke pembeni hausiki! Sisi tunasali wao busy kwa FARU JOHN. Chama chake kimeishia kuwabeza hata viongozi wa dini. Kila anayenena mawazo tofauti kwao kanunulia💵.....Demokrasia wanaijua kweli hawa??🤔🤔
Lowassa hakutushauri tumwage damu kwa kuingia barabarani
6. HAJAJIANDAA KUONGOZA NCHI
, HOJA ZAKE NI RECKLESS Alipoulizwa- anaposema serikali haina hela na anapanga kupunguza kodi na kuongeza mishahara na kulipa fidia watu "waliopoteza haki" zao akajibu -tutatafuta hela. Watatafuta wapi? Anasema wavuvi watavua bila masharti wala kuzuiwa-uvuvi haramu je? anawajua wabongo huyu? Anasema uhuru wa habari utakwepo na hakuna kuzuia lolote wala chochote! Kipindi hiki ambacho vichwa vya habari mitandaoni ni tofauti na habari au picha iliyowekwa ndio kumenifanya nijue umuhimu wa sheria za vyombo vya habari. Matusi pia ndio usiseme! Madini kuwekwa reheni??majimbo??😱😱
NB-mgala muue na haki umpe...ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri. Anafaa kuwa kwenye upinzani KUAMSHAAMSHANA WALI SIO KUONGOZA NCHI.Anayoyalalamikia yeye kwa hulka yake atafanya mara kumi zaidi.💀💀
KUMPIGIA KURA HUYU NI KAMA KUBETI KWA KUWEKA REHANI NYUMBA YA URITHI YA FAMILIA. Nikifikiria "baraza lake la mawaziri" napata🤣🤣🤣.
💞💞💞💞✌✌✌✌✌✌✌✌💞💞💞💞💪💪💪💪💪💪💪💪
Asante Kwa Kutufuatilia
Unamawazo finyu sana kama ya kiongozi wako..LISSU is genius.😃😃✌✌💪💪
Hawana lolote wasenge tu
Asante Kwa Kutufuatilia
Kwa hiyo unawatukana viongozi wetu, siyo?
Jihadhari sanaa na mdomo wakooo, hopeless
Huna hata D mbili ndo maana una ubongo kama punje za mchele