Daaa kwer pesa zabuni yaroho,Unaweza umfanyiya MTU mambo kedekede mpk ukaic Dunia hi yotee yake 🙄Leo hi unatamka sikuwahi kukupenda kisaa umechanganyikuwa narafiki yangu😱Duu pesa shetani✍️
🤣🤣🤣🤣🤣Nicheke TU 👉eti watu niwabaya njo shost stito Wang 😏😏😏wakati uyo unayeitaji Akupe faraja ndochanzo chauwo Mwiba unakuchoma📌Nakukufanya utowe machozi😭😭E Mungu nifundishe kutunza Siri zangu mix maumivu yangu 🙏
Veronica mbona hi simulizi ya 3 inakuwa KERO sipati kwawakati Nini Tatizo???zile zilizopita pmj nahi,no 5 nafunguwa ukaongea kidogo km kichwa Cha habari simulizi ikaisha❌
Umasikini unaweza kukusababisha ukafanya jambo ukajutia baadae napia usipuuzie ndoto ambayo umeiota na umeamka bado unaikumbuka vizuri nyingi Huwa zinaukweri
Aibu naona Mimi uku sio Kwa unafki huu jamani uwiii naogopa Kwa kweli😢
Hizi simulizi Huwa zanifunza sana
Nyie ndo maana me malafiki siwapi kipaumbele awa mashost awa mhhh cjui
Kikulacho kinguoni mwako.
Ogopa machizi ya kiumbe yoyote kama ulivyo fanya hutokufa na ww utafanyiwa malipo duniani upo pole kwa tamaa
Pata pesa tuijue tabia yako.
jmni Zenobia wetu jmni..sasa itakuwaje mama? eeeuwiiii
Daaa kwer pesa zabuni yaroho,Unaweza umfanyiya MTU mambo kedekede mpk ukaic Dunia hi yotee yake 🙄Leo hi unatamka sikuwahi kukupenda kisaa umechanganyikuwa narafiki yangu😱Duu pesa shetani✍️
Pesa hizi khaa unafiki mtupu😎😎
Hakuna siri ya watu wawili.
Thanks for uploading though unachelewa ku upload tuned 🇰🇪 🇰🇪
Dah zenobia mnafiki😮
Ndio sipendagi marafiki huwa wanafki sana
Shkra! Daa Vero ❤❤🇰🇪
🤣🤣🤣🤣🤣Nicheke TU 👉eti watu niwabaya njo shost stito Wang 😏😏😏wakati uyo unayeitaji Akupe faraja ndochanzo chauwo Mwiba unakuchoma📌Nakukufanya utowe machozi😭😭E Mungu nifundishe kutunza Siri zangu mix maumivu yangu 🙏
Thanks Sis.Vero kwa muendelezo I'm no.1
Dah inasisimua
Veronica mbona hi simulizi ya 3 inakuwa KERO sipati kwawakati Nini Tatizo???zile zilizopita pmj nahi,no 5 nafunguwa ukaongea kidogo km kichwa Cha habari simulizi ikaisha❌
Ila ela jaman mbayaaa
Umasikini unaweza kukusababisha ukafanya jambo ukajutia baadae napia usipuuzie ndoto ambayo umeiota na umeamka bado unaikumbuka vizuri nyingi Huwa zinaukweri
kabisaaa,mikati maisha yangu ndoto 4 Ambazo zilinitokea Ukwer kabisa,nabadae nikajuta kwanini sikufanya mahamuzi sahii,wengi tunazarau ndoto,
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
And 2
Hii ya lini tena
Ijumaa