More love from kenya 🇰🇪 sister Vero yaani ile siku hau upload simulizi mimi huboeka sana, My humble request is that next year tukijaaliwa uwe uko upload hadi Saturdays na Sundays i have been your fan since you started Simulizi 😊
Veronica, piga summary ya simulizi zako toka mwanzo 2022 mpaka mwisho wa mwaka utapoanza mwaka 2023. Yaani hiyo itakuwa poa kweli yaani. Fikiria basi Hilo binti yake Frank jamani..
Barikiwa sana Vero,yaan sikumbuki ni mwaka wa ngapi nakusikiliza maana tangu praise power
wewe kama miyee """popotee Alipo nasi tupooo💃💃💃
Simulizi nzuri sana da vero hongera sana Mungu akuweke kwakwel
Waoooh MC safari the first one
Nakukubali sana dada
Honger sana dada vero
Sauti yako tu dhaaa!
Simulizi nzuri yaan da veronica uko vizur unajua kusimulia
Ni vizuri kuombea na mema kwani sio razima kusajiliwa pamoja. ubaliwe zenobia.
More love from kenya 🇰🇪 sister Vero yaani ile siku hau upload simulizi mimi huboeka sana, My humble request is that next year tukijaaliwa uwe uko upload hadi Saturdays na Sundays i have been your fan since you started Simulizi 😊
U ar welcome my sis😊
Hii simulizi inavyoonekana badae ina mambo ya kulogana
Barikiwa sana vero
God bless you dada Vero
Sehemu ya kwanza nimeipitia kabisaa nikiwa kama rafik wa zeno ngoja niendelee kisikiliz
Nikajua dada umeshachukua likizo ya mwaka mpyaa
Akika nisimurizi nzur akika unasauti yakipekee akika unaweza Dada veronika
Mambo ya upendo wa kweli sijui urafiki wa kweli hapana weee niache kazi jamni wakati jua halijakuwakia vizuri Zeno😂
mh utaona Tena 🤔
Asante
Veronica, piga summary ya simulizi zako toka mwanzo 2022 mpaka mwisho wa mwaka utapoanza mwaka 2023. Yaani hiyo itakuwa poa kweli yaani. Fikiria basi Hilo binti yake Frank jamani..
Usimfundishe kazi
@@cornelkaaya7783 ni suggestion tuu ndugu yangu..