Nyimbo za matoleyo Catholic nyarugusu camp

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @furahabiringanine6728
    @furahabiringanine6728 3 ปีที่แล้ว +6

    Amani kwenu wapendwa katika Kristu... nime miss sana huu uwimbaji, mwenyezi Mungu awalinde nyote ❤️🙏🏽.
    Wenu Furaha Beatrice kutoka kwaya ya Kizito (Petits Chanteur) toka 2009-2014 😘🎶

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 ปีที่แล้ว +3

    Ongereni sana watumishi wa Bwana Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @BenjaminHERI
    @BenjaminHERI ปีที่แล้ว +1

    Hii kanisa ndo Imani yangu, naipenda sana. Ninaposikiliza nyimbo ivi, nafarijika ikiwa hata Nina matatizo kiasi gani.

  • @asinabaacana170
    @asinabaacana170 3 ปีที่แล้ว +2

    Amani ya mbwana iwe daima nanyi sikuzote

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 ปีที่แล้ว +1

    Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina

  • @josephinebiringanine7113
    @josephinebiringanine7113 3 ปีที่แล้ว +6

    Amen, Mubarikiwe sana Waimbaji. Munafanya kazi zuri sana ya Kitume mungu abariki vipaji vyenu... na Miss vitu vingi jamani sijuwi niseme nn 🙏😩

  • @BenjaminHERI
    @BenjaminHERI ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo wa matoleo wakati wa noeli unavutiya sana, njoni wakristu wote tumtoleye. Dah! Mungu asifiwe sana

  • @aureliebeatrice5952
    @aureliebeatrice5952 3 ปีที่แล้ว +2

    So much blessings asante sana kwaku post tume barikiwa

  • @audaceleroi1370
    @audaceleroi1370 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kabisa

  • @sergemuhesi5195
    @sergemuhesi5195 3 ปีที่แล้ว +1

    Ça me rappelle vraiment

  • @rizikibintikinois3626
    @rizikibintikinois3626 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow I miss dancing 💋💞💞💃

  • @jeannebyamungu2819
    @jeannebyamungu2819 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏💪

  • @badeuxchl5050
    @badeuxchl5050 3 ปีที่แล้ว +1

    The excitement 🥺😍😍💖🙏🏿

  • @laliakiza371
    @laliakiza371 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @glorialutake8661
    @glorialutake8661 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzindi ku tuma tu 🥺🤲

  • @sifabawili4932
    @sifabawili4932 3 ปีที่แล้ว

    Halleluya 🙏🏾💛💛💛💛💛❤️❤️🤍💙💙💚💜

  • @jeannebyamungu2819
    @jeannebyamungu2819 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️❤️🥰