FAHAMU KUHUSU UWEKEZAJI WA KUKU ZAIDI YA 12,000 WA MAYAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @abdallahkiliyawape8331
    @abdallahkiliyawape8331 7 ปีที่แล้ว +1

    Brother great work mtu wangu

  • @fayashilikale5574
    @fayashilikale5574 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana!

  • @Mrdigital.
    @Mrdigital. 7 ปีที่แล้ว +1

    god bless you

  • @mkungamedia6090
    @mkungamedia6090 7 ปีที่แล้ว +1

    we expect more profitable videos keep moving

  • @sazahassan1929
    @sazahassan1929 5 ปีที่แล้ว +1

    Simba mkaliiiiiiiiiii

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 5 หลายเดือนก่อน

    Mnatuangusha kipindi kizuri lakini hatoi nafasi mteja wenu kutoa namba yake ya simu

  • @bernadoemmanuel5799
    @bernadoemmanuel5799 7 ปีที่แล้ว

    Asante naomba namba Za simu

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 7 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja brother

  • @mwitadavid5531
    @mwitadavid5531 3 ปีที่แล้ว

    Chanjo ya typhoid inapatikana wapi?

  • @fatmafarajinasry8216
    @fatmafarajinasry8216 5 ปีที่แล้ว

    Namba

  • @jojijames5203
    @jojijames5203 7 ปีที่แล้ว +1

    mradi mzuri...ila mtangazaji bado sana,anashindwa kutengeneza/kuuliza maswali yenye tija kwa ajili ya watazamaji/wasikilizaji kupata maelezo ya kina toka kwa wahusika wa mradi! Mtangazaji next time ajiandae vzr,hajakomaa

    • @teresiashiyo72
      @teresiashiyo72 5 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji unajigonga sana. Watu wawasikie hao wataalamu na sio mbwembwe zako. Wape nafasi wao wajieleze.

  • @stephanogabriel2526
    @stephanogabriel2526 7 ปีที่แล้ว

    god bleesing you

  • @queenkelisalex1536
    @queenkelisalex1536 7 ปีที่แล้ว

    nakuelewa dady keep it up tupo nyumaako

  • @jaysballoh22
    @jaysballoh22 6 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zenu nahitaji kufanya biashara na nyinyi pls

  • @jamesgerald7192
    @jamesgerald7192 5 ปีที่แล้ว

    Akna layers anayetaga akiwa na miezi minne

  • @yusufukipetio5786
    @yusufukipetio5786 7 ปีที่แล้ว

    naomben namba Mimi nimfanya biashala wa mayai

  • @رمانرمان-س8و
    @رمانرمان-س8و 7 ปีที่แล้ว

    nkukubali doctor tunaomba nomba

  • @jamesgerald7192
    @jamesgerald7192 5 ปีที่แล้ว

    AF day one chanjo ni Marek's

  • @simonkalimurhima5827
    @simonkalimurhima5827 4 ปีที่แล้ว

    Na hitaji ndugu unitumiye namba za dicta Alex buta wa pil almonefix

  • @Abdulybakarmakusud
    @Abdulybakarmakusud 3 หลายเดือนก่อน

    Me naomba kuhuliza ivi kwa nini kuku tu bata sioni wafugani bata

  • @nawwafomar4518
    @nawwafomar4518 5 ปีที่แล้ว

    mm nataka nifuge kuku wengi kisasa kabisa nataka kujua jinsi ya kujenga ile cage

  • @shabanikitogo6613
    @shabanikitogo6613 7 ปีที่แล้ว

    Namjua mkulugenzi wenu naomba namba yake bwana Ismail.

    • @martinapanga176
      @martinapanga176 6 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji jaribu kuuliza maswali yenye tija kwa mtazaji, yn Fanya km unajibu maswali ya msingi ya mtazaji, km banda, gharama za ufugaji, soko,

    • @martinapanga176
      @martinapanga176 6 ปีที่แล้ว

      Alex no zkoooo

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji hujui kuhoji hata kdg

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 ปีที่แล้ว

    Izo chanjo ni zakuchoma sundano au unawawekea katika maji

  • @killerjokes7148
    @killerjokes7148 5 ปีที่แล้ว

    Punguza michapio

  • @nicolausmpalanzige7767
    @nicolausmpalanzige7767 5 ปีที่แล้ว

    Kuku wa kienyeji unaweza wapa hivyo vya kula kwa mfumo huo

  • @elpidiuskunjumu6450
    @elpidiuskunjumu6450 7 ปีที่แล้ว

    tafadhali namba ya simu ya hiyo kampuni nataka kufanya biashara nanyi

  • @kwizeraremy1898
    @kwizeraremy1898 5 ปีที่แล้ว

    Salam kwa chef wa Chanel naomba contact za sim yawahusika na hiyi compogny nipate chakula cha Kuku +25775237446 niko Bujumbura Burundi

  • @chekaeliudy6452
    @chekaeliudy6452 5 ปีที่แล้ว

    HABARI WANDUGU,nahitaji mayai ya kutotoreshea vifaranga naweza kuyapata my whats number 0786470904