MIZENGWE- FUNDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025
  • Mkwele apelekwa kazini na Mzee Matata baada ya kukaa bila kazi kwa muda mrefu pamoja na kuwa yeye ni mtaaluma wa kazi hiyo, lakini alichokutana nacho akiwa kazini ni aibu kusimulia, mkewe aenda kumtembelea na kumkuta akizozana na muajili wake, Mkewe ampa ushauri wa kuwa makini na mikataba ya kazi kabla ya kukubaki kupewa kazi.

ความคิดเห็น • 101