ITV MIZENGWE-MARIOO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Tabia ya mkwere ya kupenda kuyaongea mamboyake hadharani yamfikisha pabaya baada ya kugundulika kuwa anamtumia mpezi wa Sumaku kama njia ya kujipatia kipato.

ความคิดเห็น • 72

  • @rashid.mwenyezimunguakurin2968
    @rashid.mwenyezimunguakurin2968 5 ปีที่แล้ว +5

    wanaume kama hawa wapo sana tu nawanawake kama hawa wapo

  • @crevamuhando2428
    @crevamuhando2428 6 ปีที่แล้ว +5

    hawajamaa wakovizuri sana nawakubari sana

  • @peterjoseph7165
    @peterjoseph7165 5 ปีที่แล้ว

    Jamani mnanifrahisha mno ktk michezo yenu, kiukweri mko vizuri sana.

  • @nasratyaqram4799
    @nasratyaqram4799 5 ปีที่แล้ว +4

    Haya mapenzi siyawezi kabisaa 😂😂😂

  • @franciskavyega280
    @franciskavyega280 2 ปีที่แล้ว

    Awa jamaa bna!..😅

  • @husnaothuman1609
    @husnaothuman1609 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyewe Nataka kupewa leo nionge Mwanaume pukaaaa....Yn nidange Ili nionge usenge uwoooo

  • @cuthbertmarkyshirima9647
    @cuthbertmarkyshirima9647 6 ปีที่แล้ว +8

    Hiii nyumbaa mnaipenda sana ila hii clip ina fundisho sana

  • @gracegody7023
    @gracegody7023 5 ปีที่แล้ว

    Haahaaa😀😀😀Marioo hata kubembeleza hajui

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 ปีที่แล้ว

    Mie now mtu akija namwambia nahitaji mwanaume wa kunisaidia.Mmoja alifata akajua dem akiwa nje ndio atatoboa ikifika mwisho wa mwezi yy n shida tu nashukuru mungu hajui mwili wangu wala hela yangu nikaona huu mzigo baba pumzika tu acha nimlee mwanangu staki mahusiano

  • @mahmoudnyanza6701
    @mahmoudnyanza6701 6 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana hii michezo

    • @mussamakame9100
      @mussamakame9100 4 ปีที่แล้ว

      hayabwna enziza za jk

    • @musaamini401
      @musaamini401 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo kila mmoja na mnyonge wake

  • @mohamedirashidi71
    @mohamedirashidi71 7 ปีที่แล้ว +5

    duuuuh ama kweli mapenz maumivu....hususani pale unapotanguliza maslahi ya kitu kuliko utu, ..kwa namna hii tunaweza kuyagawa mapenz ktka makundi, ya dhati na batili. Yapasa tuwe wakweli kwa tunaowapenda au wanaotupenda, usaliti sio dili.

  • @congoswahilitv6465
    @congoswahilitv6465 6 ปีที่แล้ว +1

    nikweli sana 🇨🇩💯🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @aishamajura1313
    @aishamajura1313 8 ปีที่แล้ว +4

    uwiiii uko kupenda balaa

  • @shamsafenesi4045
    @shamsafenesi4045 7 ปีที่แล้ว +5

    😅😅😅😅😅eti mpenzi wngu shikamoo

  • @enockmaro7433
    @enockmaro7433 5 ปีที่แล้ว

    hahaha 😂😂wanajitahidi sana hawa kuchekesha..

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 ปีที่แล้ว +1

    mubasharrrrraaaaa😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌👈👈😍

  • @aishafransic8749
    @aishafransic8749 5 ปีที่แล้ว

    nawapenda sana jomon

  • @mashakaharuna405
    @mashakaharuna405 4 ปีที่แล้ว

    Dah hawa jamaa hawajawahi niangusha

  • @mahmoudnyanza6701
    @mahmoudnyanza6701 6 ปีที่แล้ว +4

    Hawa jamaa wanajua sana

    • @goodsonmademla228
      @goodsonmademla228 6 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahahaha jamaa wako vzr!!!!

    • @hadihadi239
      @hadihadi239 5 ปีที่แล้ว

      Gamers guide

    • @hadihadi239
      @hadihadi239 5 ปีที่แล้ว

      Haaaaahaaaahaaahaahaaaahaaa

  • @kalaluwakisaka3211
    @kalaluwakisaka3211 5 ปีที่แล้ว

    Nimefurai sana

  • @oscarboniface727
    @oscarboniface727 7 ปีที่แล้ว +6

    njoo ule kuku , hahaahahaaaaaaaa

  • @cuthbertmarkyshirima9647
    @cuthbertmarkyshirima9647 6 ปีที่แล้ว +6

    Muwe mnabadilishaa hata location Sio kila sk nyumba moja tuuu???

    • @lusese1
      @lusese1 5 ปีที่แล้ว

      Ubauhakika kila siku nyumba moja tuuu??

    • @kenslogistics4377
      @kenslogistics4377 2 ปีที่แล้ว

      Sasa waje kwako??

  • @asmanicolaus1328
    @asmanicolaus1328 4 ปีที่แล้ว

    Eti nashindia maji tu leo

  • @madestakaguo8431
    @madestakaguo8431 8 ปีที่แล้ว +1

    Iko vizur

  • @yasrisuleiman6388
    @yasrisuleiman6388 6 ปีที่แล้ว +3

    😀😀😀😀🔥🔥

  • @ashuranik1110
    @ashuranik1110 8 ปีที่แล้ว +6

    Mariooo😀

  • @mohamedomarhasan5377
    @mohamedomarhasan5377 6 ปีที่แล้ว +2

    Mfukuze huyo mwanaume anakutumia ni tapeli

  • @salumame4845
    @salumame4845 4 ปีที่แล้ว

    Maringo saba yuko vizuri sana

  • @aishamajura1313
    @aishamajura1313 8 ปีที่แล้ว +3

  • @johnsonkiteme8642
    @johnsonkiteme8642 6 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa vitonga

  • @hassansimba3680
    @hassansimba3680 4 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @swedbaraka4987
    @swedbaraka4987 6 ปีที่แล้ว +1

    nis

  • @arafaiddy8962
    @arafaiddy8962 6 ปีที่แล้ว +3

    sif zimemponza walah 😂😂😂😂

  • @mamiechous.m67
    @mamiechous.m67 8 ปีที่แล้ว +6

    movie nzuri ila mjitaidi kwa sauti nindogo snaa

  • @samia-lt2be
    @samia-lt2be 7 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nishidaa

  • @marthamshana6942
    @marthamshana6942 3 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁

  • @zuhurahamisi3225
    @zuhurahamisi3225 7 ปีที่แล้ว

    malingo unani cheksha

  • @tehamarobema9403
    @tehamarobema9403 7 ปีที่แล้ว +1

    Ok

  • @nasmamoza6831
    @nasmamoza6831 5 ปีที่แล้ว

    financial women

  • @yesusimungu9084
    @yesusimungu9084 8 ปีที่แล้ว +1

    Zamwizi 40

    • @samiamtanga1311
      @samiamtanga1311 8 ปีที่แล้ว +1

      Huyo mwanamke anaboa hicho kiswahili chake

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 4 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁

  • @yasrisuleiman6388
    @yasrisuleiman6388 6 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake km hqwa walikuwa 1945

  • @elikundangoye7586
    @elikundangoye7586 6 ปีที่แล้ว

    duuuu

  • @hamdanirajabu7214
    @hamdanirajabu7214 7 ปีที่แล้ว

    pamoja

  • @hadijandenga4025
    @hadijandenga4025 6 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @makonyolanyoni6778
    @makonyolanyoni6778 7 ปีที่แล้ว

    chuga B !!

  • @reginabwija1204
    @reginabwija1204 8 ปีที่แล้ว +1

    😃😆😆😃😃😃😆

  • @chinyobijoga3006
    @chinyobijoga3006 7 ปีที่แล้ว

    Haaaa haaaa haaaa

  • @fidecharles5210
    @fidecharles5210 7 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅

  • @rahemaramadan1452
    @rahemaramadan1452 5 ปีที่แล้ว

    hivi huyu nimkongo kweli au

  • @fatamaall1584
    @fatamaall1584 7 ปีที่แล้ว +1

    😆😆😆😆😆😄

  • @nasratyaqram4799
    @nasratyaqram4799 5 ปีที่แล้ว +1

    Haya mapenzi siyawezi kabisaa 😂😂😂