Q-CHIEF na TID wamlipua DIAMOND apunguze KUVIMBA/ BILLNAS NI MWIZI AMEIBA NYIMBO YA MAOKOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • East African number one TH-cam channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
    KANUNI NA MUONGOZO
    Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
    NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
    WeAreEverywhere
    #entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande

ความคิดเห็น • 58

  • @user-by5gt9rm9f
    @user-by5gt9rm9f 7 หลายเดือนก่อน +13

    Dah...,,,,hakika inaumiza sana kuona vipaji vimeenda maana imebaki kushutumu watu...bila sababu....all in all kila mtu afanye yake....sote mashabiki zenu

  • @PiuFighter
    @PiuFighter 7 หลายเดือนก่อน +14

    Mafanikio ya diamond yanawaumiza wengi😅

  • @andrewkilulu
    @andrewkilulu 7 หลายเดือนก่อน +7

    Mnatia Huruma sana wakuu 😢

  • @SalehAwadhHassan
    @SalehAwadhHassan 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dah.. noma hao jamaa wameishiwa wamekuwa walevi sana, sasa wanafanya show ili wapate pesa ya pombe inasikitisha sana, hawali madawa ya kulevya lakini hao?

  • @chemstry409
    @chemstry409 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pamoja sana kila la kheri........🙏🙏🙏

  • @ellynkyalu6423
    @ellynkyalu6423 7 หลายเดือนก่อน +3

    Madawa ya kulevya sio kitu kizuri mchoka sana mbwa nyinyi

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 7 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂wivu n kitu kibaya sana....wakati wenu ulishapita na mlikua mnaringa sana....hamkujua kuwekeza sahz mnalia lia

    • @ramadhanimandoa716
      @ramadhanimandoa716 7 หลายเดือนก่อน

      Kwahiy aliyefanikiw asiambiwe ukwel kis wataonekan wanamwonea wivu?

  • @mitioneline5189
    @mitioneline5189 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂 kunavituko Diamond support them bhana achana na maneno maaaana for some extent yana kela ukiona wanacho jivunia 😂😂😂😂😂😂😂

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hao wabwia bwimbwi hawana jipya subirini mshuhudie vituko badala ya burudani.

    • @magrethmagonza186
      @magrethmagonza186 7 หลายเดือนก่อน +1

      Diamond hawezi watafuta akiwata futa atakuwa mjinga kwa kitu gani has na kama alipata peke yake na alifanya heshima kwenye pesa na akili,kujituma sasa wakati wake wa kula matunda, wanavimba wao ambao hawana kitu je wangekuwanaxho ingekuwa tabu. Wavu tu hamna kingine

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa namna TID alivyoimba bado inaonesha ana melody, pumzi na hype yake iko juu
    Wakiendelea kufanya mazoezi ya mara kwa mara na kujitunza basi Band yao itakuwa na show nzuri

  • @AlexLupia
    @AlexLupia 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pwagu na pwaguzi

  • @peterjustin1237
    @peterjustin1237 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wanafiki ndio maana adi Leo mnakaa kwa mama zenu

  • @Kazubenga
    @Kazubenga 7 หลายเดือนก่อน +3

    Q-chila amekuwaje au Ndo maishaaa yamemchapaaa.

  • @AmidouButoyi
    @AmidouButoyi 7 หลายเดือนก่อน +3

    Diamond anawasubuwa akuna wagine wasani bila diamond kwasasa ao wafanye maisha yao

  • @En_Diel
    @En_Diel 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mwana FA ni mwana siasa mzee, let that sink in first 😅. Anaweza hudhuria hata shoo za buku buku kupata attention yenu

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 7 หลายเดือนก่อน +3

    Media za Bongo maswali yenu ni hayo hayo kila siku

    • @magrethmagonza186
      @magrethmagonza186 7 หลายเดือนก่อน +1

      It's true hawana jipya hawalizi ya maana wanauliza maswali ya mitego na uchonganishi

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa hakuna sho knavtuko kwel mtaokwenda mtatuwaklisha😂

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna aliyejiandaa kwa hii interview

  • @PhilipAndrew-et3nq
    @PhilipAndrew-et3nq 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kipind mond anaanza na nenda kanwambie walisema sana mara anaandikiwa mara kaiba nyimbo za wasanii wenzie hio haikumfelisha mwamba akasimama mpaka leo ndio top kajipata mtoro wa mama dangote kila kitu kipo finee kbsa, rizik mwanzo wa chuk kaka huwez pendwa na kila mtu aiseee hasa unapzd kua juuu kila iitwapo leo.

  • @Dr.manyaunyau
    @Dr.manyaunyau 7 หลายเดือนก่อน +1

    Njaa mbaya

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pombe Imesha watafuna wamebaki na mbwembwe wamesha shuka sn wahache maneno wa bongo star search wanaimba kuwazidi na sikia vimbo tu

  • @sigermaxter4287
    @sigermaxter4287 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Watanzania inabidi muwe mna appreciate art au kipaji cha mtu maana sio rahisi maisha ya sanaa ni magumu kuliko mnavyoelewa.Ukishindwa kijifanyia management mwenyewe ni ngumu maana unaonekana una hela ila huna . So uwezikujua safari yao nyuma wamepitia hustle gani ? sio mlikua mnainjoy burudani na kuwaona wakivaa vizuli ila malipo hayakua kama sasa hivi baada ya watu kuelimika na kujua mziki ni biashara na sio kuburudisha tu kama unataka ku support nenda kama utaki chill 😢 maana hata uzungumze vipi huwezi kibadilisha ubaya ukweli wa mtu alivyo .

    • @BongoPlus
      @BongoPlus  6 หลายเดือนก่อน +1

      well said bro

  • @stevenjoshua5866
    @stevenjoshua5866 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bangeeeee😂😂😂

    • @simonpure109
      @simonpure109 7 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya bangeee,wamenyunyuzia tuvitu mule...ila kwa q? Sad movie

  • @khalidhasan4506
    @khalidhasan4506 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wala unga hao

  • @Gaksy001
    @Gaksy001 7 หลายเดือนก่อน +1

    Madhara ya madawa ya kulevya unaweza yaona kama bado hujaathirika.

  • @SalehAbdallah-zx2cq
    @SalehAbdallah-zx2cq 7 หลายเดือนก่อน +1

    watu wazm washpgawa na maunga hwana lkufny maskn wmjiunga wle mabange vzry

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kama nina mashaka hivi!!!!? Itadumu hii?

  • @saidiomary508
    @saidiomary508 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂hkuna show kuna mikelele,kuna jamaa anataka kucheka ila anaogopa mikofi

    • @user-mg4ys6zb9c
      @user-mg4ys6zb9c 7 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅

    • @AlexLupia
      @AlexLupia 6 หลายเดือนก่อน

      Pwagu na pwaguzi

  • @rashidzinu1643
    @rashidzinu1643 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bila kumsema vibaya NASIBU shoo Yao haiwezi ku-trend, unajua nini? HAWATAKI KUKUBALI UKWELI

  • @shabaniselemani9159
    @shabaniselemani9159 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie muda wenu umeisha muache kijana apige kaz

  • @johnmamuya5398
    @johnmamuya5398 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa ipo siku hata huyo meneja watampiga makofi ,wamechoka lakini wanataka kuonyesha wapo vizuri ipo shida

  • @AZHAD26-gl9xf
    @AZHAD26-gl9xf 7 หลายเดือนก่อน +1

    Angalieni na upande wa pili wa shilingi

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu wamechoka sana sijui wanakula nini

    • @albertmalala104
      @albertmalala104 7 หลายเดือนก่อน

      I used to watch this people they weren't like this as you said what ever they are using wamebeat😢😢

  • @kobefiredady
    @kobefiredady 7 หลายเดือนก่อน

    Q chief ni hatar sana na unga wake 😂. Kaskilize Kazi yake inaitwa #WANGU

  • @shamshidy3600
    @shamshidy3600 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kama aunachakupost kuwa ata shoga ila sio kuandaa upuuzi kama huu kuwa sema sema watu mnatuboa tafuteni kazi ata kwawachina

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wala unga hawana lolote

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 7 หลายเดือนก่อน

    Mmebakisha kelele tu na chuki ila ukweli ni kwamba wakati wenu ulishapita

  • @motivationchannel-lh3yj
    @motivationchannel-lh3yj 7 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mwaka 2024 na sio 2004, twende na wakati na tukubali matokeo

  • @antoniob9990
    @antoniob9990 7 หลายเดือนก่อน +1

    @5.18 haya ni madawa ya kuleya yana fanya kazi

  • @yunisluvanga4211
    @yunisluvanga4211 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 vtuko kwel

  • @magazetty
    @magazetty 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hehe 😂

  • @PhilipAndrew-et3nq
    @PhilipAndrew-et3nq 7 หลายเดือนก่อน +5

    Yaan ukweli huwa unauma sana hawa walitikisa enzi zao inatosha hik kipind ni cha mond wamuache aspend bwana, unajua ukianz kupambania ndoto zako hakuna atakae kupenda sio kwenye media hata huku mtaan hio tunakuatana nayo sana perday

  • @mbarakajummadindamadinda491
    @mbarakajummadindamadinda491 7 หลายเดือนก่อน

    Wasenge Hawa

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni pombe na madawa imewamaliza

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 7 หลายเดือนก่อน +1

    mmebaki na chuki za kijinga neno maokoto ameanzisha mwaisa mtu mbad sio wewe T. I. D

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 7 หลายเดือนก่อน

    Kwisha nyie

  • @SaidJuma-ru7vm
    @SaidJuma-ru7vm 7 หลายเดือนก่อน

    Too late 😢😂😢

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uskute q chief hana elfu 30 mfukoni hpo

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 7 หลายเดือนก่อน +1

      Halafu na TID alivyochangamka hivyo siyo kwamba katupia kitu kweli 😅?