Wow!Q chief I have listened to your interview from the beginning to end.Now I understand why so many people are oppressed. Adui wako ni mtu wako wa ndani.Dreams sometimes are shuttered by our very own people.
Allah akuongoze brother chillar maana nashindwa hata kukutafsiri kwasasa nikikutazama Allahu yaalam huwenda ikawa unatatizo la saikolojia au kweli una mizim ya kwenu huko ya uganga ndiyo inayokuchanganya akili 😂haya Inshaallah tutakuja ututibie 😄
Nice voice butta!!!! He's so stupid coz How could i explain my home afair on d media D family its a big thing t expos' d iner part prob' of ur family Its like u runin' out of ur min'
Wengine wanaandika chochote tu na ndo hao hawajapitia mambo magumu kwenye maisha yao. Na wengine wanajifanya wanaona anaongea upuuzi kwa kua wao pia ni wanga wanaoharibia watu wengine
Nadhani pamoja na mambo hayo ya uchief, naona ana Trauma za utotoni hasa kuishi bila baba, mara nyingi ukiwa na unresolved childhood traumas huwa inajitokeza ukubwani na inakuathiri kisaikolojia na kijamii inapelekea mtu kuwa na emotional issues, self esteem na hata kukata tamaa. Namshauri awaone wanasaikolojia afanye therapy ili kupona hayo mambo ya kisaikolojia. Haya mambo ya therapy na trauma hayapewi kipaumbele huku africa lakini ni muhimu.
Well said nasomaa Psykologi, is one of other symtom, trauma its really sasa kwa afrikan kuelewaa ! Ila pia angepataa deliverance na maombii kikristoo angekuwa free but faith applied !✍✍
I remember his interview at Clouds FM some years back when he came out on quitting music akasema anasimama katika dini but suddenly things changed back!! Tuweni na hofu ya Allah....Allah hachezewi shere! Wishing you kheir brother na Allah azidi kukuongoza🙏
Sure maybe our brother he has a little prob' Even wat he states its nor k couz we all nou abouta all those prophets and their history He tries to pull the historical to his idea Which he still make wrong 2
Nakubaliana na Q CHIEF kabisa mimi kama shahidi wa ili adui mkubwa huwa ni ndugu au mtu wa karibu sana, Mtu wa nje tu hawezi kuwa anataka akurudishe nyuma,
Mimi nimewahi kutoa kuhusu huyu Sharifu Q na kweli nilikutana na siku moja pale beach Msasani na nilimwambia huu ni ushuhuda wa kweli kabisa muulize kama anakumbuka atakuambia na namba yake kwa ushahidi ya simu ninayo alinipa ila sijawahi kumpigia inaishia na 83
Hii week isiishe tuwe tumefikisha 1million subscribers... Chakushangaza wengine hawapitwi na habari za SNS na kusubscribe bado. NI BURE kusubscribe wala haitokucost na chochote kile 😊😊
@@chasejackson6681 Exactly company mbaya na kujiona tayari ni star. hivyo hawz kua managed and he thinks he deserves a lot unakumbuka kwa QS mhonda alivyokua anataka apewe nyumba na si apartment na apewe gari la kifahari. wakat ana record na kushoot bure na hajaingiza kampun hata hata robo ya walio invest kwake. kwakwel huyu jamaa ni mjinga tu
Ukute huko kwao kuna mambo ndo yamemfanya awe hvyo,na mara zote yakikupata usipokua na iman thabit ndo hvyo unaishia kua mganga,lakn ukiwa na Mungu basii utakua mtu wa Mungu vzur tu,lakn mara nyng weng wanaishia ku waganga kama hvyo
SHKY NI PROFESSIONAL SANA YAAANI KAONA JAMAA ANAKULA APPLE (AMBALO NI CRUNCHY) KAONA AJIFANYE KAMA HIYO NI SEHEMU YA KWANZA... ETI TUTAPATA BREAK FUPI.. TUKIREJEEAAA ...I SEE WHAT YOU DID THERE
Jami ukistaajabu ya Musa utaona ya firao hivyo hvyo utaona watu wanamwendea kutibiwa mmmm makubwa madogo yananafuu wewe Fanya mambo yako usiingize dini Yale madawa alikuwa anayatumia ndio yameeanza kufanya KAZI kichwani mjinga mtu akifariki siku yake umefika wewe ndio utanfanya aside sasa wewe umekuwa zaidi ya mungu? Rudi Kwa mziki wako na uwache ujinga sciencist ya matako😅😅😅😅😅😅
Kwani hawa wanalalamika sana kuwa kipindi kigumu nilichopitia alafu wanapenda kulalamika ila wanasahau has a huyu kuwa wakat wake alikua akikodi nyumba tanotano kila konanakuweka malaya sasa anamlaum nani
Full of confidence,hard talk, naona hd sky anakosa cha kuuliza
WHEN I SEE QCHILA NAKUMBUKA MY X BOYFRIEND DUNIANI WATU NI 2. 2 WAME FANANA SANA. LOVE YOUR MUSIC Q CHI.🇰🇪
Mungu atamueka peponi pole sana my sister
Q chief since day one namsikia..namkubali sana more blessngs bro.
Aiseee leo ndio nimejua kwa undani kipi alichokuwa anapitia q chief! Mengi yalikuwa yanasemwa Ila sisi Binadamu ni waajabu Sana! Pole mwamba!
Wow!Q chief I have listened to your interview from the beginning to end.Now I understand why so many people are oppressed. Adui wako ni mtu wako wa ndani.Dreams sometimes are shuttered by our very own people.
Nomekuelewa broo king of voice toka kitambo
Unaongea point sana brother chillar .una akili nyingi sana basi tuu binaadam
Show Kali na mtangazaji mkali Fredrick bundala huyu jamaa alikua anatangaza redio free afrika
Absolutely bro imenigusa sana
Allah akutie nguvu na ulinde akulinde Sana hapo ulipo na HATA kesho yako iwe nzuri bro🙏
Napenda chief sanaaa hinzi hizo mombasa pale Kwa club nikisikia nyimbo zake 🔥🔥🔥😅
Huku tunakoelekea Chillah utaishia kua mchawi. Dah una imani dhwaifu sana.
Sana
Nimekuelewa bro umeongea Kwa hisia sana Jah bless you 🙏
Mungu akutunz q chief nakupendaga na nakupenda tena pole kwa yote
Full of confidence ✨️ 👌
"Usiku ndio niko macho"...thats scary lol
Allah akuongoze brother chillar maana nashindwa hata kukutafsiri kwasasa nikikutazama Allahu yaalam huwenda ikawa unatatizo la saikolojia au kweli una mizim ya kwenu huko ya uganga ndiyo inayokuchanganya akili 😂haya Inshaallah tutakuja ututibie 😄
New music video 👇 Tizama 👇
th-cam.com/video/jiZovFUE44Y/w-d-xo.html
Huyu jamaa ana imani dhaifu sana
@waheedah Tanzania bora na ww umeliona hilo ni shida aisee
Unajua mizimu ni local which craft
Its those ansisters bears d wichcraft
Let him train he will endup being d big mchawi
@@fatchaz9276 for sure
I like this guy he got talent got nice voice mashallah
😘
Nice voice butta!!!!
He's so stupid coz
How could i explain my home afair on d media
D family its a big thing t expos' d iner part prob' of ur family
Its like u runin' out of ur min'
Umegoma kuzeeka Qchilla,miaka nenda rudi uko vile vile hongera
New music video 👇 Tizama 👇
th-cam.com/video/jiZovFUE44Y/w-d-xo.html
Duuh...kweli mjini kulala na njaa ni kujitakia...chilla dah..umeniamsha ngoja nijitangazie ushrfu 🤣🤣
Wapi wazee wa mziziology tujuane basi japo kwa 👍
Watanga mnaringa sana🤣🤣🤣
Polesana mdogowangu umeni kumbusha mbalisana natamani kulia maneno mazito leo yananigusa sehemu mbaya
Km hujui au hayajawai kukuta anayosema chilah mtamuona ana frustration ila mm naamini hundred percent
Wengine wanaandika chochote tu na ndo hao hawajapitia mambo magumu kwenye maisha yao.
Na wengine wanajifanya wanaona anaongea upuuzi kwa kua wao pia ni wanga wanaoharibia watu wengine
@@topranking013 sahihi kabsa ila hayo mambo yapo sanaa ila watu watadharau kisa kasema chilah
Mtafute yesu
Nadhani pamoja na mambo hayo ya uchief, naona ana Trauma za utotoni hasa kuishi bila baba, mara nyingi ukiwa na unresolved childhood traumas huwa inajitokeza ukubwani na inakuathiri kisaikolojia na kijamii inapelekea mtu kuwa na emotional issues, self esteem na hata kukata tamaa. Namshauri awaone wanasaikolojia afanye therapy ili kupona hayo mambo ya kisaikolojia. Haya mambo ya therapy na trauma hayapewi kipaumbele huku africa lakini ni muhimu.
Well said nasomaa Psykologi, is one of other symtom, trauma its really sasa kwa afrikan kuelewaa ! Ila pia angepataa deliverance na maombii kikristoo angekuwa free but faith applied !✍✍
I remember his interview at Clouds FM some years back when he came out on quitting music akasema anasimama katika dini but suddenly things changed back!! Tuweni na hofu ya Allah....Allah hachezewi shere! Wishing you kheir brother na Allah azidi kukuongoza🙏
New music video 👇 Tizama 👇
th-cam.com/video/jiZovFUE44Y/w-d-xo.html
Kwelu kabisa
Kwaivo Allah alikosea kumpa kipaji cha kuimba?
@@BigZhumbe umeelewa kweli hiyo comment
@@jafardyeka3327 Nimeielewa vizuri sana ifike mahali muache kumsemea Allah coz yeye sio bubu. Kila kipaji duniani anampa mja amtakae.
Mh! Jamaa mwenyewe Kama yupo sarut hivi😂
Sure maybe our brother he has a little prob'
Even wat he states its nor k couz we all nou abouta all those prophets and their history
He tries to pull the historical to his idea
Which he still make wrong 2
Nice
No men Mussa alikua mzinzi?daudi alitembea na mfanyakazi?no men hapo unakosea sana bro,
Nakubaliana na Q CHIEF kabisa mimi kama shahidi wa ili adui mkubwa huwa ni ndugu au mtu wa karibu sana, Mtu wa nje tu hawezi kuwa anataka akurudishe nyuma,
Your write qchif unannounced Ongera kuhusu ndugu yamenikuta Bora umsaidiembuzi
@Angelina Kasembe nini tena wamekufanya ndugu,,,
Show ya kibabe saana 🙌🙌🇹🇿🇶🇦
#SKY LEO UMEPATIKANA HAJAKUPA MDA WA KUMUULIZA MASWALI MENGI JAMAA ANAONGEA ILE MBAYAAAA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sky maswali yamekua kidogo,uyo Jamaa ameshtua sana
Uyu jamaa ukimsikiliza anakitu kikubwa sana
Halafu leo ako sawa kabisa sikama juzi kwa mwasha
Q chilla ni sharrfu dah Dunia inaenda speed sanaa.by the way huwez bisha inawezekana 🤗
Hahahahahaaaa achwkabisa
ALLAH akulinde CHILLAH
Nakuelewa kaka hamna atakaekuelewa omg Ndio nabii Yusuf
Mtangazaji anashtuka 😄
NAMPENDA SAAAN Q CHIEF
Happy birthday in advance may Allah bless you bro
Wamuangalie vizuri chila pengine kuna shida mana hapo kwenyewe nahisi amepakia gari ya nondo pombe na usharifu haviendi kwakweli
Alhamdullillah Allah is Enough
Happy birthday to you we love you
🤣🤣 Q anaongea vitu deep sana anakoelekea ni sjui tu
Ndio
Dah hii interview ina utulivu na busara nyingi sana aseee
New music video 👇 Tizama 👇
th-cam.com/video/jiZovFUE44Y/w-d-xo.html
Q Chilla nitafute tupige pesa wagonjwa wapo wengi mnoo..... wenye matatizo ni wengi kuliko wenye raha
Kaka ww ujielewi
Nimeisubiri Sana tv Sina 😆😆😆
chizi huyu , punguza bangi
Is he okay?
Maisha magumu sana sikuhizi na kama nafsi yako nyepesi yatakupelekea utokwe na khofu ya Allah
New music video 👇 Tizama 👇
th-cam.com/video/jiZovFUE44Y/w-d-xo.html
Pambana broo
Sky anakutanaga na vimbwanga
😂😂
Kaka ujielewi ata kidogo
q chifu umeongea point sana ila hakuna nabii aliyekuwa mzizi
Duni hii masha magum sana 😂😂
Mimi nimewahi kutoa kuhusu huyu Sharifu Q na kweli nilikutana na siku moja pale beach Msasani na nilimwambia huu ni ushuhuda wa kweli kabisa muulize kama anakumbuka atakuambia na namba yake kwa ushahidi ya simu ninayo alinipa ila sijawahi kumpigia inaishia na 83
Hii week isiishe tuwe tumefikisha 1million subscribers... Chakushangaza wengine hawapitwi na habari za SNS na kusubscribe bado. NI BURE kusubscribe wala haitokucost na chochote kile 😊😊
Mi naona aende hospital apate msaada wa kisaikolojia. he is getting worse by the day kama atasoma hii comment afanye hivyo before its too late
Influence za vilevi zinawaharibu hawa WATU wanaharibu talents zao. Huyu bwana ana talent ya AJABU lkn TAZAMA Sasa! Very SAAAAD
@@chasejackson6681 Exactly company mbaya na kujiona tayari ni star. hivyo hawz kua managed and he thinks he deserves a lot unakumbuka kwa QS mhonda alivyokua anataka apewe nyumba na si apartment na apewe gari la kifahari. wakat ana record na kushoot bure na hajaingiza kampun hata hata robo ya walio invest kwake. kwakwel huyu jamaa ni mjinga tu
Ukute huko kwao kuna mambo ndo yamemfanya awe hvyo,na mara zote yakikupata usipokua na iman thabit ndo hvyo unaishia kua mganga,lakn ukiwa na Mungu basii utakua mtu wa Mungu vzur tu,lakn mara nyng weng wanaishia ku waganga kama hvyo
tena nadhani maisha magumu yanamchanganya. Chief kwani Mungu yupi unamzungia bro?
Chief, Umetisha 😀😀
Huyu kaka sikuhizi kama chizi yani Sky anamuangalia hamusomi wala hamuelewi
Jitahidi kumuelewa haya mambo yapo may dr chila kabadilika sana mnooo
Mi nataka namba zako kaka niko na matatizo
Yakweli nyote hayo mashallah
Mic interview big up jah bress you
Saviiiiiiimbi ✌
Nakula tena katikati ya interview weee
SHKY NI PROFESSIONAL SANA YAAANI KAONA JAMAA ANAKULA APPLE (AMBALO NI CRUNCHY) KAONA AJIFANYE KAMA HIYO NI SEHEMU YA KWANZA... ETI TUTAPATA BREAK FUPI.. TUKIREJEEAAA ...I SEE WHAT YOU DID THERE
Mimi nampenda chillah
yaani ukivaliwa na majiji ya kisharifu unabadilika kabisa. huyo siyo chifu unaongea naye. ni sharifu
Kweli??????
Interview with a legend q savimbi baby
Historia yako Kama yangu Q chif
Good interview
😃😄yani jamani watu mumrudie Mungu yeye ndio muweza wa yote
Watanzania Ni washamba San wa lugha kuanzia mashabik mpak mgeni mwenyew jamaa anavimbaga San kimaongez kimombo kingi afu huna hela
Uyu jamaa ana sauti nzur
Dar kugumuuu🤣🤣
Kuna nyimbo yko moja unaanzaa na kusema jast Begin Leo ndio nimeelewa ulikuwa na maana gani
❤️❤️❤️
Yani hapo kwakifungo nimekuelewa
huyo jamaa atasema nabii mussa eti alikuwa mzinzi.... aongeley mziki mambo ya dini aache kbsaa... atakuja laaniwa bure
Usihukumu my dr sio kzi yetu
Huyu nyani madawa zaizi ndio zimelipuka mganga eti 😅😅😅😅
Broo saut yako Kali natamuni unifundishe utangazaji
🤔🤔🤔Kwa hyo weny majina ya Sharifu woote ni waganga, mmm ninawasiwasi na msure wangu
😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣
Swadakta maneno kuntu
Anakaa mganga pia asli yake
Jami ukistaajabu ya Musa utaona ya firao hivyo hvyo utaona watu wanamwendea kutibiwa mmmm makubwa madogo yananafuu wewe Fanya mambo yako usiingize dini Yale madawa alikuwa anayatumia ndio yameeanza kufanya KAZI kichwani mjinga mtu akifariki siku yake umefika wewe ndio utanfanya aside sasa wewe umekuwa zaidi ya mungu? Rudi Kwa mziki wako na uwache ujinga sciencist ya matako😅😅😅😅😅😅
I
Love chila
Mbona anamuonea sana TID hivi mgomvi huyu haahaha
Nime omba contact no Yako Niko Oman muscat
Ila anajidai sisaivi😅😅
Tuletee king kiba hapa please
Walawi 19:31
CHIZI WEWE NA HUKO UNAKOENDA HATA MILEMBE HAWATAKUPOKEA
Kwani hawa wanalalamika sana kuwa kipindi kigumu nilichopitia alafu wanapenda kulalamika ila wanasahau has a huyu kuwa wakat wake alikua akikodi nyumba tanotano kila konanakuweka malaya sasa anamlaum nani
ndiyo maana kanisa langu linakataza kusikiliza mziki wa kidunia,ona sasa ameshakuwa mshirikina duuh
🤣🤣🤣dunia jamani
Once an artist will always be an artist