MISA YA SHUKRANI YA PD. GODFREY JOSEPH KUTOKA PAROKIA YA ROHO MTAKATIFU K/MANGO JIMBO KATOLIKI MOSHI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
- Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani ya Padre Godfrey Patrick Joseph kutoka Parokia ya Roho Mtakatifu Kibosho Mango - Jimbo Katoliki Moshi tarehe 16.12.2024 kuanzia saa nne kamili Asubuhi (04:00).
Misa hiyo inatarajiwa kuongozwa na Padre Godfrey Joseph.
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777
st.anthonymedia12@gmail.com
Hongereni sana wakatilik wote ulimwenguni myngu yu pamoja nasi
Fr cyril hongera sana kaka yangu umehubiri vzr mnoooo
Hongera sana Fr Godfrey 🎉🎉
Mungu akulinde,akutunze na akupe afya njema ktk utume na maisha yako ya utume 🎉🎉🎉
Fr. Godfrey Hongera sana. Mungu akulinde. Inapendeza. Ni Neema kwetu
Amina sana
Hongera sana Fr. Sirili umehubiri vzr sana. Mungu aendelee kukubariki na kukutunza ktk wito wako
Ni Neema za Mungu kwa parokia ya Roho Mt. Mango, na kanisa kwa ujumla
Hongera sana Fr. Mushi Mungu akuongoze ktk utume wa ukuhani.
Hongera sana Fr,Mungu wambinguni akulinde na kukutunza katika utume
Mungu akubariki sana Fr Mushi
Hongera sana fr
Koocha Mushi, koocha Mbe 👏👏👏👏
Hongera father
Amina
Koocha Mushi🎆🙏
Hongera fr. Gody Mungu akutunze katika utume wako
Hongera sana Fr. Mungu akubariki sana na aendelee kukutegemeza kila iitwapo leo